uchochezi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania Zama za mizaha ya Uhaini, Ugaidi na Uchochezi zifike mwisho!

    Katika injili ya Luka 14:28-30, twasoma; "Maana ni nani katika ninyi, kama akitaka kujenga mnara, asiyeketi kwanza na kuhesabu gharama, kwamba anavyo vya kuumalizia? Asije akashindwa kuumaliza baada ya kuupiga msingi, watu wote waonao wakaanza kumdhihaki, wakisema, Mtu huyu alianza kujenga...
  2. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania Tunatamani kupigania katiba mpya; Tatizo tunaogopa kesi za uhaini, ugaidi na uchochezi!

    Hakuna ubishi, wito wa Mh. Makamu wa Rais, Balozi, Dr. Emmanuel Nchimbi, wa kuwahimiza watanzania kupigania katiba mpya, umepata mwitikio na hamasa kubwa kutoka kwa watanzania wote. Kwa kuzingatia maoni mbalimbali yaliyotolewa, ni wazi kuwa tupo tunaomuona Dr. Nchimbi kama kiongozi wa mfano...
  3. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Mods kitendo chenu cha kuzuia Post ya Mistari 135 ya nukuu za HAKI kwenye Bibilia ni cha kuuona ukiristu ni dini ya Uchochezi.

    Leo nikuweka Post inayohusu HAKI kwenye Bibilia kwa makusudi na nia ovu mkaiondoa, Bibilia si kitabu cha uchochezi kama mnavyodhani, ni kitabu Kitakatifu hivyo nukuu zake lazima ziheshimike kama zilivyo. Ninawashauri muirejeshe ile Post kwa heshima ya Wakiristu.
  4. econonist

    JamiiForums Tanzania Serikali ijihadhari na Selective Prosecution kwenye kosa la uchochezi.

    Selective prosecution ni Nini? Ni hali ambapo mamlaka ya mashitaka, kama DPP, wanaamua kumshitaki mtu mmoja lakini wakaacha watu wengine waliotenda kosa hilo bila mashitaka. Kwa maneno mengine: sheria inatumika kwa kubagua watu, si kwa usawa kwa wote. Kwa maana nyingine wewe umechaguliwa...
  5. funaku

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuona fedha uchochezi zinaenda kukata Chadema inarudia kwenye hoja za "Deep Green"

    Mara zote tuliwaasa kusimama na maslahi ya watu yaani kuzisemea shida za watu na kuja na sera mbadala kwa ajili ya watanzania. Chadema ilihama kutoka kuwa chama cha upinzani kwa maslahi ya watanzania ....chama ambacho kilikuwa kinaibua ufisadi na kuleta hoja kinzani zilizoifanya ccm kujipanga...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Ford Foundation Misaada au Mtego wa Kimataifa? Historia ya FF je ina mchango wowote klatika uchochezi wa machafuko popote Duniani haswa Afrika

    Uchunguzi wa Kina · JICHO La Afrika 2026 | Makala ya Uchunguzi Uchunguzi Maalum NA ITS MALEKOGJ. malekoj27@gmail.com 0798888486 Ford Foundation: Siri Zilizofichwa kwa Miaka 70 — Jinsi Philanthropy Inavyoweza Kuwa Silaha ya Kisiasa Kipindi TUTAKACHOANGALIA 1936 – 2025 Nchi Zilizohusika...
  7. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Baada ya CHADEMA kuruhusiwa kufanya siasa, kuna kundi limeibuka TikTok linatukana viongozi. Vyombo vya ulinzi viwafundishe adabu

    Naomba kusiwe na lelemama kwa mtu yyte anayetukana viongozi mitandaoni, hii tabia imeibuka baada ya chadema kuruhusiwa waanze kufanya shughuli za kisiasa. Tusicheke na hawa vibaka wa chadema wanaotukana viongozi wetu mitandaoni. Mtoto mwenye malezi duni lazima anyooshwe na dunia
  8. U

    JamiiForums Tanzania Uchochezi sio demokrasia kemea uchochezi

    UCHOCHEZI DEMOKRASIA yai vurugaa CHADEMA, makundi yaendelea Kukemea Siasa za Vurugu wananchi wadai Tanzania haiwezi kuongozwa kwa maandamano ya taharuki za migogoro kuharibu amani na uchumi NA MWANDISHI WETU WIMBI la kukemea siasa za vurugu, uchechezi na kuchochea migogoro ya kisiasa...
  9. L

    JamiiForums Tanzania John Heche inatakiwa akamatwe haraka na kuwekwa ndani bila kupewa dhamana kwa uchochezi na uchonganishi mpaka athibitishe kwa vielelezo kauli zake

    Ndugu zangu Watanzania, Ni lazma kama Taifa Tujijengee Heshima ,utaratibu ,nidhamu ,adabu ya maneno na kauli za kuzungumza Hadharani. Siyo mtu anajitokea zake huko anaanza kuropoka ropoka Bila Breki vitu Hovyo hovyo bila ushahidi wala vielelezo vya aina yoyote ile ilimradi tu Ameona kamera...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Je, kupeperusha bendera ya Tanganyika kunaweza kuonekana ni uchochezi?

