MAKTABA YAPOKEA KALENDA INAYOELEZA HISTORIA YA UKOMBOZI WA AFRIKA KUSINI NA KITABU KUHUSU UBAGUZI KATIKA ELIMU
Mmoja wa wapenzi walio mstari wa mbele katika kuitia nguvu Maktaba ameitunuku calendar na kitabu.
Ingawa kalenda imekuja katikati ya mwaka lakini haikuwa shida kubwa kwangu kutambua...
Wao wazanzibari, sisi watanganyika, dhambi hii itawatafuna MILELE.
Je ni kweli kauli hii bado inaishi au imeshakuwa overtaken by time and modern development
Hilda Newton: Nimeona video ya Watanganyika wakizuiwa kuingia kazini huko Zanzibar, limetoka agizo kwamba kama mtu hana ID ya Zanzibar...
Mnamo Mei 2016, kampuni ya vipodozi ya nchini China iitwayo Shanghai Leishang ilirusha tangazo la kidijitali la Sabuni ya kufulia wa Qiaobi, ambalo lilishtua ulimwengu mzima kwa ubaguzi wa wazi wa rangi.
Tangazo hilo lilimwonyesha binti mmoja wa Kichina akimsukumia kwa utani mwanamume mweusi...
Mwanasiasa Abdul Nondo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa Chama cha ACT Wazalendo amezungumzia taratibu zinazotumika kutoa mikopo kwa Wanafunzi wa vyuo kutoka kwa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) akisema utoaji wake ni wa kibaguzi.
Wanafunzi walioshtakiwa ~...
Kwa muda sasa kumekuwa na mijadala na taarifa za baadhi ya viongozi Zanzibar kutoa kauli zinazoonekana kuwatenga au kuwashutumu Watanzania kutoka Bara, wakidai wanachukua ajira, fursa za kiuchumi au hata kupendekeza huduma zipatikane kwa kuzingatia asili ya mtu. Kama kweli kauli hizi zinatolewa...
Historia inajirudia kwa namna ya kutofurahisha wakati mifumo ya usalama inapogeuka kuwa zana za kuangamiza ukosoaji wa kisiasa. Eugene Alexander de Kock, mkuu wa kikosi cha siri cha polisi cha Vlakplaas nchini Afrika Kusini wakati wa utawala wa ubaguzi wa rangi, anafahamika kwa ukatili...
Ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu ukianza kula nyama ya mtu hutaacha utaendelea kula
Walianza kwa wasio na vibali. Wakafuata kwa walio na vibali ila wageni
Sasa wamekuja na jambo lingine wewe hata kama mzuru hakikisha unazungumza kizuru fasaha la sivyo na wewe mhamiaji haramu
Tujiulize...
Inashangaza sana leo karne ya 21 iliyo kasi zaidi kiteknolojia kuna watu hasa wa upinzani wanaojenga hoja kwanini Fred Vunjabei akubalike zaidi Isimani kuliko Kalenga alipozaliwa mara baada ya kushinda kura za maoni hatua ya kwanza. Haya ni mawazo ya hovyo yaliyojaa ubaguzi wa kijinga...
Shutuma mpya kutoka kwa CHADEMA Zanzibar wanadia kuwa CHADEMA haipeleki Ruzuku Zanzibar
Wanachama wa Zanzibar hawaishii hapo vilevile wanadai kuwa CHADEMA imekithiri ubaguzi wa dini wakidai kuwa tangu kuanzishwa kwake haijawahi kumpa nafasi ya uenyekiti mwanachama wake wa dini ya Kiislamu...
Angalia namna walivyomshangilia Kassim Majaliwa muislam na namna walivyoshangiliwa mwigilu na nchimbi wakatoliki. Mtazamo kwanini ilikuwa vile.
1. Mwigilu nchemba ni muovu binafsi toka kitambo.
2. Emmanuel Nchimbi ni mtu mwema ila anafunikwa na kivuli Cha Samia muovu.
Wakati Serikali ikiahidi kutoa kiasi cha Sh 200 Bilioni, kwa mikopo ya vijana, wanawake, na watu wenye ulemavu, baadhi ya Vijana na wanawake wamelalamika kuwa mikopo hiyo inatolewa kwa misingi ya itikadi za vyama huku wafuasi na makada wa CCM, wakiwa kipaumbele kwenye mikopo hiyo.
Mwandishi wa...
Kwanza kabisa ubaguzi unauona wazi kabisa kwa majina wanaowaita wasio waislam, MAkafiri, kwa lafudhi ya neno linavyotamkwa unaweza kudhani ni jambazi sugu au muaaji mkubwa sana.
Zaidi ya hapo kuna adhabu ya kuua wanaobadili dini, mtu hana nguvu ya kuamua abadili imani yake akithubutu adhabu...
Hawa Morocco huwa wao wapo Kimakosa Afrika. Wanadharau sana na kutuona sisi ndugu zao si wa maana. Jana waliumia sana. Senegal kwa kweli Mungu wetu amewasimamia vyema kabisa.
Ile dharau ambayo tungeipata sisi? Mungu tu ndo anajua. Najua sisi Waarabu wa Mchambawimba, Makunduuchi hatujapendezwa...
Rais wa Marekani Donald Trump hivi karibuni kwenye Kwenye mkutano wa baraza la mawaziri uliotangazwa moja kwa moja kwenye televisheni, aliwataja wahamiaji wa Somalia kama “takataka”, na kuelezea hamu yake ya kuwarudisha “walikotoka”. Baadaye alizidisha kauli hii, akiwaambia waandishi wa habari...
Hamjambo!
1. Mwezi huu uwe mwezi wenye Baraka na Neema ya Mungu naam yule MUNGU Mwenye Nguvu nyingi aliyetuumba wote.
2. Mwezi huu Mungu atuepushe na Mabaya na kushindwa na adui zetu.
3. Wokovu wa Mungu uwe upande wetu. Naye atatupa Wokovu mkuu na ushindi kwa namna isiyoelezeka.
4. Adui zetu...
Nijenge msingi kwanza! Rais Obama aliwahi kusema Africa inahitaji Strong institution tu kujikomboa. Kwa maneno mengine Taasis imara hususan za Dola.
Nije kwenye mada. Ukiwasikiliza Wahenga na simulizi zao na hata ndugu Polepole miezi ya karibuni utagundua kuwa katika uchaguzi wa kwanza wa vyama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.