mahabusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Polisi waliofariki Singida wameagwa, je, mahabusu waliofariki wataagwa wakimaliza kesi zao?

    Tangu ajali ya gari iliyotokea Singida na kuua mahabusu na askari wanaozungumziwa ni askari tu huku mahabusu hatujui kama wao bado wanaendelea na tuhuma dhidi yao,! Kumbe gari lilibeba watu na mahabusu.
  2. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania RPC Singida : Majina ya Askari Polisi Watano na Mahabusu 8 wafariki kwa ajali ya gari Mlima Sekenke, Singida bado hayajafahamika!

    Majina hayajafahamika!
  3. R

    JamiiForums Tanzania Askari Polisi Watano, Mahabusu 8 wafariki kwa ajali ya gari Mlima Sekenke, Singida

    Askari na mahabusu wanadaiwa kufariki dunia baada ya gari la polisi walilokuwa wakisafiria kugongwa na lori la mizigo katika eneo la Mlima Sekenke, Wilaya ya Iramba mkoani Singida. Mkuu wa Wilaya ya Iramba, Suleiman Mwenda, amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo iliyotokea leo majira ya saa 2:00...
  4. mirindimo

    JamiiForums Tanzania PICHA: ASKARI ALIUAWA NA ASKARI WENZIE MAHABUSU

    Kama wana uwezo kumuua mwenzao we ni nani ? Hakuna kifo cha Mahabusu , we ulisikia wapi ? Kwamba wakati anajiua wenzie wana muangalia tu ? Hivi Tanzania mna akili ?
  5. R

    JamiiForums Tanzania Kama DPP anaweza kukaidi kutoleta mashahidi kesi ya Lisu, je sisi kwangu pakavu tia maji, si ni vifo vinatusubiri jela/mahabusu!

    Nimetafakari sana kitendo cha DPP/Katuga for that matter kutoleta shahidi/ mashahidi. Kama wanaweza kudharau a bench of three Judges, je sisi ambao hatuna watetezi si tutafia jela/ màhabusu. Masaju amekomalia briefing za mawakili viunga vya mahakama! Concen yake ilibidi iwe JUSTICE DELAYED...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kama siyo huruma ya Rais Samia, Lissu atakaa sana mahabusu

    Hivi sasa uendeshaji wa dunia umebadilika. UNO ipo lkn kama mpitishaji wa ajenda za USA ICC ipo lkn haiwezi kuikosoa Isreal. Vipo vyombo vya habari vikubwa kama bbc , CNN lkn vyote hivyo huvisikii kumkosoa Trump. Yaani hivi sasa dunia inavyoendeshwa kama inaendeshwa na watu na sio mihimili...
  7. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Katika Imani, Je, mtuhumiwa uhalifu alie gerezani mahabusu anaruhusiwa kufunga kwarema au ramadhani?

    Achilia mbali watuhumiwa uhalifu ambao tayari wanaonekana na kujulikana kwa kubeba chakula hadi kwenye vizimba vya mahakamani kupunguza njaa kali baada ya kubanwa mbavu za kisheria na mashahidi au mawakili kulingana na uhalifa wao. Je, ni halali kwa mahabusu walio gerezani kufunga kwaresma au...
  8. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa PSO Mahabusu na Wafungwa watakula Chakula Gerezani

    Wadau naona wengi mna hamaki kusiana na suala la mtu kunyimwa chakula, Utaratibu wa Prison Service Order (PSO) ni kwamba mfungwa au mahabusu atakula chakula gerezani. Gerezani kwa mujibu wa sheria za kimataifa panajulikana kama sehemu salama. Akipewa chakula popote wapo wanaompenda na...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA waliokuwa mahabusu waachiwa huru, DPP hana nia ya kuendelea na kesi

    Baada ya kutimiza siku 76 wakiwa mahabusu gerezani, viongozi wa CHADEMA mkoani Kigoma akiwemo Mwenyekiti wa Mkoa, Rajabu Mfaume Bujoro na Mwenyekiti wa Wilaya ya Kasulu, Phanuel Eliabi Kisabo, pamoja na wenzao watatu, wameachiwa huru leo tarehe 10/02/2026 na Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya...
  10. W

    JamiiForums Tanzania Mchina amshtaki DPP kupinga kushikiliwa mahabusu kwa siku 82

    Raia wa China, Xiuzhu Yan amewasilisha maombi kortini (Habeas Corpus) dhidi ya Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) na Mkurugenzi wa Mashitaka Nchini (DPP), kupinga kushikiliwa mahabusu kwa siku 82 tangu Novemba 2025. Katika maombi hayo namba 000002421 ya 2026, Yan anayewakilishwa na wakili...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Raia wa China, Xiuzhu Yan amburuza DPP na IGP Mahakamani kupinga kushikiliwa Mahabusu kwa Siku 82

