njombe

  1. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Njombe wapata hati miliki kupitia ardhi kliniki

    Wananchi wa Mkoani Njombe wamepata hati miliki za makazi kupitia Ardhi Kliniki, kwa kutumia mfumo wa kidigitali wa e-Ardhi ambapo zoezi hilo limefanyika Mtaa wa Idundilanga kwa ushirikiano wa Ofisi ya Ardhi Njombe, na Halmashauri ya Mji Njombe ikiwa na lengo la kuhakikisha wananchi wanapata...
  2. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya matumizi ya mfumo wa e-Ardhi mkoani Njombe yanaendelea kuonekana

    Matokeo ya matumizi ya mfumo wa e-Ardhi mkoani Njombe yanaendelea kuonekana, ambapo wananchi wanapata huduma za ardhi ikiwemo hati miliki kwa haraka, urahisi na ufanisi kupitia mfumo huo. Mafunzo na uhamasishaji wa matumizi ya e-Ardhi yaliyodumu kwa wiki moja yamefikia tamati leo, Septemba 21...
  3. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa sekta ya ardhi mkoa wa Njombe wameendelea na kazi kwa kutumia mfumo wa kidigiti wa e-Ardhi

    Wataalamu wa sekta ya ardhi mkoa wa Njombe wameendelea na kazi kwa kutumia mfumo wa kidigiti wa e-Ardhi mara baada ya kupatiwa mafunzo ya matumizi ya mfumo huo. Katika siku mbili za matumizi ya mfumo huo wa kidigiti jumla ya viwanja 87 vimepandishwa na kuidhinishwa tayari kwa kuandaliwa hati...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Njombe: Watoto 4 kati ya 10 hawafikii kiwango cha chini cha kusoma

    Makete. Takribani watoto wanne kati ya 10 wenye umri wa miaka 10 hadi 14 mkoani Njombe hawajafikia kiwango cha chini cha umahiri katika kusoma, huku watatu kati ya 10 wakikabiliwa na changamoto katika kuhesabu. Takwimu hizo zimeelezwa wakati wa kufungwa kwa mafunzo ya walimu na wawezeshaji wa...
  5. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Ukungu wawa tishio Njombe, TMA wawaonya madereva

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa ufafanuzi kuhusu hali ya mawingu na ukungu unaoambatana na manyunyu katika baadhi ya maeneo ya Mkoa wa Njombe.Imesema hali hiyo imepunguza uono na kusababisha baadhi ya madereva kuwasha taa za magari ili kuona mbele. Akizungumza na Mwananchi Digital...
  6. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania e-Ardhi kurahisisha huduma za Ardhi Njombe

    NJOMBE Mfumo wa kidijiti wa e-Ardhi unatarajiwa kuwa suluhisho la changamoto mbalimbali zinazowakabili wananchi katika upatikanaji huduma za ardhi, ikiwemo foleni, gharama na usumbufu wa kufuata huduma hizo katika ofisi za ardhi. Hayo yameelezwa na wataalamu wa ardhi mkoani Njombe waliopewa...
  7. online GOVT applications

    JamiiForums Tanzania NJOMBE: Amuua mumewe kwa kumpiga na chuma kichwani

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe linamshikilia Betrice Kalawa (45), mkazi wa Kijiji cha Malangali wilaya ya Wanging’ombe mkoani Njombe kwa tuhuma za kumuua mume wake, Peter Mbunduzi (55) kwa kumpiga na chuma kichwani. Hayo yameelezwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, Kamishna Msaidizi wa...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Maafisa Utumishi na Ofisi ya Masijala wa Halmashauri ya Mji Njombe waache kufanya kazi kwa mazoea

    Naomba kutoa changamoto kwa Maafisa Utumishi na Ofisi ya Masijala kuacha kufanya kazi kwa mazoea na kuhakikisha stahiki za watumishi zinashughulikiwa kwa wakati na kwa ufanisi. Mimi ni miongoni mwa watumishi wapya ambao hatujaridhishwa na majibu tunayopata kutoka kwa baadhi ya Maafisa Utumishi...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Halmashauri ya Makambako izibue mitaro ya maji machafu kabla mvua hazijaanza

    Halmashauri ya Mji wa Makambako Mkoani Njombe, hamuoni kuna haja ya kuzibua mitaro ya maji kabla ya kipindi cha mvua hakijafika? Huu ni mwaka wa pili sasa mfereji huu ukiwa umeziba bila kufanyiwa usafi/uzibuliwaji. Mfereji huu upo Mtaa wa Mjimwema, eneo la njia panda ya barabara inayoelekea...
  10. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Njombe: Edina amekutwa amefariki chumbani baada ya kupaliwa na chakula

