kufanya

 1. Meneja Wa Makampuni

  Natafuta nafasi ya kufanya mazoezi ya vitendo ya social work

  Kama kichwa kinavyo jieleza Namtafutia mwanafunzi wa Social work mahali pa kufanyia mazoezi ya vitendo. Nimeandaa shilingi laki moja (100,000 Tsh) kwa atakaye fanikisha. Ahsanteni
 2. OKW BOBAN SUNZU

  Je, Ole Sabaya alipewa kibali na Magufuli kuhujumu uchumi?

  Anaandika Wakili msomi Jonh Mallya, Ni usiku wa manane. Lengai Ole Sabaya amelaza kichogo chake kwenye kiganja. Mwili wake ameulaza juu ya sakafu baridi akitazama dari la chumba cha mahabusu ambacho taa zake hazizimwi usiku-kucha. Kelele za wenyeji zinamghasi, lakini hazimtoi kwenye lindi la...
 3. M

  Ndugu waziri wa Utalii, boresheni utalii kwa kufanya mambo yafuatayo

  Ndugu Waziri, Takwimu zinaonyesha kuwa katika mambo yanayochangia pato kubwa la nchi yetu ni utalii. Kwa hiyo hii ni sekta inayopaswa kuchukuliwa serious sana na kuwekeza kwa nguvu zote ili pato la nchi liweze kuongezeka. Kwa hiyo ndugu Waziri huu ni muda muafaka wa ubunifu na kuja na vyanzo...
 4. Elius W Ndabila

  Sheria ziwaongoze vijana katika kufanya maamuzi

  SHERIA ZIWAONGOZE VIJANA KUFANYA MAAMZI YA NAFASI ZAO. Vijana wengi wamekuwa wakiaminiwa kwenye serikali na vyama vyao vya siasa tangu nchi hii ilipopata uhuru. Imani hii kwao inatokana na ukweli kwamba hata msingi wa uhuru wa nchi hii ni matokeo ya Umoja wa Vijana walioamua kuungana na...
 5. MR BINGO

  2021 - Oktoba 2025: Muda mwafaka wa wapinzani nchini Tanzania kujijenga ili kufanya mageuzi ya kisiasa

  Salaam wana jamvi, Twende kwenye mada tajwa moja kwa moja. Tukianza na utawala wa awamu ya tano wa John pombe magufuli ambako tulishuhudia mtikisiko mkubwa wa upinzani nchini Tanzania ambao uliosukumwa na matumizi mabaya ya demokrasia hayo yalithibitishwa kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2020...
 6. Mwande na Mndewa

  Maoni yangu: Secretariati yetu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), kufanya kazi mbili maana muda si rafiki

  MAONI YANGU KWA SECRETARIATI YETU YA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM, KUFANYA KAZI MBILI KWA MAANA MUDA SI RAFIKI. Leo 11:11hrs 05/06/2021 1. Kusimamia utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020-25 2. Kuimarisha Chama Cha Mapinduzi kwa kusimamia maswala yote ya Ukuaji wa Chama kwenye maeneo...
 7. Ethan Cruz

  Vitu vya kufanya na kuepuka unapomtumia meseji Mwanamke

  Katika ulimwengu wa sasa mawasiliano kupitia jumbe fupi unazidi kutumika kiasi cha kuwa mazungumzo baina ya watu yamegeuzwa kuwa meseji fupifupi. Kupewa namba kutoka kwa mwanamke ni nusu ya muelekeo wako wa kuuteka moyo wake. Lakini je wakati wa kumtext mwanamke je unatumia mbinu ipasayo...
 8. C

  Kwanini Rais akitaka kufanya jambo anazunguka sana kupata uhalali?

  Habari wana JF, Tangu Mh. Rais ameshika madaraka, ameonekana akitaka kufanya jambo anatafuta "zuga" flani ili aeleweke. Swali ninalojiuliza kwa nini asiwe anachukua msimamo na kulifanya jambo moja kwa moja? Mfano: 1. Inafahamika kabisa swala la kuondolewa kwa "machinga" alishalipitisha siku...
 9. M

  Mtu mwenye shahada ya sheria anaweza kufanya kazi idara ya mazingira?

  Habari zenu wandugu, naomba kujua, hivi mtu ambaye ana fani ya sheria anaweza Fanya kazi ama kuajiriwa kama afisa mazingira au misitu, ama idara yeyote inayo jihusisha na mazingira? Naombeni tufahamishane wandugu kwa wale wenye ufahamu kuhusu hili... Mungu awabariki..
 10. Idugunde

  Nani anaipotosha mamlaka ya uteuzi kiasi cha kufanya makosa yanayofedhehesha?

