vijana

 1. 666 chata

  Njia wanazozitumia vijana kukuibia mke/mchumba/mpenzi wako

  Kisaikolojia tunasema kila kitu kinategemeana na hali ya ufikiri, kusex na mtu ni matokeo ya hali ya ufikiri baina ya wagonganji na wagongwaji, kila kitu ni state of mind; Nayasema haya kwa sababu mtu kumsaliti mpenzi wake ni matokeo ya kubadilishwa fikra, na jamii ambayo ni nyepesi zaidi ktk...
 2. MzaramoTz

  Tatizo la vijana wengi sana hili

 3. Tabutupu

  Vijana wanasiasa wajifunze kwa nguri wa siasa Lowassa

  VIJANA WANASIASA WAJIFUNZE KWA NGURI WA SIASA LOWASA Kizazi cha kina lowasa na wenzake kama kina JK,Kinana, Mangula etc ni kizazi kilicho anza siasa enzi za Nyerere wakati huo ilikua muhimu kwenda jeshini, kusoma chou cha siasa kivukoni, kushika madaraka ya serikali toka ngazi za chini ndipo...
 4. Z

  Lijuakali kawaangusha wabunge vijana

  Lijuakali kaonyesha udhaifu mkubwa sana katika hotuba yake bungeni na katika andiko lake juu ya kupatikana kwa ubunge Wake Kilombero 2015 humu JF. Nikianza na mchango Wake bungeni: Katika mchango Wake kaonyesha hana ujasiri wa kukabiliana na mitikisiko ambayo kwenye siasa ni vitu vya kawaida...
 5. CCM imara

  Ni wakati wa vijana tunaoamini katika mabadiliko ya kweli, kuiunga mkono CCM maana inatabirika na inaaminika

  Katika kundi ambalo kwa kawaida na ni nature yake kutaka mabadiliko ni kundi la vijana, vijana wengi kokote wamekuwa chachu ya kuhimiza mabadiliko, na kwa kulitambua hilo baadhi ya watu, makundi, vyama wamekuwa wakiwatumia vibaya vijana ili kutimiza malengo yao. Nafahamu vijana wengi wa...
 6. Z

  Kufungua vyuo ni kuwajaribia vijana wetu na kuwamaliza waalimu vyuoni

  Kama kweli Rais kadhamiria kufungua vyuo bila kuangalia hali halisi ya ugonjwa huu, basi waalimu vyuoni jiandaeni. Taarifa tunazofahamu ni kwamba Vijana wanapambana na ugonjwa huu vizuri zaidi kuliko wazee. Madarasa ya vyuo vyetu ni kama kambi za wakimbizi. wanafunzi hujaa hadi pomoni na...
 7. J

  Poleni Rais Magufuli na KUB Mbowe kwa vijana wenu kupata maambukizi ya Covid 19, Mungu ni mwema amewaponya

  Namshukuru Mungu kwa ushuhuda wa uponyaji kwa mtoto wa Rais Magufuli kadhalika mtoto wa Kiongozi wa Upinzani Bungeni mh Mbowe. Kwa mujibu wa Rais Magufuli mtoto wake alitibiwa nyumbani kwa tiba zetu za asili ikiwemo kula malimao, tangawizi na kujifukiza na Mungu wa mbinguni amemponya. Naye...
 8. Influenza

  Baada ya TAKUKURU kusema itawahoji TFF kuhusu Bilioni 1 ya AFCON ya vijana iliyotolewa na Rais Magufuli, TFF yasema haijawahi kupokea fedha hizo

  Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetolea ufafanuzi kuhus Tsh. Bilioni 1 zilizotolewa na Rais Magufuli kwa ajili ya fainali za AFCON kwa Vijana chini ya umri wa miaka 17 zilizofanyika mwaka 2019 Katibu Mkuu wa TFF, Kidai Wilfred amesema fedha hizo hazikuingia kwenye akaunti za fedha...
 9. technically

  CCM Mwisho wake kuwepo kama chama tawala ni 2020

  Sitaki kusema mengi kwanini kinaenda kufa ila hoja kubwa ni toka baba wa taifa afariki CCM kimekuwa kikitawala kwa ujanja ujanja na propaganda Kikubwa zaidi hawamu ya 5 imekizika kwa kupuuza wananchi wanataka nini kiufupi CCM haifanyii kazi matakwa ya watanzania walio wengi ili swala linaenda...
 10. Sandali Ali

  Kutokusoma vizuri tangazo la kazi kumesababisha vijana wengi kukosa kazi huku wana sifa za kupata kazi

  Ni takribani miaka 3 hivi nimekuwa nikiwasaidia vijana au ndugu wa karibu kuomba kazi katika taasisi mbalimbali hasa za umma. Nimejifunza mengi sana, nimeona challenges nyingi ila leo nitaongelea jambo moja tu. Jambo hilo ni kusoma tangazo la kazi kwa umakini na kulielewa. Wengi wakikuta...
 11. E

