Nje (Њ њ; italics: Њ њ) is a letter of the Cyrillic script.
It is a ligature of the Cyrillic letters En ⟨н⟩ and Soft Sign ⟨ь⟩. It was invented by Vuk Stefanović Karadžić for use in his 1818 dictionary, replacing the earlier digraph ⟨нь⟩. It corresponds to the digraph ⟨nj⟩ in Gaj's Latin alphabet for Serbo-Croatian.It is today used in Macedonian, variants of Serbo-Croatian when written in Cyrillic (Bosnian, Montenegrin, and Serbian), Itelmen and Udege, where it represents a palatal nasal /ɲ/, similar to the ⟨ny⟩ in "canyon" (cf. Polish ⟨ń⟩, Czech and Slovak ⟨ň⟩, Galician and Spanish ⟨ñ⟩, Occitan, Portuguese and Vietnamese ⟨nh⟩, Catalan and Hungarian ⟨ny⟩, and Italian and French ⟨gn⟩).
Kuna mada nimekutana nayo kuhusu kuwa sisi wanadamu ni namba na ndio maana namba zikizidi au kupungua sawa na ajari ya watu kumi masai mmoja.
Kwa nini mpaka vitambulisho vina namba na ukiangalia namba hizo ni lazima kuwa watu fulani.
Namba ni nini kwa elimu ambayo hata uzazi wanasema mtoto wa...
Mwanzoni mwa mwezi Agosti mwaka, Waziri wa Afya Mohamed Mchengerwa alifanya ziara ya kikazi mkoani Kilimanjaro.
Pamoja na mambo mengine Nchengerwa alizungumza na watumishi wa serikali kwenye ukumbi wa mikutano wa Manispaa ya Moshi.
Moja ya jambo alilokemea ni kuwepo na mvutano baina ya...
Biashara ya duka la dawa muhimu , asilimia kubwa wanaoifanya wanaifanya kinyume na sheria.
Yani hii biashara wengi wanaiendesha kinyume na matakwa yanayotakiwa hivyo wengi wanaiendesha kiujanja ujanja kwa kutegemea kuwahonga wakaguzi wakifika.
Dawa zinazoruhusiwa kuuzwa kwenye hizi dldm...
Wakulima wa Mahindi Wilayani Ludewa Mkoani Njombe wamesema kutokana na kukabiliwa na hatari ya kupata hasara kutokana na kukosekana kwa maghala ya kuhifadhi mahindi wanaiomba Serikali kuchukua hatua za haraka ili kutatua hali hiyo.
Wamesema hayo baada ya kufika katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa...
wachina wameitumia elimu vizuri ni manufacturers, wahindi wameproove kuwa vizuri kwenye usimamizi wa biashara na ndio maana makampuni mengi sana duniani yana CEO muhindi, Wazungu na Wayahudi wameshabuni vingi sana tukianza kuvitaja hatumalizi.
Lakini kwetu waafrica wengi hasa tukijizungumzia...
Ndiyo, neno "bastard" linamaanisha mtoto aliyezaliwa nje ya ndoa ya kisheria, ingawa pia hutumika kama tusi au neno la dharau katika lugha ya Kiingereza.
Maana ya Asili Neno hili lilitumika kihistoria katika sheria za nchi za Magharibi kumaanisha mtu au mtoto aliyetokea nje ya ndoa halali...
KAMA HUTAKI MTOTO WAKO AITWE MTOTO HARAMU, ZAA KWA UTARATIBU HALALI. NJE YA HAPO HARAMU ITAITWA HARAMU TUU.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Oooh! Mtoto hana makosa yoyote. Oooh! Mtoto hahusiki. Bla blah blah! Haramu ni haramu tuu.
Unapofanya tendo haramu, matokeo yake ni haramu pia. Haramu...
Jaji Augustin Ramadhani akiongea na Mwandishi wa habari juu ya kesi Fulani,aliwahi kusema hivyo.
Alisema kua kesi zote duniani hua zinasikilizwa mara mbili,ndani ya MAHAKAMA na nje ya MAHAKAMA.
