dawa

 1. Roving Journalist

  News Alert: Kisutu: DPP Biswalo, awaachia huru aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD), Laurean Rugambwa na Mkurugenzi wa Logistiki, Byekwaso

  Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, leo Alhamisi imewaachia huru, aliyekuwa mkurugenzi mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD), Laurean Bwanakunu na Mkurugenzi wa Logistiki, Byekwaso Tabura. Hatua hiyo imefikiwa Baada ya aliyekuwa DPP, Biswalo Mganga kutokuonesha nia ya kuendelea na kesi dhidi...
 2. kidawisee

  Dawa gani nzuri ya kuondoa uchafu sugu kwenye sink?

  Habari za muda huu, naomba kujua njia za kusafisha sinki langu, nmetumia Aro imegoma, nimetumia sabuni zaidi ya 3, nimetumia cocacola imegoma. CHANZO: Manjano ya uso yalimwagika sehemu ya sinki, yalikaa muda kama week mbili, nilivyorudi nasafisha paweka weusi, Ndio naangaika kuutoa umegoma...
 3. Infantry Soldier

  Freeman Mbowe: "Mtu anaweza tu akashangiliwa kwenye majukwaa akapigiwa kura, lakini hakuna meritocracy (uwezo)". Je, dawa mujarabu ni ipi?

  SWALI LANGU: Ni utaratibu upi mpya utumike katika kupata watendaji bora wa kisiasa mbali na huu wa sasa ambao baadhi ya wakongwe wa tasnia hii (Freeman Mbowe) wanaona kuwa haufai? Habari zenu ndugu zangu wa jamiiforums. Jana siku ya Jumatatu May 10, 2021, wakati ninapitia makala kadhaa katika...
 4. Apollo one spaceship

  Dawa gani inaondoa madoa kwenye nguo?

  Habari wanaJF naomba kwa anaeijua dawa ya kuondoa madoa kwenye nguo kama hili hapa chini. Dawa isiyo na athari kwenye nguo,pia isiyo ya bei kubwa.
 5. mediaman

  Wanaotafuta dawa ya kuacha ulevi tukutane hapa

  Baba yangu mzazi aliishi maisha ya dhiki sana. Alikuwa mfanyakazi aliyepata mshahara mzuri tu lakini mshahara ulikuwa haumsaidii kuishi vizuri kwa sababu ya ulevi. Mwisho wa mwezi, akishapokea mshahara tu alikuwa anakesha sehemu wanazouza bia akinywa na kuwanunulia bia marafiki zake. Wanawake...
 6. M

  Dawa ya asili inayoongeza kinga ya mwili

  Dawa ya asili inayoongeza kinga ya mwili Ongeza kinga yako ya mwili kwa kutumia mlonge Kumbuka, ile hali ya kuonekana umezeeka au mwili wako kuonekana umechoka mara zote huwa kuna uhusiano wa moja kwa moja na kushuka kwa kinga yako ya mwili hali ambayo inauacha mwili wako kushambuliwa kirahisi...
 7. Ajax paris

  Jamani nahitaji kufahamu dawa yakung'arisha meno

  Jambo kwa jumla mimi nikijana wa miaka 20 meno yangu yana rangi mbaya sa kama kuna mtu umu ana fahamu dawa ya kungarisha meno aniambiye
 8. Delacruzito

  Ushauri: Nahitaji dawa ya kuondoa upara (uwalaza)

  Habari zenu wana JF Poleni sana na Swaumu naimani tunaendelea na Mfungo Mtukufu wa Ramadhani Ndugu zangu nina miaka 25 Mzee wangu ana Uwaraza kwa Mbele hapa ule wanauita Upara wa Pesa. Sasa naona kama nimerithi kwake na maana nywele zangu za hapa Mbele zinakatika zinakua fupi kuliko nyingine...
 9. simplemind

  Drones zinatumika kunyunyizia dawa mimea -Kenya

  Mbinu hii mpya inaokoa gharama na muda. https://www.businessdailyafrica.com/bd/corporate/technology/drones-help-farmers-to-cut-spraying-costs-3380338.
 10. Stuxnet

  Thamani ya Dawa na Vifaa Tiba Vilivyo Expaya MSD ni Zaidi ya Tsh 20 Billion; CAG Hajaripoti

  Wakati wananchi wanalalamika ukosefu wa dawa kwenye hospitali na zahanati, yasemekana kwenye Bohari Kuu ya Madawa (MSD) kuna dawa zilizo expaya za thamani ya zaidi Tsh Bilion 20. Nimepitia ripoti ya CAG ya mwaka 2019/20 kwa haraka haraka sijaona hoja ya ukaguzi kuhusu dawa zilizo expaya. Je...
 11. Miss Zomboko

