juma

  1. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Baada ya "free Juma Jux"; Hatimae Jux arejea Tanzania na kujumuika kwenye usiku wa henna wa zuchu

    Baada ya kuwepo kwa kampeni na gumzo kubwa mtandaoni la "Free Juma Jux", msanii nguli wa muziki wa Afro-R&B nchini, Juma Jux, hatimaye amerejea nchini Tanzania. Urejeo wa msanii huyo umeibua msisimko mkubwa miongoni mwa mashabiki, hasa baada ya kuonekana akihudhuria usiku wa Henna wa msanii...
  2. M

    JamiiForums Tanzania BAKWATA ijetenge na kauli za Ostaz Juma Namusoma

    BAKWATA ijitenge na Juma Namusoma, ambaye ametumia mitandao ya kijamii kutoa kauli zinazowalenga na kuwashambulia masheikh, pamoja na wale wanaoendelea kumlinda. Kinachotia mashaka ni kwamba kila anapokosolewa kwa kauli zake, huonekana kujisitiri nyuma ya viongozi wa BAKWATA. Aidha, mara nyingi...
  3. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Sheikh Kishki afungua kesi akidai fidia ya bilioni 5 kutoka kwa Ostadh Juma na Musoma

    Sheikh Nurdin Kishki, kutoka Taasisi ya Al-Hikma, amefungua kesi katika Mahakama Kuu ya Tanzania dhidi ya Juma Ibrahim, maarufu kama Ostadh Juma na Musoma, akidai kuchafuliwa jina lake. Akizungumza na Waandishi wa habari kuhusu kesi hiyo, Wakili Mashaka Ngole, anayemwakilisha Sheikh Kishki...
  4. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Meneja NHC K'njaro Juma Kiaramba aula,ateuliwa mjumbe Bodi ya Baraza la ushauri la watumiaji wa huduma za usafiri wa anga(TCAACCC)

    Ameandika Juma Kiaramba na hapa namnukuu "Namshukuru Waziri wa Uchukuzi Mh. Prof. Makame Mbarawa (Mb) kwa imani kubwa kwangu kuniteua kuwa mjumbe wa baraza la ushauri la watumiaji wa huduma za usafiri wa Anga Tanzania. 'Tanzania Civil Aviation Authority - Consumer Consultative Council' (TCAA...
  5. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Juma lokole anakwambia wolper na mulky vita ni kubwa ya kugombania mwanaume isarito

    Lokole anadai kuwa Mulky na Wolper wamekuwa wakishushiana maneno mazito huku Isarito akitajwa kuwa kiini cha mvutano huo. Baadhi ya kurasa za burudani pia zimeanza kuripoti madai hayo, hali inayofanya sakata hilo kuendelea kuwa gumzo kwenye mitandao.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Juma Duni Vs Mbowe: Wote wenyeviti wastaafu

    Wote wenyeviti wa wastaafu vyama vyenye nguvu kwa kila upande. Zanzibar vs Tanzania Bara. Juma Duni bado tunamuona yupo kimkakati na ACT WAZALENDO, anaongea kauli za ACT za mwenyekiti wake, yupo karibu na nwenyekiti wake. Jee MBOWE bado pamoja na chadema? Kama yupo mbona hatumuoni kuhusu swala...
  7. M

    JamiiForums Tanzania KERO Juma Awso njoo Chato uone wananchi tunavyotaabika na shida ya maji

    Ziwa lipo km 1 tu kutoka lilipo ziwa. Lakini watu hawapati maji. Maji hayatoki kabisa na shida ni kubwa mno. Njoo Chato ujionee mwenyewe.
  8. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Juma Ayo ana IQ ndogo sana. Inakuwaje Crown Fm wanampa majukumu yanayozidi uwezo wake?

    Nimesikiliza kwa makini mahojiano kati ya watangazaji wa Crown Fm na mgeni wao mheshimiwa genius professor Mangungu ambaye ni boss wa Simba Sports Club. Nilichogundua ni kwamba Mheshimiwa genius professor Mangungu ana IQ kubwa mno na huyu Juma Ayo hana uwezo kabisa wa kuhoji kichwa kama...
  9. Eronda

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Museveni Appoints Juma Witonze as State Minister for Internal Affairs

    President Museveni has appointed Hon. Juma Witonze Kisekka as the new State Minister for Internal Affairs. Witonze, a diplomat and politician, serves as the Chief Coordinator of the Patriotic League of Uganda (PLU) in the Greater Mpigi region. He has also previously contested for election to...
  10. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu ampa onyo kali Juma Lokole kuhusu Mume wake

    Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu amempa onyo kali Juma Lokole akitaka aache kumzungumzia vibaya baba mtoto wake, Whozu, akidai tabia hiyo imeanza muda mrefu. "Heshima ni kitu cha bure sana kwenye maisha ya kila binadamu. Kuna jambo linanikwaza sana, na nimekuwa nikiliona mara kwa mara kwako Juma...
  11. under500

    JamiiForums Tanzania Habari za Jumapili wakuu

    Habar za Jumapili wakuu Mlioenda kanisan mmekumbuka kutuombea sisi wengine
  12. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Imani inapo dhalilishwa: Je ni nani yuko nyuma ya sakata la Ostaz Juma na Shehe Kishk?

