tundu

 1. Fundi Madirisha

  Tundu Lissu samehe, Shukuru Mungu upo hai

  Mhe Lissu tunajua kabisa kuwa waliokuumiza wako ndani ya Ardhi ya Tanzania hata kama hawapo hai. Samehe ilimradi wewe ni mzima na Mungu anakulinda kwa gharama zake yeye. Ulipigwa Risasi, Ukanyimwa pesa za matibabu, ulinyimwa mshahara, Ukanyimwa ubunge wako, Ulinyimwa uhuru wa kuishi nchini...
 2. Analogia Malenga

  Museveni: We have clues to ‘the pigs’ who attacked Gen Katumba

  The assassination attempt was carried out in the same style as those that led to the death of over 28 people, including top government officials, in the past seven years. President Museveni has vowed to “defeat” armed assailants who attacked and injured former Works and Transport minister Gen...
 3. technically

  Tundu Lissu: Ole Sabaya atendewe haki

  Ijapokuwa Ole Sabaya anatuhumiwa kufanya uovu mkubwa wakati akiwa DC Hai, alipaswa kufunguliwa mashtaka ya jinai kortini. Kwa TAKUKURU kumweka mahabusu kwa wiki nzima ni kukiuka sheria za nchi yetu & kuendeleza tabia ya ukiukaji wa haki za binadamu ya vyombo vyetu vya usalama!
 4. chagu wa malunde

  Jicho la tatu: Kama prominent figure Tundu Lissu alidhulumiwa haki yake, sisi makabwela tusio na mbele wala nyuma ndio tutapata haki?

  Hii imelipaka matope makubwa sana jeshi la polisi hapa Tanzania. Public figure anashambuliwa kwa masasi zaidi ya 33 mchana kweupe alafu hakuna uchunguzi wala kufungua jalada! Kwa kauli yake mwenyewe mkuu wa nchi amekiri kuwa polisi wa Tanzania hawafanyi kazi kwa weledi. Hii ina maanisha kuwa...
 5. J

  Kwanini Tundu Lissu alikuwa anapata watu wengi kwenye mikutano yake ya kampeni hasa mikoani?

  Hili swali unaweza kulidharau lakini ni la msingi sana hasa kwa sisi wana CCM kindakindaki. Ni nini hasa kiliwavuta watu kwenye mikutano ya Tundu Lisu? Je, ni huruma sababu alipigwa risasi nyingi? Je, ni uwezo wake wa kutoa uongozi? Je, ni mapenzi ya wananchi kwa Chadema? Au ni watanzania...
 6. G

  Rais Samia, tunaomba uunde Tume ya kuchunguza vitendo vya kuteka, kuumiza na kupoteza watu

  Mh Rais, mama yetu mpendwa Samia damu ya mtu haipotei bure tunaomba uunde tume ichunguze whereabouts za madhila ya hawa watu Kiafrika na kimila itatufariji hata tukizika mifupa ya hawa watu unless tuambiwe Tanzania kulitokea aliens abductions na ufo kipindi cha mwendazake. Mama kilio cha...
 7. J

  Spika Ndugai anawatafuta Tundu Lissu na Zitto Kabwe Bungeni hawaoni, wapo akina Nusrat Hanje

  Ukimsikiliza sana Spika Ndugai anavyohuzunikia bunge lake ni kana kwamba anawatafuta wabunge wa " kujiripua" dhidi ya Serikali lakini hawaoni waliomo wote ni maajenti wa Serikali. Na itawezekana Ndugai ataweweseka zaidi kwa sababu akina Lembeli ambao walau waliisaidia CCM kuibana serikali...
 8. S

  Kuhusu dhuluma dhidi ya Tundu Lissu ni wakati muafaka sasa uchunguzi huru ufanyike

  Dear JF members , ni wakati sasa mh Rais aamuru uchunguzi huru ufanyike dhidi ya waliotaka kumuua Tundu Lissu. Kwa kufanya hivyo serikali hii itajitanabaisha kuwa ni ya kutenda haki ... nawasilisha
 9. kookolikoo

  Rais Samia: TAKUKURU wamefuta kesi za kubambikizia 147, Polisi na nyie jitazameni

  Hii ni baada ya kutakiwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kuondoa kesi za kubambika. ==== Rais Samia Suluhu: Kwenye suala la wingi wa mahabusu, labda niseme kwamba jana nikiapisha majaji nililigusia hili, uharakishwaji wa kesi na nimezitaka taasisi zote ikiwemo jeshi la polisi ambalo...
 10. THE BIG SHOW

  Je, tutakuwa tumechelewa mama tukiiomba serikali ya awamu ya sita ianzishe uchunguzi dhidi ya tukio la kushambuliwa kwa mh Tundu Lissu?

