Wanabodi...
Poleni na majukumu ya week nzima, as we are welcoming another beautiful weekend.
Naomba tuongelee hili swala kidogo, tumeaminishwa kuhusu uwepo wa Mungu na miujiza yake ya kuponya viwete, kutenganisha bahari na hata kurudisha uhai kwa wafu.
Je Mungu huyo yupo?
Maana nimefika...
Kesi kadhaa za kisheria zinaendelea kuongezeka dhidi ya kampuni kubwa za dawa, Eli Lilly na Novo Nordisk, huku baadhi ya wagonjwa wakizishutumu kampuni hizo kwa kushindwa kutoa tahadhari kuhusu uwezekano wa uhusiano kati ya dawa maarufu za GLP-1 na kupoteza uwezo wa kuona ghafla, kwa mujibu wa...
Salaaam! Kuna dogo aliomba kazi kupitia ajira portal.Anadai hakuwa kwenye mazingira mazuri hivyo akashindwa kupata kinachoendelea kwenye akaunti yake.Jana kachungulia kakuta kapangiwa kituo cha kazi tangu mwezi Augost. Mnaweza kushaurije kwenye hili wakuu?
Binafsi huu mwaka nimeona takriban watu 7 nilosoma nao na age mates wame uta majiko..
Mimi ndo hata hilo wazo sina..
Ila nahitaji kuwa a dad to my kids, then why the heck sichukui hatua? Bado sijajiweka in the position kupata mtu sahihi na ninao a fresh tu
Wakuu this is insane mpaka unaogopa...
Mijitu mipumbavu ambayo inatumia makalio kufikiri .
Mijitu inayodandia mada hata kama hizo mada haziwahusu. Inatakiwa ukiiblock isiweze kuona nyuzi au comment zako.
Habari Wadau
Naomba kujua uwa mnachukua hatua gani za kwenda kuona kiwanja kabla ya kununua au baada ya kununua katika site ya Tausi.
Je unaenda na Afisa ardhi au inakuwaje, maana ramani ya Tausi haiwezi kukupa direction nzuri mpaka kwenda kukiona kiwanja hususani kwenye maeneo ambayo bado ni...
Tanzania Ina vituko vingi sana jambo ambalo kwa kawaida Linalohitaji logic ya kawaida kabisa mkuhoji watu wanalazimisha subirieni tume afu wanashabikia tume walioiunda wenyewe.
Hivi kweli akili ya kawaida haikutumi kwamba ni kama mbwa kujifucha kwenye shamba la karanga!?
Ni kijana mdogo tu kisiasa na kaweza kupata cheo namba 2 kikubwa nchini kinachomuhakishia uhakika wa maisha safi hata baada ya kustaafu
MAFAO BAADA YA KUSTAAFU
Pensheni ya kila mwezi: 80% ya mshahara wa Makamu wa Rais aliye madarakani.
Kiinua mgongo: 50% ya jumla ya mishahara yote aliyopokea...
Baada ya kuingia duka la Mangi nimekutana na wine ya Tshs 1000 ilibidi niulize bei mara mbilimbili.
Nimependa strategy ya hawa jamaa, kutokana na ushindani mkubwa sokoni mengi yatajitokeza.
Ujazo - 200ml
Abv 14%
Mbeya kipindi cha mvua na chenyewe kunakuwa na siku nyingi za bila jua. Moshi leo ni siku ya 4 hatulioni jua. Ni mawingu yametanda tu muda wote hata kama hakuna mvua. Wenyeji wananiambia sometimes inaweza kufika wiki 2-3 pako hivi
Uzuri wa hali kama hii ni kwamba unaweza kutoka nje hata mchana...
Kuna tofauti kubwa kati ya mtu asiyejua ukweli na mtu anayejua ukweli lakini hataki kuukubali.
Mtu asiyejua anaweza kufundishwa. Anaweza kuuliza, akatafuta ushahidi na hatimaye akabadilisha mtazamo wake.
Lakini tatizo linakuwa pale mtu anapoona ushahidi unaopingana na msimamo wake, halafu...
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Moja ya sifa za mtu mchawi ni pamoja na hiki ninachokieleza hapa.
Kazi kuangalia nani kaja kwenye msiba nani hajaja.
Nani Kala nani hajala
Nani anafanya nini.
Kufiwa hujafiwa wewe unapeleka mambo yako ya kichawi kwenye misiba ya watu.
Subiri ukifiwa ndio...
A cunt is a cunt
Tapeli ni tapeli tuu
Hata siku moja usichukulie poa vitu vidogo ambazo unakuwa una notice kutoka kwa mtu, ukidhani vikubwa ndio hatari kuu, no utangeneza bomu
Pale unapokuwa unasubiria kuyapkea mazuri yake, yeye aadhania una mpatia muda wa ku-normalize makucha yake.
Mwanzilishi wa Neuralink, Elon Musk, anasema kampuni hiyo ya kutengeneza vifaa vinavyopandikizwa kwenye ubongo inapanga kupandikiza vifaa vyake vya kwanza vya kuona vinavyojulikana kama Blindsight ndani ya miezi sita hadi 12 ijayo, huku ikiendeleza teknolojia inayolenga kuwarejeshea uwezo wa...
Baada ya kuona mambo yamebadilika na wafadhili wao wakikumbwa na changamoto za kifedha, Hamas sasa wanaonekana kulegeza msimamo. Afisa wa kundi hilo anayehusika na mazungumzo, Ghazi Hamad, amesema Hamas ipo tayari kukabidhi silaha zake kwa Kamati ya Kitaifa ya Palestina, chombo kinachopendekezwa...
Umeangalia vigezo vyako kwamba ni kweli Hana mtoto ila kwenye kipengele Cha Tattoo akakuambia ujana , ulimbukeni na kuiga nawe ukakubali? NI SAWA BRO.
Kitu muhimu uelewe visivyokuwa na shaka kwake huyo.
1: Hana bikira
2:Katoa mimba shazi
3:Amelombwa na wengi mno akiwemo na mchora Tattoo.
4...
Yaani unatumia fedha za walipakodi kumfurahisha mtu ambaye kesho atatoka madarakani.
Hebu fikiria kuisaidia shule ambayo vizazi na vizazi vinasema, hospital ambayo wananchi watatibiwa.
Kumtumikia kiongozi wa juu ni utumwa tumikiwa wananchi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.