nyumba

 1. ROBERT HERIEL

  Baba anataka kunidhulumu Nyumba yangu. Kesi bado inanguruma Mahakamani

  BABA ANATAKA KUNIDHULUMU NYUMBA YANGU. KESI BADO INAENDELEA MAHAKAMANI. Anaandika Robert Heriel. Namheshimu Kama Baba yangu, ni mzazi wangu. Nilikuwa nampenda lakini sasa naona chuki inamea nafsini mwangu. Kisa Mimi mtoto wake ndio anikandamize, anidhulumu Mali yangu. Ananinyang'anya Nyumba...
 2. Suley2019

  Atlanta: Mchungaji na Mkewe wakamatwa kwa kuwafungia Walemavu ndani ya nyumba yao

  Picha: Mchungaji Curtis Keith Bankston Mchungaji mmoja na mkewe wamekamatwa kwa madai ya kuwafungia walemavu katika eneo la chini la nyumba yao. Maafisa wa polisi wanasema Curtis Keith Bankston , 55, na mkewe walikuwa wakiendesha kituo cha kuwaangalia walemvu bila kibali , katika eneo la...
 3. R

  Nyumba yangu iliyo Mbezi Lous ina changamoto ya nyufa

  Wakuu nyumba yangu ina changamoto ya cracks za mara kwa mara nyingine zinakuwa perpendicular nyingi diagonal. Udongo wa hapa ni clay (mfinyanzi). Nataka kushusha ukuta wote naomba ushauri wenu wataalamu jinsi ya kutibu tatizo hili.
 4. ROBERT HERIEL

  Nimesikitishwa sana! Kumbe Mama Mkwe kaweka CCTV camera kwenye nyumba aliyotupa

  NIMESIKITISHWA SANA; KUMBE MAMA MKWE ALIWEKA CCTV CAMERA KWENYE NYUMBA ALIYOTUPA. Anaandika, Robert Heriel. Niweke wapi USO wangu! Mambo yote hadharani! Tupu zangu zipo ukweni, Wanazitazama tadhani Filamu ya ngono, Wanayatazama maungo yangu, afadhali yangekuwa maungo ya nje lakini mpaka Uchi...
 5. Trainee

  Kama unatumia 'self contained house' jua ya kwamba unamuenzi mtu huyu

  Habari zenu, Kabla ya kuanza naomba niwatahadharishe ya kwamba kama mtu siyo muumini wala siyo kesi simlazimishi kukubaliana na mimi, asijisumbue! Sasa tuendelee... Dini ni mfumo ambao unategemea zaidi masimulizi ya kale. Masimulizi hayo yanahusu watu wema na wabaYa ambapo muumini analazimika...
 6. Sky Eclat

  Nyumba za wapiga kura vs nyumba za wapigiwa kura

  Wale wanaoambiwa wasivimbiwe huwa wanafunga na kufungua magate.
 7. LIKUD

  Sababu za kimaandiko kwanini baadhi ya waislamu wanao miliki nyumba Magomeni Na Ilala huwa hawapangishi wakiristu ( Hasa Hasa walokole)

  Nimetaja Magomeni Na Ilala kwa Sababu almost 90 percent of my extended family live there. Awali ya yote naomba Ku declare interest. I am a Muslim but an open minded one . Am a kind of Muslim who can listen to Jim Reeves or Boney M bila wasiwasi wowote. Na HII ni Kwa Sababu licha ya...
 8. kikoozi

  Je naweza kupata nyumba nzuri ya kuishi na yenye uzio (fensi) na geti kwa range ya TSH 35-50 Milioni?

  Habari za uzima, heri ya mapinduzi kwa wa Zanzibar wote, Niende kwenye poit moja kwa moja kwa sasa nipo mkoa flani kwa utafutaji baada ya kumaliza masomo yangu moja ya chuo hapa hapa tanzania, sasa nimeona nichange pesa ili niweze kununua nyumba mkoa wa mwanza na kuanza kuishi uko nataka kujua...
 9. 2019

  Mume ukifikia hatua ya kusema "sitaki kupigizana kelele na mke" basi wewe sio kichwa cha familia tena

  Kumekuwa na wimbi kubwa sana la waume wasiopenda kilele za wake zao siku hizi. Naomba kuwauliza ni lini wanaume walipenda kelele za wake zao? Kwa kawaida hakuna mwanaume anaependa kuongea sana. Ukiona mwanaume anaongea sana basi ujue ana kasoro. Mwanaume wa kweli maneno kidogo vitendo kwa...
 10. figganigga

  Nyumba za Anne Semamba Makinda zinapigwa mnada!

