ndugu

 1. Fohadi

  BARUA YA WAZI KWA Mr. Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer

  Ni muda mrefu sana huyu jamaa nimekuwa namfatilia huyu jamaa..Anaandika vitu vingi some are logical na mengine are not logical...Hapa simlaumu maana kila mtu ana uhuru wa kuandika anachojisikia as long as havunji sheria za JF. Tatizo kubwa la huyu ndugu yetu ni kuamini kila anachokifahamu yeye...
 2. K

  Kutenguliwa kwa Ndugu Chalamila binafsi haukuwa wakati muafaka

  Mhe. Rais amepewa nguvu na Katiba kuteua au kutengua uteuzi wa yeyote aliyemteua na wakati anouona unafaa. Kutenguliwa kwa Ndugu Chalamila binafsi haukuwa wakati muafaka. Mhe. Rais kama kulitokea dosari angemwita na kumueleza dosari zake na yale maneno aliyozungumza kwa upande wangu sioni...
 3. K

  Mke wangu ndiye ukoo wangu, ndugu huna nyongeza yoyote

  Niende kwenye hoja, kumekuwa na desturi za ndugu na jamaa kuingilia mambo ya NDOA za watu na kutoa ushauri utadhani wao walisoma vyuo vya ndoa. Ninavyojua mimi ndoa haiwezi kua na amani maisha yenu yote kuna siku mnatofautiana. Mtu unamsema mke wa mwenzio vibaya sara siyo lika lako mara ni...
 4. Madumbikaya

  Je, Peter Msigwa aliwezaje kumkosoa ndugu yake Rais Magufuli?

  Peter Msigwa ulisimamia haki, Hukuogopa vikao vya familia na undugu wako na Hayati Rais Magufuli. Moja kati ya watu ambao wangeamua kuwa na kiburi basi ni Peter Msigwa angeweza fanya kiburi. Na hata angehamia CCM ndugu yake Magufuli angekupitisha Iringa mjini bila kupingwa. Hata ndugu yako...
 5. mzushi

  Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Kattanga yupo wapi?

  Leo ni mara ya pili katika kipindi cha karibu wiki ya tatu sasa Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Kattanga hajaonekana hadharani na nafasi yake imekuwa ikikaimiwa na Mhe. Kusiruka. Yeyote mwenye taarifa za huyu Mheshimiwa tafadhari tunaomba atudokeze.
 6. I

  Endapo Serikali itawapa kipaumbele cha ajira Walimu wanaojitolea, madhara haya yanaweza kutokea

  Waalimu ambao hamjaajiriwa Pole nyingi ziwafikie,mimi kama mdau wenu niliyewahi kuwa mhanga kwa miaka 4 na tangu 2015-2019*tushare mawazo kidogo👇 Endapo serikali itakuwa serious kuweka kigezo cha kujitolea kuwa ndicho kigezo kukuu cha kuajiri waalimu madhara yafuatayo yatajitokeza. 1. vijana...
 7. Mung Chris

  Maisha mapya ya Paul Makonda, tumtakie kila la kheri

  Mtakieni Maisha mema
 8. Chukwu emeka

  Msaada kwa watu wa Mkoa wa Mbeya na Songwe huyu ndungu Frank Kibona amefariki mkoani Tanga,hakuna ndugu aliyejitokeza

  Kuna huyu ndugu amefariki huko Tanga, hilo jina la Kibona ni asilimia kubwa Wandali wa Isoko, Kalembo na wilaya ya Ileje kwa ujumla na wamesambaa sana maeneo mengine pamoja na mikoa ya Songwe, Rukwa na Mbeya.Tusaidiane kusambaza hii taarifa.
 9. Fohadi

  Jifunze njia pekee ya kupamabana na USALITI kwenye mahusiano

  Nimeamka asubuhi leo na kukutana na threads kadhaa za watu wakilalamika kuhusu usaliti unaoendelea kwenye mahusiano yao. Na kwa miaka ya karibuni, 'uaminifu' kwenye mahusiano imekuwa ni kitu adimu sana na ukikipata basi ni bahati na itabidi upambane usikipoteze. Kila mtu ataongea mengi na atatoa...
 10. GENTAMYCINE

  Familia za VIP's Tanzania tafadhali muwe mnawahi ' Kukanusha ' taarifa za Kuzushiwa 'Vifo' Ndugu zenu kuliko Kuzinyamazia tu

  Kuendelea tu Kunyamaza Kwenu kama sehemu ya ( za ) Familia ni kutoa mwanya kwa Wazushi na Wambea ' Kutudanganya ' Watanzania na kuanza kuishi kwa Taharuki ( Wasiwasi ) kitu ambacho nakiona kama vile hakina Ustawi Kwetu. Ila GENTAMYCINE huwa nikisia Taarifa za chini chini ( za Uzushi ) kuwa...
 11. Bujibuji

