mbaroni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Replica

    Wakamatwa kwa kujitangaza kutoa huduma ya internet ya Starlink Instagram

    Kamanda Murilo leo ametangaza kukamata watu wawili, mtanzania na mchina kwa kuingiza vifaa na kutangaza kutoa huduma ya internet ya starlink. Polisi wamesema wameuza vifaa hivyo bila kuidhinishwa na TCRA. Naona kama mitandao yetu wanaipiga pini starlink by fire, by force 😅 Kwanini Serikali...
  2. Roving Journalist

    Arusha: Watuhumiwa Mbaroni kwa wizi wa Mifugo na Utoroshaji

    Jeshi la Polisi kikosi cha kuzuia wizi wa mifugo STPU Kimesema Kinawashikilia watuhumiwa kadhaa kwa tuhuma za wizi wa mifugo na utoroshaji Mifugo nje ya nchi huku likisema kuwa litaendelea kushirikiana na wananchi kwa karibu ili kudhibiti uhalifu huo hapa nchini. Akitoa taarifa hiyo leo Machi...
  3. M

    Bunda: Paroko Karoli Mganga mbaroni akidaiwa kughushi na kujipatia Tsh. Milioni 800

    Paroko wa Kanisa Katoliki Parokia ya Bunda mkoani Mara, Karoli Mganga anatuhumiwa kughushi nyaraka na kujipatia zaidi ya Sh800 milioni kinyume cha sheria. Paroko huyo anatuhumiwa kuhusika kwenye tukio hilo pamoja na mhasibu wa parokia hiyo, Gerald Mgendagenda. Akizungumza na waandishi wa...
  4. M

    Njombe: Daktari mbaroni wizi wa vifaa vya ujenzi wa hospitali

    Watu wanne wakiwamo watumishi wawili wa Serikali na mlinzi wamekamatwa kwa tuhuma za wizi wa vifaa vya ujenzi katika Hospitali ya Halmashauri ya Mji wa Makambako mkoani Njombe. Taarifa za wizi huo zimetolewa leo Februari 9, 2024 na Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, Butusyo Mwambelo...
  5. Jaji Mfawidhi

    Arusha: Hakimu Benson Ngowi(32) anashikiliwa na Polisi kwa kosa la kumlawiti kijana mwenye umri wa miaka 29

    Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo Loliondo,Benson Ngowi(32) anashikiliwa na jeshi la Polisi katika kituo cha Loliondo,Wasso kwa kosa la kumlawiti kijana mwenye umri wa miaka 29 mkazi wa Wasso wilaya ya Ngorongoro Mkoani Arusha. Hakimu huyo, ambaye pia alifanya kazi ya uwakili kwenye Kampuni ya...
  6. Poppy Hatonn

    Arusha: Baba anayetuhumiwa kumuua mwanaye wa miaka 3 atiwa mbaroni na Polisi

    Mwenyekiti wa mtaa anasema alipotoka kwenye mkutano wa Makonda ndio amezipata hizo habari. Jamaa alikuwa dereva wa bodaboda ambaye pikipiki yake iliibiwa baada ya hapo akawa kama chizi. Kata ya Mulyeti Arusha,mtaa wa Field Force. Mtoto mvulana wa miaka mitatu, Amani Amideus. --- Jeshi la...
  7. JanguKamaJangu

    Arusha: Jeshi la Polisi lamtia mbaroni mtuhumiwa anayedaiwa kumuua Beatrice Minja

    Jeshi la Polisi nchini limesema kuwa limefanikiwa kumkamata mtuhumiwa wa mauaji ya Beatrice James Minja ambayo aliyafanya huko Tarekea Wilaya ya Rombo Mkoa wa Kilimanjro Tarehe 12.11.2023 na mtuhumiwa aliyefanya aliyefanya tukio hilo kukimbia. Akitoa taarifa hiyo leo kwa vyombo vya Habari...
  8. Miss Zomboko

    Ghana: Wafanyabiashara 5 mbaroni kwa Kuvunja Sheria ya Ulinzi wa Data

    Wafanyabiashara watano huko Accra wamekamatwa na polisi kwa kushindwa kujiandikisha kwenye Tume ya Ulinzi wa Data (DPC) na kuvunja Sheria ya Ulinzi wa Data. Wafanyabiashara hao ni wawakilishi wa CareFlight Ghana, kampuni inayotoa huduma za kliniki na ambulensi, Embassy Gardens, kituo cha...
  9. M

    Malema aitaka ICC imtie mbaroni Netanyahu kwa mauaji ya Gaza

    Nov 10, 2023 02:53 UTC Kiongozi wa chama cha upinzani nchini Afrika Kusini ametoa mwito kwa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) kumtia mbaroni Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel kutokana na mashambulizi ya kinyama yanayoandelea kufanywa na utawala huo pandikizi...
  10. Suley2019

    DCEA yakamata kilo 423.54 za skanka, 16 watiwa mbaroni

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za kulevya (DCEA) imekamata kilogramu 423.54 za bangi iliyosindikwa inayofahamika kama skanka katika operesheni maalum zilizofanyika kwenye mipaka na fukwe za Bahari ya Hindi. Mbali na dawa hizo za kulevya, mamlaka pia imewakamata watu 16 wanaojihusisha...
  11. BARD AI

