Habari kuna mfanyakazi mmoja wa Mwalimu Nyerere Memorial Academy yupo department ya Examination ana majibu ya dharau sana hasa kwa watu wanaoenda hapo wakiwa na uhitaji mbalimbali.
Tulienda kufuata vyeti vyetu lakini alikuwa busy na kuchezea simu tukijaribu kumuuliza anakuwa mkali na hii si...
Anonymous
Thread
academy
dharau
mfanyakazi
mwalimu
mwalimu nyerere
nyerere
sana
Kati ya Igunga na Tanga, ni eneo lipi linafaa zaidi kwa mfanyakazi kuishi kwa muda mrefu?
Tafadhali linganisha maeneo haya ukizingatia vigezo vifuatavyo:
Maisha nje ya kazi (quality of life).
Fursa za shughuli za kiuchumi na biashara.
Utulivu na usalama wa mazingira.
Upatikanaji wa huduma za...
Katika pita pita zangu mtandaoni, nikakutana na kijana anatafuta kazi.
Nikamfanyia usaili kwa njia ya mawasiliano, ikaonekana nikimpachika sehemu fulani itakuwa si mbaya, ili yeye apate nami pia nipate.
Baada ya maongezi mengi, nikamshauri aende akaripoti kituo cha kazi ambacho kipo mkoa...
Wanandoa wa couple mbili tofauti nchini Malaysia, katika jimbo la Johor, wamekamatwa kwa tuhuma za kumshambulia kimwili mfanyakazi wa ndani kutoka Indonesia.
Inadaiwa kuwa mwathiriwa alirekodi tukio hilo kwa siri mwaka uliopita, na baadaye video za unyanyasaji huo zilisambaa kwenye mitandao ya...
Wakuu habari za mchana na wasalimu kijana wenu.
Sasa twende kwenye mkasa nimeshuhudia watu walio kuwa na mahusiano kazini kwa takribani mwaka na nusu hivi.
Picha lina anza walipo anza ugomvi sisi kama wana taasisi tunajulishwa ni kama vile swala la familia lina hamia kazini basi valuvalu...
Kuna kijana Ana degree ya mechanical engineering yupo tu nyumbani. Wa kiume, miaka 23. Kazi yoyote atafanya Imuingizie Kakipato kadogo akachukue vyeti vyake na kupata na mtaji pia.
Umri miaka 23, yupo Dar. Kimara. Ni mwaminifu sana na anajituma. Kama unaweza msaidia Karibu na Asante!
Pongezi sana ndugu Ngassa Benard Mahangila kwa kuchaguliwa kuwa mfanyakazi hodari katika halmashauri ya mji wa bunda kwa kuchaguliwa kuwa mfanyakazi hodari ndani ya halmashauri. Nafikiri pongezi hizi zinastahili kabisa na hazina walakini.
Kusimamia mradi wa ujenzi wa shule ya sekondari Nyasura...
PPPC Yamtunuku Mwanaid Araba Tuzo ya Mfanyakazi Hodari 2025|2026
==
Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC) kimempongeza Mwanaid Araba, Afisa Mwandamizi Msimamizi wa Fedha, kwa kuchaguliwa kuwa Mfanyakazi Hodari wa mwaka 2025|2026.
Menejimenti na watumishi wa kituo hicho...
Narudia kuwaonya kama rafiki yenu, ndugu wa karibu.. usije kurogwa kukopa huo mkopo wao kama utakuwa na shida sana na ikakulazimu kukopa mara 100 bora uuze hata kitanda chako au godoro..
Huu mkopo ujue kwamba riba yake inaongezeka kila siku.. unaweza kukopa laki mbili ukikaa mwezi mzima...
Hii kanda ina watu wa ajabu sana sijui hawana utu au kukosa elimu na maarifa au nini aisee nachoka mimi yaani kama unataka kufilisika au biashara yako kwenda na maji basi ajiri mtu kutoka shinyanga, Mwanza, Geita au simiyu aisee najuta kwanza wao kukuibia ni suala la kawaida tu kwao au kukuroga...
Habari wakuu.
Utaratibu rasmi wa kukokotoa mshahara kwa siku ni upi? Kuna mvutano umetokea sehemu na jibu likakosekana.
Kwenye sheria za kazi kuna kifungu kinachozjngumzia idadi ya siku ambazo mfanyakazi anapaswa kufanya kazi kwa mwezi?
Kwa wafanyabiashara ambao hamjui vile mnaibiwa na wafanyakazi hata kama mmefunga camera.
Iko hivi, mteja akifika dukani atachagua vitu anataka, wakati wa kufanya malipo mfanyakazi asiyekuwa mwaminifu atamwambia gharama yake halisi mfano 200K kisha atamwambia anaweza kulipia 20K na risiti...
Hey kipanga wenu hapa huku yues nimefanikiwa kuwa mfanyakazi bora kwenye kampuni yetu nimefanikiwa kuchukua Tuzo ya all year performance trophy winner niliokuwa nashinda nao nimewagaragaza kupita kiasi na wenyewe mwishoni wali surrender wenyewe wakaishia njiani na wakakiri mimi bora tena ni bora...
Awe msichana
Ujuzi wa kutumia mitandao ya kijamii kwa ajili ya kuitangaza biashara
Atapewa smartphone
Mwezi mmoja kwa ajili ya kujifunza, atapewa nauli na pesa ya kula tu kwa siku. Mwezi unaifuata ndo ataanza kulipwa
Biashara ipo Nyasaka
Jinsia: Kike
Uzoefu: Mwaka 1
Vigezo: 1.Awe anajua kutumia computer na kutumia application zote muhimu za Microsoft Office kwa ajili ya huduma za Stationery
2. Kufanya application zote muhimu katika tovuti za serikali na zinginezo
4. Awe anajua kutumia mashine na vifaa vya stationery
3. Awe...
Kijana wa kike/kiume Umri kuanzia Miaka 20 na Kuendelea.
Uwe na elimu walau Form 4 na Kuendelea
Ujue Kusoma na Kuandika na Kuhesabu (hesabu za Jumlisha na Kutoa zipande haswa)
Muda wa Kuingia kazini : 12:50 asubuhi,means saa 1 kamili igonge upo kazini)
Muda wa Kutoka kazini : 3:50...
Habari wakuu,
Nahitaji mfanyakazi wa ndani.
Sehemu ya kazi; Bunju A - Dar es Salaam
Mwenye kuweza kuniunganisha au kunipatia, nitashukuru sana.
Number ya mawasiliano - 0767836872.
Asante.
Anahitajika mfanyakazi mdada wa duka la viatu , duka lipo mwananyamala , Awe anauwezo wa kutumia mitandao kujitangaza na pia awe mchangamfu . Mshahara kuanzia 150K . SMS /whatsapp 0754200363
Esther Maria Njeri aliyepotea mwaka 2012 akiwa mfanyakazi wa ndani Saudi Arabia amegundulika kuwa mfungwa katika gereza la Almaz baada ya Mkenya mwenzake aliyeachiliwa kutoka gereza hilo kuwaambia ndugu zake waliokuwa wakimtafuta kwa miaka 12 kwamba walikuwa wote gerezani huku Esther akiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.