hakimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. George Charles007

    Nini kitatokea iwapo uko mbele ya hakimu aliyekushuhudia ukivunja sheria, ila ushahidi aliyoletewa kwa ajili ya kukuhukumu unaonesha hauna hatia?

    Mfano hakimu kakushuhudia ukiiba, alafu hakimu huyo huyo ndiye anayekuhukumu akapelekewa ushahidi unaosema huku husika na tukio hilo. Nini kitatokea wana JF?
  2. Poppy Hatonn

    Jeshi la Polisi Arusha lamkata hakimu ambaye inadaiwa amemlawiti mwendesha boda boda

    Muktasari: Jeshi la Polisi Wilaya ya Ngorongoro linamshikilia Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo Loliondo, Mkoa wa Arusha kwa tuhuma za za kumlawiti kijana mwenye umri wa miaka 29. Arusha. Linaweza kuwa ni moja ya matukio ya nadra kutokea nchini, baada ya Jeshi la Polisi kumtia mbaroni hakimu wa...
  3. MK254

    Jaji Julia Sebutinde aliyesimamia kesi ya Afrika Kusini Vs Israel, ateuliwa kuwa Naibu Rais wa ICJ

    Wema hulipa. Kasimamia ukweli na kugoma kutetereshwa na hisia za kinafiki, na sasa huyo kateuliwa naibu rais. --- What you need to know: Before joining the ICJ, Sebutinde was a judge at the Special Court for Sierra Leone from 2005 to 2011. Sebutinde's election comes days after her ruling on...
  4. BARD AI

    Loliondo: Hakimu akamatwa kwa kumlewesha na kumlawiti kijana

    Linaweza kuwa ni moja kati ya matukio ya nadra kutokea nchini, baada ya Jeshi la Polisi nchini kumtia mbaroni Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo ya Loliondo kwa tuhuma za kumlawiti kijana mwenye umri wa miaka 29 baada ya kumlewesha pombe. Mbali na hakimu huyo kushikiliwa na Jeshi la Polisi, lakini...
  5. Jaji Mfawidhi

    Arusha: Hakimu Benson Ngowi(32) anashikiliwa na Polisi kwa kosa la kumlawiti kijana mwenye umri wa miaka 29

    Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo Loliondo,Benson Ngowi(32) anashikiliwa na jeshi la Polisi katika kituo cha Loliondo,Wasso kwa kosa la kumlawiti kijana mwenye umri wa miaka 29 mkazi wa Wasso wilaya ya Ngorongoro Mkoani Arusha. Hakimu huyo, ambaye pia alifanya kazi ya uwakili kwenye Kampuni ya...
  6. M

    Wakazi wa Muganza, Chato tunaomba TAKUKURU imchunguze Hakimu Mfawadhi Makama ya Wilaya Chato

    Amekuwa akishirikiana na waendesha mashitaka wa TANAPA kubambikizia kesi watu wasiokuwa na hatia kisha kuomba rushwa kubwa. Watu wanabambikiziwa kesi kuwa ni wahujumu uchumi kwa kufanya uvuvi haramu kisiwa cha Rubondo na kisha kuombwa rushwa. Malalamiko yapo ofisi za PCCB wilaya ya Chato lakini...
  7. Erythrocyte

    Joseph Pande alishirikiana na Hakimu Michael Mteite kuwafunga Jela Sugu na Masonga

    Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba, Naibu DPP aliyefariki majuzi, Joseph Pande ni miongoni mwa watu wachache waliotumikishwa na kupanga Njama ya kuwafunga Jela Raia wema, Joseph Mbilinyi aliyekuwa Mbunge wa Mbeya Mjini pamoja na Emmanuel Masonga aliyekuwa Katibu wa Chadema Kanda ya Nyasa...
  8. Chachu Ombara

    Hakimu: Usipompa pesa mkeo akapendeza ni 'ukatili wa kiuchumi'

    Hiyo ni kauli ya Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Mwanzo Sanya Juu wilayani Siha, Janeth Mvungi, aliyoitoa katika maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia na kueleza kuwa upo ukatili wa kiuchumi kwa mwanamke ambao hauzungumzwi sana. Akizungumza katika maadhimisho hayo leo Desemba...
  9. ZIZI LA ZI

    Rungwe: Hakimu auawa kwa kipigo cha wananchi

    Mkuu wa Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya, Dk. Vicent Anney amesema watu wawili wameuawa akiwemo hakimu wa mahakama ya Wilaya ya Handeni, Joachim Mwakyoma baada ya kupigwa na wananchi wenye hasira. Akizungumza na Mwananchi Digital leo Jumanne Novemba 14, 2023, Dk. Anney amesema tukio hilo limetolea...
  10. M

