kupigwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msichana Apoteza Mguu Baada ya Kudaiwa Kupigwa na Mwalimu Ruai

    Msichana mmoja anadaiwa kupoteza mguu baada ya kudaiwa kupigwa na mwalimu katika shule ya msingi ya umma eneo la Ruai, Nairobi, takribani miaka minne iliyopita. Kwa mujibu wa ripoti za vyombo vya habari, jeraha lake lilizidi kuwa baya licha ya kupata matibabu, na hatimaye madaktari wakaamua...
  2. B

    JamiiForums Tanzania [KERO/DOKEZO]: HUJUMA YA TIKETI ZA SGR: MTANDAO UNAONYESHA "SEATS FULL" WAKATI MABEHEWA YAPO WAZI, NANI ANANUFAIKA NA MKAKATI HUU? Chaguo

    Habari wakuu wa jukwaa hili la JamiiForums. Ni miezi kadhaa sasa tangu mradi wetu wa kimkakati wa Treni ya Kisasa (SGR) uanze kutoa huduma kati ya Dar es Salaam, Morogoro, na Dodoma. Wakati Watanzania wengi wakifurahia reli hii mpya, kuna changamoto kubwa sana inayoumiza kichwa na inayozua...
  3. USSR

    JamiiForums Tanzania Picha saneta kali Kareni Nyamu azua Gumzo nchini kenya baada ya kupigwa picha akinyonya kidole gumba ndani ya bunge ,je kunyonya gumba ni ishara mpw

    Wakenya wamechukizwa wakisema alikuwa anaangalia video za ngono na kuwa na hamu ya mdushelele Wamemtaka kuolewa sasa maana yeye ni kiongozi na analipwa pesa kutumika sio kuwaza ngono muda wote inadaiwa hana mme . Je kunyonya dole gumbe kule chini panakuwa pamelowa USSR
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tulia Ackson Mwansasu: Baada ya kupigwa chini Uspika, apigwa chini tena Urais wa Mabunge Duniani

    N:B: Urais wa mabunge ni 1 term Mambo yameenda mrama! Baada ya kupigwa chini kwenye kiti cha Uspika wa Bunge la Tanzania, Dr. Tulia Ackson hakuwa na budi kuachia ngazi kwenye kiti cha Urais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU). Kwenye uchaguzi uliofanyika Arusha leo tarehe 9 Oktoba 2026, Milton...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Impliedly; RPC Arusha anamaanisha wanaostahili kupigwa ni migambo sio askari wa Polisi

    Kwa tafsiri hii ni kuwa Migambo ndio wanastahili kichapo👇
  6. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Is he in the "House Arrest?". Haiingii akilini, kaachia ngazi mwenyewe kwa hiari lakini bado kafuatiliwa kwa nyuma na kupigwa panga la uanachama!

    Huyu mwanamke ni hatari aisee.. Kakataa katakata kushindwa kirahisi rahisi na asiye upande wake... Je, inaandaliwa kesi ya uhaini dhidi yake...? Inasemekana alikuwa na mipango ya kumpindua boss wake kwa namna yeyote.. Rejea makutano yake na TEC mara kwa mara. Then na safari zake za nje ya...
  7. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kagera: Familia yadai kijana wao kupigwa na Polisi, na kulazwa Bugando hospital Mwanza

    Familia ya Frank Stanley, mkazi wa Rwamishenye Manispaa ya Bukoba, mkoani Kagera, imelalamikia tukio la mwanao kudaiwa kupigwa akiwa mikononi mwa Polisi na kulazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Bugando jijini Mwanza. Familia hiyo inasema ilipata wakati mgumu kumpata kijana wao tangu...
  8. Yoda

    JamiiForums Tanzania Ni kweli wanaume wote wanapenda kupigwa mnyonyo?

  9. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Mchezaji auwa kwa kupigwa na majambazi

    Nahodha wa klabu ya SC Villa ya Uganda, David Owori, amefariki dunia baada ya kushambuliwa na watu wanaodaiwa kuwa majambazi karibu na nyumbani kwake. Taarifa za kifo cha Owori, zimethibitishwa na klabu hiyo, kupitia ukurasa wake wa X, Agosti 5, 2026. Kulingana na taarifa hizo, Owori alikuwa...
  10. technically

    JamiiForums Tanzania Wanawake kwa hizi akili, Mna haki ya kupigwa matukio

    Ebu isikilize hii Ng'ombe 😀😀😀
  11. Inside10

    JamiiForums Tanzania Adhana Kupigwa Marufuku Denmark

    Serikali ya Denmark imefungua upya ukaguzi wa pendekezo la sheria inayohusu wito wa kupiga marufuku 'Adhana' kusikika tena nchini humo, Waziri wa Uhamiaji Morten Bødskov alithibitisha kuwa serikali itaanza tena uchunguzi wa iwapo katazo la nchi nzima la kutangaza mwito wa Kiislamu wa sala...
  12. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Miaka 13 Adai Kupigwa Kikatili na Mwajiri Wake Kariakoo