  Elections 2020 Naongea na vijana wenzangu

  Niliandika makala hii 2017 mnasemaje kuelekea uchaguzi 2020 POLENI SANA VIJANA, MNAKUWA MAJESHI YA MINYUKANO YA KISIASA MWISHO INAKUWA AIBU KWENU. Poleni sana vijana wa ACT - WAZALENDO mliomtukana matusi yote Mh Mbowe kisa mapenzi makubwa mliyonayo kwa Mh Zitto pengine hamkujua wanasiasa...
 12. DeWitt J

  Ugumu wa maisha usababisha vijana tufanye jinai

  Habarini ny'ote. Nawaletea salam changamfu kabisa kutoka Monroe. Ukiwa huna hela unaweza kufanya chochote, sehemu yoyote na kwa wakati wowote ili tu uipate. Kuna kipindi nilikosa hata mia ya kununulia bange na kuomba siwezi, kwa kuwa tuliwahi kuishi Geita nikapawaza GGM huu ni mgodi nikaenda...
 13. M

  Kwa nini vijana Tunawapisha wazee katika mitandao ya kijamii?

  Baada ya kuanzishwa kwa Facebook vijana wengi walitumia mtandao huu na baada ya wazee kuuvamia vijana wakakimbilia Instagram na Kwakua mwendo ni ule ule mpaka sasa Vijana Wanaanza mdogomdogo Kukimbilia TikTok ni lini Mbio hizi zitafika Mwisho?
 14. Nyendo

  Mama wa miaka 58, adaiwa kubakwa na vijana wawili

  Polisi wilayani Serengeti mkoani Mara wamemkamata Kumari Mongita (23) mmoja kati ya wawili wanaodaiwa kumbaka mama mwenye miaka 58, mkazi wa Miseke ambaye amelazwa hospitali Teule ya Nyerere kwa ajili ya matibabu. Tukio hilo linadaiwa kutokea Aprili 6 usiku katika kitongoji cha Senta wakati...
 15. marco polo jr

  Serikali ifungie tovuti zote za pichani za ngono ili kuokoa vijana wetu

  Wakuu. Nimependa leo tujadili suala hili, mitandao ya ngono inaharibu vijana wetu pamoja na utamaduni wetu kama waafrika. Ilikuwa siyo kawaida kuona picha za faragha kwani ilifahamika ni jambo la aibu kuona na pia kulikuwa na hofu fulani. Zamani kidogo kuona picha hizi ilikuwa lazima ulipie...
 16. Sangatitti

  Sasa ni zamu ya Vijana kushika nafasi za kisiasa

  Kwenye mada yangu Baada yakufanya tathmini nimegundua, safari hii wabunge na madiwani watakuwa ni vijana kwa 90%. Hii imetokana na ukweli kwamba Tanzania watu wamezichoka siasa za kibaguzi.... zakulishana sumu. Nipende kuwaambia wazee wote, kuwa watuache sasa hivi ni wakati wa vijana . Hii...
 17. J

  Mzee Mgaya: Mbowe amebahatika kuwa na ushawishi kwa vijana kitu ambacho wanasiasa wengi wamepungukiwa

  Kada mzee Mgaya anasema pamoja na mapungufu yake lakini ukweli bado unabaki kuwa Mbowe ana ushawishi mkubwa kwa vijana. Na hii inawezekana imetokana na mapenzi yake ya muziki wa kizazi kipya tokea enzi zile ambapo muziki wa Dansi au Jazz band na taarabu ulikuwa umetamalaki. Katika zama hizi za...
 18. Moto wa volcano

  Kuleta utofauti kuwe shabaha kwa vijana

  Mafanikio au maendeleo mazuri sio yale yanayo mgusa mtu mmoja au kundi la watu wachache bali ni yale yanayo wagusa watu wengi na yanaleta utofauti kwenye jamii na Dunia nzima, Mapambano yawe katika kuleta utofauti.
 19. Nyendo

  'Likes na comments' kwenye mitandao ya kijamii imekuwa ni chanzo cha furaha au mfadhaiko kwa vijana wengi. Je, unalizungumziaje hili?

  Mitandao ya kijamii kwa sasa imekuwa sehemu ya maisha ya watu. Baadhi yao watumiaji hao wamepata uraibu wa hali ya juu kiasi ambacho bora akose chakula lakini awe na bando la kuingia kwenye mitandao ya kijamii (hawa ndio wazee wa stress sasa). Mitandao ya kijamii watu wamekuwa wakitumia...
 20. Nyendo

  Tume ya Ushindani yaonya wanaoficha, kupandisha bei vifaa vya kujikinga na corona

  Tume ya Ushindani nchini (FCC), imewaonya waingizaji, wazalishaji, wasambazaji na wauzaji wa jumla na rejareja wa bidhaa za kujikinga na vizrusi vya corona vikiwamo barakoa (mask), vitakasa mikono (sanitizer) na vizuia mikono (gloves) wanaoficha bidhaa hizo kwa lengo la kupandisha bei. Aidha...
Top Bottom