    Hakimu wa kiume ajigeuza binti ili amfanyie mtihani mpenzi wake

    HAKIMU WA KIUME ADAIWA KUJIGEUZA BINTI, AKAMATWA AKIMFANYIA MTIHANI MPENZI WAKE Hakimu mmoja nchini Uganda amefutwa kazi kutoka utumishi wa mahakama baada ya kukamatwa kwa kujifanya mwanamke ili kufanya mitihani ya sheria kwa niaba ya mpenzi wake. Ammaari Musa Semwogerere aliteuliwa kuwa Afisa...
  11. Suley2019

    Askari amstua Hakimu kwa kuwa Shahidi upande wa Mshitakiwa

    SAKATA la wizi wa gari aina ya RAV4 lenye namba za usajili T. 984 BPG, limeendelea kuibua mapya katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni, baada ya askari polisi J 212 PC Damas kutoka Ofisi ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni kutoa ushahidi akiwa upande wa mshtakiwa. Wakati Damas anatoa...
  12. BARD AI

    Hakimu ajitoa kusikiliza kesi ya Tsh. Milioni 315 baada ya mshtakiwa kumkataa

    Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Hakimu Kisutu, Richard Kabate, amejiondoa kusikiliza kesi ya kujipatia Sh315 milioni kwa njia ya udanganyifu, baada ya mshtakiwa Prepetua Gondwe (25) maarufu kama Annastazia kudai kuwa hana imani na hakimu huyo. Annastazia anakabiliwa na mashtaka mawili likiwemo...
  13. BARD AI

    Hakimu ajitoa kusikiliza kesi ya Tsh. Milioni 315 baada ya mshtakiwa kumkataa

    Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Hakimu Kisutu, Richard Kabate, amejiondoa kusikiliza kesi ya kujipatia Sh315 milioni kwa njia ya udanganyifu, baada ya mshtakiwa Prepetua Gondwe (25) maarufu kama Annastazia kudai kuwa hana imani na hakimu huyo. Annastazia anakabiliwa na mashtaka mawili likiwemo...
  14. peno hasegawa

    Hakimu mbaroni akituhumiwa kupokea rushwa Sh 100,000

    Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo, Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro, David Abel amekamatwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kwa tuhuma za kuomba na kupokea Rushwa ya Sh100,000. Akizungumza leo Alhamisi Aprili 6, 2023, Mkuu wa Takukuru Mkoa wa Kilimanjaro, Frida Wikes amesema...
  15. BARD AI

    Sabaya afikishwa tena Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi leo

    Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya amefikishwa kwa mara nyingine tena leo April 5, 2023 katika Mahakama ya Hakimu mkazi Moshi. Juni Mosi, 2022 Sabaya na wenzake wanne walifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi wakikabiliwa na mashtaka 7 ikiwemo...
  16. JanguKamaJangu

    Mbeya: Hakimu wa Mahakama ya Wilaya auawa kwa kipigo kutoka kwa Wananchi wenye hasira kali

    Nimekutana na hili andiko kwenye mitandao yetu hii, naamini mamlaka zitatuambia ukweli wa hii kitu.... Anaandika Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Mh. Siriel Mchembe👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿 Niimepokea taarifa kutoka kwa DC Rungwe Dkt. Vincent Anney kwamba alfajiri ya leo, Hakimu Joakim Mwakyolo wa Mahakama ya...
  17. BARD AI

    Ajali ya Happy Nation yaua Hakimu na mume wake Bukoba

    Polisi mkoani Kagera inamshikilia dereva wa Basi la Happy Nation, Shaaban Khatibu 38 mkazi wa Dare es Salaam akidaiwa kusababisha vifo vya watu wawili. Tukio hilo inadaiwa lilitokea Barabara ya Biharamulo, Kata Ijuganyondo, Manispaa ya Bukoba, Jumanne Desemba 6, mwaka huu majira ya saa 5.30...
  18. BARD AI

    Hakimu adaiwa kujiua akiwa 'Guest House' Sumbawanga

    Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo Kasanga iliyopo Wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa, Michael Royan (31) anadaiwa kujiua kwa kunywa sumu katika nyumba ya kulala wageni ya ‘gesti’ iliyopo Manispaa ya Sumbawanga mkoani humo. Akizungumzia tukio hilo leo Jumanne Novemba 29, 2022 Kamanda wa Polisi mkoani...
  19. B

    USHAURI: Ipitishwe sheria ya kumuwajibisha Hakimu anayehukumu watu bila ushahidi usioacha shaka

    Hakimu aliehukumu watu bila ushahidi,naye ahukumiwe,ipitishwe Sheria ya kuhukumu watu Kama Hawa. Haiwezekani, hakimu bila ushahidi anahukumu mtu anatumikia miaka miwili, then anatolewa nje eti Hakimu alietoa hukumu hakuwa na ushahidi, huu ni ujinga Mkubwa.
Back
Top Bottom