Mmoja wa magaidi wengine (Ahmed Yaqoub) aliyeangamizwa katika shambulio lile lile la anga huko Jenin leo.
Alikuwa njiani kuelekea kuwa kiongozi wa magaidi aliyefanikiwa kuwa toro ka Askari wa IDF Oct 07,2023 leo kajikuta yuko mikononi mwa majeshi ya ISRAEL na ameangamizwa bila huruma yoyote!!
Kama wewe ni mtumiaji wa ChatGPT Free, kuna habari kubwa inakuja! 🔥
Kuanzia wiki ijayo, OpenAI inatarajiwa kuondoa kikomo cha kawaida cha text chats kwa watumiaji wa Free kwenye GPT-5.6 Luna. 🤖🔥.
Yaani ile hali ya kuambiwa umefikia kikomo Cha kutuma message limit inaenda kufa na kubaki...
Jumla ya nchi 82 kati ya 125 wanachama wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) zilipiga kura muda mfupi uliopita kuunga mkono kuondolewa kwa Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Ubakaji, Karim Khan, ambaye alitoa hati za kimataifa za kukamatwa dhidi ya Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu na Waziri wa...
Hamas imetangaza rasmi kuchaguliwa kwa Khalil al-Hayya kama kiongozi mpya wa shirika hilo la kigaidi akimrithi marehemu Yahya Sinwar muasisi wa mauaji ya Oct 07,2023 huko Gaza na ambaye aliangamizwa na majeshi ya Israel.
Kwa TANGAZO hili Majeshi ya Israel sasa yanaanza kimbembe cha ku Sakwa na...
Huyu jamaa ameendelea kutoa hamasa ya vijana kujituma katika masomo.
Hatimae amekuwa Profesa wa uchumi katika chuo kikuu cha Dar es Salaam.
Pia soma Martin Chegere ni mmoja wa hazina ya vijana Tanzania
https://youtu.be/ZY0-McsJUgM?si=BKQSHy6agElfKKdu
Eti na mwisho wake uwe hivi👉🏻: Kwamba, Albert Bashite Malyangili a.k.a Paul Makonda ndiye achukue nafasi ya Dr Emmanuel Nchimbi - awe Makamu wa Rais🤔🤔
Acha ncheke 😁😁na kusikitika miye..
=======================
Ni patamu hasa. Ni mpambano mkali...
Niliandika thread hapa kushangaa kwa nini mtu kama Terence Crawford kuonesha mapenzi yake ya dhati kwa Tanzania kuitangaza kimataifa na kupost kila hatua anayopita kuonesha ni kwa namna gani Tanzania imebarikiwa lakini viongozi wa nchi walimkalia kimya kana kwamba ni mtu wa kawaida tu.
Kwa...
28 May 2026
CCM YACHUKIZWA NA UTEKAJI, YAUMIZWA NA YALIYOTOKEA OKTOBA 29, BALOZI DKT ROSE MIGIRO ATETA NA KIKEKE
https://m.youtube.com/watch?v=rqTKkT6dv7o
Baada ya kukaa kimya toka 2017 kuhusu utekaji, mauaji, kesi feki hadi Mei 2026 kufuatia muswaada wa vikwazo uliopendekezwa huko Marekani...
Wakuuu Kuna Mtu hapa wa chomboni Mstaafu wa juu ambaye bado Connection yake huko Usalama IPO intact kabisa, kanipenyezea Taarifa hapa kua KUMBE SERIKALI, MAHAKAMA ,NA VYOMBO VYA USALAMA TANZANIA, WAMETUMIWA ORODHA YA IDADI NA AKINA NANI AMBAO VIKWAZO VITAWAKUMBA.........Mwisho
Kwa sasa...
Hivi karibuni China imeandika historia mpya ya teknolojia duniani.
Kwa miaka mingi Marekani, South Korea na Taiwan zilikuwa The Big 3 Cartel walitawala GPU na memory chips. Wakiamua supply, wakipandisha bei, na dunia nzima ikalazimika kufuata.
