• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

makamu

 1. J

  Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar balozi Idd Seif yuko kwenye karantini ya Corona

  Balozi Seif Idd anasema baada ya kutoka Cuba ameamua kujiweka katika karantini ya siku 14 nyumbani kwake. Source ITV habari!
 2. MAHANJU

  Kilio changu kikufikie Makamu wa Rais Samia Suluhu

  Mh Makamu wa Rais pole sana na majukumu.Mimi ni mwananchi w Kijiji cha mpugizi, kata ya Mwaru, Wilaya ya Ikungi mkoa wa Singida.Kwanza tunakushukuru sana mama yetu kwa ulipoamua kuja ziarani mkoa wa Singida mwaka jana. Wewe binafsi ulitiahidi wananchi wa Kijiji cha Mpugizi kua utatusaidia...
 3. mwanamwana

  Dar: Polisi wadai Mzee Philip Mangula amekutwa na sumu mwilini, ni baada ya kufanyiwa uchunguzi

  Jeshi la polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, ikishirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na Taasisi mbalimbali imebaini kwamba ndani ya mwili wa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Mzee Mangula kulipatikana na sumu,uchunguzi kuhusu tuhuma ya sumu hiyo ilivyoingia mwilini upelelezi bado unaendelea...
 4. F

  Makamu Mwenyekiti CCM bara, Philip Mangula ziarani Iramba- Singida

  Habari wadau wa JF. Wilayani Iramba mkoa wa Singida mambo ni Moto. Shamrashamra zimetawala ktk mji wa Kiomboi ambao ni makao Makuu ya Wilaya kufuatia ziara ya makamu mwenyekiti wa CCM bara, Ndugu Philip Mangula. Mzee huyu asiyekuwa na makuu hivi sasa anazungumza na wanachama ktk ukumbi wa...
 5. B

  Makamu wa Rais, Mama Samia: Wapinzani wana hoja nzuri, zisizojibiwa na Mawaziri

  February 17, 2020 FULL HISTORIA YA MAMA SAMIA Mama Samia anakubali hoja nzito za wapinzani, nilikataa pendekezo la kuwa Makamu wa Rais Makamu wa Rais wa serikali ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Hassan Suluhu asema kilichomsukuma kuingia katika siasa ni maoni na hoja za mashiko za wapinzani...
 6. Synthesizer

  CCM semeni ukweli: Kinana na Makamba wameipuuza Kamati ya Maadili Dodoma wakaenda kuonana na Makamu Mwenyekiti na Katibu Mkuu wa CCM hapa Dar

  Kuna mambo kadhaa ambayo CCM wanataka kutuchanganya hapa. Lakini kama usemi unavyoenda - you can fool some people sometimes but not all the people all the time. Je, Kinana na Makamba wameonana na Kamati ya Maadili ya CCM au wamekutana na Makamu Mwenyekiti na Katibu Mkuu wa CCM? Tunaelewa...
 7. B

  Makamu Mkuu wa Chuo, UDOM: Mgaya alishilikiwa kwa makosa ya kimtandao na siyo suala la maji. Aachiwa kwa dhamana

  Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Profesa Faustine Bee, amesema mwanafunzi Masumbuko Mgaya alishikiliwa na Jeshi la Polisi kwa makosa 3 ya matumizi ya mtandao na hakuna kosa linalohusiana na suala la upatikanaji wa maji chuoni hapo. Profesa Bee, ametoa ufafanuzi huo kwa kusema...
 8. J

  Je, kiitifaki Waziri mkuu wa Tanzania ni mkuu kuliko Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar?

  Nauliza kwa wale watu wanaoelewa vizuri mambo ya itifaki. Katika sherehe za mapinduzi Zanzibar, Waziri mkuu mh Majaliwa aliingia uwanjani baada ya makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar mh Idd Seif kuwa ameshaingia na wakati wa kuondoka alianza waziri mkuu kabla ya balozi Seif. Karibu kwa...
 9. S

  Marekani yazuia mali za Makamu wa Kwanza wa Rais wa Sudani Taban Deng Ga

  Serikali ya Washington imeamua kumuadhibu Makamu wa Kwanza wa Rais, Taban Deng Gai. Marekani inaendelea kuiwekea shinikizo Juba wakati mchakato wa amani unaendelea kucheleweshwa. Serikali ya Umoja imepangwa kuundwa hadi mwezi Februari. Wizara ya Fedha imeamua kuzuia mali za Taban Deng Gai...
 10. J

  Mdhamini: Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA,Tundu Lissu amepona ila anaogopa kurudi nchini kwa kuhofia maisha yake

  Mahakama ya Kisutu imesisitiza kuwa inamtaka Mahakamani aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki,Tundu Lissu anayekabiliwa na kesi ya uchochezi. Hata hivyo, Lissu ameieleza Mahakama kupitia Mdhamini wake Ibrahim Ahmed kuwa anahitaji kurejea ila bado anahofia usalama wake, kesi imeahirishwa hadi...
 11. Influenza

