tff

TFF 2. Lig (Turkish Football Federation Second League) or TFF 2. Lig (in Turkish), is the third level in the Turkish football league system. It was founded in the 2001–02 season with the name of Turkish Second League Category B as a continuation of the then second level division. In the 2005–06 season the name of the league was changed to Lig B. Since the 2007–08 season the league's current name is used along with sponsor names.
Turkish Second Football League (in Turkish: Türkiye İkinci Futbol Ligi or shortly İkinci Lig or 2. Lig) is a defunct football league in Turkey. It was the second level division in Turkish football since its foundation in 1963–64 until the formation of the new league system in 2001–02. The Second Football League was divided into two categories in the 2001–02 season: Category A and Category B. Since 2007–08 Category A has continued as the TFF First League and Category B has continued as the TFF Second League.

View More On Wikipedia.org
  1. kavulata

    JamiiForums Tanzania TFF asante kwa kifaa cha kupima hewa vyumbani, shida yetu siobali msomaji wa kifaa.

    Ahsante TFF kuingiza kwenye ligi kifaa cha kupima viwango vya hewa vyumbani (gases detector) wanakobadilishia jezi wachezaji. Kifaa kinaweza kupima hewa vizuri lakini aliyekwenda kukisoma na kutoa majibu akapindisha kwa maslahi yake. Maswali ni: 1. Nani atahusika na upimaji? 2. Gases/harufu...
  2. kavulata

    JamiiForums Tanzania TFF ingesogeza mbele dabi kama mechi za kirafiki kwa Taifa Stars zingekuwa muhimu kwao.

    Wanaozilaumu timu kuwaita wachezaji wao kurudi kambini kujiandaa na mechi ya dabi badala ya kuilaumu TFF ni wahuni kama wahuni wengine tu. TFF ina mamlaka ya kuisogeza mechi kubwa sana kwenye mashindano yake ya ligi kama ingekuwa inataka timu ya taifa icheze mechi za kirafiki. Haiwezekani timu...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Maulid Kitenge: Rais wa TFF amesema wachezaji wa timu zote wameruhusiwa, siyo Yanga Pekee

    Mzee wa Minyama Maulid Kitenge amesema amezungumza na Rais wa TFF, Wallace Karia, ambaye amemhakikishia kuwa si wachezaji wa Yanga SC pekee walioruhusiwa kuondoka kambini Taifa Stars nchini Morocco. Baada ya mchezo wa Taifa Stars dhidi ya FAR Rabat, wachezaji wa Yanga, Simba SC na Singida Black...
  4. R

    JamiiForums Tanzania TFF yaruhusu wachezaji wa Yanga kuondoka Kambini Morocco

    Kupitia ukurasa wake Mtandao wa Instagram Jemedari Said amechapisha: "TFF imewaruhusu wachezaji 4 wa YANGA SC walioko kambini Morocco na Taifa Stars kurudi Dar es Salaam ili wajiunge na Kambi ya timu yao inayojiandaa na mchezo dhidi ya Simba SC hapo tarehe 10.10.2026. Yanga SC waliomba...
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Ndumbaro: Niliusoma mkataba wa TFF na Sandaland kisheria upo sawa na manufaa

    "Serikali inayo fursa ya kutoa maoni juu ya uboreshwaji wa jezi pasipo kuwa na ulazima wa kuingilia mkataba."- Damas Ndumbaro, Mbunge wa Songea Mjini ambae alikuwa Waziri wa Michezo. Anasema mjadala huu wa jezi hauna afya katika kipindi hiki ambacho tunajiandaa kwenda Afcon. "Ukiisoma barua ya...
  6. 3

    JamiiForums Tanzania TFF yaijia juu kampuni ya Sandaland Fashion Wear kwa kutumia nembo yao bila kibali: “Tunataka maelezo”

    Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limesikitishwa na matumizi ya nembo yake kwenye mkutano na waandishi ulioandaliwa na kampuni ya Sandaland Fashion Wear. Tunapenda kusisitiza kuwa TFF haikuwa sehemu, wala kujua kabla maudhui ya Mkutano huo uliofanyika leo jijini Dar es Salaam, na...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Sandaland: Kwa mujibu wa Mkataba, aliyepaswa kuzikataa Jezi ni TFF, wakati tumepeleka 'sample' kama hazikuwa na ubora

    Mwanasheria na Mwakilishi wa Kampuni ya Sandaland Fashion Wear Limited, Cletus Tharcisiusy Nziku, amesema mkataba kati ya kampuni hiyo na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) unapaswa kuheshimiwa kwa mujibu wa masharti yake. Amesema kwa kuzingatia kanuni ya sanctity of contract na the...
  8. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Sandaland kuongea na wanahabari kesho. Ni kuhusu Makonda kuingilia mkataba halali na TFF

    Uongozi wa Kampuni ya Sandaland Fashion Wear limited unatarajia kuzungumza na Waandishi wa Habari kesho September 22 2026 katika Hoteli ya Serena Jijini Dar es salaam kuanzia saa tano kamili asubuhi. Hata hivyo kupitia taarifa yake kwa Umma, Kampuni hiyo ambayo ndiyo yenye tenda ya jezi za Timu...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua maamuzi ya kisomi yalivyojaa ujinga njoo uone haya ya TFF

    Sitaki kuwachosha ila kuna maamuzi yalufanywa na watu wanaoongoza mpira ambao elimu zao ya chinibni degree. 1. Kwamba mchezaji wa nje atakayesajiliwa na timu zetu,awe anacheza timu ya taifa ya nchi husika!! Maana yake hatutakuwa na wachezaji kutoka Senegal,Ivory Coast,DR Congo,South Africa n.k...
  10. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Sakata la Jezi za Taifa Stars: Nani Aliruhusu Nini kati ya Makonda, Mwana FA, TFF na Sandaland?

