kesi

 1. Roving Journalist

  Muswada marekebisho Sheria-2020: Je, unajua watu hawataweza kudai haki kwa niaba ya Wanyonge? Viongozi wa juu Serikalini hawatashtakiwa moja kwa moja?

  Asasi za Kiraia 220 zimefanya uchambuzi wa muswada huo wa sheria na kuwasilisha mapendekezo ya mabadiliko ya muswada huo kwa Kamati ya Bunge ya Katiba na Sheria. Taasisi hizo zimeeleza kuwa japo kuwa zinafahamu muswada huo una lengo wa kusasisha Sheria iliyopo sana huku ikibaki kuendana na...
 2. Roving Journalist

  Mabadiliko ya Sheria: Rais, Makamu wake, Jaji Mkuu, Waziri Mkuu na Spika wa Bunge kutofunguliwa kesi Mahakamani

  MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) kwa kushirikiana na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) wamepinga muswada wa sheria wa marekebiaho ya sheria mbalimbali nchini namba 3 wa mwaka 2020. THRDC na LHRC wametoa tamko la kupinga muswada huo leo Alhamisi tarehe 4 Juni 2020 mbele...
 3. R

  Tanzania hatuna majaji wenye Intellect ya ku-handle kesi za Kikatiba

  Nilisema hakuna jaji wa ku-handle kesi ya Spika et al. Hakuna mwenye intellect wa ku-handle kesi kama hiyo! Kulita alikuwa juzi Magistrate courts anatoa hukumu za hovyo, leo unampa kesi inayohitaji high power mental reasoning faculties, hawezi hata kidogo! Angalia wenzao Kenya, level of...
 4. ngoshwe

  Mahakama Kuu Dar, imetupilia mbali kesi ya Kikatiba iliyofunguliwa dhidi ya Spika Ndugai kwa kumtambua Mwambe kama Mbunge baada ya Kujiuzulu

  Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetoa uamuzi na kutupilia mbali shauri la Kikatiba Na. 10 la mwaka 2020 lililofulinguliwa na Wakili wa Kujitegemea Revocatus Paul Kaunda kupinga Kauli ya Mhe. Spika aliyoitoa Bungeni kumtambua Mhe. Cecil Mwambe kuendelea kuwa Mbunge. Mahakama Kuu kupitia...
 5. Roving Journalist

  Kesi dhidi ya Spika Job Ndugai na Cecil Mwambe kutajwa kesho. Ni ile ya kuomba tafsiri ya Mahakama baada ya Mwambe kurudishwa Bungeni

  Kesi iliyofunguliwa na shirika la Civic and Legal Aid Organization (CILAO) kuomba tafsiri ya Mahakama Kuu kufuatia kitendo cha Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kumrejesha Bungeni Ndg. Cecil Mwambe itatajwa kesho tarehe 03 Juni 2020 sa 03:00 asubuhi mbele ya Jaji Maige, Jaji...
 6. Kitaturu

  Elections 2020 Ni nini mwelekeo na nafasi ya Tundu Lissu kisheria kugombea nafasi yoyote ya uongozi hususani Ubunge na Urais katika uchaguzi mkuu mwaka - 2020?

  Ukiniuliza swali hili; Je, ungependa Tundu A. M. Lissu awe mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA katika uchaguzi mkuu wa 2020? Hakika jibu langu haraka haraka na pasipo kupepesa macho huku nikitabasamu, ningekujibu tu....YES, HUYU NDIYE...!! Huyu ndiye si kwa sababu kina Zitto Z.R. Kabwe...
 7. FRANC THE GREAT

  Marekani: Afisa wa polisi aliyefutwa kazi Derek Chauvin ashitakiwa kwa mauaji ya George Floyd. Mkewe ataka talaka

  Afisa wa polisi aliyefutwa kazi Minneapolis Derek Chauvin amekamatwa na kufunguliwa mashitaka ya mauaji juu ya kifo cha George Floyd, mwendesha mashitaka wa kaunti ya Hennepin Mike Freeman alisema. Afisa huyo wa zamani alionekana katika video akiikandamiza kwa goti lake shingo ya Floyd kwa...
 8. Q

  Spika Ndugai na Mwambe wapewa wito wa Mahakama, kesi kuanza Juni 3

  Kesi namba 12/2020 inayomkabili Spika wa Bunge, Job Ndugai imepangwa kuanza kusikilizwa Katika Mahakama Kuu ya Tanzania masijala ya Dar es salaam mnamo Juni 3 mwaka huu kuanzia saa tatu asubuhi hadi saa Saba. Kesi hiyo ambayo imefunguliwa na Taasisi ya Haki za Kiraia na msaada wa...
 9. Analogia Malenga

  Mahakama yamtia hatiani Zitto Kabwe katika kesi yake ya Uchochezi. Atakiwa kutotoa matamshi ya Uchochezi kwa mwaka 1. Asema kukata Rufaa

  Leo ikiwa ni siku ya Hukumu ya Mbunge wa Kigoma Mjini, Waandishi wenye Press Cards wamekataliwa kuingia kusikiliza hukumu ya Zitto kwa maelezo kwamba si waandishi wa Mahakama. UPDATE Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Ndugu Zitto ameachiwa huru kwa sharti kwamba asitoe matamshi ya uchochezi...
 10. GENTAMYCINE

  Jaji aondolewa katika Kesi ya ' Ubakaji ' baada ya Kumuuliza ' Mbakwaji ' kama alisikia Utamu Kunoga na Kubana Miguu yake wakati akiingiliwa!

