Kwa mujibu wa TMZ, mwanamuziki mkongwe wa Marekani, Lionel Richie (77), amelazwa ICU huko St. Louis, Missouri, baada ya kufanya tamasha Agosti 29 katika Ukumbi Wa The Muny.
Richie alipelekwa hospitalini kwa ajili ya vipimo, huku madaktari wakichunguza uwezekano wa upungufu wa maji mwilini...