• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

wasiojulikana

 1. Return Of Undertaker

  Kimara, Dar: Polisi wawakamata kwa uzururaji Daktari chriscyrilo na Daktari Shindo Kilawa

  Watu waliojitambulisha kuwa ni Askari polisi (bila kuonesha vitambulisho) wakiwa na silaha za moto wamewakamata madaktari wawili, Dr. Chriss Cyrilo (kushoto) na Dr. Shindo Kilawa (kulia) wakiwa maeneo ya Mbezi jijini Dar usiku huu. Watu hao hawakutaja sababu za kuwakamata, zaidi ya kutumia...
 2. Synthesizer

  Tunawashukuru sana Marekani kwa kukikata meno kikosi cha Wasiojulikana!

  Marekani walijua kabisa kwamba kulikuwa na kikosi kilichobatizwa jina la "Wasiojulikana" hapa nchini, kikosi ambacho kilijikita katika kuteka watu na hata kuua. Na Marekani waliona wazi kwamba wahanga wa kikosi hiki cha Wasiojulikana walikuwa ni kutoka vyama vya upinzani pamoja na waandishi wa...
 3. Erythrocyte

  Unyama: Diwani wa CHADEMA Mbeya Mjini anusurika kuuawa na watu wasiojulikana, apigwa panga la utosi, hakuna uchunguzi

  Hapa ndio mahali ambapo Nchi yetu na siasa zetu zilipofikia. Tunamshukuru Mungu kwa kumlinda Mh Ibra dhidi ya wahalifu wanaolindwa ambao walimvamia alipotoka kwenye mgahawa kuelekea nyumbani kwake . Mungu ibariki Chadema ===== Ibrahim John Mwampwani diwani wa kata ya Isyesye Jijini Mbeya...
 4. Abdalah Abdulrahman

  Uelewa wangu juu ya kundi la watu wasiojulikana

  Khofu hutumika kama mbinu ya kuwanyamazisha watu, kuwapora haki zao, kuwalazimisha kufanya mambo yenye maslahi na anayejenga khofu na pengine kupunguza uwezo wa kufikiri kwa yule anayetiwa khofu. Khofu ikizidi kwa yule anayekhofishwa huongeza ujasiri na humfanya kufanya mambo makubwa kuliko...
 5. mike2k

  Je, kumiliki silaha ni suluhisho dhidi ya watekaji wasiojulikana?

  Katika pita pita zangu za twitter kuna mdau katoa solution dhidi ya watekaji ambao tumewapa jina la watu wasiojulikana. Anashauri kuwa wakati wa kuwa na silaha katika shughuli za harakati za kisiasa ni huu.ili wakitokea hao watekaji wapate kashkashi. Je ni suluhisho?
 6. Mystery

  Je watu wasiojulikana wana "connection" na vyombo vya dola?

  Kumekuwa na matukio mfululizo ya watu kutekwa, na watu tunaoaminishwa na serikali yetu iliyoko madarakani kuwa watu hao ni watu wasiojulikana, matukio ambayo yameongezeka sana katika utawala huu wa awamu ya tano, matukio ambayo hapo siku za nyuma hayakuwepo. Swali kubwa tunalojiuliza wananchi...
 7. L

  Najaribu kuwaza kwa sauti kwanini wanaotekwa na watu wasiojulikana na wanaokamatwa na dola wanatumia mbinu na mazingira yale yale!

  Ukifuatilia kwa karibu mbinu za watekaji au ukamataji wa raia ya wasiojulikana na dola zinafanana kwa kiasi fulani. Tofauti kubwa wasiojulikana wakiteka raia hawarudi lakini dola ikiteka au kamata raia atafikishwa mahakamani siku ya 2 au 3!! Lakini mbinu na mazingira ya ukamataji au utekaji wa...
 8. Roving Journalist

  Dar: Mwandishi Bollen Ngetti adaiwa kutekwa tena na watu wasiojulikana; apatikana

  Ikiwa ni siku 4 tangu Afisa Programu na Elimu kwa Umma wa LHRC, Tito Magoti ‘atekwe’ na wasiojulikana, kuna taarifa kuwa mwandishi Bollen Ngeti naye ametekwa na wasiojulikana leo maeneo ya Msasani, Dar POLISI: HATUNA TAARIFA UTEKWAJI WA MWANDISHI. Jeshi la Polisi Mkoa wa Kinondoni kupitia...
 9. Synthesizer

  "Wasiojulikana" wamepunguzwa kasi au ndio tuseme siku hizi kimeeleweka?

  Miaka kama miwili iliyopita kasi za kikundi cha "Wasiojulikana" ilikuwa ya juu ajabu. Kulikuwa na tetesi nyingi kuhusu nani hasa walikuwa nyuma ya hiki kikundi, na mengi sana yalisemwa. Kwa wengi ilikuwa ni vigumu kuamini kuwa kikundi cha "Wasiojulikana" kilikuwa hakina uhusiano na serikali kwa...
 10. B

  Matibabu ya Lissu: Wasiojulikana na maswali yasiyojibika

  Nimekosa usingizi nikaamua nianzishe thread hii. Tujiulize, hivi Spika Ndugai anaposema Tundu Lissu hawezi kuhudumiwa na bunge katika matibabu yake kwa sababu alikiuka taratibu za kwenda kutibiwa nje, ana msingi gani katika hoja yake, ikiwa: - Baada ya Tundu Lissu kupigwa risasi na kufikishwa...
Top