tundu lissu

 1. J

  Mahakama ikiingiliwa uhuru wake unapotea automatically. Tundu Lissu kusema Mbowe siyo gaidi haikuwa jukumu lake

  Mahakama ndio chombo kilichopewa jukumu la kutafsiri sheria kwa mujibu wa katiba. Hivi karibuni CHADEMA wamekuwa na tabia ya kuongelea maswala ya kesi za wanachama wao wakati kesi zikiwa zinaendelea mahakamani hili siyo jambo jema kwa kweli. Mfano Mh Mbowe alipofikishwa mahakamani kwa kesi ya...
 2. William Mshumbusi

  Kuna sababu gani Tundu Lissu kukaa kimya kabisa kwenye kesi ya Ugaidi ya Mbowe?

  Je ndio ameamua kuwa kimya ili Mbowe akifungwa aje Kama Mwenyekiti mpya wa chama?!!. Je ameamua kufuata mkondo wa Swahiba wake Zitto Zuberi Kabwe aliyekaribia kumsajili ACT-Wazalendo kuwa tusitegemee kuona akikosoa Kama Awamu iliyopita. Nilimsikia kuwa alishawahi kupigiwa simu kwamba Mama...
 3. figganigga

  Tundu Lissu, Salim Mwalimu na Margit Hellwig-Boette, Wakutana Botswana

  Salaam Wakuu Balozi wa Ujerumani Nchini Botswana Margit Hellwig-Boette leo Nov. 08, 2021 akiteta na Makamu Mwenyekiti na Mgombea Urais wa 2020 Tundu Lissu na Salim Mwalimu, Naibu Katibu Mkuu Zanzibar na Mgombea Mwenza wa Lissu wakati wa mkutano wa Kimataifa unaohusu Uchaguzi Afrika...
 4. J

  Spika Ndugai sasa ni kama anafanya kazi zilizoachwa na Lissu na Mnyika Bungeni. Tumerudi kwenye Bunge la chama kimoja

  Baada ya mkutano wa Bunge kuanza juzi ambapo kimsingi ni kama vile ni Bunge la CCM watupu Spika Ndugai ameonekana akibeba jukumu la kuikosoa na kuipa ushauri mbadala Serikali kazi ambayo ilikuwa ikifanywa kwa weledi mkubwa na Tundu Lissu, J J Mnyika na Zitto Kabwe walipokuwa bungeni. Bunge la...
 5. J

  Uongozi ni pamoja na kuwa tayari kufa kwa ajili ya watu unaowaongoza. Nimeliona hili kwa Magufuli na Mbowe, siyo kwa Lissu na Lema

  Kiukweli hata kwenye mafundisho ya dini tunaambiwa mchunga mwema wa kondoo hutangulia mbele ya kundi na kuwapa ishara kondoo kila kitu kibaya kinapokuja. Hayati Magufuli na mwenyekiti wa Chadema Mh Mbowe ni mfano mzuri wa wachungaji WEMA ambao wamekuwa tayari kutaabika na kunenewa kila lililo...
 6. technically

  Tundu Lissu arejee nyumbani Mara moja

  Ni muda Sasa wa Tundu Lissu kurejea nyumbani no matter what. Hata Kama akirudi wakamuua Hana Cha kupoteza Tena Chadema haina kiongozi kwa Sasa Mnyika Ni kiongozi goigoi mno na siasa za kimbogo ambazo zimepitwa na wakati kwa utawala wa Sasa wa Ccm. Chadema kinatakiwa kurejea na kuwaambia...
 7. kimsboy

  Ipo siku Tundu Lissu atakuja kuwa Rais wa Tanzania, ni suala la muda tu

  Sijui nitakua hai au nitakua nimekufa lakini nawaambia kuna siku lissu atakuja kuwa Rais wa JMT Huyu ndo atakuja kuliponya hili taifa dhidi ya matatizo yote tuliyopitia Mimi namuombea nguvu, uzima na afya tele tu najua ni suala la muda tu Ila Watanzania tuna matatizo makubwa aisee hivi...
 8. S

  Tundu Lissu kimataifa: Akutana na David Mcallister, Mwenyekiti wa Kamati ya Mashauri ya Kigeni ya Bunge la Ulaya

  Hapo kakutana na Mwenyekiti wa Kamati ya Mambo ya Nje ya Bunge la Ulaya. Hakuna kurudi nyuma katika mapambano ya kumdhibiti mkoloni mweusi.
 9. R

  Tundu Lissu: Tusaidie kisheria imekaaje hii

  Zimenunuliwa ndege kwa mikataba ya kificho. Kuna na mikataba mingi tu imefanywa kwa kificho. Hoja ya msaada wako ni hii: 1. Kwa sheria za kimataifa (maana za ndani haiwezekani) Mtanzania ambaye ana maslahi na pesa zinazotumiwa katika kununua ndege hizo, hawezi kufungua kesi/mashitaka katika...
 10. Mungu Mkuu

  Serikali ya Rais Samia inatekeleza miradi yenye thamani ya TZS 53bl mkoani Singida

  Anyampanda isomeni hii polepole kwa kutulia mtajua ni kwa kiasi gani Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan anawapenda watu wa Singinda, _________________________________________ SERIKALI imetoa Sh.Bilioni 52.975 mkoani Singida kwa ajili ya kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo...
 11. Roving Journalist

