kitanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. McLaren

    JamiiForums Tanzania Mwekezaji wa Kitanzania Edha Nahdi ainunua Oryx Energies

    Amsons Group, kampuni kubwa ya Kitanzania yenye uwekezaji katika sekta mbalimbali, imeingia makubaliano ya kuinunua kampuni ya Oryx Energies nchini Tanzania, hatua inayoiweka kampuni hiyo katika nafasi ya kupanua ushawishi wake katika sekta ya nishati. Soma Pia: Kampuni ya Amsons Group ya...
  2. Red black

    JamiiForums Tanzania Huwa natumia dollar 200 sawa na 460k za kitanzania kulipia internet kwa mwezi.

  3. zee_latown

    JamiiForums Tanzania Familia nyingi za Kitanzania ni masikini kwa sababu ya UCHAWI na ULOZI

    Salama wakuu? Mimi umri umesogea sana... hivyo nimeona mengi na nimeshuhudia mengi na kujifunza mengi. Nimezunguka sana nchi hii, karibu mikoa mingi nimefika.. pia niliwahi kufanya kazi taasisi nyeti zilizoniruhusu kupata taarifa nyingi za siri za watanzania wengi. miongoni mwa mambo mengi...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kijana wa Kitanzania amewekeza Bilioni 120 kiwanda kinachoweka rekodi mpya ya kuzalisha nondo tani elfu 16 kwa mwezi na kuajiri vijana 2000

    Anaandika Nickson Simon John (Nikki Wa Pili) - Aliyekuwa DC wa Kibaha ambae wiki hii amehamishiwa Songwe Chacha, Kijana wa Kitanzania amewekeza Bilioni 120 Kibaha, na atakuwa mzalishaji wa kwanza kuzalisha nondo tani elfu 16 kwa mwezi ubora BS 500. lakini pia atazalisha square pipe na...
  5. k-bee

    JamiiForums Tanzania Kijana wa Kitanzania (bara) usiende mjini; kijijini kunatosha

    Kama kichwa kinavyojieleza..; Nimefanya uchunguzi wangu mdogo nimegundua maisha ya kijijini yana unafuu na raha zaidi ya maisha ya mjini kwa kijana anayejitafuta..! Kijijini maisha si mazito kama mjini mana kijijini unapata mboga za majani bure kabisa kwa majirani shambani au unapanda mwenyewe...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi 150 wa kitanzania kunufaika na fursa ya elimu ya juu Algeria

    WANAFUNZI 150 WA KITANZANIA KUNUFAIKA NA FURSA YA ELIMU YA JUU ALGERIA Tanzania imepata nafasi 150 za ufadhili wa masomo ya elimu ya juu nchini Algeria kwa mwaka 2026, zikilenga wanafunzi waliofanya vizuri zaidi katika masomo ya sayansi. Akizungumza na waandishi wa habari Septemba 11 jijini...
  7. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Wakili Peter Madeleka; "Kama Sofia akiamua kudai fidia kutoka kwa paul chacha haiwezi kuwa chini ya billioni tano za kitanzania"

    "Kama Sofia akiamua kudai fidia kutoka kwa aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Tabora Paul Chacha, haiwezikuwa chini ya shilingi Bilioni tano za kitanzania" Amesema wakili Peter Madeleka. Akihojiwa kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii, Wakili Madeleka amebainisha kuwa ikiwa Sofia ataamua...
  8. Olmo

    JamiiForums Tanzania Vijana wa kitanzania jamani kweli tutafika?

    Niko kanisa fulani nimekuja kwa purpose yangu binafsi bahati nimekuta mafundisho sasa nimeona nikae nisikilize halafu niseme shida yangu. Kuna kijana miaka kama 20+ anahubiri nasikia wachawi hawawezi kukuroga mara una nguvu za Mungu. Sasa najiuliza hapa chini tumekaa na wamama watu wazima...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dkt. Evaline Munisi: Ughaibuni Loan ni hatua ya kujenga imani mpya kati ya Serikali na vijana wa Kitanzania

    Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu- Kazi, Ajira na Mahusiano, Dkt. Evaline Wilbard Munisi amesema uzinduzi wa Ughaibuni Loan si uzinduzi wa mkopo pekee, bali ni hatua ya kujenga imani mpya kati ya Serikali na vijana wa Kitanzania, hasa vijana wenye ujuzi wanaotamani kutumia fursa za...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kijana Kitanzania kumvisha pete Mtoto wa Rais wa Kenya,Charlene Ruto

