Heshima sana wanajamvi.
Tanzania ni kati ya nchi kubwa Barani Afrika.Ukubwa wa Tanzania ni 947,303 Sq Km.
Ukizichukua Kenya,Uganda,Rwanda & Butundi kwa pamoja bado hazijafikia ukubwa wa Tanzania.
CDM pamoja na kuwa na muundo mzuri wa kiuongozi yaani Kanda,Mkoa,Wilaya na Kata bado inategemea...
Mwenyekiti wetu wa Vijana kanda ya Victoria, Fred Masele anashikiliwa na jeshi la Polisi kwa tuhuma za Uchochezi, tumekwenda kumwona Polisi Central Kirumba.
Tumefika majira ya saa Kumi na mbili na nusu tukiwa na mama na baba yake mzazi Mzee Masele, Mkurugenzi wa mafunzo na Uenezi Stephen Odipo...
Jeshi la Polisi Wilaya ya Ulanga limeendelea kuimarisha uhusiano na ushirikiano kati yake na wananchi kupitia programu ya “ONGEA NA KAMANDA”, iliyotekelezwa katika Kata ya Ketaketa na Kijiji cha Ketaketa, Wilaya ya Ulanga, Mkoa wa Morogoro.
Programu hiyo imelenga kuwapa wananchi fursa ya...
Nakatiza hapa Upanga Dar es salaam nakutana na wanajeshi wanafanya mazoezi ya gwaride na Brass band pia.
Kuna maandalizi ya tukio lolote au ni majukumu ya kijeshi tu?
Ndugu wanajamii,
Napenda kutoa malalamiko yangu kwa umma kuhusu mkasa ulionikuta usiku wa kuamkia jana. Nyumbani kwangu nilivamiwa na kuibiwa (TVS) yangu
. Baada ya tukio hilo, nilifanya jambo la busara na la kiraia — nilikwenda kituo cha polisi kupeleka taarifa rasmi. Mwizi nimemjua, na...
1. JESHI NA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA
Njia mojawapo ya kawaida ya mapinduzi ya serikali ni jeshi kuingilia siasa na kuiondoa serikali iliyopo madarakani kwa kutumia nguvu. Kwa mfano walichofanya kina Ibrahim Traore wa Burukina Faso.
Hata hivyo, katika muktadha wa Tanzania, Baada ya...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza kuwa Mahakama Kuu ya Tanzania, inatarajiwa kutoa hukumu katika Kesi ya Kikatiba inayohusu haki ya mawakili kukutana kwa faragha na mteja wao, Tundu Antipas Lissu, akiwa gerezani bila kusikilizwa au kuingiliwa na maafisa wa magereza.
Kwa...
Jeshi la IDF lilichapisha data kuhusu kumbukumbu ya miaka 3 tangu mauaji ya Oktoba 7.
● Wanajeshi 970 wameanguka katika hali ya uendeshaji vitani tangu Oktoba 7, 2023.
● 70% ya wanajeshi waliojeruhiwa vitani wamerejea kazini.
● Jeshi la IDF limeshambulia takriban malengo 100,000 katika...
Mchungaji Peter Msigwa amesema mfumo wa vyama vingi unahitaji kuwepo kwa uhuru wa mawazo na nafasi ya wananchi kuikosoa serikali bila kuhusishwa na usaliti au mapinduzi. Akizungumza katika Mkutano, Msigwa amedai kuwa kuna viongozi wanaona kuikosoa CCM ni sawa na kukosa uzalendo, huku akisema...
Sehemu napokaa kuna mtu kanunua nyumba ya kawaida ila cha ajbau ameanza kuongeza gorofa kwenye nyumba ambayo haina msingi wa gorofa anajenga na hakuna anayemhoji kajiamulia binafsi hili ni moja ya jambo linanikera sana nikiona watu wameweka lenta ya gorofa na sasa wanakoroga zege waendelee...
Lt. Herbert Matanda Mabonga, anasema alihudumu katika Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Uganda (UPDF) kama afisa wa ujasusi na baadaye aliliacha jeshi. Katika video/tamko refu lililotolewa Septemba 30, alidai kuwa vyombo vya usalama viliendesha vituo visivyo rasmi vya kuwashikilia watu...
Msemaji wa Jeshi la Burundi, Brig. Gen. Gaspard Baratuza amekanusha taarifa kwamba wanajeshi wa Tanzania waliingia Burundi wakiwa wamevalia sare za kijeshi za Burundi ili kusaidia katika mapigano nchini DRC.
Amesema eti Jeshi la Burundi lipo nchini DRC kihalali, hivyo hakuna sababu ya kuwaficha...
Kuna kauli imetoka kwa kigogo wa ccm akisema vyombo vyote vya ulinzi na usalama ni CCM na JWTZ ikatajwa.
Yamepita masaa 24 hadi sasa hakuna tamko kutoka kwa jeshi la Wananchi JWTZ kukanusha hilo.
Au msemaji nae yupo na Mkuu wa Majeshi Nje ya Nchi?
Au hicho cheo cha usemaji hua ni kwa ajili ya...
UFUNUO.
Inaweza isiwe taharuki kubwa ila pindi uonapo hari ya dharura kama vile ving'ora na convoy yake basi ewe mtumiaji wa barabara kuwa makini.
Dharula hiyo inaweza ikawa ni ya muhimu na heshima sana, kiasi kwamba shughuli nyingine zisionekane kuwa na maana, siku hiyo ikifika.
Hiyo convoy...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma limetoa taarifa kwa umma kufafanua utata wa kutoweka kwa Mohamed Bakari (28), mkazi wa Mbwanga Wilaya ya Dodoma mjini, ambaye aliripotiwa kupotea katika mazingira ya kutatanisha mnamo Septemba 17, 2026, na kuzua hofu ya kutekwa.
Uchunguzi wa awali wa Jeshi la...
Kama mnataka kuamsha hisia za wananchi upya kwa ufisadi wenu wa kihistoria basi endeleeni kuhangaika na Heche.
Mnatoa wapi nguvu ya kuongelea bank statement ya Heche yenye vihela vya kubadili mboga alafu mna-ignore Bank Statement ya Wambura ya deposit ya 1B na Bank statement ya mtoto wa mshauri...
bank
crdb
gharama
heche
igp
jeshijeshi la polisi
jeshi la polisi tanzania
kufuru
kuhusu
mange
mange kimambi
meza
mkuu
mkuu wa
polisi
polisi tanzania
sawa
sio
statement
tanzania
vinywaji
wambura
Na Mwandishi Maalum
Kuna tofauti kubwa kati ya maandamano ya kiraia na hali ambayo harakati za kiraia zinaanza kuunganishwa na uasi wa kijeshi, jaribio la kuangusha Serikali kwa nguvu na mapambano yanayosababisha vifo vya mamia ya watu.
Hilo ndilo jambo linalonifanya niulize swali hili kuhusu...
Wameamua kuzalisha sare zao wenyewe kutoka kwenye pamba wanayolima wenyewe. Wanatarajia kuzalisha sare za majeshi na nguo za kiraia. Sasa hivi tutaona wanauza nje sare za kijeshi.
Wanapunguza import na kuongeza ajira nchini mwao. Kila la kheri kwao.
LEO KATIKA KUMBUKUMBU
📌 17 Septemba 2024 — Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Polisi
Tarehe 17 Septemba 2024, Rais Samia Suluhu Hassan akiwa Amiri Jeshi Mkuu, alihudhuria na kuongoza hafla ya kuhitimisha maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Polisi Tanzania, yaliyofanyika Shule ya Polisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.