    Hapa kuna maswali kadhaa ambayo naamini TFF na Wizara wanapaswa kuyajibu waziwazi. Jezi hizi zilifikaje hatua ya kuzinduliwa, kupromotiwa na kuanza kutangazwa rasmi kama jezi za Taifa Stars kama kweli Wizara haikuwa na taarifa wala haikutambua mchakato huo? Naibu Waziri alionekana akiwa amevaa...
  11. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania TFF: “Suala la Jezi za Taifa Stars Lipo Mamlaka za Juu”

    Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limesema kuwa changamoto na mjadala unaoendelea kuhusu jezi rasmi za Timu ya Taifa ‘Taifa Stars’ hivi sasa unashughulikiwa na mamlaka za juu. Kauli hiyo imetolewa leo na Msemaji wa TFF, Clifford Mario Ndimbo, wakati akijibu swali la mwandishi wa...
  12. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Kocha wa Gaborone apigwa ngumi: TFF Ichukue Hatua Kulinda Taswira ya Tanzania

    Mpira sio uadui; mpira ni furaha, burudani na umoja. Kitendo kinachodaiwa kufanywa na kiongozi wa Yanga cha kumpiga ngumi kocha wa Gaborone United kinaharibu taswira ya mpira wa miguu nchini Tanzania. Matukio ya aina hii yanaweza kugeuza mpira kuwa uhasama, jambo ambalo ni hatari zaidi katika...
  13. N

    JamiiForums Tanzania TFF na bodi ya ligi mnasuburi nini kumchunguza Nathaniel Chilambo?Au mnataka Yanga tupeleke malalamiko CAF, FIFA na CAS?

    Kichwa cha habari chajieleza vizuri sana. Tunashangaa mamlaka husika za mpira wa miguu nchini hazijachukua hatua yoyote ya kumchunguza mchezaji huyo wa timu ya soka ya Simba. Chilambo ana utata mwingi sana akiwa uwanjani kuitumikia timu yake hiyo huwa anacheza kama nafasi za ulinzi wa pembeni...
  14. kavulata

    JamiiForums Tanzania TFF imemfungia Jamal Bakhressa lakini hawajaufungia ukweli aliousema.

    Alichosema Jamal Bakhressa kinasemwa na wengi, na huo ndio ukweli wenyewe. Ukweli huo ndio uliosababisha hata TFF kukubali kuleta waamunzi kutoka nje kuchezesha mechi za ligi, kufungia waamuzi na kuleta Football Video Support (FVS) msimu huu. Ni kweli waamuzi ni mali ya TFF na bodi ya ligi ni...
  15. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Fifa waandikiwe barua nyingine ili Tff wapewe adhabu. Huwezi kupeleka mechi ya ngao ya hisani Zanzibar wakati Zanzibar wana ZFf na ligi yao.

    Kwa ujumla huku ni kuleta siasa kwenye mpira. Na ni kinyume na misingi ya Fifa inayozuia kuingiza siasa kwenye soccer👇
  16. kavulata

    JamiiForums Tanzania Tuwapongeze TFF kwa Video Support kwenye ligi, So far so good

    Inakera sana makosa ya kibinadamu yakitumika kudhoofisha jitihada za timu, makocha na wachezaji kuwekeza kwenye ushindi wa timu kiwanjani. Football Video Support (FVS) kwenye ligi ya NBC mpaka sasa imeleta utulivu wa hali ya juu. Kelele juu ya waamuzi mpaka sasa hazijasikika au ziko kwenye...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Wito kwa TFF: Je, si wakati sasa wa kuleta mfumo wa "Financial Fair Play" (FFP) kwenye Ligi Kuu ya Tanzania?

    Habari zenu wana Jamii forums!! Ligi Kuu ya Tanzania (NBC Premier League) kwa sasa inatajwa kuwa miongoni mwa ligi bora barani Afrika kwa ubora na ushindani. Tumeona uwekezaji mkubwa wa haki za matangazo (TV Rights) kutoka Azam TV na wadhamini wengine, jambo linalofanya ligi yetu kuvutia...
  18. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania UVCCM Dar: TFF wanapaswa kumfuatilia kwa umakini sana John Heche kwa kauli zake kuhusu mpira wetu na wamhoji

    Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Mkoa wa Dar es Salaam, kupitia Mwenyekiti wao Nasra Mohamed Ramadhani umeitaka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kumfuatilia kwa umakini Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, kutokana na kauli zake kuhusu masuala ya mpira wa miguu nchini. Kazi kubwa...
  19. I

    JamiiForums Tanzania TFF Ni jipu linalotoa usha kila uchao.

    Nmekuwa nashangaa kuona kila mechi inayokutanisha Simba na yanga kupangiwa kuchezwa visiwani Zanzibar, nadhani kwa kufanya hivyo ni kutukosea Sisi watanganyika(Tanzania bara)kwani Simba na yanga ni timu za Tanzania bara ambazo n tunu kwa watu wa bara kitendo cha kupeleka mechi za Simba na yanga...
  20. kavulata

    JamiiForums Tanzania Rais wa TFF Karia kamaliza, wachambuzi wa mpira wanabwabwaja kwenye mike badala ya kuchambua mpira. Ligi ikianza wajirekebishe.

    Wachambuzi wetu wanakera sana. Wanahukumu wachezaji, viongozi wa timu, wafadhili, waamuzi, bodi ya ligi, TFF kama vile wanao ushahidi wa kile wanachokihukumu. Wamepata ajira kwenye chombo cha habari cha mtu lakini wanakaa nyuma ya mike ya chombo hicho wakiwa kama wasemaji wa Simba au Yanga...
Back
Top Bottom