Sisi watanzania wa kawaida tumepata mkanganyiko sana kwa kitendo cha ofisi ya DPP na mawakili wa serikali kutumia neno 'uttering' kwenye kesi ya jinai.
Tulioishia kidato cha nne,sita na waliosoma kozi tofauti na ya sheria tunajua maana ya 'uttering' ni kuongea / kutamka maneno kwa sauti ya...
Japo teyari tuna mtazamo yetu kuhusu kilichotokea leo mahakamani hasa baada ya DCI KIngai kukataa kuwa shahidi wa kumteta Lissu na kitendo cha Kingai kuwasemea mashahidi wenzake (CDF na IGP), nadhani itakuwa jambo jema tukapata ufafanuzi wa kisheria ili tuweze kuonanisha na mtazamo yetu...
Mke ambaye ni wa pili katika ndoa, endapo mume wake amefariki dunia, je, naye anatakiwa kukaa eda (iddah) kwa muda uliowekwa katika Sharia? Na katika kipindi hicho, je, anapaswa kupewa faraja na kuheshimiwa kama mjane mwingine?
Pia, tunaomba kufahamu: ikiwa mwanamke ambaye ni mke wa marehemu...
Sheria inasema foreigner anaweza kupewa derivative right ya kumiliki ardhi kwaajili ya uwekezaji tu. Kuhusu swala la disposition (kuuza/kurithisha) ardhi husika Sheria ya ardhi imewaka restrictions kwamaana kwamba mwekezaji atatakiwa kurudisha ardhi kwa wamiliki waliompatia haki ya kuwekeza...
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Hamza S. Johari akitoa ufafanuzi wa Kisheria kuhusu Uteuzi wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bungeni Jijini Dodoma tarehe 28 Agosti, 2026.
https://x.com/_zack255/status/2093349788511084748
👆🏾👆🏾👆🏾
Tazama Video yote hapo juu.
Sidhani kama Kila tukio la Kihistoria lilisababishwa (causes) na mambo sita na kuendelea au lilisababisa (effects ) mambo sita na kuendelea.
Katika somo la history hapa nchini kumekuwa na tabia kutaka kuwaaminisha wanafunzi kuwa kila tukio la Kihistoria limesababishwa na mambo mengi sana.
Ni...
🚨 NAOMBA UFAFANUZI: HII NI HAKI KWELI?
Nimeamua kuandika hili kwa sababu naamini kuna watu wengi wanaweza kuwa wamepitia hali kama yangu bila kujua cha kufanya.
Nilienda kuomba mkopo benki, nikafanyiwa CRB check na nikakuta nina deni la Songesha. Nilipoanza kufuatilia, nikagundua kwamba deni...
Prof. Omar Fakih Hamad, Mnadhimu wa ACT Wazalendo, Baraza la Wawakilishi Zanzibar
Ndugu Wanahabari! Hatuna budi kumshukuru Mwenyezi Mungu, aliyetujaalia uhai na uzima na kutuwezesha leo hii tukajumuika pamoja hapa katika ukumbi wetu wa Chama kwa ajili ya kuzungumza nanyi masuala yaihusuyo nchi...
Leo Serikali Kupitia TPDC imeita waandishi na wahariri wa Habari mbalimbali na kutaka kufafanua juu yaadai yaliyotolewa na ACT Wazalendo kuhusiania na kashfa ya uagizaji Mafuta.
Nimesikiliza hotuba Yao na kurejea maswali ya ACT kiukweli bado ufafanuzi inahitajika
Nakuwekea maswali ya ACT hapa...
JWTZ ni dhahiri limekubali kujinasibisha na SIASA- ambayo ni kinyume na KATIBA ya JMT ni hatari zaidi kwa ustawi wa TZ.
Kwa mfano kauli ya Msemaji wa JWTZ kusema KAZI na UTU ni kauli ya kisiasa: kupitia ripoti ya Chande dhidi ya mauaji ya halaiki… Oct 29 moja ya sababu alizotoa zilizochochea...
Ujumbe aliopewa musa wa kuvua kiatu alichotoka nacho kwa farao,kwamba mahala pale ni patakatifu ulimaanisha kiatu Gani?je ni kiatu kama kiatu Cha kuvaliwa mguuni au ni Nini kililengwa.Je mahala pale palipotajwa kwamba ni pasafi ni sehemu gani?mbinguni,Israel au hapo walikokua wamefikia mala...
Anasema Bajeti ni sh trilioni 62.3, na bajeti inajitegemea kwa mapato yote ya ndani kwa 74.2% sawa na sh trilioni 46.24, utata ni pale anaposisitiza kuwa tutakopa sh bilioni 500 tu.
Je sh trilioni 15 zitapatikana wapi?
Wataalam wa bajeti tafadhali mtueleweshe hapa.
Ajira mpya katika Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko tunaomba kufikisha kilio chetu kuhusu utata uliojitokeza katika malipo ya fedha za kujikimu baada ya kuripoti kazini.
Tulipokuwa tunaripoti, tuliagizwa kuandika barua za kuomba fedha za kujikimu, maelekezo tuliyopewa, tuliambiwa kiwango cha...
Anonymous
Thread
ajira
ajira mpya
fedha
fedha za kujikimu
kakonko
kuhusu
kujikimu
malipo
mpya
ufafanuzi
watumishi
Wote tunajua ugumu wa maisha unayoikumba Kenya hasa kwa Mwananchi asiye na ajira yyte. Ni vema viongozi wa chadema wakatoa ufafanuzi wa nani anafadhiri maisha ya viongozi wao ambao walikimbilia Kenya Toka waka Jana, nani anawatunza?
Je? Nani amewapangia nyumba ya kuishi? Nani anawalisha? Ni...
Tanesco imetolea ufafanuzi wa Kero zilizowasilishwa na wadau hapa JamiiForums, baadhi ya sehemu maboresho yameanza.
Pia soma
~ KERO - Mwaka wa 3 sasa TANESCO hawajaweka Transfoma hapa Msambiazi-Korogwe, tunateseka umeme kukatika
~ KERO - TANESCO Iringa Mjini wanakata umeme laini ya viwandani...
Ndugu wanajukwaa,
Naandika ujumbe huu kwa niaba ya baadhi ya Wahudumu wa Afya ya Jamii (CHWs) wa Wilaya ya Ruangwa, Mkoa wa Lindi, ili kuwasilisha kilio chetu kuhusu changamoto zinazotukabili katika utekelezaji wa majukumu yetu.
CHWs tumekuwa tukifanya kazi kubwa ya kuelimisha jamii kuhusu afya...
GUYS NAOMBENI UFAFANUZI WA MASWALI HAYA MAANA PENGINE SULUHISHO LA MGOGORO WA MAREKANI, ISRAEL NA IRANI NDO UKO HAPA.
1.Kwa muda sasa tumekuwa tukishudia uchokozi wa USA katika mataifa mbalimbali.Je Marekani ni nani hapa duniani?
2.Nchi zingine zote zilizopo hapa duniani zikiungana zinashindwa...
Mei 29, 2026 Mdau aliandika “Pemba: Nyama ya msaada iliyotolewa na Wabunge imebainika haifai, kuna watu wameingia nayo mtaani, Mamlaka zipo kimya”
Hoja ya awali ~ Pemba: Nyama ya msaada iliyotolewa na Wabunge imebainika haifai, kuna watu wameingia nayo mtaani, Mamlaka zipo kimya
Mbunge wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.