  DPP dismisses inflammatory charges against Tundu Lissu

  Criminal Case No.208 / 2016 against Tundu Lissu and three others in Kisutu Court, has been dismissed by the DPP in accordance with Section 91 (1) of the Criminal Procedure Code. All the suspects are free. In addition to Lissu, the other accused were Mawio Newspaper Editor, Simon Mkina, Jabir...
 12. Hashpower7113

  DPP awafutia Tundu Lissu na Wahariri wa Gazeti la Mawio kesi ya Uchochezi

  Criminal Case No.208/2016 iliyokuwa ikimkabili Tundu Lissu na wenzake watatu katika Mahakama ya Kisutu, imefutwa na DPP kwa mujibu wa Kifungu cha 91(1) cha Sheria ya Mwenendo ya Makosa ya Jinai. Watuhumiwa wote wako huru. Mbali na Lissu washtakiwa wengine walikuwa ni Mhariri wa Gazeti la...
 13. The Palm Tree

  Voice video: Tundu Lissu afunguka akiuchambua ushahidi wa shahidi No. 1 wa Jamhuri ACP Ramadhani Kingai

  NOTE: å Nadhani hii ndiyo imefanya jamhuri kuanzisha fujo leo mahakamani ili tu kuzuia usikilizwaji wa kesi inayomkabili m/kiti wa CHADEMA (taifa) ndugu Freeman Mbowe ushindwe kuendelea... å Ni jambo jema kuwa haya mambo yanafanyika mchana kweupe kila mtu akiona. Na uzuri ni kuwa hapa ni...
 14. J

  Ni vema wagombea wa vyama vyote wakajitangaza mapema ili tuwapime

  Ni vema tukawa kama Wakenya wagombea wa urais wajulikane mapema tupate muda wa kuwapima. Sasa tunawasubiri ACT wazalendo, NCCR mageuzi na TLP nao watutangazie wagombea wao. Inaeleweka kwa utamaduni wa CCM ni lazima asimame Rais Samia. Prof Lipumba wa CUF, Tundu Lissu wa Chadema na Hashimu...
 15. Elitwege

  Ni rasmi sasa 2025 ni Samia vs Lissu?

  Baada ya Rais Samia leo kuweka bayana kuwa atajitosa kuwania urais mwaka 2025 ni dhahiri sasa mpambano wa kuwania kiti hicho utakuwa kati yake na makamu mwenyekiti wa Chadema aliyekimbilia Ubelgiji Tundu Lissu. Kuanzia sasa wananchi wataanza kuwachekecha kwenye chujio kali la nani anafaa zaidi...
 16. darcity

  Lissu afunguliwe mashtaka kwa kutoa taarifa za uongo

  Nashauri serikali imfungulie mashtaka Wakili Msomi Tundu LISSU kwa kutoa taarifa za uongo na kusababisha taharuki kuwa Rais ametekwa/amewekwa mateka na Waziri Mkuu ndiye anaongoza nchi. Hata Kama yupo nje ya nchi anapaswa kuheshimu uhuru wa maoni. Mara nyingi akihojiwa na vyombo vya habari...
 17. Idugunde

  Kelele za Tundu Lissu akiwa Ubelgiji ni sawa na fimbo ya mbali isiyoweza kuua nyoka. Arudi bongoland kuweka mbinyo wa kisiasa

  Fimbo ya mbali haiwezi kuua nyoka hata kidogo. Lazima iwe karibu na kumfikia nyoka na kisha kumuua. Lissu yupo Brussel anakula bata kwa mrija, lakini ana malalamiko mengi juu ya mambo yanayotamaraki hapa Tanzania. Analalamika juu ya kutokuwa na katiba inayokidhi mahitaji ya watanzania. Hivyo...
 18. The Palm Tree

  Tundu Lissu: Polisi wote huni - treat with respect kila walipotumwa kunikamata isipokuwa baadhi kama afande Cammilius Wambura, Sirro na Kigaigai...

  Tunaendelea kupata simulizi za kusisimua toka kwa Tundu Lissu ikiwa ni sehemu ya kumbuizi ya miaka 4 tangu kufanyika kwa jaribio baya lililoshindwa la kutaka kumuua kwa risasi za kivita lakini likimwacha nusu mfu tarehe 7/9/2017.... Shukrani kwa madaktari wa hospitali ya mkoa wa Dodoma...
 19. The Palm Tree

  Library video: Rais Mstaafu Jakaya Kikwete alipokutana na kina Freeman Mbowe, Tundu Lissu na wengine

  Kwani kuna ubaya gani kukutana kama hivi na kuongea pamoja?
 20. The Palm Tree

  Video: Kumbuizi ya miaka minne (4) ya kupigwa risasi 37, Tundu Lissu ajibu swali la kupigiwa simu na Dr. Willbroad. P. Slaa...

  TUNDU LISSU: "hajawahi kunipigia simu, zaidi ya kwamba nilimsikia akizungumzia kushambuliwa kwangu kwenye vyombo vya habari...." TUNDU LISSU: "....alichokisema hakikuwa necessary, ni bora sana angekaa kimya...." Msikilize mwenyewe. Kisha toa maoni yako au toa "like" basi....
Top Bottom