kisa

The Kisa, also known as Abakisa or Abashisa, are one of the sixteen tribes of the Luhya nation of Kenya. They occupy Kisa location in Khwisero division of Butere-Mumias district. The Kisa are sandwiched between the Marama of Butere, the Idakho of Kakamega and the Nyore of Vihiga district. The people of Kisa speak Olushisa. A few basic words in the Kisa Language include :

Kuka = Grandfather
Kukhu = Grandmother
Papa = Father
Mama = Mother

View More On Wikipedia.org
  1. BigTall

    JamiiForums Tanzania Tukio la mke kuuawa kwa risasi kisa kikidaiwa ni mali, je, ndoa ni sehemu salama kwa sisi tunaotaka kuoa?

    Kwa tukio hili la Mwamba linalotrend Mtandaoni la kutamndika mkewe risasi na kumuua kisa kikidaiwa kuwa ni ugomvi uliochagizwa na mali, je najiuliza ndoa ni sehemu salama kwa sisi tunaotaka kuoa au tusubiri kwanza? Pia soma: Huyu mume kijana aliyemwua mke wake, ukweli ukoje wajameni?
  2. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Unadiliki kulia mbele ya mwanamke kisa mapenzi alafu mwanamke mwenyewe anakuchukua video anakupost mitandaoni. Hivi huwa mnayapendea nini magube gube?

    Hivi ni hayo makebo yao makubwa na sura za kutmbeka ndio zinawapa hamsha hamsha mnachanganyikiwa? Moja ya kitu ambacho kimedondosha wanaume wengi ni "USHAMBA WA MAPENZI"
  3. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Kisa cha panya wa Hanoi na mamilioni ya dola za Wafaransa. Wazungu walijiona mabwege wasio na akili kabisa.

    Mwaka 1902, mji wa Hanoi nchini Vietnam ulishuhudia moja kati ya mipango ya kijinga, ya kuchekesha, na iliyoacha kovu la aibu katika historia ya ukoloni wa Ufaransa—jaribio la kutokomeza panya kwa kuwalipa wananchi kwa kila mkia wa panya walioleta! 🐀💥🇫🇷🇻🇳 Kisa hiki kilianza wakati wakoloni wa...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Sisi Watibeli hatuoni ajabu kusikia mtu katolewa maini kisa kutaka mali zisizo zake kwa kisingizio cha kuwa ni mke/mume

    SISI WATIBELI HATUONI AJABU KUSIKIA MTU KATOLEWA MAINI KISA KUTAKA MALI ZISIZO ZAKE KWA KISINGIZIO CHA MKE/MUME. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Sisi Watibeli moja ya mambo ambayo tunajua mtu akiyafanya ni haki yake kuuawa Bila kujali sheria za nchi au za dunia za wakati husika zinasemaje...
  5. Miguel Felix Gallardo

    JamiiForums Tanzania DHANA POTOFU YENYE MADHARA MAKUBWA: KUENDELEA KUTESEKA KISA WATOTO MWISHOWE MNAUANA.

    NDUGU WATANZANIA HASA WANAUME NAOMBA TUBADILIKE. HATA KAMA TUMEUMBIWA MATESO.KUNA VITU KAMA HESHIMA NA UTI USIPOKUWEPO AU KUUPATA KUTOKA KWA MWANAMKE HALI YA HEWA HUMO NDANI ITAKUWA YA MVUA ZA EL NINO.KUEPUSHA SHARI KAMILI PIGA CHINI MAPEMA.USIPUUZIE RED FLAGS🚩🚩🚩 HUNA UWEZO WALA KIPAWA CHA...
  6. huskryderz

    JamiiForums Tanzania RITA, Huduma Zafungwa Kisa "Kunyonyesha"

    Hello Wadau, Naomba tusaidiane kupaza sauti kuhusu suala hili. Leo nimefika Registration, Insolvency and Trusteeship Agency (RITA) kwa ajili ya kupata huduma. Nilifika ghorofa ya tatu, nikakutana na afisa mmoja wa RITA ambaye sikufanikiwa kupata jina lake. Nilimuuliza kuhusu huduma...
  7. kavulata

    JamiiForums Tanzania Askofu apigana kisa waraka, pepo linamtafuna.

