wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. CHASHA FARMING

    JamiiForums Tanzania Mazao/Mifugo Under rated inaweza kuwa na faida kuliko yale Over rated ambayo wengi hukimbilia

    Asilimia kubwa ya wakulima lazima utukute kwenye mazao yale Over rated yanayo zalishwa na kila mtu. mazao ya jamii kama Mahindi, Mahargwe, Mazao kama Vitunguu, Nyanya, Tikitiki maji, Maembe na kadhalika. Huko utatukuta kwa wingi sana Utatukuta kwenye mifugo kama Kuku labda na nguruwe na Ng'ombe...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Zingatia hili " rafiki zako wengi hawatamani kuona unafanikiwa kuwashinda✍️ Malenga wa Kiha

    Wanatamani kuona mafanikio yako ila sio ya kuwazidi na hii ni hulka ya binadamu karibu wote hivyo ili kutoboa hapo ni kuwa MSIRI washitukie tu uko juu yao . #Malenga wa Kiha #Mwanasayansi Kalivubha #Fikia ndoto zako
  3. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania CCM bado inahitajika Tanzania, hata kama watu wengi wameichoka

    CCM ni old version kwa ajili ya old version people. Watanzania bado sana kuingia kwenye Dunia mpya. Nina mashaka kwamba hawa wahitimu wa masomo ya uhandisi na famasia ambao walipaswa wawe wavumbuzi hawatagundua kitu chochote kipya. Si kwamba hawana akili ila akili zao wamezikabidbi kwa Mitandao...
  4. fact only

    JamiiForums Tanzania Watu wengi wanakula ila hawalimi.

    Hellow wana JF. Ukitazama kwa umakini katika hii Dunia ya sasa watu wengi wanakula ila hawalimi. Hata wasomi wengi walio somea kilimo wanataka kukaa maofisini kwenye kiyoyozi na feni zenye upepo mzuri hawataki kabisa kujihusisha na kilimo. Ukizunguka kwenye mashule na mavyuo mbalimbali...
  5. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Watu wengi katika mitaa wanajifanya vichaa! Vichaa halisi ni wachache sana, wengi wanajifanya.

    Vichaa mitaani ni wachache mno, hawa wanaotembea na kuokota makopo, sijui kuomba msosi sio vichaa. Mtu mchana unamuana kichaa, lakini usiku alishakula na kushiba anapiga story hadi unashangaa. Wengine usiku wanageuka kuwa wapiga roba za mbao! Chunga sana!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi tuna Reactive mindset; tunangoja tatizo litokee ndipo tuchukue hatua, tulifundishwa kutii kwa hofu kuliko kuchukua hatua mapema

    Na ndio sababu tuna visingizio na lawama nyingi !! Ukiangalia maisha yetu kwa karibu, utaona hii tabia ipo kwenye maeneo mengi. Deadline ikikaribia ndio kazi inaanza. Mtihani ukikaribia ndio kusoma kunaanza. Mgonjwa akizidi ndio tunakimbilia hospitali. Gari likiharibika kabisa ndio tunakumbuka...
  7. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Hakika, tunahitaji kina Kweka wengi kwenye ndoa

    Pole nyingi ziwaendee wafiwa. Ukiangalia kwa umakini zaidi hili tukio, utagundua ndugu KWEKA ni shujaa, amepeleka ujumbe mzito kwa wanawake wenye tamaa na wababaishaji kwenye taasisi ya ndoa. Msingi wa ndoa ni kuishi pamoja mpaka mwisho wa maisha yenu. Dini ya kikristu ya hao waliokuwa...
  8. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Huenda viongozi wengi zaidi wa CHADEMA wa kanda, mikoa na wilaya mbalimbali nchini wakajuzulu kabla na mara tu baada ya hukumu ya Mwenyekiti wao Taifa

    My friends, ladies and gentleman, Kuna gharika ya viongozi wa chadema kuachia ngazi inaendelea... In fact, sote ni mashahidi wa wimbi hilo la viongozi wa chadema wa kanda mbalimbali, mikoa na wilaya mbalimbali nchini, wakistaafu siasa, kuomba kupumzika uongozi wa chadema na wengine wakijiuzulu...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Kanda ya Kaskazini ndio yenye Mabilionea wengi Watanzania wenye utajiri zaidi ya bilioni 100+

    Wafanyabiashara wenye utajiri mkubwa Kanda ya Kaskazini Familia ya Mengi IPP Group Utajiri: Zaidi ya USD milioni 200 Ridhuan Mringo Derm Group Mwanga Hakika Bank Utajiri: Zaidi ya USD milioni 100 Silvestery Koka SF Group Utajiri: Zaidi ya USD milioni 80 Ernest Massawe Erncon Holding Tol...
  10. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Dini imeharibu "critical thinking ya vijana wengi wa kiafrica na kiarabu. Wameipa nafasi kuu kama chanzo cha maarifa yao na muamuzi wa maisha yao

    Free will zenu zimemezwa na mafundisho ambayo alieandika mwenyewe alikuwa ana timiza uhuru wa maoni yake, je wewe maoni yako yako wapi, iko wapi mantic yako?, uko wapi utashi wako?
  11. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Ziwa victoria ukanda wa musoma na visiwa vya ukurewe kumetupwa vifungo vya maisha ya watu wengi. Chezea pote ila sio uchawi wa ziwani