    Mtoto anayefahamika kwa jina la Nikson (13), ambaye alikuwa akifanya kazi katika eneo la Kariakoo jijini Dar es Salaam, ameripotiwa kupata majeraha makubwa baada ya kile kinachodaiwa kuwa kipigo kutoka kwa mwajiri wake. Kwa mujibu wa taarifa zilizopatikana, mtoto huyo alikuwa akiomba arejeshwe...
  13. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Nawashangaa sana wale wanaosheherekea vikwazo! Si watu wema kwa taifa letu ni wa kupigwa mawe!

    Ukiona mtu anafurahia nchi kuwekwa vikwazo ana changamoto ya afya ya akili. Niliwahi kufika Zimbabwe 🇿🇼. Wamewekewa vikwazo zaidi ya miaka 20 sasa. Familia za viongozi wa Serikali, upinzani na Zanu Pf wanatibiwa Singapore 🇸🇬. Vituo vya mafuta vya ZUVA nchi nzima ni Mali ya Rais Mnangagwa...
  14. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Mali za Hanspope kupigwa mnada kufidia deni la TCB

    Arusha. Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imetupilia mbali maombi yaliyowasilishwa na wasimamizi wa mirathi ya marehemu mfanyabiashara Zacharia Hans Poppe, pamoja na kampuni ya ZH Poppe Limited. Wasimamizi hao walikuwa wakiomba zuio la muda dhidi ya Benki ya Biashara Tanzania (TCB)...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Ni uzembe au kutapatapa kama siyo kutengwa ziara ya Samia Urusi kupigwa mabomu na Ukraine?

    Akiwa nchini Urusi kwa ziada ya kikazi, rais Samia alijikuta katika mtanange ambapo mji wa St Peterburg ulishambuliwa na drone za Ukraine. Kwa kiongozi wa nchi, hii inaleta picha gani? Mbali na hilo, alivyokuwa akihangaika kusoma wakati akitoa salamu za kawaida ambazo hazikuhitaji maandishi...
  16. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Neno moja kwa huyu kijana shupavu ambae amewatia moyo Gen Z kuwa sio wahuni wala majambazi wanaostahili kupigwa na kutekwa

    Kijana shujaa wa Chadema ya Lissu👇
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Newala Vijijini kuna dalili ya kupigwa kwa hela za kujikimu za Watumishi wapya

    Halmashauri ya Wilaya ya Newala Vijijini kuna dalili ya kupigwa kwa hela za kujikimu za Watumishi wapya, muongozo wa TAMISEMI unaeleza kuwa inatakiwa tulipwe Siku 14 ila Newala wamelipa siku 7 na hakuna maelezo yoyote. TAMISEMI waje hadharani watoe maelezo kuhusu utaratibu huo na kinachoendelea.
  18. Webabu

    JamiiForums Tanzania Marekani kushindwa vita kulianza kwa meli zake zilizoingia vitani kwa kishindo kupigwa,ikafuatia kudondoshwa kwa ndege ya F 35 na kupigwa Dimona

    Ile meli ya kubeba ndege ya Abraham Lincolin imekuwa haitajwi muda mrefu japo Marekani imekanusha kuzamishwa kwake. Kwa meli kubwa kuliko zote ya Gerald Ford wamekubali kuwa moto mkubwa ulizuka na ikabidi kuiondosha kwenye uwanja wa vita siku chache kiwanda cha kusafishia mafuta cha Haifa...
  19. tpaul

    JamiiForums Tanzania Patrice Motsepe kupigwa chini CAF kwa sababu ya kujihusisha na ufisadi

    Ni suala la muda tu. Rais wa CAF bilionea Patrice Motsepe yupo kikaangoni baada ya kuhusishwa na ufisadi wa kutisha ndani ya CAF. Wafuatiliaji wa kiintelejensia waliotega mitambo yao ndani ya shirikisho hilo wamegundua ufisadi wa kutisha unaomhusisha Motsepe moja kwa moja, akishirikiana na ofisa...
  20. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Taliban yaruhusu wanawake kupigwa ila wasivunjwe mifupa au kupata majeraha

    Kiongozi mkuu wa Taliban, Hibatullah Akhundzada amesaini sheria mpya ya adhabu nchini Afghanistan ambayo inaruhusu wanaume kuwapiga wake na watoto wao, isipo kuwa vipigo hivyo havisababishi kuvunjika kwa mifupa kwenye miili yao. Aidha mazingira ya kisheria kwa wanawake yamezidi kuwa magumu...
Back
Top Bottom