mke

 1. FourSix

  Natafuta Mke mwenye miaka zaidi ya 30

  Nawasalimu Kwa Jina La Jamhuri Ya Muungano. Nami nitumie Fursa ya Jukwa Hili Kutafuta Nimpendaye, Wasifu Wangu: Elimu Ya Chuo Single Father, Miaka 41 Naishi DSM Mfanyakazi & Biashara Mkristo, KKKT Mfupi Kiasi, Mweusi &Mnene Kiasi. Wasifu Wa Mtarajiwa: Miaka 30 + Kabila Lolote Dini Yoyote...
 2. Ncha Kali

  Je, ni kweli wanaume hawataki mke 'golikipa' na mwenye kipato kikubwa?

  Leo nimeulizwa hili na huyu mtoto wangu mkubwa. Eti, wanaume wa leo hawataki mke ambaye ni mama wa nyumbani (asiye na shughuli ya kipato). Wakati huo huo, wengi wao hawataki mke mwenye kipato kikubwa au 'mishe' kubwa/nyingi kuwazidi. Ni kama haieleweki wanataka yupi. Je, huu mtazamo ni kweli...
 3. rkid49

  Natafuta mchumba baadaye awe mke

  Habari za majukumu Nimejitokeza hapa kwenu kwa lengo la kutafuta mchumba then baadae awe mke Sifa zangu: Rangi: mweusi Kimo: mrefu Miaka: 28 elimu: degree Location: mbeya Awe atleast na sifa hizi: Rangi: mweupe/ maji ya kunde Kimo: asiwe mfupi miaka: isizidi 30 Elimu: kuanzia sekondari Kwa...
 4. The Garang

  Namuonea huruma huyu dada, nilitaka urafiki wa kawaida na si mapenzi

  Nawasalimu kwa jina la JF, shuhuda ziendelee. Wakuu imepita takribani miezi kadhaa hivi tangu ni fahamiane na huyu dada, nikiri kwa hii hali iliyofikia mie ndiye wa kulaumiwa. Ilikuwa majira ya jioni nimetoka pindi nikechoka nikaona sio mbaya nitafute mtu stranger nipige naye story nimzingue...
 5. Full charge

  Hatua gani utachukua ukigundua mke/mume wako anachepuka?

  Binafsi ntazingatia yafuatayo: Je, nimelipa mahali kwao? Je, mimi ninachepuka? Je, mahali ni kiasi gani nilizotoa Je, tumezaa watoto? Je, tuna mali kiasi gani? Je, huyo bwana namfahamu? NB: Baada ya kuzingatia hayo ntaanza mchakato wa kumdanganya tuuze mali kwa kumuaminisha kama kuna inshu...
 6. Memtata

  Mke wa mtu kanifunza kitu

  Mara ya kwanza tulikutana club sikujua kama ni mke wa mtu, alikuwa amevaa kistaarabu sana kumbe alikuwa ametoka kwenye sendoff party alikuwa ameongozana na wenzake wawili. Nilimtongoza hakukubali moja kwa moja ila tulibadilishana mawasiliano. Kilichonifanya nisiwaze kama ni mke wa mtu kwanza ni...
 7. F

  Je, 'serial namber' ya cheti cha ndoa inafanana kwa mume na mke?

  Habari wadau Swali kwa wanandoa ama waliowahi kufunga ndoa. Ninatambua ndoa inakuwa na vyeti original copy mbili baada ya kufungwa. Moja ya mke na moja ya mme. Je, vinakuwa na serial namba inayofanana?
 8. MSAGA SUMU

  Nalaani kitendo alichofanyiwa mke wangu siku ya harusi yetu

  RIP Fredwaaa. Nalaani kitendo alichafanyiwa mke wangu mpendwa siku ya harussi yetu. Siku ya harusi mke wangu na mimi tukiwa ukumbini tulishtuka kuona mtu akichukua mic na kuanza kumdai waifu mbele ya wageni waalikwa. Kwani kulikuwa na shida kusubiri wageni watoe zawadi kisha tulipe deni.
 9. CORAL

  Baada ya kunyimwa mshahara, jamaa ajilipa mke wa boss

  Jamaa mmoja huko Lusaka Zambia baada ya kuhangaika kupata ajira akafanikiwa kupata kazi kwenye kampuni ya kichina. Akaingia mkataba akaanza kazi. Umefika mwisho wa mwezi mchina anasuasua kumlipa jamaa mshahara. Akaona isiwe tabu akaenda nyumbani kwa boss na kukwapua mkewe ambaye pia ni mchina...
 10. jitulawatu

  Natafuta mchumba baadaye awe Mke

  Nataka mchumba ambaye baadaye atakuwa mke, nataka nipate mwenzangu kama mchumba sasa hivi ili tuandaane kwa miezi isiyopungua 5 mpaka ndoa. Sifa 1. Awe na umri 21-24 2. Mwenye elimu isiyozidi diploma, wa degree wanasumbua sitaki ligi Nyumban kwangu maana wanajifanya wajuaji sana, 3. Awe...
 11. Nick0001