    Inachukulia hatma yako alafu inafungwa kisawa sawa na kunenewa na inatupwa ziwani. Kinachofatia ni wewe kuona cha mtema kuni maisha yako yote. Nafikiri wakazi wa majita na ukerewe wanaelewa nachokimaanisha na kina uzito gani. NIWATAKIE MEMA KATIKA NJIA ZENU.
  12. L

    JamiiForums Tanzania Bila Rais Samia Kuingia Madarakani Vijana wengi sana wangeacha kwenda vyuo Vikuu na wengine Wangekuwa wanaishia kidato cha 4 Tu. Tunamshukuru Mama

    Ndugu zangu Watanzania, Ni ukweli ulio wazi kabisa kuwa Rais Samia ametoa ajira nyingi sana katika historia ya Taifa letu ndani ya kipindi kifupi cha Uongozi wake. Ni ukweli ulio wa wazi kabisa Kuwa Rais wetu Mpendwa kainua Matumaini ya vijana wengi sana kupenda shule na kuendelea na masomo...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Millennials wengi walipuuza wazee, enzi za ujana walioa Hardcopy kuzidi Softcopy. Leo, wengi wanajutia, Gen Z, msirudie history ya millenials.

    Kwa wakati wa Millennials wakiwa vijana, ilikuwa ni enzi ya taiti, vitop, mini na vivazi vilivyoacha Hardcopy ikionekana wazi. Wengi walipagawa. Hata muziki ukabadilika nyimbo zikaanza kusifia mashepu, makalio, mapaja na uzuri uliokuwa ukionekana kila kona. Millennials wengi wakaingia kwenye...
  14. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Ushauri wanaopewa vibali vya kumiliki silaha wapimwe akili kila mwaka pls..else tutazika wengi kwa hali hii..pls n pls

    KUTOKANA NA MAMBO YANAYOENDELEA KILA SIKU MARA MUME.KAMUUA.MKE NA SILAHA MARA MKE KAMUUA MWENZIE NA SILAHA TUNASHAURI HAWA WATU MNAOWAPA SILAHA WAMILIKI WAPEWE MITIHANI YA KUANGALIAA AKILI ZAO KILA MWAKA TAFADHALI MKUMBUKE MNAVYOWAPA WENGINE WANAKUWA NA FURAHA KWENYE NDOA ZAO LAKIJI...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Wabongo wengi kulazimisha wengine kufanana nao kwenye burudani (hususani mziki)

    Wadau wa jf nimeona nitoe ya moyoni mwangu. Mimi ni mshabiki wa muziki wa dancehall toka utotoni na ninapenda zile dancehall ngumu zinazoelezea maisha halisi ya mtaani mfano ugumu wa maisha, violence, Babylon system inavyotreat watu. Yaani ukiingia getoni kwangu, ni mwendo wa gangsta tracks za...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wapo kimaslahi katika ndoa.

    Wanawake naombeni mbadilike.
  17. R

    JamiiForums Tanzania Afande Sele: TRC mliwaza nini kuondoa ruti ya Elfu 13, 500 Asubui Morogoro-Dar na kuweka ya 50,000 ambayo wananchi wengi hawaimudu?

    Kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Instagram Msanii Afande Sele, amechapisha: "Kwa uongozi wa shirika letu la Reli,/TRC..😎 Mjumbe hauwawi na huu ndio ujumbe wenu kutoka kwa wananchi ambao ndio wamiliki halali wa shirika na nyinyi ni watumishi wao tu..🤔 Wananchi au mabosi zenu wanauliza tena...
  18. 4

    JamiiForums Tanzania Ushauri :ukiona upo karibu na viongozi wengi then unajisifu upo na connection jua hu mpumbavu

    Wakuu amani ya Bwana ikawe juu yenu , kila mmoja kwa imani yake popote mlipo wanajf. Rejea mada tajwa hapo juu, Usijigambe sana kwamba upo na connection sijui na kiongozi gani, uyu ulie na connection naye na unajua mambo yake mengi , siku akiona lipo jambo linaweza kumsanukia ,jua tu lazima...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Nini kinafanya Wazazi walio wengi kumpenda mtoto mmoja zaidi kuliko wengine?

    Sijui kama na wewe umeona, nimekuwa nikichunguza familia nyingi unakuta wazazi hasa wamama kumpenda mtoto mmoja zaidi kuliko wengine. Nachakushangaza zaidi sio kwamba ni kwa sababu ana mafanikio kiuchumi au tabia njema hapana ila unakuta huyo ndio anapendwa zaidi kuliko hata wale wenye tabia...
  20. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano Waafrika wengi wamedumaa akili kwa sababu ya kuugua Malaria utotoni.

    Malaria imewahi kuwa na bado ni ugonjwa mbaya sana uliwowaathiri mamilioni ya watu hasa wakiwa watoto katika nchi zote za Africa Kusini mwa janga la Sahara(Sub-Saharan Africa) hasa na Tanzania ikiwepo. Athari mojawapo za ugonjwa wa malaria hasa kwa watoto wadogo ni kudumaa ubongo wao na...
Back
Top Bottom