    Pepo kanisani. https://www.instagram.com/reel/DdzWfPLInes/?stkn=MXB0OHRtczVhMnZjMA==
  8. figganigga

    JamiiForums Tanzania Je, Makonda ndo Kaelekeza BASATA Wamfungie God? (Dudubaya kisa maneno yake kwenye Stage?

    Nathani BASATA hawapewi ruzuku na Serikali. Wanaishi kwa Jasho la Wasanii kwa kuwapiga faini kisha wanalipana Posho. Sababu za BASATA kupiga watu fani huwa hazieleweki. Wakikuona umepata hela, wanasubiri ukohoe. Godfrey Tumaini (Dudubaya) hatishwi na na kufungiwa. Alikaa bila nyimbo zake...
  9. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Serikali imebadili ratiba ya mitihani kisa El-Nino. Vipi kuhusu wanafunzi wanatakiwa kwenda pre form one Mwezi huu wa tisa na wa kumi mwanzoni?

    Nimeona taarifa kuwa serkali imebadili ratiba za mitihani kwa wanafunzi wote waliotakiwa kufanya mitihani ya kitaifa na ratiba kurudishwa nyuma. El Niño yabadili ratiba ya mitihani ya taifa Kuna shule ambazo za watu binafsi ili mtoto apate nafasi ya kusoma kwenye shule hizo ni lazima aende pre...
  10. figganigga

    JamiiForums Tanzania Siasa kwenye Elimu ya Tanzania: Wanafunzi 2,4, ii na iv, wabadilishiwa tarehe ya Mitihani kisa El Nino. Wizi Mtupu

    Kwa mujibu wa Katibu Mtendaji wa NECTA, Profesa Said Mohamed, Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Nne utafanyika Oktoba 5 na 6, 2026, badala ya Oktoba 21 na 22. Aidha, Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Pili, uliokuwa umepangwa kufanyika Novemba 17 na 18, sasa utafanyika Oktoba 7 na 8, 2026. Kwa...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Msaada Mwema Uliokaribia Kuniponza

    Eehe bhana eeh, kabla weekend haijaisha na kuingia kwenye hekaheka za wiki nyingine kusaka ugali, acha niwaachie kisa hiki. Majuzi nilipata mchongo mkoa A. Ni mkoa ambao nilikuwa sijawahi kuishi hapo kabla. Mitaa niliyopata nyumba ya kuishi (getto) kuna uki-sure (mijengo mikali) fulani hivi. Ni...
  12. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Ndugu yangu, mtoto wa mama mkubwa alichizi kisa mapenzi

    Kila nikimfikiriaa si mmalizi, huyu kaka, alikua na demu na wakazaa mtoto, baada ya demu kuondoka ghafla jamaa hakukubaliana na Hilo jambo akabaki kua mtu wa mawazo hali iliyo mpelekea kuchizi, AKITAKA mkewe arudi, yani Kuna muda anacheka Cheka, au anaweza kuongea mambo yasiyo eleeweka, akidai...
  13. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Kisa cha mwili wa mtoto Ayahna Keyes uliofichwa kwenye friji na mama yake

    Kisa hiki kilitokea Mnamo Juni 2014, ambapo wakazi wa Happy Home Apartment Complex huko Houston, Marekani, waligundua kuwa walikuwa hawajamuona mtoto Ayahna, mwenye umri wa miaka 9, kwa karibu miezi mitano. Mama yake, Amber Keyes, alikuwa akiwadanganya marafiki, majirani ,ndugu na hata baba wa...
  14. Joshua Mbezi

    JamiiForums Tanzania Soma kisa hiki kisha sema nani mwenye kosa na kwanini?

