paul makonda

 1. G Sam

  Kwa huu usanii anaofanya Paul Makonda ni wazi kuwa kazi ya Ukuu wa Mkoa haina maana kuwepo!

  Huyu Paul Makonda utamkuta asubuhi anasoma magazeti kwenye stations za redio, mara umkute kijiweni mikocheni akipiga story na waosha magari! Hivi huyu ukuu wa mkoa anafanyaga nini? Utamkuta kwenye birthdays za wasanii mchana kweupe muda wa kazi. Sasa naona ameamua kujipa kazi ya uwaziri asiye...
 2. J

  Paul Makonda akutana na Viongozi wa madhehebu na Taasisi za dini, asema anayoyafanya Rais Magufuli yanazidi maelekezo ya ilani ya CCM

  Ni katika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere. Karibu! Kardinali Pengo na Sheikh wa mkoa kwa niaba ya Mufti wanauombea mkutano huo. Sasa viongozi wa dini wanaangalia mkanda wa video unaomuonyesha RC Makonda akitolea ufafanuzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo. ====== Mkuu wa Mkoa wa Dar...
 3. A

  Mkuu wa mkoa Paul Makonda, na sisi wakazi wa Mpigi Magoe tunaomba utukumbuke, barabara yetu ni mbaya haswa

  Mheshimiwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, kwanza nakupongeza kwa juhudi kubwa ulizonazo katika kumsaidia Mheshimiwa Rais wetu kipenzi Dr. John Pombe Magufuli. Leo naomba kuja kwako na ombi moja la barabara ya kutokea mbezi mwisho kupitia mbezi high school mpaka Mpigi Magoe. Barabara hii ni kati...
 4. tikatika

  Makontena ya Makonda: TRA wanatuhujumu au BANDARI wametuhujumu

  kila nikitizama picha na kuunganisha dot juu ya mnada wa makontena ya makonda na hatima yake naona kuna kamchezo pale!! mnada unashindikana kwa mara ya pili kwanini unashindikana?? sababu kubwa ni watu kutofika bei elekezi kutoka TRA. kwanini hawafiki bei? jibu ni moja mzigo hauna thaman...
 5. Hazina

  DAR: Licha ya RC Makonda kusema atakayenunua Makontena yake atapata laana kali, Waziri Mpango aagiza yapigwe mnada

  Na Benny Mwaipaja, WFM - Dar es Salaam WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango, amefanya ziara ya kushitukiza katika eneo la kuhifadhia makontena-Bandari Kavu Dar es Salaam (DICD), na kukagua makontena 20 yaliyoingizwa nchini na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda na kuiagiza...
 6. MAGACHA

  Makonda: Atakayenunua makontena yangu atalaaniwa yeye na kizazi chake! Atoa onyo kwa atakayethubutu kununua

  Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda jana alifanya ibada maalum kanisani kwa ajili ya makontena yake yenye samani za shule yanayoshikiliwa na TRA Katika ibada hiyo Makonda alionya watakao nunua makontena yake watapata laana kali Pia aliwarushia dongo TRA akisema ni watu wabaya wasio na...
Top