    Kama kichwa kinavosema, kutumia bendera ya Tanganyika kama utambulisho wa upande mmoja wa Muungano, inaweza kuhesabiwa kama uchochezi? Na bendera za Tanganyika zilitupwa au kuchomwa?
  11. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu: Shahidi ambaye ni polisi anakwambiwa uhaini maana yake ni kuharibu mali na uchochezi hapo hapo anasema hajui kifungu hicho

    Kesi ya Lissu: Shahidi ambaye ni polisi anakwambiw uhaini maana yake ni kuharibu mali na uchochezi hapo hapo anasema hajui kifungu hicho.
  12. R

    JamiiForums Tanzania Tukiandika mnasema uchochezi. Does this make sense?

    Inatia hasira na huruma.
  13. The Watchman

    JamiiForums Tanzania UVCCM Moshi yawaonya viongozi wa dini na wastaafu wanaofanya uchochezi

    Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Moshi Vijijini umetoa onyo kali kwa viongozi wa Chama, Serikali na Dini watakaobainika kuchezea au kupuuza maslahi ya Vijana, ukisisitiza kuwa hatua za kinidhamu zitachukuliwa kwa maslahi mapana ya Chama na Taifa. Onyo hilo limetolewa...
  14. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kuna matangazo mengi ya mtandaoni ya mikopo ila TCRA na BOT wanajua pesa waliolipwa kwa uongo na uchochezi.

    Watu wamejikuta wakitapeliwa kwa singizio cha unafuu. Hapa serikali ya wapaka mikorogo na ushungu wa FFU uwezi kuona wakisema ili. Embu tupate Futuhi ya watoa mikopo
  15. Msanii

    JamiiForums Tanzania Taharuki: Mtanzania diaspora atekwa nyara Kilimanjaro

    Anaandika Liberatus Mwang'ombe Mpaka uzi huu unapanda hewani, jeshi la utekaji la polisi hawajatoa kauli yeyote UPDATE Mdogo wake Thadei Kweka aitwaye JB Kweka, kupitia Club House amethibitisha kutekwa kwake. Ameeleza zaidi kuwa polisi wamekiri kumkamata. Tukio la kukamatwa kwake limejiri...
  16. Ritz

    JamiiForums Tanzania Hoja ya Jaji Mstaafu Warioba kuhusu vifo vya Oktoba 29 ni uongo na uchochezi wa kisiasa

    Wanakumbi. Hoja ya Jaji Mstaafu Warioba Kuhusu Vifo vya Oktoba 29 ni Uongo na Uchochezi wa Kisiasa. Katika Vita ya Kagera (1978–1979), takwimu zinazokubalika kitaifa zinaonesha wazi kuwa Wanajeshi wa Tanzania waliopoteza maisha walikuwa 373 Askari wa Kikosi cha Ukombozi cha Uganda (UNLA)...
  17. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Aunty Lulu: Niliomba msamaha kwa jeshi la polisi kwa kufanya uchochezi na ndio maana sijakamatwa

    Kwahiyo wewe Lulu unataka kutuambia kwamba kila mtu angeomba msamaha angesamehewa? Lakini pili wewe si unajifanya mpambania wananchi kama ulikuwa unasema vilivyo na maslai ya wananchi kwanini uombe msamaha na kusema uchochezi? Embu tuache kidogo kuna kitu kimejificha hapo =========== Aunty...
  18. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Gerson Msigwa: Wanaotoa takwimu za vifo wakati wa uchaguzi ni uchochezi

    Akiongea na waandishi wa Habari, Msemaji wa Serikali amesema idadi ya waliofariki na kujeruhiwa inatakiwa kutolewa na vyanzo rasmi vyenye mamlaka ambavyo vimefanya tathmini, kwa sasa wanaotoa takwimu hizo ni uchochezi.
  19. C

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Serikali mkiendelea kujifanya hamuoni kauli za wazi za uchochezi wa kidini za SHEIKH RUSAGANYA, msije kulaumu baadaye yakiharibika

    Huyo bwana anaye jiita sheikh rusaganya mara nyingi amaekuwa na kauli za wazi za kichochezi wa kidini na ni zawazi kabisa ambazo isinge kuwa busara na hekima za wakristo basi huenda pangeanza kutokea mgogoro wa kidini nchini Huyu mjinga kwanza hana kumbukumbu nzuri za matukio ya nyuma ni mtu...
  20. Fascinating

    JamiiForums Tanzania Huyu Mchungaji, anafanya uchochezi au anatimiza wajibu wake kiimani?

    Wakuu nimekuta na hii video sehemu, Mchungaji anawasimanga vijana na kuna mahala anaenda mbali zaidi mpaka kusema Vijana hawezi hata kudai haki, wakipewa Elfu 5 tu wavaa T-shirt. Hii mijadala ya dini na siasa imekuwa yakawaida sana hivi karibuni na mpaka wa Viongozi wa dini kuonekana wanafanya...
Back
Top Bottom