  Uhaba wa dawa za kupunguza makali ya virusi vya Ukimwi Kenya wahatarisha maisha

  Wakenya wanaoishi na VVU wanasema maisha yao yapo hatarini juu ya uhaba wa dawa za kupunguza makali ya virusi vya Ukimwi kutokana na mzozo unaotokota kati ya serikali ya Kenya na Shirika la msaada la Marekani USAID. Kulinga na wanaharakati kucheleweshwa kwa dawa hiyo ni baada ya serikali ya...
 12. Analogia Malenga

  TMDA yabaini dawa bandia ya mifugo

  Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) imebaini uwepo wa dawa bandia ya mifugo aina ya Alben Blue 2.5% toleo Na.019394 lililotengezwa Nov 2019 na lenye tarehe ya mwisho wa matumizi October 2022. Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari leo na Mkurugenzi Mkuu wa TMDA, Adam Fimbo imesema...
 13. HATSA

  Je, kuna dawa ya asili ya Inguinal Hernia?

  Nasumbuliwa na tatizo la utumbo mdogo kushuka hadi katika pumbu, lakini kama niki lala chali naweza kuurudisha. Natumia kuvaa mkanda sehemu hii ili kuzuia utumbo kutoka pale ninapokuwa natembea kwa mguu au nimesimama. Naomba kuelekezwa dawa ya asili inayoweza kutatua tatizo hili. nawatakia...
 14. J

  Anayejua anisaidie namna ya kudhibiti Sisimizi

  Habari wana JF! Katika nyumba yangu kuna tatizo la sisimizi. Hivi sasa imekuwa ni kero mtindo mmoja. Kwa yeyote anayefahamu, naomba anijuze nitumie dawa gani ili wadudu hawa wapotee kabisa ndani ya nyumba yangu.
 15. kabwigwa

  Ndizi zinazoivishwa kwa umeme Je ni kweli zinawekwa dawa ya kuhifadhia maiti?

  Wakuu habari zenu,Katika pita pita zangu masokoni nikakutana na hizi ndizi maarufu kama “ndizi za container” au “ndizi za umeme”.Kilichonistua ni maandalizi ya ndizi hizo mpaka kuiva.Mechanism nzima ni siku tatu mpaka nne ndizi inakua imeiva.Mechanism hii ndiyo iliyonifanya niandike uzi...
 16. Miss Zomboko

  Utafiti: Mabadiliko ya vimelea vyenye usugu dhidi ya dawa ndiyo chanzo cha ugonjwa wa Malaria kuendelea kuenea Afrika

  Watafiti leo Alhamisi wametoa ripoti kuhusu ushahidi wa kwanza wa kidaktari kwamba mabadiliko ya vimelea vyenye usugu dhidi ya dawa ndiyo chanzo cha ugonjwa wa Malaria kuendelea kuenea barani Afrika. Wataalamu wa dawa wamekuwa na wasiwasi kwa muda mrefu kuhusu kuibuka kwa tatozo la usugu dhidi...
 17. Red Giant

  Kwanini dawa zinazozalishwa nchini bei ipo juu kuliko za nje ya nchi?

  Dawa nyingi zinazozalishwa hapa bongo tulitegemea ziwe bei chini kuliko zile zinazotoka nje lakini mambo ni kinyume chake kabisa. Mfano wa dawa hiyo ni Azithromycin. Dawa inayotengenezwa Tanzania(Azuma) ina bei ya jumla 2300-2450 kwa pakti moja ya vidonge vitatu. Zingine kutoka India unakuta...
 18. I

  Naomba kujua dawa ya kipele kigumu ambacho hakiumi ila nilikichokonoa kinatoa damu mara kwa mara

  Habari zenu wana jamvi. Naomba kujua dawa ya kipele fulani kigumu ambacho hakiumi ila nilikikwangua kinatoa damu mara kwa mara ingawa hakiumi kabisa. Kipo kwenye kidole gumba cha mkono kushoto.
 19. MPUNGA MMOJA

  Zitto Kabwe: MSD haina mtaji wa kununua dawa na mtaji wa MSD ni bilioni 500, sawa na fedha ilionunua ndege moja

  Akichambua ripoti ya CAG, Zitto amesema taarifa ya CAG imeibaini MSD inaidai Serikali zaidi ya sh bilioni 300 na MSD ili ijiendeshe inahitaji sh bilioni 500 fedha ambayo inalingana na gharama ilotumika kununua ndege moja.
 20. Richard

  Je, Tanzania imejiandaa kupokea dawa za Astra Zeneca zilizokataliwa huko kwingine? Pia tutakubali dawa za COVAX kama mkopo au tutagharamia wenyewe?

  Hadi sasa dawa ya chanjo ya Astra Zeneca imezuiwa kutumia katika nchi mbalimbali duniani. Dawa hii ambayo yatengenezwa nchini Uingereza imedaiwa kusababisha mgando wa damu na hatimae muathirika kufariki kwa moyo kukosa hewa kutoka mwenye mishipa ya damu. Uingereza iliiweka Tanzania kwenye ya...
Top Bottom