TOP 10 YA NCHI ZENYE VURUGU ZAIDI AFRIKA (2025–2026)
Orodha hii inazingatia migogoro ya silaha, ugaidi, mapinduzi, vita vya wenyewe kwa wenyewe na kiwango cha ukosefu wa usalama.
1. Sudan
Vita vya wenyewe kwa wenyewe kati ya jeshi na RSF vimesababisha maelfu ya vifo na mamilioni ya watu...
Kauli ya Prof. Anna Tibaijuka inaibua mjadala muhimu kuhusu ukweli wa hali ya deni la taifa (Tanzania). Inaonyesha kuwa huenda kuna tofauti kati ya kauli za viongozi na tathmini za kitaalamu. Hii ni ishara ya umuhimu wa uwazi, uwajibikaji na tathmini ya kina ili kuhakikisha deni halileti mzigo...
Bunge la Ulaya limepiga kura kukielekeza chombo tendaji cha Umoja wa Ulaya kufutilia mbali mpango wa kuipatia Tanzania kiasi dola milioni 179 sawa na shilingi 469.5 bilioni za nchi hiyo kutokana na madai ya udanganyifu kwenye uchaguzi na ukiukaji wa haki za binadamu.
Wabunge wa Ulaya...
Katika kile kinachoweza kuwa muujiza wa kuokoa na kuboresha maisha ya maelfu ya watu duniani, chanjo ya mRNA ya Urusi iitwayo Enteromix imeonesha ufanisi wa asilimia 100 na usalama katika majaribio ya kitabibu. Hii inaweza kuleta matumaini makubwa katika kupambana na saratani sugu na hata...
Taifa Teule La Mungu Wa-israil Wamewakamata Watoto Wadogo wa Ki-Palestina Na Kuwaweka ndani jela Maisha..Aliyechukuwa video kwa siri akirikodi Sauti za Watoto wakati wa Sikukuu ya eid Wakitoa Takbir Watoto wa Kipalestina.Mtangazaji akitokwa na machozi kwakusikia watoto wadogo wa Ki-Palestina...
Mwezi huu wa Juni, Tanzania inatimiza miaka 19 tangu kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum kupitia CCM, Amina Chifupa Mpakanjia, aliyefariki tarehe 26 Juni 2007 akiwa na umri wa miaka 26. Kila mwaka ifikapo tarehe 26 Juni, dunia huadhimisha Siku ya Kimataifa ya Kupambana na Matumizi na...
Wakati Wakenya wakiendelea kuishiikiza serikali kupunguza bei ya mafuta kwa kufanya maandamano makubwa, hivi ndivyo mchora katuni wetu Meddy Jumanne anatathimini kadhia hiyo. Wewe umeona nini? Tuambie kwenye komenti. chanzo.DW Kiswahili
Rais wa Burkina Faso, Ibrahim Traoré, ameendelea kusisitiza umuhimu wa amani na mshikamano kati ya vyombo vya dola na wananchi, kwa kueleza kuwa hataki polisi wake kutumia vitisho kwa raia wala kutembea na bunduki kwa namna inayoweza kuleta hofu kwa wananchi.
Traoré amesema lengo lake ni kuona...
Kuna video moja nimekutana nayo mtandaoni kutoka NYUNDO TV inayozungumzia suala zito sana na la kusikitisha ambalo limekuwa likitokea hivi karibuni kwa ndugu zetu walioko Diaspora. Video hiyo imebeba maudhui: "Kwa nini watanzania wengi kufa kwa kupigwa risasi South Afrika siri hii hapa."
Kama...
Mtego waPanya huo....................
UTANI KIDOGO!
KIM JOUNG UN Ameweka Bendera Ya IRAN Korea Kaskazini Ili TRUMP Afikirie Kuwa Ni Iran. apate Kuipiga Korea ya Kaskazini.......
Dhahabu ya taifa si “pesa iliyoko mezani,” bali kinga ya taifa, inadumisha thamani ya sarafu, inakabiliana na mfumuko wa bei, na inavutia uwekezaji. Kuiondoa kutoka hazina au kuuza zote mara moja ni kujipiga makofi. Ni hatari isiyo na kifani. Hatari hii si ya nadharia tu, bali ni kielelezo cha...
Machafuko ya uchaguzi wa Oktoba 2025 nchini Tanzania yalifunikwa na giza zito la kuzimwa kwa intaneti, baada ya mrindimo wa bunduki kunyamaza ghafla. Sasa, ushahidi mpya unafichua kile ambacho hakikusimuliwa – vifo vya watu ambao idadi yao bado haijulikani, miili iliyotoweka, na tuhuma za...
Serikali imempiga Marufuku Dawa ya Kutibu Maradhi ya Uvimbe WaTezi Dume ya Dr Samsung Misango Asiuze.Kwani Anaharibu biashara ya vidonge Vinavyouzwa na serikali na kufanya Operesheni ya Tezi Dume wagonjwa hawaendi tena kutibiwa Hospitali.Kwani Dawa Za Hospitali haziwezi kuponyesha Maradhi ya...
Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki Dkt. Abdallah Makame(CCM) amesema kuwa waliofanya mauaji, kuvamia vituo vya polisi, maduka na kuchoma mali ni watu waliokuwa na silaha ambao mpaka sasa hawajajulikana ni kinanani hasa na walizipata wapi.
Ameongeza kuwa hata Sheikh Sharrif Majini aliuawa kwa...
Tuna Mito, Maziwa lakini Maji safi hatuna lohhh Majangaa kweli nchi yetu.
Ni jambo la Aibu tangu tupate uhuru ni zaidi ya miaka 60 bado Wananchi wanahangaika kupata maji safi?
Wakati idara na Wizara inauohusika Viongozi wake wapo maofisini wanaupiga mwingi. Maji hayo kiafya hayafai kabisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.