  Salaam Wakuu, Kamishna wa Sensa Kitaifa Bi. Anne Makinda ambaye alitumikia Taifa katika nafasi mbalimbali za uongozi kwa takribani miaka arobaini, akianza kama Waziri wa Shughuli za Bunge, Mwenyekiti wa Bunge, Naibu Spika na hatimaye Spika wa Bunge, Nyumba zake zinapigwa Mnada. Nyumba...
 11. Ndondoo

  Naomba kufahamu gharama za kujenga hii nyumba

  Wakuu habari za mwaka huu wa 2022! Niende moja kwa moja kwenye mada. Nimeshajenga msingi tu. Nyumba ina vyumba vitatu kimoja master, choo Cha public kipo ndani pia, sebule, jiko, stoo, dining, veranda mbili nyuma na mbele na pia kuna gharama za kuchimba chemba ya choo na kujenga fensi/ukuta...
 12. Kitomai

  House4Sale Nyumba ya ghorofa (Apartmet) inauzwa Msasani

  Iinavutia, Bora na ya Kisasa. Nyumba ina mwonekano wa kuvutia wa ndani na nje ikuwa na vyumba vitatu vya kulala vyote vinavyochojitoshereza (masters), sebure kubwa, jiko la kisasa na mahali pa kula. Bei $ 170,000 maelewano yapo. Kuiona wasiliana nami kwa simu/whatsapp +255784225000
 13. Kitomai

  House4Rent Nyumba yenye vyumba vinne inapangishwa Kijitonyama

  Nyumba ipo vizuri pia ipo katika eneo zuri la kiungwana a.k.a kishua. Ipo peke yake katika uwanja. Kodi shs 800,000 kwa mwezi. Kuiona tuwasiliane kwa simu 0784225000
 14. Kitomai

  House4Rent Nyumba ndogo inakodishwa block 41 nyuma ya best bite Dar es Salaam

  Nyumba ina chumba kimoja cha kulala na sequel. Nyumba ya uani mbele kuna nyumba kubwa kodi tshs 350,000 kwa mwezi. Kuiona tuwasiliane kwa simu 0784225000
 15. Sky Eclat

  Changamoto za kuishi nyumba moja na rafiki au mtu yeyote

  Ninamaanisha kushirikiana kodi ili kupunguza ugumu wa maisha. Inaweza kuwa ni wanafunzi wa Chuo, waajiriwa wapya au hata waliopata ajali za maisha na wanaanza moja. Mfano wanafunzi wanachukua chumba cha 40,000 wanachangia kodi. Kuna wale waajiriwa wasiopenda kuishi Uswahilini. Wanachukua...
 16. kavulata

  Tuendelee kuwajengea nyumba viongozi kisiasa wenye nyumba?

  Tanzania tuna utamaduni wa kuwatunza viongozi wetu wanaostaafu au kumaliza muda wao wa uongozi. Tunafanya hivyo kwa kuwajengea nyumba za kifahari na kuwapa mishahara za posho kadhaa wa kadhaa. Katika taifa ambalo linaishi kwa mikopo kama hili la Tanzania tuendelee kuwajengea nyumba viongozi...
 17. Black Thought

  Hizi ni nyumba unaweza kujenga kwa gharama nafuu zaidi mwaka 2022

  Habari wakuu, nimejaribu kuja na baadhi ya options za ramani za nyumba unazoweza kujenga kwa gharama nafuu. Kwanza tulewe kuwa Gharama ya ujenzi wa nyumba haitegemei sana idadi ya vyumba kama baadhi ya watu wanavyochukulia, bali hutegemea zaidi ukubwa (builtup area) na muundo wa jengo husika...
 18. L

  Nyumba ya Oscar Kambona sasa ni Feza Primary. Nini kimetokea?

  Wazoefu wa mitaa ya Mikocheni, kwa Nyerere, kwa Mwinyi, kwa Warioba haya ni majina ya vituo vya daladala. Lakini pia Kuna nyumba ya Oscar Kambona mitaa hiyo ila kwa sasa naona imekuwa shule ya msingi Feza. Nini kilitokea? Iliuzwa? Je Kambona hakuacha familia? Mke na watoto wake wako wapi? Baba...
 19. kikoozi

  Msaada: Baba yangu mzazi ameuza nyumba yake na hataki kunipatia pesa japo kidogo

  Habari zenu ndugu zangu, naombeni ushauri wenu kwenye ili naamini uku jukwaani kuna wenye ushauri bora zaidi na wenye experince na mambo mbalimbali, mimi ni kijana wa umri wa miaka 41, kwetu tumezaliwa 4 ila kwa sasa tumebaki 3 baada ya mmoja bahati mbaya kufariki miaka 6 iliyo pita, mimi ni...
 20. Saad30

  Naomba kujua makadirio ya pesa nyumba hii.

  Habari nyingi wakuu. Tumeanza mwaka na mipango mipya. Sina maneno mengi sana ila naomba msaada wa kujua gharama za hii nyumba tu maana ndio nataka nianze baada ya kumaliza tarehe 17 Inshaallah. Vyumba vitatu vya kulala (1 bedroom) Jiko Dining Kitchen Store Sitin room Public toilet...
Top Bottom