    Raia wa China, Xiuzhu Yan amewasilisha maombi kortini (Habeas Corpus) dhidi ya Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) na Mkurugenzi wa Mashitaka Nchini (DPP), kupinga kushikiliwa mahabusu kwa siku 82 tangu Novemba 2025. Katika maombi hayo namba 000002421 ya 2026, Yan anayewakilishwa na wakili...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Kuna siku Lissu ataenda kumsalimia mbaya wake katika mahabusu ya ICC

    Hii naomba muichukue kama ilivyo kwani ni swala la muda tu. Itakuwa ni kama vile Lissu alipoenda kusalimiwa pale Nairobi baada ya kumiminiwa risasi na jeshi la Farao wa wakati ule. Muda utaongea.
  13. Troll JF

    JamiiForums Tanzania FAHAMU: Jela Hakuna Pesa Taslimu wala Simu

    Nafuatilia kwa umakini utapeli ambao unaendeshwa na chama cha Demokrasia na Maendeleo kupitia kwa kiongozi wao ambaye Yuko Gerezani Tundu Antipas Lissu Kwa kuwafungua masikio na macho watanzania nawaambia gerezani pesa taslim, Simu haziruhusiwi lakini pia kama mtu anaumwa serious uko utaratibu...
  14. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa DG wa TRC, Masanja anatakiwa kuwa Mahabusu as we speak

    Hakuna mmbunge mwenye maslahi kuzidi hawa ma DG wa taasisi za Umma. Massanja aliamua ku risk UDG wake over ubunge, hii ni kwa sababu Massanja anajua alichokifanya pale TRC na ufisadi mkubwa kwenye SGR …. amekimbia kukwepa uwajibikaji na kudondokewa na jumba bovu. 1. Baada ya Kifo cha JPM ...
  15. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Nini kinachofanya ndugu Tundu Lissu mpaka sasa awe mahabusu na kesi inashindwa kuendelea?

    Binafsi kwa mawazo yangu naona ni ubabe wa watawala kwamba utafanya nini, ndani tunakuweka na kesi haisikilizwi mpaka tutakapoamua wenyewe. Hii dhambi kiukweli itakuja kuwatafuna sana. Madaraka yasi ondoe roho ya utu. Mheshimiwa Tundu Lisu kuna watu wengi sana wapo nyuma yake wanamtegemea...
  16. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Nini kinasababisha mpaka sasa Tundu Lisu asalie mahabusu? Maana ilibidi atoke November 3

    Tundu Lisu ilibidi aachiwe tangu November 3 baada ya samia kuapishwa . Naona umepita mwezi sasa tunaona kimya, kesi haisikilizwi na yeye bado hajaachiwa. Au je mamlaka husika wanaona nchi bado haijakaa sawa kutokana na hofu ya maandamano au wanahisi atakuwa chachu ya watu kuandamana akiingia...
  17. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania John Heche kusitisha kula kuanzia leo akiwa mahabusu

    Katibu wa familia na Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Mara, Mwalimu Chacha Heche, ametoa taarifa kuhusu hali ya kaka yake, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara, John Heche, ambaye kwa siku 13 sasa amekuwa mikononi mwa Jeshi la Polisi, katika mahabusu ya Mtumba, Dodoma. Kupitia taarifa hiyo...
  18. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Aliyemshambulia mwenzie kisa Mwijaku akosa dhamana, atupwa mahabusu

    Mmoja kati ya wanafunzi watatu kutoka vyuo vikuu tofauti tofauti jijini Dar es Salaam, waliodaiwa kumshambulia mwenzao wakimgombania msanii na mtangazaji wa vipindi vya redio, Burton Mwemba maarufu kama Mwijaku, ameswekwa mahabusu baada ya kukosa dhamana katika kesi ya jinai inayomkabili na...
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Huduma za Magereza: Haki, taratibu na miongozo ya Wafungwa na Mahabusu Nchini Tanzania

    UTANGULIZI Majukumu ya msingi ya Jeshi la Magereza ni kuwapokea na kuwahifadhi gerezani watu wote wanaoletwa gerezani kwa mujibu wa sheria za nchi na kuendesha program mbalimbali zenye kulenga kuwarekebisha wafungwa waliohukumiwa ili hatimaye watoke gerezani wakiwa raia wema. Katika kutekeleza...
  20. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wakala wa vipimo Simiyu, ni lini imegeuka Lokapu? Afisa Vipimo Mkoa ametoa wapi Mamlaka kugeuza Ofisi kuwa Lokapu?

    WAFANYABIASHARA Wilayani Bariadi Mkoani Simiyu wameiomba Serikali kuingilia kati sakata la Wakala wa Vipimo Mkoani humo kuwakamata na kuwaweka Mahabusu kwenye Ofisi za Wakala huo, zilizoko Nyaumata pindi wanapofanya kaguzi mbalimbali za vipimo. Wafanyabiashara hao wamedai kuwa wamekuwa...
Back
Top Bottom