  Natafta mchumba adi kuwa mke

  Awe tayar kuwa mke Awe mkristo ata akiwa islam 2taongea Age 20 adi 24 Mwajliwa au amejiajili Elmu 4m4 Awe dar es salaam SIFA ZANG Niko Tayar nlchokusudia Mwajliwa / Kuhusu kazi 2taongea msafi Npo dar es salaam Email. vianeNick88@gmail.com
 12. Nick0001

  Natafta mchumba adi kuwa mke

  Natafta mchumba adi kuwa mke Awe tayar kuwa mke Awe mkristo ata akiwa islam 2taongea Age 20 adi 24 Mwajliwa au amejiajili Elmu 4m4 Awe dar es salaam SIFA ZANG Niko Tayar nlchokusudia Mwajliwa / Kuhusu kazi 2taongea msafi Npo dar es salaam Email. vianeNick88@gmail.com
 13. Nick0001

  Natafuta mchumba ili awe mke

  Natafuta mchumba hadi kuwa mke Awe tayari kuwa mke Awe mkristo hata akiwa Muislam tutaongea Age 20 hadi 24 Mwajiriwa au amejiajiri Awe Dar es Salaam SIFA ZANGU: Niko Tayari kusudia Mwajriwa / Kuhusu kazi tutaongea Msafi Nipo Dar es Salaam
 14. Muuza simu used

  Nashindwa kumuacha aende

  Nipo kweli mahusiano almost two years sasa! Sema kweli huyu binti nampenda lakini tabia zake hazifai kuwa mke hata kwa kubahatisha! Kasoro zake! Mtu wa visirani na visasi yaani akimchukia mtu hata ukimpatanisha hataki amani tena na mtu huyo! Asilimia 95% ya ubongo wake unategemea watu...
 15. kibhojela

  Mrejesho,Ushauri kesi ya kupigana na mke

  Nilienda Jumatatu kujisalimisha kituo cha polisi na wife kumbe alikuwa kapangwa na ndugu ili kunikomoa ili wanifunge. Lakini nilimbembeleza kwa muda mrefu afute lile shauri na badaye akalifuta na akasepa kwenda kwao akidai hawezi kurudi Nyumbani kwani anaona aibu kwa kumshitaki mume...
 16. Sky Eclat

  Mke wa Bill Gate alikodi Mpelelezi wa siri kuchunguza mienendo ya mume wake

  Baada ya mume wake kuwa anatoweka ofisini muda wa kazi, Melinda alitaka kujua huwa ana kwenda wapi. Alikodi Private Investigator. Report ya PI huyo imefahamika kuwa jamaa alikua anakutana na totoz mchana, ndiyo msingi mkubwa wa talaka. Hii Porches ya rangi ya dhahabu ndiyo aliitumia Mzee...
 17. shamzugi

  Kuwa makini unapokwenda baharini kuogelea na mke/mpenzi wako

  Niwasalimu ndugu zangu kila mmoja kwa nafasi yake, leo niwape kwa ufupi mambo yanayofanyika pale swimming club-Rskazone Tanga Siku za wikiendi, hasa jumamosi na jumapili utakuta nyomi la watu wamekuja kuogelea, kiingilio sio kikubwa nadhani ndio sababu ya watu kuvutika kiasi hicho, ni shilingi...
 18. kibhojela

  Naombeni Ushauri: Mke amenishtaki kuwa nimempiga

  Siku chache zilizopita tuligombana na wife wote tuliumia, lakini baadaye akaenda police kunishtaki kuwa nimempiga na jalada lipo Polisi. Naombeni ushauri kukiepuka kikombe hiki. Baada ya kugombana Mimi ndo nilimtibu na baadae wazazi wangu wakaja kumchukua ili atulie kidogo lakini akatoroka hom...
 19. PierreLiquid

  Mwanamke ninayeona anafaa kuwa mke hakubaliki mbele za watu, ninayemtilia shaka ndiye naambiwa anafaa

  Habari, JF ni sehemu sahihi ya majibu sahihi. Nipo kwenye hatua za mwisho kufanya maamuzi ya kupata mama watoto. Wapo mabinti wawili imekuwa ni mchuano mkubwa wa kupata selection. Yupo mmoja yeye kila ninapomuonyesha mbele ya watu wangu wa karibu wanasema huyu ndio sahihi kuwa mke, kwangu...
 20. jitulawatu

  Natafuta mchumba baadaye awe mke

  Nataka mchumba ambaye baadae atakuwa mke, nataka nipate mwenzangu kama mchumba sasa hivi ili tuandaane kwa miez isiyopungua 5 mpaka ndoa. Sifa 1. Awe na umri 22-24 2.mwenye elimu isiyozidi diploma, wa degree wanasumbua sitaki ligi Nyumban kwangu maana wanajifanya wajuaji sana, 3. Awe mkristo...
Top Bottom