  Mary Mubaiwa, mke wa makamu wa rais wa Zimbabwe ashtakiwa kwa kujaribu kumuua mumewe

  Mke wa makamu wa rais wa Zimbabwe ameshtakiwa na jaribio la kutaka kumuua mumewe. Mary Mubaiwa ambaye tayari anashutumiwa kwa madai ya ufisadi, aliwasilishwa mbele ya mahakama moja ya Harare siku ya Jumatatu . Amekana mashtaka yote. Waendesha mashtaka wanasema kwamba alijaribu kumuua...
 12. J

  Tetesi: Mbowe kustaafu Uenyekiti Chadema Desemba 2020 na kumwachia kijiti makamu wake Tundu Lissu

  Hizi ni habari njema kwa wapenda demokrasia, wapenda mabadiliko na wapenda maendeleo wote kwamba mh Mbowe endapo atachaguliwa tena kuwa Mwenyekiti basi atakaa madarakani kwa mwaka mmoja tu kisha atajiuzulu na kumuachia uongozi Tundu Antipas Lissu. Mtoa habari wangu ambaye sitamtaja kwa sasa...
 13. DAT BOY SU

  Freeman Mbowe arejesha fomu ya kuwania uenyekiti akimtaka Tundu Lissu kuwania Makamu Mwenyekiti CHADEMA

  Leo huko jijini Arusha Mwenyekiti aliyemaliza muda wake Mh. Freeman Mbowe amerejesha fomu ya kugombea uenyekiti wa chama hicho kikuu cha upinzani CHADEMA. Mh Mbowe amerejesha fomu hiyo aliyochangiwa na kuchukuliwa na vijana wa chama chake yenye thamani ya 1 million kwa Katibu wa chama hicho...
 14. J

  Makamu mwenyekiti wa chama cha upinzani hana madaraka wala majukumu yoyote kama aliyonayo yule wa CCM

  Nimejaribu kupitia katiba za Cuf, Nccr, Chadema, TLP na ACT wazalendo nikitaka kuona madaraka aliyonayo Makamu Mwenyekiti wa chama, kiukweli hana majukumu yoyote. Ni kama vile nafasi hii iliwekwa ili kuimarisha muungano japokuwa vyama karibia vyote vya upinzani havilizingatii hilo. Chadema kwa...
 15. M

  Tundu Lissu achukua fomu kugombea Makamu Mwenyekiti CHADEMA Taifa

  WanaJF Habari za hivi Punde ni kwamba Jabali la kisiasa Tanzania na Afrika Tundu Antipas Lissu amechukua fomu ya kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti Taifa na tayari amekwisha jaza fomu na kuzirejesha. Akihutubia mkutano mkuu wa Kanda ya Kaskazini hivi Punde,Mwenyekiti wa chama Taifa Freeman...
 16. S

  Nigeria: Mvutano kati ya Rais na Makamu wake wakwamisha shughuli za kiserikali

  Imeripotiwa kuwepo mvutano wa kimadaraka kati ya Rais Muhammadu Buhari na Makamu wa Rais, ambapo licha ya Rais kwenda Uingereza kwa ziara binafsi ya siku 15, hajakabidhi madaraka kwa msaidizi wake, hivyo kulazimu nyaraka zinazohitaji saini yake kupelekwa Uingereza. Chanzo: Swahili times
 17. GENTAMYCINE

  Wana Yanga SC wenzangu hivi tunamuelewa vyema makamu mwenyekiti wetu kwa hizi kauli zake za kushangaza na kushtua?

  Anaseme kwamba.... " Pyramids FC ni timu ya kawaida sana, haina hadhi kwa Yanga SC wala uwezo wowote wa Kuifunga Yanga SC na ni moja ya Timu nyepesi kuliko Timu zote ambazo Yanga SC imewahi Kukutana nazo tokea ianzishwe ". Na sijui kwanini anapenda mno Kuirudia hii Kauli kila anapokuwa...
 18. figganigga

  Makamu wa Rais, Samia Suluhu anatarajiwa kumuwakilisha Rais Magufuli katika Mkutano wa 58 wa AALCO

  Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kumuwakilisha Rais Magufuli kuwa mgeni rasmi katika Mkutano wa 58 wa mwaka wa Shirika la Mashauriano ya Kisheria kwa Nchi za Asia na Afrika (AALCO) utakao anza Jumatatu Oktoba 21 hadi 25 jijini Dar es Salaam.
 19. M

  Kuwekeza katika viwanda ni kumuenzi Baba wa taifa-Samia

  Makamu wa Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa watanzania kumuenzi Baba wa Taifa Hayati Mwl. Julius Nyerere kwa kuwekeza katika viwanda kuwezesha taifa kurudi katika uchumi wa kutegemea uzalishaji unaotokana na bidhaa za viwandani. Samia ametoa ushauri huo katika uzinduzi wa wiki...
Top