    Mimi na rafiki yangu mmoja tulienda sokoni wote na kila mmoja alikuwa na shughuli yake japo wote tuliambatana katika safari Tulipofika sokoni tuliamua kila mmoja wetu amsindikize mwenzake sehemu anapoenda Wakati tukiendelea na mizunguko yetu tulikutana na rafiki yetu mwingine anayeuza viatu...
  15. baharia 1

    JamiiForums Tanzania Unakopa Kausha Damu ufanye 'Shughuli', ikishaisha unabaki na aibu. Akili ya wapi hii?

    Unakopa "Chupi Mkononi" Kisa Shughuli, Sasa Hivi Unakaa Ndani Dakika 10 Unakimbia! Ukienda kwenye kamusi ukitafuta maana ya ulimbukeni, picha ya Mama Mwajuma ndio inatakiwa iwekwe pale kama mfano halisi Mwanamke mzima, akili ndogo kama ya kuku, anahangaika usiku na mchana kuonyesha mtaa mzima...
  16. britanicca

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kuchangisha wanachama na wafuasi wa vyama kwenye Bakuli ni ama mtalazimika kufuata mashart ya mafisadi au wanaharakati kisa wametoa pesa

    Vyama wekeni mifumo rasmi ya kupata pesa ya kuendesha shughuli za vyama! Au Kama Bado mifumo haijawa sawa bora mtahadharishe kabla ya kupokea pesa kwamba hatutaendeshwa nanyi kisa pesa yenu CHADEMA, Wanaharakati wana nguvu sana maana ndo wanachanga pesa kubwa inayoonekana Ila wanasahau kuwa...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Vodacom wamefungia laini yangu ya uwakala ikiwa na fedha kisa miamala batili ambayo siijui na sina elimu nayo

    Nimekuwa mhanga wa kufungiwa laini yangu ya uwakala kwa sababu ya kufanya miamala batili ambayo mimi sijui kama ni batili kwani tangu nipate laini hiyo sijawahi kupata semina au mafunzo yoyote juu ya miamala batili. Tukio hili limetokea mwaka huu mwezi wa 6 baada ya kupiga menu ya voda...
  18. britanicca

    JamiiForums Tanzania Je yawezekana siku Moja akatokea Rais akaomba kukaa pembeni kisa suala la Afya?

    Nimewaza tu kwa sauti na kwa maono ya Kimadhabau, Je yawezekana Rais akatokea huko mbeleni (Sisemi wa sasa) akaomba kupimzika kwa maslahi ya Taifa? 1. Inaweza kuwa ni kweli anataka kupumzika kisa Afya 2. Yaweza kuwa Nia njema kwa kusoma michezo ya wanaotaka kumrithi kwa mtandao akaamua akae...
  19. Ushimen

    JamiiForums Tanzania Kisa: Nilivyo fukuzwa kwenye nyumba niliyo panga kwasababu ya nanii

    Kwanza nilikua bize sana ndiomaana sikuleta mrejesho wa tukio lililo nipata wiki iliyopita..... Kile chumba nilichokua nimepanga hakikua na dari juu, sasa wapangaji wenzangu (mke na mumewe) walikua wakifanya mambo yao nasikia, ila walikua wanawasha radio kwa sauti ya juu hata usiku wa maneno...
  20. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Kutana na Kijana Anaishi Kwenye Maji Muda Wote Kama Mamba, Kisa Kizima Hichi Hapa

    Katika kijiji cha Beldanga, kilichopo Wilaya ya Murshidabad nchini India, kuna kisa cha kusikitisha na kinachovuta hisia cha kijana mwenye umri wa miaka 16, Iqbal Sheikh. Kwa miaka mitano sasa, Iqbal anajikuta katika hali isiyo ya kawaida inayomfanya atumie siku kadhaa akikaa ndani ya mabwawa...
Back
Top Bottom