pombe

 1. okiwira

  Narudia tena na tena kwako Rais John Pombe Magufuli

  IKUTI MBEYA RUNGWE ni sehemu ambayo binadamu na wanyama wanashea sehemu kunywea maji katika mto rumbe. Kila uchao wanasiasa wanawalaghai wananchi watawaletea mabomba ya maji ili wapite bila kupingwa. Lakini hawaleti. Je, wewe nawe hii sehemu ya siasa zako? MJOMBA WA HAPA KAZI TU? Mhe. Rais...
 2. APA CHICAGO

  Hongera Rais wa Magufuli kwa kumaliza mgogoro na Kenya

  Hongera Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuongea na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na kisha kuumaliza mgogoro uliokuwa unataka kutokea katika mipaka yetu wa Tanzania na Kenya. Ieleweke kuwa mahusiano mazuri kati yetu na nchi majirani zetu ni kitu muhimu kiuchumi nk.Nitoe...
 3. APA CHICAGO

  Ubora wa mhe. Rais Dr.John Pombe Joseph Magufuli ni katika kufanya maamuzi (Decision making).

  Ubora wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dr.John Pombe Joseph Magufuli ni katika kufanya maamuzi kwa lugha ya wenyewe wanaita (decision making). Mhe. Rais amekuwa akichukua na kufanya maamuzi ya aina mbalimbali katika nchi yetu na sote tunaona kwa macho.Kwa mfano amefanya maamuzi ya...
 4. Informer

  Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

  Binafsi nimefurahishwa na kasi ya Rais Dkt. Magufuli. Naamini wapo pia wengi wanaoungana nami katika furaha hii. Rais Magufuli ameanza kwa kasi ambayo kama ataimaintain, Tanzania haimalizi miaka mitano itakuwa tayari ni nchi yenye kipato cha kati. Hata hivyo wapo baadhi yetu ambao wanakejeli...
 5. malim

  Nataka kufungua kiwanda kidogo cha pombe kali. Utaratibu ukoje?

  Kama title inavyojieleza nina idea ya kuanzisha kiwanda kidogo cha pombe ila bado sijui costs za kufinance projects na kwa mwenye madini naomba anipatie. Pia, kama kuna mwenye uzoefu na biashara ya pombe kali kama K-Vant na Konyagi anakaribishwa kumwaga madini, shida yangu nahitaji kujua...
 6. G Sam

  Salim Kikeke Mungu akulinde, umeionyesha dunia udhaifu mkubwa wa serikali ya Rais John Pombe Magufuli

  Namshukuru Mungu wangu muumba wa mbingu na nchi kwakuwa bado wapo wenye kuumia na jinsi hali inavyoenda. Wanaonyesha masikitiko yao makuu mbele ya runinga duniani. Ndugu Salim Kikeke kwa makala uliyoiweka wazi leo na ushahidi ulioonyesha, nakushukuru sana. Serikali ya Rais John Magufuli...
 7. Mag3

  Je, ni kweli Makonda alitoa agizo la jiji la Dar es Salaam kupuliziwa dawa ya kuzuia corona kwa niaba ya Rais John Pombe Magufuli?

  Ili kuwalinda wakazi wa Mkoa wake wa Dar es Salaam, Mh. Paul Makonda amedai alilazimika kuchukua hatua hiyo kwa niaba ya Rais Magufuli. Kama dai lake hili ni la kweli, nadhani uchunguzi kama unahitajika kufanyika, video hizi hapa chini ni ushahidi wa kutosha.
 8. Return Of Undertaker

  Ilala: DC Sophia Mjema athibitisha wagonjwa wa COVID-19 hospitali ya Amana kuleta fujo na kutaka kuondoka wakajitibie nyumbani

  Mkuu wa wilaya ya Ilala Bi.Sophia Mjema athibitisha wagonjwa kulazimisha kuondoka katika Hospitali ya Amana kurejea nyumbani. Pia soma > Wagonjwa wa Corona wadaiwa kuvunja geti hospitali ya Amana na kutoroka. Mwananyamala waleta vurugu wakitaka waruhusiwe --------- Mkuu wa wilaya ya Ilala...
 9. Analogia Malenga

  Mbeya waonywa kugeuza pombe dawa ya Corona

  Wakazi mkoani Mbeya wametakiwa kuepuka matumizi ya vilevi vikali kwa kuamini ni dawa inayoweza kupambana na homa ya mapafu inayosababishwa na virusi vya corona. Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila (pichani) alitoa onyo hilo jana alipozungumza na waandishi wa habari juu ya jitihada...
 10. Influenza

  Gavana wa Nairobi, Mike Sonko agawa Pombe aina ya Hennessy akidai ni ‘Vitakasa Koo’

  Gavana wa Nairobi, Mike Sonko alithibitisha kuwa vifurushi vyake vya misaada kwa Watu kwa ajili ya kukabiliana na janga la #COVID19 vinajumuisha kiasi kidogo cha chupa za vilevi za aina ya Hennessy Sonko aliyeziita pombe hizo kama “throat Sanitizer” yaani Kitakasa Koo amesema tafiti...
 11. D