  Katika Kuonyesha kuwa Mahakama za Wenzetu hasa huko Marekani ( Mamtoni ) na Ulaya ( Majuu ) kuwa linapokuja Suala la Maadili kwa Watendaji wake pindi wawapo Kazini hawana Mzaha ( Masihara ) kabisa ni kwamba Jaji Mmoja aliyekuwa akisikiliza Kesi ya ' Ubakaji ' kwa Mwanamke Mmoja amejikuta...
 11. Mtini

  Huyu mupe huyu munyime: Kesi ya Kangi Lugola imefikia wapi, mbona bado anadunda mitaani?

  Huu upendeleo unaoendelea nchini si mzuri unakusanya hasira ndani yetu mdogo mdogo. Huyu upelelezi ulishakamilika kwa mujibu wa Takukuru ila kwanini bado anadunda mtaani huku wengine wanasota rumande japo upelelezi haujakamilika.
 12. Mtini

  Ushauri wa bure utakaokusaidia: Ukiona watu wanapigana mtaani pita kando, kushangaa shangaa unaweza kubambikiwa kesi ya mauaji

  Nina mifano mitatu ya kweli kabisa: 1. Nimewahi kuingia gerezani kwa usiku mmoja, huko nilikutana na mtu mmoja aliyepewa kesi ya mauaji kwa sababu hii. Alikuwa anapita njia akakuta jamaa kadhaa wanampiga mtu, akabaki hapo kama mshangaaji. Siku kadhaa zikapita aliyepigwa akafariki, polisi...
 13. beth

  Kesi ya Felicien Kabuga anayetuhumiwa kufadhili mauaji ya kimbari ya Rwanda (1994) kusikilizwa Arusha, Tanzania

  Kesi ya Felicien Kabuga ambaye anashtakiwa kwa mauaji ya kimbari yaliyotokea Rwanda mwaka 1994 inatarajiwa kusikilizwa hapa nchini Mwendesha Mashtaka Mkuu wa MICT, Serge Brammertz amesema kesi hiyo inatarajiwa kusikilizwa jijini Arusha, mahali ambapo Mtuhumiwa huyo alishtakiwa kwa makosa saba...
 14. J

  Rais Magufuli: Hali kwa sasa ipo vizuri na Corona inapungua. Wanafunzi wa Form VI na Vyuo vyote kufunguliwa 01 Juni 2020

  Karibu Wageni wameshawasili katika sherehe hii ambayo wateule kadhaa wataapishwa akiwemo Naibu waziri wa afya, Katibu tawala mkoa wa Pwani Mkurugenzi wa Takukuru na mabalozi. Rais Magufuli ameshaingia ukumbini tayari kuanza kuwaapisha wateule wake. ===== Baadhi ya mambo yaliyozungumzwa...
 15. miss zomboko

  Spika Ndugai afunguliwa kesi ya kikatiba kwa kumtambua Mwambe kuwa Mbunge halali licha ya kujivua uanachama Chadema

  WAKILI wa Mahakama Kuu ya Tanzania amefungua kesi ya kikatiba dhidi ya Spika wa Bunge Job Ndugai (MB) na aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Ndanda kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Cecil Mwambe, na Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Katika kesi hiyo ya kikatiba namba 10 ya mwaka...
 16. technically

  Ni nani alisajili "KESI INVESTMENT" Nchini Rwanda?

  Kampuni hii inaonekana kusajiliwa nchini Rwanda, Mara tu baada ya utawala wa awamu ya 5 kuingia madarakani mwaka 2016. Inatuhumiwa kukwapua pesa za umma zaidi ya bilion 400. Je, kuna mambo tunafichwa juu ya kampuni hii ya usafirishaji wa mizigo? Je, kwanini imesajiliwa Rwanda na imekwapua...
 17. Mzukulu

  Je, ni Kauli ipi kati ya hizi zifuatazo ukiwa unamwambia Mtawala Mzukulu Mitandaoni atakuelewa na hatofikiria Kukudhuru au hata Kukubambikia Kesi?

  Kauli #1. " Huyu Mtawala Mzukulu anatuongoza vyema na kiukweli anajitahidi sana ila kwa upande mwingine nae angalau awe anajaribu kupokea Mawazo ya Watanzania wenzake wote na siyo awe anayaamini tu Mawazo ya Chama cha Tawala cha MCC " Kauli #2. " Huyu Mtawala Mzukulu ni Mpumbavu kuwahi...
 18. The Genius

  Nadharia 4 kuhusu kisa cha Mdude na dawa za kulevya

  Wiki jana ndugu Mpaluka Saidi Nyagali maarufu kama ‘Mdude Chadema’ alikamatwa na jeshi la polisi mkoani Mbeya bila kuwekwa wazi sababu za kukamatwa kwake. Hakupandishwa mahakamani kwa karibu juma zima, na baada ya shinikizo kutoka sehemu mbalimbali polisi wamempeleka mahakamani na kumshtaki kwa...
 19. miss zomboko

  Spika Ndugai: CHADEMA wajiandae kulipa gharama za kesi ya Tundu Lissu kuvuliwa Ubunge

  SPIKA wa Bunge, Job Ndugai, amekitaka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kujiandaa kulipa gharama za kesi iliyofunguliwa na Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu. Amesema amepewa nakala ya hukumu kutoka Mahakama Kuu iliyotupilia mbali rufaa yake namba 42 ya mwaka 2019...
 20. Libya

  Mwita Waitara: Apigilia msumari umeya Ubungo, asema Boniface Jacob siyo Meya tena

  Sent using Jamii Forums mobile app Naibu Waziri wa TAMISEMI, Mwita Waitara amesema kwa mujibu wa Barua iliyodaiwa kuwa ni ya Chadema iliyoandikwa kwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo na kueleza kuwa chama hicho kimemfuta uanachama Boniface Jacob, tayari amepoteza sifa za kuwa Diwani na Meya...
Top Bottom