  Watanzania tulishaaminishwa kuwa mamlaka ya uteuzi ni mamlaka kubwa ambayo ina vyanzo mbalimbali vya kupata habari. Pia tulishaambiwa kuwa mamlaka ya uteuzi huwa inafanya vetting ili kupata wateule wanokidhi vigezo kwa namna yoyote ile. Sasa haya ya kuteua makada wa CCM ambao hata vigezo...
 11. Bujibuji

  Mtanzania, wekeza na kufanya biashara Comoro

  Fursa za Biashara zilizopo Moroni nchini Comoro Hivi karibuni nilifanya ziara ya kwenda nchini Comoro kufanya visual assessment ya fursa ziliopo kule lakini vile vile kuzungumza na wafanyabiashara wanaokuja Tanzania kununua bidhaa na kufanya biashara nchini. Ndugu zangu Watanzania, Comoro kuna...
 12. B

  Matapeli wanapoingia Jeshini kufanya uhalifu, wakapigwa doso (drill) raia msihemke

  Kijana aliyekamata Dar es Salaam Ni jirani yetu. Taarifa za ndugu zinasema alikamatwa kwa kujifanya afisa usalama Takukuru. Kwa stori walizopewa na jamaa zake baada ya video kuonekana mitandaoni ni kuwa. Jana alipata abiria ampelekea uhamiaji kupata huduma ya passport. Akiwa njia kama kawaida...
 13. L

  Naomba msaada wa nini cha kufanya kuhusu udahili wa masomo kozi za afya 2021/2022

  Habari za saa hii wakuu Jamani nilikuwa naomba ushauri wa nini cha kufanya, nimechagua programme tano za kusoma bila kutarajia kwenye chuo kimoja ambacho ni MBEYA COLLEGE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCE na kozi zenyewe ni 1.Clinical medicine 2.medical lab 3.dentristry 4.pharmacy 5.physiotherapy...
 14. Shadow7

  Fursa kwa wasanii wa Tanzania ya kufanya kazi na Akon

  Boomplay na Hitlab wametangaza Shindano la kuvumbua vipaji kidijitali kwa wasanii Chipukizi linalomshirikisha nyota wa muziki wa Marekani mwenye asili ya Senagali, Akon. Dar es Salaam, Tanzania, Mei 26, 2021. Boomplay na Hitlab wameungana kuwawezesha wasanii chipukizi kufanya kazi na nyota wa...
 15. Erythrocyte

  Dkt. Mwele Malecela awataka wataalam kufanya kazi bila woga

  Mkurugenzi wa Magonjwa ya kitropiki kutoka WHO , Dr Mwele Malecela amesema wataalamu wa sekta mbalimbali wafanye kazi kwa kuzingatia weledi bila woga. Dr Mwele kwa sasa anafanya kazi Makao Makuu ya WHO Geneva Uswisi , amesema wataalamu waachwe wafanye kazi kwa weledi ili kupata matokeo chanya...
 16. Soma Vitabu Tanzania

  Ishinde hofu leo kwa kufanya hili zoezi

  Hofu imekuwa kikwazo kwako? Adui mkubwa wa mafanikio ya watu wengi ni hofu. Wewe mwenyewe ni shahidi. Hofu imezuia watu wengi sana kuweza kuchukua hatua ili kufikia mafanikio kwenye maisha yao. Watu wanakuwa na mipango mizuri watu wanajua ni nini wanatakiwa kufanya ila inapofika wakati wa...
 17. A

  Ni wakati muafaka wa Kurekebisha Taasisi za TRA na PCCB kufanya kazi kwa Weledi

  Katika kipindi cha awamu ya tano kilichojibatiza na kujiita serikali ya "mwendazake" ampapo mzee wa Lupaso RIP Ben Mkapa alilikemea hilo bila kificho. 1. TRA waligeuka kuwa genge fulani la wahalifu kwa kupora pesa kwa wafanyabiashara kwa kuwabambikiza kodi za juu na za uongo ili kutengeneza...
 18. M

  Unapata wapi ujasiri wa kufanya sherehe wakati ndugu zenu wanaonewa

  Hii ilikuwa Alhamisi na ijumaa iliyopita.
 19. Analogia Malenga

  UN: Vifo 745,000 vimetokona na kufanya kazi sana

  Utafiti wa Shirika la Afya duniani WHO, na la kazi duniani ILO unaonesha kufanya kazi kwa muda mwingi katika kipindi cha mwaka 2016, kumechangia vifo 745,000. Katika utafiti weao huo, mashirika WHO na ILO kwa pamoja yanakadiria watu 398,000 wamekufa kutokana na ugonjwa wa kiharusi na 347,000...
 20. Pascal Mayalla

  Je, Hatuna Wanawake wa kutosha kukidhi 50/50 au kuna kosa?

  Wanabodi, Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kila nipatapo fursa, huwa naendeleza zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo zina lengo la kukuza uzalendo na kulisaidia taifa letu, kusaidia nchi yetu, kusaidia serikali yetu na kusaidia viongozi wetu waweze...
Top Bottom