  Ndugu wa Frank Kibona wa Mbeya wanatafutwa

  Habari za jioni jamani, samahanini sana kwa usumbufu lakini nimeona nitume. Picha hiyo hapo chini ni jamaa wa Mbeya anatambulika kwa majina mawili "FRANK KIBONA". Kafariki dunia akiwa Tanga lakini ni mkazi wa Mbeya. Lengo ni kwamba, kama kuna anaemfahamu ama anafahamiana na ndugu zake basi...
 12. TheDreamer Thebeliever

  Mambo yanayopelekea watu wengi kushindwa kuishi kwa ndugu au ukweni na baadaye kutimuliwa

  Habari wanajamvi..! Leo nimeamua kuja na mada inayowahusu watu wanaoishi kwa ndugu, shemeji au ukweni. Ndugu asikwambie mtu kuishi kwa ndugu baadhi kunaitaji huwe na kiwango cha hali ya juu cha hekima na busara la sivyo unatimuliwa haraka tu. Mambo yanayopelekewa kutimuliwa 1. Tabia mbaya...
 13. Jaslaws

  Msaada: Namtafuta msimamizi wa mirathi au ndugu yeyote wa Sabetha Mwambenja

  Habari wanajukwaa, Kwa masikitiko nimepata habari ya kifo cha huyu mamangu Mama Mwambenja (mkurugenzi mtendaji wa iliyokuwa Covenant Bank). Nilikuwa nafanya kazi zake na nahitaji kuziwakilisha kwa ndugu zake au mtu wake wa karibu, kwa yeyote mwenye contact na ndugu yeyote tafadhali naomba...
 14. D

  Tuseme ukweli: Kukiwa na dharura ya mchango kwa haraka, wewe na ndugu zako mnaweza kukusanya kiasi gani mkichangishana?

  Katika maisha ya binadamu mara zote kimbilio kuu huwa ni ndugu katika kutatua jambo la dharura! Kwa unavyowajua ndugu zako, wewe na ndugu zako kukiwa na jambo la dharula na mkaamua kuchangishana hapo kama wana ndugu ndani ya siku moja au mbili mnaweza kupata top top Tsh ngapi ile Maximum...
 15. M

  Unapata wapi ujasiri wa kufanya sherehe wakati ndugu zenu wanaonewa

  Hii ilikuwa Alhamisi na ijumaa iliyopita.
 16. rosemarie

  Kwanini aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri hashutumiwi?

  Naomba kujua siri ya huyu mtu aliyekuwa mkuu wa Mkoa Tabora. Mbona alikuwa tishio sana kutisha wananchi na kuongea hovyo lakini hashutumiwi kwa lolote? Huyu ni mtu wa aina gani?
 17. B

  Pamoja na Eid, ndugu Waislam Tusisahau Corona Ingalipo

  Mabibi na mabwana hayawi hayawi hatimaye yamekuwa. Wengine leo na wengine kuanzia kesho. Yote kheri. Pichani ni kutokea Kigali Rwanda, sherehe za Eid katikati ya Corona inawezekana! Kunawa nawa mikono, social distancing + kuvaa barakoa hadi pale tume ya mama itakapotoa tamko rasmi, mdogo...
 18. Yericko Nyerere

  Uteuzi wa Biswalo ni kutonesha kidonda cha Umma, lakini akapumzike salama

  Uteuzi wa Biswalo Mganga umeniumiza na kunikumbusha maumivu ya taifa hasa kwa wanaharakati, Wafanyabiashara, na yeyote aliyekuwa kinyume na utawala wa Mwendazake, Biswalo alikuwa mkono imara wa mateso ya Watanzania, huyu alikuwa wino halisi wa kitabu cheusi cha utawala uliopita. Biswalo ni roho...
 19. Grahams

  Dhana ya Kuinuana Kiuchumi baina ya Wanafamilia; Kuna haja unapompa ndugu yako Mtaji wa biashara umtoze riba ili kuongeza uwajibikaji?

  Binafsi naamini kwenye familia, mmoja anaweza kuinuliwa ili aweze kuwainua wengine. Ndiyo maana kwenye maandiko Kitabu cha Mwanzo 42:25-28 unaona Yusufu alivyoinuliwa ili kuwasaidia ndugu zake. Kuna mtu anaweza kujiuliza kwani ni lazima kuwasaidia ndugu zako, Jibu sio lazima (Sijui kama kuna...
 20. Carlos The Jackal

  Kuna nini mpaka siku hizi ndugu hatutembeleani?

  Hivi wakuu nanyie mnaona kama mimi au? Mbona kama ile Tamaduni yetu ya kutembeleana haipo tena. Unajua ile tunakua, ilikua unasikia..Likizo hii tunaenda kwa Shangazi..kwa Baba mdogo. Kwa Mjomba... Kwa Bibi ...n.k Lakini siku hizi hii kitu haipo Au Mitandao yakijamii imechukua nafasi...yaan...
Top Bottom