njama

Solanum scabrum, also known as garden huckleberry, is an annual or perennial. The origin of the species is uncertain, although Linnaeus attributed it to Africa, but it also occurs in North America, and is naturalized in many countries. In Africa it is cultivated as a leaf vegetable and for dye from the berries.

View More On Wikipedia.org
  1. figganigga

    Marekani wapo sahihi. Ushahidi wangu kuhusu njama za kuangamiza Wakristo na kufuta Kanisa Nchini Tanzania

    Salaam Wakuu, Kabla ya Yote naomba niwakumbushe, asilimia 98 ya Watu wanaopotezwa, Kutekwa na kuuawa Nchi Tanzania ni Wakristo. Hivyo nakubaliana na hatua zozote Marekani itachukua dhidi ya Tanzania. Hizi takwimu ni mbali na mauaji Ya makusudi ya Watoto wetu ya 29.10.2025. Watu wenye bunduki...
  2. Erythrocyte

    Fid Q kala njama?

    Kwanini amuulize Makonda kuhusu waliotekwa badala ya Waziri wa mambo ya ndani? Picha lishaungua.
  3. Zack Abdul

    Warioba, Chadema na Njama za Oktoba 29

    Mzee Joseph Warioba,Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ananikumbusha "story" ya Waziri Mkuu wa zamani wa Nchi ya Burundi,Mh. Generali Alain Bunyoni ambaye alishiriki kuunda na kutekeleza njama za kutaka kumpindua Rais wa sasa wa Nchi ya Burundi,Mh Evarist Ndayshimiye. Haya...
  4. R

    Madagascar: Watu 13 kizuizini kwa njama za kutaka kumuua Rais Michael Randrianirina.

    Madagascar imewashtaki washukiwa 13, akiwemo jenerali mmoja, kwa tuhuma za kupanga njama ya kumuua kiongozi wa mpito Michael Randrianirina, huku nchi hiyo ikiendelea kukumbwa na hali ya mvutano wa kisiasa kufuatia maandamano ya mwaka jana. Mwendesha mashtaka wa serikali, Narindra Navalona...
  5. O

    PostGE2025 Njama za kuficha uhalifu wa Serikali: Imefungua kesi za mchongo za uhaini dhidi ya Wananchi kwa mauaji ilioyapanga.

    Wakuu, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeshiriki moja kwa moja katika mauaji ya halaiki ya Watanganyika zaidi ya 2,000, yaliyotekelezwa kupitia vyombo vya ulinzi na usalama, pamoja na askari wa kukodi (mercenaries) waliotoka Uganda na Zanzibar, katika kipindi cha uchaguzi mkuu...
  6. E

    Hakimu ana njama na Serikali kwenye kesi ya Lissu?

    Ni mjinga au anataka kutufanya wafuatiliaji wa Kesi kua Wajinga? Ndilo swali nimejiuliza kwa siku kama tano zilizopita. Inawezekanaje kila Tundu Lissu anapotoa hoja zenye mashiko hatoi maamuzi palepale mpaka akaelekezwe, kwanini hajiamini? Amepewa au kuahidiwa nini? Nasasa alitueleza kua...
  7. Waufukweni

    GE2025 Polisi: Tumewakamata Watu 10 Kibaha wakiwa wanaandaa njama za Uhalifu

    Jeshi la Polisi Tanzania lipo kwa mujibu wa sheria mama yaani Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ibara ya 147. Moja ya majukumu yake kwa mujibu wa sheria mbalimbali ikiwemo Sheria ya Polisi na Polisi Wasaidizi sura ya 322 kifungu cha 5 (1) ni Kulinda maisha ya watu na mali zao pamoja na...
  8. M

    Tetesi: Njama ovu kwenye uchaguzi mkuu 2025

    Wanajamvi Huku kwetu Mtaa wa Kigezi Kata ya Buyuni Maeneo ya Chanika jijini Dar es Salaam kuna fomu za kuanzisha vikundi vya Kijamii vinavyoratibiwa na baadhi ya Wana-CCM . Kwa aliyetoa maelezo anasema kuanzishwe vikundi vya kijamii ambapo kila mkaazi wa eneo hili anatakiwa kujiunga kwa kujaza...
  9. MKIAU

    Charles Mhando Njama: Safari ya Mwanamapinduzi Aliyetwaa Tiketi ya Ubunge wa Korogwe Mjini 2025 kupitia CCM

    Korogwe Mjini, 4 Agosti 2025 Katika siku iliyojaa hamasa, matumaini, na shangwe, jina la Charles Mhando Njama limeandikwa upya kwenye historia ya siasa ya Korogwe Mjini. Wajumbe wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamempatia ushindi wa kishindo katika kura za maoni akiwaacha mbali sana wapinzani...
  10. Mfilisti

    GE2025 Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemteua CPA Charles Mhando Njama Kaimu Meneja Mkuu wa Barrick Tanzania, kuwa mmoja wa wagombea wa nafasi ya Ubunge Korogwe

    Jina: Charles Mhando Njama Cheo: Kaimu Meneja Mkuu – Barrick Tanzania Utaaluma: CPA (NBAA), MBA – Mzumbe University Chama: Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo: Korogwe Mjini Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemteua rasmi CPA Charles Mhando Njama, Kaimu Meneja Mkuu wa Barrick Tanzania, kuwa mmoja wa...
  11. M