    Sakata la watu wawili linachukua sura mpya kila uchao..... Na kila anajitokeza kuliongelea ama anazidi kuharibu ama anazidi kukoleza moto.. Na lisipodhibitiwa sasa linaweza kuja kuleta mgawanyiko mkubwa ndani ya imani moja ama madhara makubwa Sasa kwenye hili.. Inayoumizwa ni imani. Kwakuwa...
  13. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Mafaili: Ostadh Juma VS Shehe Kisk

    Race ya wanaume halisi inateketea kwa kasi ya ajabu mno.. Haya mambo tulizoea kuyaona kwa akina mama tena wa Uswazi.. Sasa leo ni wanaume tena viongozi wa dini 🙌🏿🙌🏿🙌🏿 https://www.facebook.com/share/v/18roBz4sxo/
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Juma Nature: Manispaa saidieni raia, foleni ya malori ni kero kubwa Mbagala, tunataabika

    Msanii Mkongwe wa Bongo Fleva, Juma Nature akielekezea changamoto ya malori mengi maeneo ya Mbagala ambapo anadai yamekuwa kero na kusababisha udumbufu mkubwa. Nature, staa wa Sitaki Demu na Hakuna Kulala, ameeleza hayo kupitia ukurasa wake wa Instagram, Juni 20, 2026. Pia soma: ~ Hivi...
  15. Fbn

    JamiiForums Tanzania Katika watu wanaishi maisha ya rahaa mfano ni prof mussa juma assad.

    Sijui kama kuna watu wanajua utakufa na maisha yako ndio mwisho. Ila mzee prof mussa juma assad. na wale idara yote ukaguzi sijui wameumbwaje na wengi sana wanaoshika hii idara. Hata ukipewa hii idara inaonesha ni bora kujiepusha na maovu ya unayosema kila siku kuhusu ushenzi wanchi. Ukiwa...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Juma Mkomi: Uhamisho ni hadi ipite miaka minne, pia wapo Watumishi hawataki kuhamishwa kukaa na wenza wao

    Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Juma Mkomi amezungumza hayo Mei, 26, 2026 kuelekea, kikao kazi cha kitaifa kitakachofanyika jijini Dodoma Juni 1 hadi 3, 2026. Kikaso hicho kitawakutanisha Wakurugenzi na Wakuu wa Idara za Utawala na Usimamizi wa...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Juma Mkomi: Kuzuia barua za uhamisho wa Mtumishi ni uhalifu, Hilo si jukumu la Wakurugenzi na Wakuu wa Taasisi

    Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Juma Mkomi, amewataka Wakuu wa Taasisi na Wakurugenzi kuacha kuzuia barua za uhamisho wa watumishi wa umma, akieleza kuwa kufanya hivyo ni kosa linalokiuka taratibu za utumishi wa umma, amesungumza hayo Mei 26, 2026...
  18. ShesRise_1

    JamiiForums Tanzania Juma na Ali Safari Mbili za Maisha

    Maisha ni kama hadithi Pindi tu unapozaliwa, ukurasa mpya wa hadithi hufunguliwa Unajikuta kwenye dunia ukiwa mgeni kabisa, na jambo la ajabu zaidi ni kwamba hujui ulipotoka Ukiachana na simulizi za Biblia na Qur’an, bado huna uhakika mkubwa kuhusu safari yako ya kuja hapa duniani wewe ni...
  19. Wilson Gamba

    JamiiForums Tanzania Feedback ya :Anatafutwa Mzee Michael JUMA mkazi ya Masasi na Mtwara

    Za siku sana jf? Miaka ya nyuma niliweka hapa bandikoANATAFUTWA: Michael Juma anatafutwa na mwanae. Alikuwa askari magereza, mkazi wa Masasi na Mtwara mjini.Baada ya muda kupita nilitoa na tsh 500,000/ kama zawadi ya atakayefanikisha kumpata bahati mbaya hatumpata kabisa. Kiufipi huju Mzee...
  20. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Chukua nyimbo 10 za Diamond hazitoboi kwa kipande cha dakika 2 cha wimbo wa Juma dede (Times fm) kilichoombwa na Mzee Yusuph

    Ukitaka kuona ukubwa wa Mzee Yusuph kasikilize kipande cha wimbo wa times fm(Juma dede) kilichoimbwa na Mzee Yusuph. Huu wimbo ulikuwa mahsusi kwenye sherehe za times fm hivyo wasanii wa taarabu wale magwiji waliungana kwa pamoja kutoa wimbo wa Juma dede. Yani Mzee alithibitisha ukubwa wake...
Back
Top Bottom