mtoto wa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Jela maisha kwa kumlawiti mtoto wa kike miaka mitano huko Moshi na wengine watano wakila miaka 30 jela akiwamo wa dawa za kulevya

    Jeshi la polisi mkoani Kilimanjaro limeendelea kutekeleza majukumu yake ya kikatiba katika jukumu zima la kuimarisha ulinzi na usalama wa Mali na maisha ya watanzania Katika kipindi cha Septemba 2026 hadi Oktoba 14, 2026,jeshi hilo la polisi mkoani kilimanjaro liliwakamata na kuwafikisha...
  2. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Mtoto alieuwawa KIFO cha kutisha Mbagala, aliyehusika ni baba wa mtoto (ex wa mama mtoto)

    Huyo jamaa inasemekana alikua baba wa kambo wa mtoto. Waliachana na mama wa mtoto lakini alipo taka kurudisha majeshi kwa mamtu, akachomolewa, Yaniama wa mtoto alimkaataa jamaa wasirudiane. Jamaa akaona isiwe kesi akaenda kwa bibi wa mtoto ambae ndie aliekua anamlea chalinze. Alimchukua...
  3. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Unajiitaje mtoto wa mjini (born town ) na huna mganga wa uhakika au huwajui waganga?

    Mtoto yeyote yule wa mjini hakai kindezi , lazima awe mtu wa kuchungulia huku na huku kuangalia michongo yake . Pia huwezi jua siku wala saa siku utakayoingia wavuni mfano kupata kesi kubwa na hujui namna ya kuipangua maana si kila kesi utaweza kutumia pesa kuizima, kesi zingine zinahitaji...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Je inaweza kuwa sahihi kumsomesha au kumsadia mtoto wa single mother

    Katika ujana wangu huu ulio mwishoni very soon naenda hit 40, kwenye kupita huku na kule na nikiwa na uhitaji mkubwa wa kupata mtoto wangu wa tatu nilijikuta nimezaa na single mother flani mwanamke wa maana sana na kanizalia mtoto wa kiume. Basi nimekuwa namhudumia yeye na mtoto wangu,miaka...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nimeota Kiongozi au mtoto wa kiongozi Fulani kupata ajali ya ndege

    Hii ndoto imekuwa ikinijia sana mara nyingi kuwa kiongozi au familia ya kiongozi fulani ikiwa imepata ajali.
  6. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Sijui kwanini ila mara nyingi mtoto wa tatu na wanne mara nyingi sio damu yako.

    Nachojiuliza ni namna gani wanawake wame master sanaa ya kuzaa na bwana akalea kama watoto wa kiuno chake.
  7. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Ndugu yangu, mtoto wa mama mkubwa alichizi kisa mapenzi

    Kila nikimfikiriaa si mmalizi, huyu kaka, alikua na demu na wakazaa mtoto, baada ya demu kuondoka ghafla jamaa hakukubaliana na Hilo jambo akabaki kua mtu wa mawazo hali iliyo mpelekea kuchizi, AKITAKA mkewe arudi, yani Kuna muda anacheka Cheka, au anaweza kuongea mambo yasiyo eleeweka, akidai...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa kiume anakojoa damu umri maiaka10

    Habar wakuu nakijana wangu umri miaka 10, Leo jioni alivotoka shule kanipa taarifa akiwa shule alienda kukojoa zikawa zinatoka damu akawa kajifunga kitambaa kwa muda wote akiwa shule leo,bahat mbaya hakumwambia hata mwalimu wake wa darasa,karudi nyumbani jioni akanambia hali aliokua nayo Bas...
  9. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Nampenda lakini ananiweka kwenye u ‘friend zone’

    Ni kitoto cha 2000 nimekuwa nikikipea kila kitu nimetupa sana hela zangu ila amekuwa akiniweka kwenye ufriend zone siku hizi dah nashindwa nifanyaje anko wenu na mtoto nampenda kinoma yaani kwangu kila kitu hakosi kama ni hela natoa namgharamia kodi dah! Au kanasa kwa wototo wa mjini
  10. Muha wa kweli

    JamiiForums Tanzania Sitokaa nitongoze mtoto wa mtu! Hili lililo Nikuta limenifunza kitu MJINI hapa

    Niaje wakuu? Nimekaa hapa nikiwa nimeshika simu yangu mkononi, huku nikitazama screen na kushusha pumzi ndefu. Kila nikikumbuka ujumbe wa makato ya miamala na madeni niliyoyaingiza wiki chache zilizopita, nasikia maumivu mapya kabisa moyoni. Siyo kwamba nina matatizo ya kiuchumi ya kuzaliwa...
  11. chumanile