  Barua ya Wazi kwa Rais John Pombe Magufuli - Madaktari Bingwa Wabobezi na TCU

  Mheshimiwa Rais! Hongera na Pole kwa majukumu makubwa uliyopewa na Watanzania. Nikiri kwamba barua yangu hii, imechagizwa na Mkutano wa Madaktari Tanzania wa mwaka huu. Bahati mbaya Dr. Elisha Osati alisahau kuwasilisha hili. Mheshimiwa Rais, toka umeingia madarakani umeokoa kiasi kikubwa cha...
 12. Abdalah Abdulrahman

  Serikali ya Rais John Magufuli yathibitisha umahiri wake katika kupambana na corona na kuwalinda wananchi wake

  Ugonjwa wa Corona umeanza December 2019 katika mji wa Wuhan nchini China.Mpaka hivi sasa ugonjwa huu umeshasambaa kwa watu takribani 819,025 na kusababisha vifo vya watu wapatao 39,794 duniani kote akiwemo raia mmoja wa Tanzania. Kusambaa kwa ugonjwa huu duniani kumeleta taharuki kubwa kwa...
 13. T

  Rais Magufuli, tusaidie kampuni ya SKOL Building Contractors LTD itulipe mishahara na NSSF

  Hiki ni kilio chetu wafanyakazi cha zaidi ya mwaka mmoja tangu kuanza kufuatilia suala hili bila mafanikio katika ofisi zifuatazo:- (1) Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni (2) Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam (3) NSSF-Kinondoni (4) Vyombo vya habari vya binafsi na serikali (Shirika letu pendwa la...
 14. Informer

  Corona Virus: Rais Magufuli ahutubia Taifa - Machi 22, 2020 - Wagonjwa Tanzania wafikia 12

  Wakuu, Kwa taarifa nilizo nazo, ni kuwa muda si mrefu Rais Magufuli atalihutubia Taifa. Kama hii itatokea, itakuwa mara ya kwanza tangu aingie madarakani kuhutubia Taifa. Tutarajie nini? Stay tuned... ======= LIVE: VIDEO: Rais Magufuli anasema; => Baada ya kuibuka Ugonjwa wa Corona...
 15. C

  Hatimaye nimefanikiwa kuacha pombe

  Baada ya kuanza kunywa pombe nikiwa o level baada ya kuachwa na demu niliyempenda sana mpaka sasa nmemaliza Chuo Kikuu na nna miaka mitatu mtaani. Nimeamua kuacha pombe rasmi baada ya kusimamishwa kazi kwa muda. Kilichofanya niache ni baada ya mama mzazi kumwaga chozi hadharani. Imeniuma...
 16. Influenza

  Katavi: Mwalimu auawa baada ya kukataa kununua Pombe

  Mwalimu wa Shule ya Msingi Mbugani kata ya Kakese, Shauri Kiani (35) amefariki baada ya kupigwa na tofali kichwa kutokana na kukataa kumnunulia pombe anayetuhumiwa kuhusika na tukio hilo. Leo Ijumaa Machi 6, 2020 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi, Benjamin Kuzaga amethibitisha kutokea...
 17. M

  Ushauri: Njia za kutumia ili kuacha kabisa unywaji wa pombe na ulevi uliopitiliza

  Wana JF, Kwa yeyote anejua dawa au mbinu ya kumfanya mlevi kuacha pombe. Nina ndugu yangu yeye bila kilevi cha pombe siku haiendi kabisaa na hii imekuwa inarudisha maendekleo yake nyuma. Wanaoijua tiba mnijuze niokoe maisha yake na familia yake. Baadhi ya majibu kutoka kwa wadau...
 18. J

  Mkuu wa mkoa Mtwara awatembelea watengenezaji wa pombe ya Gongo, afurahishwa na kuahidi kukirasimisha kinywaji hicho

  Mkuu wa mkoa wa Mtwara amewatembelea vijana wenye mitambo ya kienyeji ya kuzalisha pombe ya gongo kwa kutumia mabibo. RC huyo amefurahishwa na ubunifu wa vijana hao na kuchukua sampuli ya gongo hiyo yenye madaraja matatu kwa ajili ya uchunguzi wa kimaabara. Endapo wataalamu wa maabara...
 19. FRANCIS DA DON

  Je, unamfahamu mtu wa kwanza kuonja pombe mdomoni alikuwa nani?

  Natamani kujua, binadamu wa kwanza kuweka pombe mdomoni mwake alikuwa ni nani, na aliibuni vipi, was it by luck? Na alihisi na kusema nini baada ya kuanza kupata ule mzuka wa pombe kwa mara ya kwanza?
 20. Charlzdeo 97

  Hii ni Barua ya wazi kwa Mheshimiwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

  Habari Mh rais Dr John Pombe Joseph Magufuli, Pole kwa majukumu mazito ya nchi kwa maana ya kitaifa na kimataifa kwa ujumla. Awali ya yote tunatoa pongezi za dhati kabisa kwa serikali yako ya awamu ya tano, chini ya uongozi wako kwa kazi nzuri ulizozifanya na unazoendelea kuzifanya katika...
Top Bottom