    Masettler wa Kiyahudi waendelea na njama zao za kuwafukuza Wakiristo katika nchi takatifu

    Masettler wa Kiyahudi huko West bank wameendelea na harrassment yao kwa Wakiristo waishio huko. Lengo ni kuwafrustrate Wakiristo hao ili waondoke katika ardhi hizo. Mashambulizi ya Masettler wa Kiyahudi hivi karibuni ni kushambulia kanisa kongwe la St George lililojengwa maeneo hayo toka karne...
  12. Damaso

    Meyer Lansky: Jasusi na Kamaria Mtata katika Njama za kumuua Fidel Castro

    Katika historia ya ujasusi wa kimataifa, kuna sura ambazo hazikuwahi kuvalia sare za kijeshi wala kuwa na vitambulisho rasmi, lakini walikuwa silaha kubwa katika operesheni za kificho. Mmoja wao ni Meyer Lansky, kamaria mmoja hatari na mfanyabiashara wa kamari haramu, mafia hatari, na kiungo...
  13. Damaso

    Black Panther: Filamu kama njama ya kufuta historia halisi ya harakati za Black Power

    Ni mwaka wa 2018, ulimwengu ulizizima kwa uzinduzi wa filamu ya Black Panther, kazi ya Marvel Studios iliyoongozwa na Ryan Coogler. Kwa wengi, ilionekana kama ushindi wa uwakilishi wa Waafrika na Wamarekani Weusi kwenye sanaa ya Hollywood. Watu walifurika sana kwenye kumbi za cinema kutazama...
  14. Damaso

    Operation Paperclip: Njama ya Kijasusi Ilivyoijenga Marekani Kisayansi na Kiteknolojia

    Baada ya Vita Kuu ya Pili ya Dunia, dunia ilibadilika kabisa. Mataifa yaligawanyika kati ya mabepari na wakomunisti, na vita vya silaha vikabadilika kuwa vita vya maarifa na teknolojia. Marekani, kwa utimamu ya hali ya juu, ilianzisha mpango wa siri kabisa ulioitwa Operation Paperclip. Huu...
  15. The Zanzibar Echo

    Kremlin haioni dalili ya kusitisha vita kidiplomasiaSaumu Njama

    Kremlin ilisema haioni njia ya haraka na ya kidiplomasia ya kumaliza vita dhidi ya Ukraine, saa chache baada ya kuzindua mashambulizi makubwa zaidi ya ndege zisizo na rubani na makombora.SiasaUkraine Kremlin haioni dalili ya kusitisha vita kidiplomasia Saumu Njama Kremlin ilisema haioni njia...
  16. L

    Mwenye ushahidi wa njama za kumuwekea sumu Lissu auweke hadharani na siyo kuichafua Serikali yetu kipindi hiki cha Kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Ndugu zangu Watanzania, Ni lazima tufahamu kama Taifa tuna maadui ambao kila siku wanawaza na kufikiria namna ya kuichafua Nchi na Taifa letu kimataifa,namna ya kuharibu taswira nzuri ya Taifa letu,namna ya kuvuruga amani na utulivu wa Taifa letu,namna ya kuharibu umoja wa kitaifa,namna ya...
  17. The Zanzibar Echo

    Museveni awania muhula wa saba madarakani Saumu Njama

    Rais wa Uganda Yoweri Museveni ameomba tena uteuzi wa kugombea muhula wa saba, hatua inayomuelekeza kwenye miaka 50 ya utawala. Museveni, mwenye umri wa miaka 80, amepuuza wito wa kustaafu huku wakosoaji wake wakionya kwamba amegeuka kuwa mtawala wa kiimla, kwa kuwa hana upinzani wa maana hata...
  18. Subira the princess

    Siri imefichuka CCM walipanga njama kuifuta CHADEMA ili watengeneze katiba ya kifalme kama ile 1977

    Wasalaam. Tuanaelekea kwenye uchaguzi mkuu October japo wengine wamepigwa bann. Lakini ccm kwenye ilani yao wameweka ajenda ya katiba mpya, hapa ina maana watapitisha kile kinachowapendeza maana litakua bunge la cha kimoja. Wote ni mashuhuda tumeshuhudia bunge hili likiipongeza serikali kwa...
  19. toriyama

    Tetesi: Siku sio nyingi Askofu Gwajima atatangazwa kuwa ni MHAINI, Anatishia Usalama wa Rais Samia, Kupanga Njama Ovu!

    Katika ulimwengu wa siasa za Tanzania, jina la Askofu Josephat Gwajima, Mbunge wa Kawe na mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, limekuwa likizua mjadala mkali. Hivi karibuni, uvumi umeenea kwamba “muda sio mrefu” Gwajima atatangazwa kuwa mhaini anayetishia usalama wa Rais Samia Suluhu Hassan...
  20. K

    Njama za kijasusi za kizalendo zinaendelea!

    Kwa mtindo huu wa Polisi na usalama kuiba chaguzi maana yake nguvu yote ya demokrasia serikali imehamishia polisi na usalama. Sasa sehemu pekee ambayo polisi na usalama wanaitafuta imebaki ni kuwa na nguvu ya kutangaza tu. Polisi na usalama wakipata nguvu ya kutangaza matokeo na tayari ndiyo...
Back
Top Bottom