Confederation of African Football (CAF) is The administrative and controlling body for African association football, futsal, and beach soccer. It represents the national football associations of Africa and organizes major continental tournaments, including the Africa Cup of Nations (AFCON), the CAF Champions League, and the CAF Confederation Cup.
Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), kupitia Rais wake Patrice Motsepe, limeeleza kuridhishwa na maendeleo ya maandalizi ya Tanzania kwa ajili ya AFCON 2027. Motsepe amesifu juhudi zinazofanywa nchini katika kuboresha miundombinu ya viwanja na maandalizi mengine, huku akisisitiza...
Timu zote za Zanzibar zatolewa katika michuano ya Shirikisho na Klabu bingwa barani Afrika.
Huku timu za Tanzania Bara (Tanganyika) zikibaki na kuendelea na raundi ya pili ya mtoano kabla ya makundi.
Simba atakutana na 15 De Agosto kutokea huko Equatorial Guinea (Guinea ya Ikweta) ambayo ndio...
Gor Mahia imeondolewa kwenye CAF Champions League baada ya kipigo kizito cha jumla ya 7-1 dhidi ya Pyramids FC ya Misri, matokeo ambayo sasa yameibua maswali na tuhuma za match-fixing miongoni mwa baadhi ya mashabiki.
K’Ogalo iliingia Cairo ikiwa nyuma kwa mabao 2-0 baada ya kupoteza mechi ya...
Mimi ni shabiki wa Yanga ila sijafurahia kitendo hiki ambacho kwa karne hii ya leo watu wamestarabika.
Huwezi kumshambulia mtu kwa ngumi hadharani bila ya kosa lolote mpia umeisha na timu imeshinda.
Caf waifuingie Yanga isiendelee na mashindano. Ni upuuzi na upumbavu kuwa na timu zina...
Hili tukio la kumshambulia Kocha wa Timu Gaborone sidhani kama Timu yetu ya Yanga itapona mbele ya panga kali la CAF.
Hizi tabia za kijinga washabiki wataacha lini?
Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) likishirikiana na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limeagiza kusitishwa mara moja kwa mchakato wa uchaguzi mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu la Nigeria (NFF). Uchaguzi huo ulikuwa umepangwa kufanyika Septemba 27, 2026, mjini Lafia, Jimbo la...
Kichwa cha habari chajieleza vizuri sana.
Tunashangaa mamlaka husika za mpira wa miguu nchini hazijachukua hatua yoyote ya kumchunguza mchezaji huyo wa timu ya soka ya Simba.
Chilambo ana utata mwingi sana akiwa uwanjani kuitumikia timu yake hiyo huwa anacheza kama nafasi za ulinzi wa pembeni...
Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameahidi kutoa motisha ya kifedha kwa timu za KMKM na KVZ FC ambazo zinaiwakilisha Zanzibar katika mashindano ya klabu barani Afrika yanayosimamiwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF).
Rais Mwinyi ameahidi kila timu kupata shilingi milioni tano (TSh...
Shirikisho la Mpira wa Miguu barani Afrika (CAF) limeeleza kuridhishwa na maandalizi ya Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo (MOI) katika kutoa huduma za tiba za michezo kuelekea Mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027 yatakayofanyika Tanzania, Kenya na Uganda.
Kauli hiyo...
Waamuzi wa Tanzania Nasir Salum, Mohamed Mkono, Ally Ramadhani na Ahmed Arajiga wameteuliwa na CAF kuchezesha mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) JS Saoura (Algeria) vs Horoya AC ( Guinea) utakaochezwa uwanja wa Miloud Hadefi Septemba 4, 2026
Viwango vipya vya ubora wa klabu za Afrika (CAF Clubs' Ranking) msimu wa 2026/27 vinaonyesha Simba SC ikiwa nafasi ya 11 kwa alama 38, huku Yanga SC ikishika nafasi ya 12 kwa alama 35.
Azam FC ipo nafasi ya 39 ikiwa na alama 5, wakati Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini inaongoza orodha kwa...
Ndugu zangu Watanzania, kutokana na magaidi kadhaa ya CHADEMA kuendelea kukamatwa, nivema tuwajulishe CAF kuwa Tanzania si nchi salama tena kwa maandalizi ya AFCON.
Magaidi ya CHADEMA yanaweza kulipua timu zitakazokuja na wageni wengine waalikwa.
Tumia Email hii kuwaandikia CAF, attach...
afcon
afcon 2027
caf
chadema
dalili
evarist chahali
fifa
gani
hii
iko
jasusi
kushindwa
kuu
kwao
maana
msigwa
peter msigwa
political
poor
salama
samia
strategy
ugaidi
ujumbe
wanajua
wenzake
Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) limeripotiwa kukataa pendekezo la Shirikisho la Soka la Misri (EFA) lililotaka kuongeza idadi ya klabu za Misri zinazoshiriki CAF Champions League na Kombe la Shirikisho Afrika (CAF Confederation Cup) kuanzia msimu wa 2026/27.
Awali, EFA ilipendekeza kuwa...
Ni mkondo wa pili wa Fainal ya CAF Champions League.
Mechi ya kwanza iliisha kwa Mamelodi kuibuka na ushindi 1-0.
Tuone leo hali itakuaje nani atabeba ndoo?
Mtanange uko live
Mamelodi wanaongoza 1-0.
Kipindi Cha pili kinataka kuanza VAR haifanyi kazi.
Refa anasema tukipige bila VAR, Mamelodi wanasema sawa, ila AS FAR RABAT wanasema hapana. VAR itengenezwe kwanza.
Mechi imesimama mafundi wanashughulikia VAR.
AFRICA KIVYETU VYETU
Mashindano ya Africa Cup of Nations (AFCON) kwa vijana wa umri chindi ya miaka 17, mwaka 2026 yameanza kutimua vumbi nchini Morocco kuanzia tarehe 13 May, 2026.
Sisi Tanzania, vijana wetu wa Serengeti Boys wako kundi C, pamoja na Mali, Angola na Mozambique.
Tushacheza mzunguko wa kwanza kwenye...
Kampala, March 2026 – The Confederation of African Football (CAF) has flagged significant gaps in Uganda’s preparations to host the 2027 Africa Cup of Nations (AFCON), according to its official assessment as of February 2026.
The report highlights challenges across stadiums, training...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.