    Watu 7 mbaroni tuhuma za kumteka mwanamke Dar wakitaka kupatiwa dola milioni 3.5 kutoka familia ya mhanga

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewakamata watuhumiwa saba kwa tuhuma za kupanga njama, kumtishia kwa silaha, na baadaye kumteka mwanamke aliyefahamika kwa jina la Hani Hussein (29) Mkazi wa Masaki, Dar es Salaam. Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, linawashilia...
  12. BARD AI

    Walimu mbaroni wakidaiwa kufanyisha wanafunzi wa Sekondari Mitihani ya Darasa la 7

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linawashikilia walimu wanne kwa tuhuma za kuwafanyisha mitihani ya darasa la saba wanafunzi watatu wa sekondari katika Shule ya Msingi Igulumuki Wilaya ya Sengerema mkoani humo. Akizungumza na Waandishi wa Habari leo Ijumaa Septemba 22, 2023; Kamanda wa Polisi...
  13. Chachu Ombara

    Vijana 8 kizimbani kwa tuhuma za kumbaka mwanamke mmoja kwa kushirikiana

    Watu nane wakazi wa eneo la Porikwapori wilayani Kiteto mkoani Manyara, wamefikishwa katika Mahakama ya wilaya hiyo kwa tuhuma za kumbaka mwanamke mmoja kwa kushirikiana. Watuhumiwa hao kwa pamoja wamesomewa shtaka hilo leo Jumatatu Agosti 28, 2023 wakiwa mahakama ya Wilaya ya Kiteto chini ya...
  14. BARD AI

    Mbeya: 40 Mbaroni tuhuma za wizi kwa kuingilia Mfumo wa TEHAMA

    Siku moja baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kutaja ubadhilifu wa fedha mkoani Mbeya, watu 40 wanashikiliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kwa tuhuma za kuhusika kwenye wizi huo wa Sh450 milioni wa fedha za umma. Akizungumza leo Jumatatu Agosti 28, 2023 Mkuu wa Wilaya ya...
  15. O

    Watatu mbaroni mauaji ya wanandoa Shinyanga

    Shinyanga. Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga kuwashikilia watu watatu kwa mahojiano kuhusu tukio la mauaji ya wanandoa wawili yaliyotokea katika Kijiji cha Mwagimagi Wilaya ya Kahawa mkoani Shinyanga. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Janeth Magomi amesema mauaji hayo yalitokea usiku wa...
  16. B

    Mwanza: Mbaroni akidaiwa kuiba transfoma

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza, linawashikilia watu saba kwa tuhuma za wizi na uharibifu wa miundombinu ya Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco). Akizungumza na waandishi wa habari leo Jumamosi Juni 17, 2023, Kamanda wa Polisi mkoani humo, Wilbroad Mutafungwa, amesema watuhumiwa hao wamekamatwa...
  17. BARD AI

    Watatu kortini kwa kumteka Mfanyabiashara

    Wakazi watatu wa Morogoro wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na shtaka moja la unyang'anyi wa kutumia silaha na kumteka mfanyabiashara. Washtakiwa hao ni Sufian Kidevu (30) mkazi wa Kizuka mkoani; Celestini Kamuli (32) mkazi wa Kizuka na mfanyabiashara Husein...
  18. benzemah

    Katavi: Mbaroni kwa kukamatwa na meno ya tembo yenye thamani ya milioni 247

    Polisi Mkoani Katavi kwa kushirikiana na askari wa Hiifadhi ya Taifa ya Katavi, wamewakamata watu wanne kwa tuhuma za kukutwa na vipande 13 vya meno ya tembo vyenye thamani ya zaidi ya sh. milioni 247. Kamanda wa Polisi, Mkoa wa Katavi, Ali Hamad Makame, alisema hayo mkoani hapa mwishoni mwa...
  19. Kitimoto

    Watatu Mbaroni kwa mauaji ya mfanyakazi wa Mgodi wa GGM Milembe Selemani

    Jeshi la Polisi limewakamata watuhumiwa watatu waliofanya mauaji ya mfanyakazi mmoja wa Mgodi wa GGM kwa jina la Milembe Selemani katika mtaa wa Matulole, Kata ya Buhalahala mkoani Geita. Aidha Mtuhumiwa wa nne (Pastory Lugodisha), baada ya kupata taarifa ya kukamatwa kwa wahalifu wenzake...
  20. I

    Mchina anayetuhumiwa kwa kukufuru atiwa mbaroni nchini Pakistan

    Raia wa Uchina anayefanya kazi katika mradi wa umeme wa maji amekanusha madai yaliyotolewa na wafanyikazi wenzake wakidai alikufuru kwa kutoa maneno ya kashfa kwa Mungu na Mtume Mohammed hali iliyopelekea maandamano huku watu wakidai auwawe. Nchini Pakistan Madai ya kukufuru yamesababisha...
Back
Top Bottom