    Edina Chaula (23), mkazi wa Mtaa wa Kihesa, Halmashauri ya Mji wa Njombe, amekutwa amefariki dunia ndani ya chumba chake baada ya kudaiwa kukosa hewa kutokana na kupaliwa na chakula. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, Kamishna Msaidizi Mahamoud Banga, amesema tukio hilo liligundulika Agosti 23...
  11. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Njombe man-eaters: Simba waliokula zaidi ya watu 1500 Kusini mwa Tanganyika 1932-1947

    Je umewahi kusikia historia kuhusu Njombe man-eaters? Neno "man-eaters" limetoka kwa Kiingereza na maana yake kuu ni wanyama wala watu, yaani mnyama ambaye amejifunza au kuzoea kuwinda na kula binadamu kama chakula chake. Moja ya visa vikubwa duniani vya wanyama kula watu ni kisa cha Man eaters...
  12. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Uwezo Tanzania yazindua Mradi wa Kijiji Changu awamu ya IV Njombe

    Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wadau wa elimu baada ya kuzindua Mradi wa Kijiji Changu (My Village) Agosti 11, 2026. NJOMBE, Agosti 11, 2026. Shirika la Uwezo Tanzania imezindua rasmi awamu ya nne ya Mradi wa Kijiji Changu (My Village)...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa kwenda Masasi, Njombe na Mbeya

    Wakuu Naomba kujuzwa usafiri mzuri kwa sasa (Luxury) kwenda Miji tajwa hapo juu kutoka Dar, hasa kwa basi kwenda zinazofanya safari za usiku. Asante
  14. Lambo jini

    JamiiForums Tanzania SINGLE LADY ULIEPO NJOMBE NJOO TUYAJENGE!

    SINGLE LADY ULIEPO NJOMBE NJOO TUYAJENGE
  15. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania RC Mtaka: Njombe mfanyabiashara ana mauzo ya 500ml kwa mwezi lakini anapanda daladala

    Mkuu wa Mkoa wa Njombe Anthony Mtaka amesema ni muhimu Wafanyabiashara kuwa na maisha yanayoendana na kipatao chao . Mtaka amesema hayo leo Julai 13, 2026 wakati akizungumza na Wakulima wa Parachichi watakaoenda nchini India kujifunza Soko la Parachichi India ambapo amesema wapo Wafanyabiashara...
  16. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Watoto chini ya miaka mitano na Wajawazito wamekuwa wakitozwa pesa katika Kituo cha Afya Mundindi

    Naomba kuwasilisha malalamiko kuhusu changamoto zinazowakabili wananchi wanapopata huduma za afya katika Kituo cha Afya Mundindi. Kuna madai kwamba watoto walio chini ya umri wa miaka mitano na wanawake wajawazito wamekuwa wakitozwa fedha za matibabu, licha ya utaratibu wa Serikali kutoa huduma...
  17. UTPC

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la Wanawake kujifungua kwa njia ya upasuaji ni fasheni, presha au sababu za kiafya?

    SAFARI ya uzazi, ambayo kwa familia nyingi hutarajiwa kuwa ya matumaini na furaha ya kumpokea mtoto imeanza kugubikwa na hofu, mashaka na maswali yasiyo na majibu katika baadhi ya hospitali nchini. Kwa baadhi ya wazazi, chumba cha kujifungulia kimegeuka kuwa eneo la shinikizo, maamuzi ya haraka...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Ruvuma kupaa: Ndege za ATCL kuongezwa, vyuo vikuu viwili kuanza Oktoba, mkandarasi barabara ya njombe kukabidhiwa mradi

    RUVUMA KUPAA: NDEGE ZA ATCL KUONGEZWA, VYUO VIKUU VIWILI KUANZA OKTOBA,MKANDARASI BARABARA YA NJOMBE KUKABIDHIWA MRADI Ongezeko kubwa la abiria wanaoingia na kutoka Songea mkoani Ruvuma sasa limeisukuma Serikali kuongeza safari za ndege za Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), hatua...
  19. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Nimefiwa na dada yangu Oliva 25 Jun 2026 tunasafirisha kwenda Njombe

    Nimefiwa na dada yangu 25 Jun 2026 dada yangu alikuwa mfanyabiashara wa mbao buguruni Jina lake Oliva kwa dhat nawashukuru wafanyabiashara wote wa mbao bugurun kwa upendo mmejitoa sana kufariji familia .Tunasafirisha kwenda Njombe ndio nyumban. Mtaalamu wa ujenzi wa nyumba za kisasa. Eng James...
  20. aBuwash

    JamiiForums Tanzania MSAADA BIASHARA YA CHIPS MKOA WA NJOMBE

    Habari za muda wana jf Katika harakat zangu za maisha nimejikuta tu nadondekea njombe. Nina wiki mpka sasa. Maisha yamenichapa balaa mfukoni Nina kama 1.5M nikawa nawaza biashara ya viazii kwa maana chips. Naomba wazoefu wa mkoa huu wanaujua vizurii wanielekezee hii biashara INALIPA kwa hapa. 2...
Back
Top Bottom