katiba bora

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mpinzire

    Kitendo cha CCM kutaka kuhodhi mchakato wa Katiba kama walivyofanya mwaka 1977 na 2014 kitasababisha tushindwe kupata Katiba Bora.

    UPATIKANAJI WA KATIBA YASASA (1977) Historia inatunesha Katiba hii ya tuliyonayo ya mwaka 1977 ilipatikana kutokana na tume ya Rais iliyokuwa nawajumbe 20, kwa idadi sawa toka pande zote za muungano ikiongozwa na Sheikh Thabit Kombo akisaidiwa na Pius Msekwa kama katibu wa tume hii ya Rais. Hata...
  2. P

    SoC03 Katiba Bora ndio chanzo cha Utawala Bora na Uwajibikaji katika Taifa

    Katiba bora ina jukumu muhimu katika kuleta utawala bora na uwajibikaji katika Taifa lolote. Hapa chini ni baadhi ya manufaa tunayopata kupitia Katiba bora Kugawanya madaraka: Katiba bora inakuwa na mfumo wa kugawanya madaraka ulio wazi na uliobainishwa vizuri. Inathibitisha mamlaka na...
  3. K

    Prof. Kabudi ndio awe Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba. Apewe nafasi ya kukamilisha alichoanzisha

    Kwa kuwa mchakato wa katiba mpya utaendelezwa panapo Majaliwa yake Mwenyezi Mungu mwaka ujao wa fedha 2023/2024 na tume maalumu itaundwa kufanikisha mchakato huo naona Prof. Kabudi atafaa sana kuwa Mwenyekiti wa bunge maalumu la Katiba. Ni mwanasheria mzuri na mwenye uwezo mkubwa wa masuala ya...
  4. B

    Katiba Bora: Waziri kipenzi wa Kenyatta akimbilia mahakama

    Ama kweli Katiba bora ni raha sana. Aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani kwenye serikali ya Kenyatta amekimbilia mahakamani kujiokoa dhidi ya kukamatwa na polisi: Protect me, former Interior minister Fred Matiang'i tells court Enyi mlioko madarakani tambueni kuwa vyeo ni dhamana na kuna leo na...
  5. Meneja Wa Makampuni

    Uhusiano wa Katiba Bora, ukuaji wa uchumi na hali ya maisha ya raia wa Tanzania

    Katiba ni sheria kuu ya nchi inayoweka mfumo wa kisheria na kitaasisi kwa serikali, kufafanua haki na wajibu wa raia, na kuweka kanuni za utendaji kazi wa jamii. Ni hati inayoeleza kanuni na maadili ya msingi ya nchi, na inatumika kama msingi wa sheria na sera nyingine zote. Katiba kwa kawaida...
  6. B

    Machungu ya katiba bora, Majaji 6 wa Ruto ngoma bado mbichi

    Kumbe Ruto pamoja na kujishasha kwake na hatma ya majaji wale 6 mbele ya wageni wasiohusika, kingali kimeumana? Kwa hakika ndiyo maana watawala wetu wakisikia katiba mpya: "Huwa hawaishiwi ndoto mbaya mbaya usiku wakikimbizwa na kupigiwa kelele za wezi,,, wauawaji ... zisizokoma." Hawa 6 kwa...
  7. Broadfuture

    Katiba bora Tanzania imara

    UTANGULIZI Maisha ya mwanadamu yamejikita katika ngazi mbalimbali za kijamii kulingana na muundo au mfumo ambao jamii husika hujiwekea. Ukubwa wa jamii zetu huanzia chini kabisa na hatimae kupanda juu kutoka ngazi moja had Ngazi nyingine. Ngazi hizi ni kama vile, familia, ukoo, kabila, taifa...
  8. chiembe

    Diaspora wa U.S.A wanaonekana maisha yamewapiga japo wanaishi U.S.A kwenye katiba bora duniani, nadhani si Kila jambo ni katiba

    Kwa kweli ukiangalia picha za hao Diaspora, unaweza kuyasoma maisha yao. Hakika wamepigika kimaisha, lakini wanaishi katika nchi yenye katiba bora kabisa, na uchumi mkubwa, nadhani tunahitaji mjadala mpana, maana Sasa hivi hata mtu tumbo likijaa gesi, unamsikia anasema solution ni katiba mpya...
  9. K

    SoC01 Umuhimu na uhitaji wa Katiba Mpya iliyo Bora

    Utangulizi. Katiba ni sheria na kanuni zinazotungwa ili kuongoza nchi, shirika au taasisi fulani. Katiba ya nchi inatambulika kuwa sheria kuu na sheria mama na ndio msingi wa nchi. Katiba ni msingi wa mihimili mikuu mitatu ambayo ni dola, bunge na mahakama. Katiba inafafanua na kutoa mgawanyo wa...
  10. Shujaa Mwendazake

    Katiba bora, Utawala wa Sheria, Utawala bora, Uchumi imara

    Huwezi kujenga uchumi bila utawala bora na huwezi kuwa na utawala bora bila utawala wa sheria, na huwezi kuwa na utawala wa sheria kama hauheshimu haki za binadamu na uhuru wa mahakama! Na huwezi kupata hivyo bila katiba bora. Hii ya sasa sio bora tunataka mpya!
Back
Top Bottom