Mtwara: Mwalimu wa kujitolea mbaroni kwa kumbaka mwanafunzi

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,118
Jeshi la Polisi Mkoani Mtwara linamshikilia mtu mmoja (23) mkazi wa kijiji cha Mkalapa kata ya Chikundi ambaye ni mwalimu wa kujitolea katika Shule ya Msingi Mkalapa kwa tuhuma za kumbaka binti (14) ambaye ni mwanafunzi wa darasa la saba katika shule hiyo.

Akizungumza na waandishi wa habari leo Jumatano Septemba 20,2023 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara, Nikodemus Katembo amesema kuwa Septemba 18 katika Kijiji cha Mkalapa, Kata ya Chikundi, Wilaya ya Masasi mkoani wa Mtwara mtuhumiwa huyo alikuwa ni mwalimu wa kujitolea katika Shule ya Msingi Mkalapa.

Amesema kuwa inasemekana kuwa mwalimu huyo alimwita binti huyo nyumbani kwake baada ya kuingia ndani alimkamata na kumziba mdomo ili asipige kelele kisha akaanza kumbaka.

Ambapo mzazi wa binti huyo alipata taarifa za siri kuwa mwanaye ameingia ambapo alibainika kuingiliwa na hali yake ya kiafya inaendelea vizuri ambapo mtuhumiwa atafikishwa mahakamani upelelezi ukikamilika.

Nitoe rai kwa jamii kuendelea kutoa ushirikiano kwa kutoa taarifa kwa Jeshi la Pili kukomesha kabisha vitendo hivi vya ukatili dhidi ya watoto.

Aidha jeshi la polisi halitasita kuchukua hatua kali za kisheria kuhakiksha kuwa Mkoa wa Mtwara unaendelea kuwa salama.

MWANANCHI
 
huyo mtoto alikuwa anamtaka mwalimu kitambo tu sasa alivyomaliza paper ...........................................
 
FB_IMG_1694234658016.jpg
 
Jeshi la Polisi Mkoani Mtwara linamshikilia mtu mmoja (23) mkazi wa kijiji cha Mkalapa kata ya Chikundi ambaye ni mwalimu wa kujitolea katika Shule ya Msingi Mkalapa kwa tuhuma za kumbaka binti (14) ambaye ni mwanafunzi wa darasa la saba katika shule hiyo.

Akizungumza na waandishi wa habari leo Jumatano Septemba 20,2023 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara, Nikodemus Katembo amesema kuwa Septemba 18 katika Kijiji cha Mkalapa, Kata ya Chikundi, Wilaya ya Masasi mkoani wa Mtwara mtuhumiwa huyo alikuwa ni mwalimu wa kujitolea katika Shule ya Msingi Mkalapa.

Amesema kuwa inasemekana kuwa mwalimu huyo alimwita binti huyo nyumbani kwake baada ya kuingia ndani alimkamata na kumziba mdomo ili asipige kelele kisha akaanza kumbaka.

Ambapo mzazi wa binti huyo alipata taarifa za siri kuwa mwanaye ameingia ambapo alibainika kuingiliwa na hali yake ya kiafya inaendelea vizuri ambapo mtuhumiwa atafikishwa mahakamani upelelezi ukikamilika.

Nitoe rai kwa jamii kuendelea kutoa ushirikiano kwa kutoa taarifa kwa Jeshi la Pili kukomesha kabisha vitendo hivi vya ukatili dhidi ya watoto.

Aidha jeshi la polisi halitasita kuchukua hatua kali za kisheria kuhakiksha kuwa Mkoa wa Mtwara unaendelea kuwa salama.

MWANANCHI
@Mpwayungu Village karibu kwa maoni.
 
Ila tuache utani hawa watoto wasiku hizi wana moto sanaa,kuna shule iko mwanza buhongwa sekondari kama mzazi ile shule imeoza a see...vitoto vya form one vinatembea na Vijana zaidi ya 7 na kanatembea vizuri.shule ni uchafuu tu...serekali imelikeni hi shule.hasaa hawa wanafunzi Wa day
 
Back
Top Bottom