Nawasalimu.
Wiki hii Klabu ya Simba imemteua Mholanzi, Melis Daadler kuwa msaka vipaji mkuu(chief scout )wa Klabu.
NIna mtazamo tofauti na watanzania walio wengi wanaodhani kaja kusajili wachezaji dirisha hili ili simba abebe ubingwa msimu huu.
Lengo la timu ni la muda wa kati na mrefu. Wengi...
Habari zenu Wana JF,
Naomba msaada kufahamu madhara ya kuacha kuripoti wito wa kujiunga na JKT kwa wale waliomaliza A level.
Je, cheti cha kumaliza mafunzo ya JKT huwa kinahitajika kwa ambaye anataka kufanya maombi vyuo vikuu vya Serikali kama UDSM, Tanzania Institute of Accountancy na IFM...
Habari zenu.
Ni hivi nyumba ninayoishi ilikatiwa maji sababu mwenye nyumba hakwenda kulipa ingawa sisi tulimtumia bili yake kama kawaida.
Sasa maji yalivokatwa niliangalia deni kupitia application ya kwenye simu yangu, lilikuwa ni 40185.2 wakasema lilipwe kabla ya May 21. Basi sisi tukaachana...
Habari zenu.
Ni hivi nyumba ninayoishi ilikatiwa maji sababu mwenye nyumba hakwenda kulipa ingawa sisi tulimtumia bili yake kama kawaida.
Sasa maji yalivokatwa niliangalia deni kupitia application ya kwenye simu yangu, lilikuwa ni 40185.2 wakasema lilipwe kabla ya May 21. Basi sisi tukaachana...
Nimekuwa nikifuatilia tambo za Mawaziri wa Kilimo na Mifugo na uvuvi juu ya mpango wa kuwaweka vijana katika makambi maalum ya kulimo, ufuhaji ssmaki na unenepeshaji wa mifugo.
Sijui concept hii ina maana gani. Huenda nilikuongeza ujuzi ama ni kutaka kuongeza uzalishaji, hatahivyo, naamini...
Amani iwe kwako mwanaJF unayesoma uzi huu.
Mahitaji
1. Bamia mbichi 2 (zisizokomaa)
2. Bilauri ya maji (nusu lita)
Maelekezo
safisha bamia kwa maji safi, kisha zikatekate vipande. Unaweza kuzichana katikati mara nne ili ukizikatakata zionekane kama vibanzi vya chips.
Tumbukiza vipande vya...
Kuwa wawajibikaji katika mitandao ya kijamii kunahusisha kuchukua hatua za kuwajibika na kuheshimu wengine wakati tunatumia jukwaa hilo. Hapa kuna miongozo ya jumla ambayo inaweza kusaidia kuwa na uwajibikaji katika mitandao ya kijamii:
Kuwa na ufahamu: Jifunze na elewa sheria na sera za...
Tangu unaanza kumtongoza jiwekee akilini kuwa wewe ndo kiongozi. Inamaana utaongoza mazungumzo, mahusiano na ngono kiujumla. Hata kama upo kwenye mahusiano ya miaka 40, endelea hivyo. Hilo ni jukumu lako, hivyo kuanzia sasa badili mtazamo juu ya kuwa na mwanamke. Badili kutoka,
Nawezaje kumpata...
UTANGULIZI:
Ili nchi yoyote iweze kuendelea razima iwe na mifumo mizuri ya kiutawala na uwajibikaji, Utoaji wa Elimu kwa wananchi na usimamizi wa rasilimali za Taifa.
Kwa kuzingatia misingi ya maadili iliyoainishwa katika Ibara ya 132 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania ya mwaka 1977...
Mimi nianze kwa kumpongeza mbuge wa nyamagana na aliyekuwa mkuu wa mkoa wa mwanza bw adam malima kwa kusemea kwa nguvu kubwa ukamilishaji wa uwanja wa ndege wa mwanza, jengo la abiria na miundo mbinu yake.
Suala la uwanja wa ndege ni la muda mrefu sana kila mara hupigwa chenga,hata bajeti ya...
Habarini za kazi wakuu wangu,
Naombeni kuuliza kwa anaefahamu chuo cha ngazi ya Kati (Astshahada na stashahada) wanaotoa certificate ya PUBLIC HEALTH Napa nchini
Ulikua naye kwenye mahusiano vizuri. Sasa unaona amebadilika. Anakua anajijali kuhusu yeye tu. Utaona ni mbinafsi sana na hana mpango kuhusu wewe. Pengine anakuambia kabisa nina wasiwasi kuhusu mimi mana najisikia vibaya. Ujue amepoteza mvuto kwako. Ujue amekuweka kiganjani.
Na anaposema ana...
Ulikua naye kwenye mahusiano vizuri. Sasa unaona amebadilika. Anakua anajijali kuhusu yeye tu. Utaona ni mbinafsi sana na hana mpango kuhusu wewe. Pengine anakuambia kabisa nina wasiwasi kuhusu mimi mana najisikia vibaya. Ujue amepoteza mvuto kwako. Ujue amekuweka kiganjani.
Na anaposema ana...
你好
TSAI ING-WEN
1. Je, unafahamu Rais wa Jamhuri ya China Tsai ing-wen kuwa hana mme ?
Ndio, Tsa Ing-wen ndie Rais wa kwanza wa kike wa ROC. ambaye pia haja olewa na hana mme kama patner katika maisha yake.
Hili ni jambo la kushangaza pia kuvutia kuhusu Rais huyu kwa kuwa haija zoeleka kwa...
Nilichogundua Kama upo na circle ya watu waliofanikiwa Kama ukiwa mtu wa kuwaomba hela Basi Fahamu watakupa bloko au watakuchukulia Kama msumbufu tu.
Yaani haijalishi mtu analipwa sh ngapi au anaingiza sh ngapi usithuhubutu kumjengea mazoea ya kumuomba hela ni hatari Sana. Labda uwe unafanya...
Raisi wa Awamu ya Tano, Mheshimiwa John Pombe Magufuli mtetezi wa wanyonge aliyasema haya kuhusiana na ulipaji kodi pamoja na vitimbwi vya TRA
Maisha yako ni Baraka, Historia yako ni hadhina Kwa Nchi🙏
Alaumu wanajeshi wa Urusi kuendelea kuachia maeneo na kushangaa namna wazalendo wa Ukraine wanakomboa maeneo.
Yaani Ukraine wana mzuka wa kichizi, vijana wanaingia kwenye historia kama ambao walijitokeza kuikomboa nchi yao, sikutegemea kitu kama hiki kwa vizazi vya leo, vijana wa leo huwa...
Na Hamza Karama, Kariakoo DSM
Kwa ufupi
Wafanyabiashara wakubwa wakwepa kodi tangu enzi za Awamu ya Nne watajwa kuwa chanzo cha mgomo
Maamuzi ya Rais Samia ya kutuma timu ya mawaziri Kariakoo yazima mgogoro
Kamati ya watu 14 kutoka Serikalini, wafanyabiashara yapewa jukumu la kumaliza mzizi...
Mimi huwa nasikiliza miziki ya Kicongo lakini sio mjuvi sana wa kudadavua mziki huo.
Sasa nimekuwa nikipata mkanganyiko kuhusu Wenge BCBG na Wenge Musica.
Naombeni mnijuze, haya makundi yana uhusiano? Na je waliwahi kufanya kazi pamoja? Lipi ni kundi lenye mafanikio zaidi?
Karibuni mtiririke...