Alisema Nje ya MAHAKAMA alisema wakati kesi yoyote inaendelea mahakamani,huku Nje watu pia...
Taarifa kuhusu sera mpya ya madini zimeibua dhana kwamba Kenya imepiga marufuku kabisa export ya dhahabu, hivyo gold yoyote inayochimbwa nchini haiwezi tena kuuzwa nje.
Ili kukuza sekta ya uchumi na viwanda serikali ya Tanzania iondoe kabisa aina zote za ushuru na kodi katika kuagiza mashine mbalimbali zinazoagizwa china na kwingineko, hii itasaidia kustawisha sekta ya viwanda itakayo saidia kukuza uchumi na kuongeza ajira.
Mtaisubiri El Nino na mvua za masika hamtaziona bali itakuwa kinyume chake
TMA waongeze weledi UTABIRI wao utakuwa sio wa ukweli
Hii taasisi siiamini
Jiandae Kwa ukame, njaa, tatizo la umeme kutokana na kupungua kina cha maji
Hakuna Elnino wala El konyo
Tunashuhudia wahitimu vilaza mno wasiojua kutofautisha R na L ...lakini waliokosa uzalendo na wenye matusi kwenye mbongo zao na ndimi zao.
Kwangu mimi haya ni matokeo ya kuifanya Elimu kuwa ni biashara badala ya huduma muhimu kwa Taifa.
Hatujachelewa ni muda muafaka sasa wa kuongeza regulations...
Japo mimi sio nwanasheria, bado najiuliza inawezekana vipi kutoa jibu rahisi mahakamani kwa kusema shahidi yuko nje ya nchi pasipo kiuileza mahakama ni nchi gani shahidi yupo na ni lini atarejea nchini?
Tukumbuke hawa mashahidi (IGP,.CDF na DCI) ni waajiriwa wa serikali, hivyo ni lazima wote...
Mhe. Lissu: Mhe. Msajili amenitaarifu kuwa Mashahidi wote watatu CDF, IGP na DCI walipelekewa wito wa mahakama Dodoma, hata hivyo haikuwezekana kuwaserve nakala za summons kwasababu wote watatu wapo nje ya nchi.
Kwenye vituo vya mabasi na maeneo yenye msongamano mkubwa wa watu, kama Mbezi, tunaomba Serikali ijenge vyoo vya umma vinavyopatikana kwa urahisi.
Vyoo hivyo vitasaidia wasafiri, wanaowasindikiza au kuwapokea ndugu zao, pamoja na wapita njia, kupata huduma bila kulazimika kuingia ndani ya vituo...
Anonymous
Thread
mabasi
maeneo
msongamano
nje
public
public toilets
ukosefu
umma
vituo
vyoo
vyoo vya umma
Habari za jioni wakuu?
Mimi nina changamoto moja, nilikwenda Uganda lakini nikakutana na changamoto ya misosi migeni kwangu ambayo sijawahi kula hata kwenye kinywa ilikuwa haipiti kabisa, nikaishia vinywaji, matunda na biskuti tu!
Point yangu ni hii naombeni ushauri kwamba nikifika nje ya nchi...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) na Katibu Mkuu Balozi Dkt. Samwel Shelukindo wakiwa kwenye picha ya pamoja na Waheshimiwa Mabalozi wanaowakilisha nchi zao Tanzania, pamoja na Wawakilishi wa Mashiriki na Taasisi za Kimataifa nchini...
afrika
afrika mashariki
balozi
katibu
katibu mkuu
mahmoud thabit kombo
mambo
mambo ya
mambo ya nje
mashariki
mkuu
nje
thabit kombo
ushirikiano
ushirikiano wa afrika mashariki
waziri
Katika mwaka ulioishia Julai 2026, mauzo ya bidhaa na huduma nje ya Tanzania yalifikia Dola za Marekani bilioni 19.99, sawa na ongezeko la asilimia 16.5.
🥇 Dhahabu: Sh. trilioni 14.93
🏭 Bidhaa za viwandani: Sh. trilioni 5.83
🌾 Mazao ya asili: Sh. trilioni 4.29
✈️ Usafiri na utalii: Sh. trilioni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.