    JamiiForums Tanzania Tuambie majina yako ya utani tukujue wewe ni wa kishua au mtoto wa kitaa

    Members. KILA MTU ana maisha Fulani ivi ameyaishi. Katika ukuaji wake. Tukiwa bado wadogo tuna jishepu kutokana na maisha HALISI ya kwenu na wazazi wetu. Mimi binafsi nimeisha maisha ambayo ata ukiniambia niyarudie sito kubali. Nimeisha katika MAZINGIRA magumu mno, KIASI Cha kujitegemea nikiwa...
  12. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya matukio 40 ya mtoto wa Diamond na Zuchu

    Fahamu matukio mbalimbali yaliyojiri
  13. D

    JamiiForums Tanzania 40 ya Sandra - Mtoto wa Diamond (Kuna Wanaume Soda zao hazina Gesi)

    Nipo Kiwanja kimoja hapa mtaani naona wamesema Wasafi TV wanashuhudia tukio la 40 ya Sandrah mtoto wa Diamond Kuna jambo nimekuona siyo la kawaida, jukwaani yupo Mzee Yusuph na Zuchu wanaimba Taarab kwa kupokezana lakini wachezaji wa hiyo Taarabu ni midumw yenye ndevu zao, napata mashaka Sana...
  14. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Zuchu na Diamond Platinumz atangazwa kuwa balozi wa GSM

    Mtoto wa wasanii nguli wa muziki nchini, Diamond Platnumz na Zuchu, ametangazwa rasmi kuwa balozi mpya wa kampuni ya GSM. Chapa ya GSM Beverages, imetangaza kumpa ubalozi mtoto wa Zuchu na Diamond Platnumz, Sandrah katika sherehe ya mtoto huyo.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Uwepo wa baba humwekea mtoto wa kiume mipaka katika maamuzi mengi. Baba akiondoka, wengi huonyesha rangi halisi, huamua bila kusita wala kujificha.

    familia nyingi, baba huonekana kama mtu anayesimamia nidhamu, mwelekeo na usalama wa familia. Hata pale ambapo hatumii nguvu wala maneno mengi, uwepo wake pekee unaweza kuwa ujumbe kwamba kuna mipaka ambayo haipaswi kuvukwa. Kwa mtoto wa kiume, jambo hili linaweza kuwa muhimu zaidi anapokua na...
  16. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Africa tuna viongozi wa ajabu sana. Malawi wamempeleka mtoto wa waziri kushiriki shindano la Miss World, badala ya mshindi halisi wa taji hilo

    Malawi sent the minister’s daughter to Miss World. Not Miss Malawi. Thandi Chisi won Miss Malawi in December. That’s the title. The trip should have been hers. It wasn’t. Organisers sent Ireen Navicha first runner-up, daughter of Gender Minister Mary Navicha. Miss World listed her as Malawi’s...
  17. mirindimo

    JamiiForums Tanzania MTOTO WA RAIS SAMIA AKIWA KWENYE BIASHARA YAKE YA MATAIRI NA RAIS WA UGANDA

  18. Waterloo

    JamiiForums Tanzania Rais Museveni hii leo akutana na Ujumbe wa Abdul Hafidh mtoto wa Samia ikulu ya Entembe. Hivi huyu dogo ana cheo Gani serikalini?

    Kuna maswali yanakuja kichwani kwangu bila majibu. Rais wa Uganda anampokea kwa itifiki ipi je ni ya kiserikali au huyo bwanamdogo ni mfanyabishara au mwanasiasa au balozi wa hii Serikali? Mwenye ufahamu tafadhali maana nachanganyikiwa.
  19. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Kama msichana primary anajua matusi ya nguoni unategemea aolewe na atulie kweli?

    Toka nitembelee na kuishi mikoa ya mwambao wa bahari hasa pwani, lindi na Dar.. Nimekutana na tabia mbaya sana kwa kweli, na hili hata sio la kuwalaumu watoto. Ndugu zangu sijui kwanini hata sijawahi kuona watu wanalizungumzia hili swala, sijui ndo kwa sababu sisi watz we don't care ama nini...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Rais Samia, Abdul Hafidh Ameir na Ujumbe wake afika Ikulu ya Entebbe kujadili sekta binafsi zinavyoweza kunufaisha Tanzania na Uganda

    Mtoto wa Rais Samia, Abdul Hafidh Ameir na Ujumbe wake akaribishwa Ikulu ya Entebbe kujadili sekta binafsi zinzvyoweza kunufaisha nchi hizi Mbili
Back
Top Bottom