  Friends and Enemies, Niwasalim kwa Jina la JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA KAZ IENDELEE, Katika jambo ambalo kila nikikumbuka naishiwa kutokwa na machozi basi ni tukio la kinyama kabisa la kushambuliwa nusura auwawe Mh Tundu Lissu. Siyo speaker wa Bunge, siyo jeshi la polisi, siyo mahakama...
 11. S

  Tundu Lissu: Rais umekosea na umevunja sheria, Biswalo Mganga alistahili kufukuzwa kazi na si kupewa hadhi ya Jaji

  Ameandika hivi kupitia mtandao wa Twitter: Mh. Rais umekosea & umevunja sheria: DPP Biswalo Mganga alitesa watu wasio & hatia kwa mashtaka ya uongo ya uhujumu uchumi & utakatishaji fedha. Wengi wanaozea magerezani kwa sababu yake. Alistahili kufukuzwa kazi chini ya Sheria hii; sio kupewa hadhi...
 12. kavulata

  Rais Samia naomba umfariji Tundu Lissu

  Rais wetu mama, Tanzania ni ya watanzania wote, na kila RAIA ni muhimu sana kwa nchi yake. Watanzania hawana kwao kwingine ila Tanzania. Kilichompata Tundu Lissu ni vigumu kuamini kwamba yuko hai hadi Leo. Tundu Lisu amepata maumivu makubwa sana ya kimwili, kisaikolojia, kijamii na kiuchumi...
 13. The Palm Tree

  Tundu Lissu akiwa DPP mpya, unadhani nini kitatokea?

  Inaweza kuwa kama ndoto, lakini mambo haya hutokea. Hakuna aliyejua kuwa Mzee John P. Magufuli angekufa mwezi uliopita. Wengi walidhani na hata kuanza kufikiri kubadili katiba ya nchi ili imruhusu atawale milele. Yaani walidhaniaga ni kweli kabisa yeye ni JIWE na kwa hiyo haliwezi kufa kwa...
 14. Nyani Ngabu

  Tundu Lissu: Samia ni Malkia mwenye kauli tamu

  Hahahaa Tundu Lissu is on some shyt for real! Anywho, ana hoja za msingi sana kama ukimsikiliza kwa utulivu na kwa kutumia akili na si hisia. Intellect over emotions. Companero 😉😁
 15. S

  Rais Samia, amuru Tundu Lissu alipwe haki zake zote anazodai pamoja na hela ya matibabu

  Mama Samia, kama kweli umedhamiria kurudisha umoja wa kitaifa na kutibu majeraha yaliyotokana na uongozi uliopita, moja ya jambo linalostahili kufanyika ni kwa serikali yako kumlipa Tundu Lissu haki zake zote zikiwemo fedha za matibabu baada ya kushambuliwa kwa risasi. Japo mini si kiongozi...
 16. Roving Journalist

  Uchaguzi 2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yamtangaza Dkt. John Pombe Magufuli kuwa Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa awamu ya pili

  Tume ya Taifa ya Uchaguzi imemtangaza Dkt. John Magufuli, aliyekuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM kuwa mshindi wa Uchaguzi uliofanyika Oktoba 28. Pia imemtangaza Mama Samia Suluhu Hassan kuwa Makamu wa Rais Mteule. Dkt. Magufuli ameshinda kwa kupata kura...
 17. Erythrocyte

  Nyalandu amechanganyikiwa, Apuuzwe, hakuwahi kumshinda Tundu Lissu popote pale

  Kwanza Naomba radhi sana kuleta andiko hili hapa JF , mimi ni miongoni mwa watu waliosaidia Nyalandu kufika alipofika ndani ya Chadema (Sitafafanua ) , Nyalandu hakutakiwa kujibiwa na mimi , kwa sababu kwenye siasa za Upinzani ni mwepesi sana kwangu , mimi si Size yake hata chembe , bali...
 18. D

  Tundu lissu: asema kuna Ishara ya Umagufuli bila Magufuli mwenyewe

  Wakati akihojiwa na DW! Tundu lissu kasema! Hakuna ishara yoyote ya mabadiliko iliyopo katika utawala huu, zaidi anahofia kuna dalili za Umagufuli pasipo Magufuli mwenyewe!
 19. Komeo Lachuma

  Tofauti kubwa kati ya Mbowe na Tundu Lissu

  Freeman Mbowe Mbowe kwa upande wa akili. Hana. Ila anajitahidi wakati mwingine kuonesha ana busara. But angekuwa na akili na busara angekuwa mwanasiasa mzuri zaidi. Kuna kipindi sababu ya kukosa akili anakosea steps. Mfano: Suala la kusema alivamiwa akapigwa kuvunjwa mguu halikuwa na ukweli...
 20. N

  Johnthebaptist amevunjwa vunjwa miguu kama Tundu Lissu

  Huyu bwana hapa JF kwa sasa anatia huruma. Huyu ilikuwa humwambii kitu kuhusu Mwendazake> Pamoja na siasa nzuri za ufuatiliaji mambo ila huyu bwana alikuwa too biased kiasi kwamba kwa sasa ni kama anatia huruma. Kwa sasa anajaribu kuwa neutral ili kumsoma Mhe. Samia Suluhu Hassan kama...
Top Bottom