Sasa China imevunja ukuta huo. Enzi ya kutegemea...
Arsenal imetwaa ubingwa wa Premier League 2025/26 baada ya Manchester City kulazimishwa sare ya Goli 1-1 kutoka kwa Bournemouth, matokeo hayo yanamaanisha hakuna timu itakayoweza kufikia alama za Arsenal na zote zikiwa zimesaliwa na mchezo mmoja.
Hadi sasa Arsenal ina pointi 82, Man City ni ya...
Nilishasema hapa kama Trump angejua ana dili na nani asingepoteza muda kuweka mikwara mingi pasipo suruhisho sasa akili imemkaa na ameamua kwenda china kupiga magoti na kumsihi china amshawishi Iran afungue Horms
Ngoja nicheke kwa chini chini kwi kwi kwi kwi kwi......
Ni, Ubia wa PPP wa Dola Milioni 116: Vituo vya Ukaguzi wa Vyombo vya Moto Kujengwa Mikoa 26
===
Dar es Salaam – Tanzania imepiga hatua kubwa katika kuvutia mitaji binafsi kupitia ubia wa sekta ya umma na sekta binafsi (PPP), baada ya kusainiwa mkataba wa thamani ya Dola za Marekani milioni 116...
Wakuu nipeni hio hela nisolve changamoto niliyonayo 2.8m ( milioni 2 na laki 8 tu)
Pikipiki Imetembea jumla ya km 367 tu number FRN... imetoka jana na kadi yake ipo full
Leteni hio pesa
Inafaa Kwa bodaboda, matumizi binafsi, kumpa mtu Kwa ajili ya mkataba n.k
Ipo mbeya-Mbarali
Phone 0789088982
Neema alikuwa amechoka.
Miezi mitatu ya research, na bado literature review ilikuwa "rough draft." Supervisor alimwambia mara nyingine tena: "Rudi uiandike title upya." Alianza kujiuliza: "Mimi ni mjinga? Au kuna kitu sijui?"
Hakuwa mjinga. Alikuwa anafanya kazi ngumu kwa njia ya zamani.
Siku...
Habari hii inahusu tukio la hivi karibuni mnamo Aprili 2026 nchini India, ambapo mwanaume mmoja anayejulikana kama Jitu Munda alilazimika kuchukua hatua kali ili kupata haki yake kutoka kwa benki.
Munda alikuwa akijaribu kutoa fedha kutoka kwenye akaunti ya marehemu dada yake aliyefariki...
Milipuko kadhaa imeripotiwa kutokea katika Kisiwa cha Kharg nchini Iran, kwa mujibu wa shirika la habari la nusu rasmi la Mehr.
Kisiwa cha Kharg, kilichopo kwenye pwani ya magharibi ya Iran katika Ghuba ya Uajemi, ni kituo muhimu sana cha usafirishaji wa mafuta ya nchi hiyo, kikichakata sehemu...
Baada ya kusikiliza vilio vya wengi, Beforward wamewawekea Tesla Cybertruck kwenye website yao, ivyo Mtanzania anaweza kununua direct kutoka kwenye simu yake.
Hadi leo, April 2, zipo mbili tu kwenye website, zote used na zikiwa na bei zaidi ya $110,000 CIF.
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa late 30’s, mkristo kwa imani. ambaye kwa sasa nina mtoto mmoja, yupo shule na nakuwa nae kipindi cha likizo. Kiufupi naishi nae. Nafanya kazi katika sekta binafsi lakini pia nafanya na sekta ya umma kwa vipindi tofauti tofauti.
Kiufupi mimi si mrefu wala si mfupi...
Nchi za Mashariki ya Kati na Ghuba, pamoja na Marekani, zimeiomba Ukraine iwauzie vifaa vya kuzuia ndege zisizo na rubani ili kukabiliana na ndege zisizo na rubani za "Shahed" za Iran. Lakini Kiev bado haijakubaliana na mauzo hayo. lakini kwa nini?
"Mahitaji ya ndege zisizo na rubani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.