    Kijana wa Kitanzania na mwanzilishi wa application ya SomaApp aitwaye Isaiah Yunk(g)e anatarajia kumvisha pete ya uchumba Charlene Ruto katika sherehe ya kimila( Koito ak chaik) itakayofanyika leo Jumamosi huko Narok, Kenya. Miongoni mwa wageni wanaotarajiwa kuhudhuria ni pamoja na wazazi wa...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Ukistaajabia ya Mussa utayaona ya Mabilionea wa Kitanzania wakichangia Bilioni 10 kwenye Siasa, lakini siyo misikitini na kwa yatima

    Kuna msemo wa Kiswahili unaosema, "Ukistaajabia ya Musa, utayaona ya Firauni." Leo msemo huu unaonekana kupata tafsiri mpya katika jamii yetu. Tumeshuhudia taarifa za wafanyabiashara na mabilionea wakitoa michango ya mabilioni ya shilingi kwa shughuli za vyama vya siasa. Kisheria, mtu au...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Kutoka Kwenye Maisha ya Anasa ya Serikali hadi Kwenye Uzalishaji: Kilimo, Elimu, na Afya Ndio Mkombozi wa Kijana wa Kitanzania

    Ndugu Wakuu, Katika uzi wangu uliopita, tulijadili jinsi mzunguko usio na tija wa kodi ya mvuja jasho unavyoishia kufadhili anasa za wachache huku mtaani vijana wakipambana na ukata wa mitaji. Leo naomba tushuke chini zaidi kwenye mifumo ya kibajeti ya nchi yetu. Tanzania ni nchi changa...
  13. maslulkat

    JamiiForums Tanzania Maisha ya madaktari wa Kitanzania na umaskini wao na kuishia katika kupata heart attack

    Napenda kuandika haya yafuatayo kwa uchungu mkubwa sana na kama jamii pamoja na Serikali itapenda kulichukulia jambo hili kwa umakini mkubwa itapendeza sana. Daktari ni mtu pekee hapa Tanzania anayeongoza kuwa na heshima kutokana na nafasi yake kama daktari na namna ambavyo anatekeleza majukumu...
  14. funaku

    JamiiForums Tanzania Serikali kama baba ije na muswada kuandaa vijana waliofunzwa siasa ya Kitanzania

    Inavyoonekana kwa sasa tumewaachia walami watufundishie vijana wanaoingia kwenye vyama pinzani kuhusu siasa. Madhara yake ni kutengeneza vijana wasio na uzalendo kamili au mirengo yenye siasa kwa maendeleo ya Taifa. Mwanzoni tuliwategemea wastaafu au viongozi waliofunzwa siasa njema kianzisha...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa Kitanzania afuata ndoto ya Kichina kupitia shindano la lugha jijini Dar es Salaam

    Wakati mtoto wa Kitanzania mwenye umri wa miaka 10, Ayubu Shaaban, alipopanda jukwaani katika Taasisi ya Confucius katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, watu wachache tu katika ukumbi uliojaa watu ndio walitarajia mvulana huyo mpole angevutia hadhira kwa lugha fasaha ya Kichina. Akiwa amevalia...
  16. C-C Digital Pro

    JamiiForums Tanzania Wajibu wa Askari jeshi kwenye jamii ya Kitanzania. Je, unatekelezwa?

    Wajibu mkuu wa askari jeshi kwenye jamii ni kulinda katiba, mipaka ya nchi, na usalama wa wananchi pamoja na mali zao. Wanajeshi (kama vile wale wa JWTZ au majeshi ya ulinzi ya kikanda) wana mchango mkubwa kijamii, kiuchumi, na kiusalama. Majukumu ya msingi ya askari jeshi katika jamii...
  17. Am the One

    JamiiForums Tanzania TUSIPOJITUMA TUTATUMWA: Ukweli Mchungu Kuhusu Mustakabali wa Afrika

    TUSIPOJITUMA TUTATUMWA: Ukweli Mchungu Kuhusu Mustakabali wa Afrika. Kuna jambo la kutisha linaloendelea sasa hivi: Vijana wa Kitanzania na Waafrika kwa ujumla wanalegezwa taratibu na mambo yasiyo na tija. Kamari, uraibu wa michezo bila uzalishaji, na anasa za muda mfupi zimekuwa kipaumbele...
  18. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Hapa ni sawa nimeshika Shilingi Milioni 8 na Laki 4 za Kitanzania

    Hii pesa ya Kuwait. Miongoni mwa pesa zenye thamani kubwa sana. Hii ni Dinar 1000 ya KUWAIT sawa na pesa ya madafu Milioni 8 na Laki 4. Au nasema uongo ndugu zangu?
  19. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania Wazo bunifu kwa kijana wa Kitanzania linahitajika

    Mambo Vijana Tanzania !. Oooooh sasa hii sio ya kukosa; kikubwa ni mwendo wa kutembea na fursa. Kwa wale vijana ambao wanajitafuta; hawajui wanaanzaje kutoboa sasa mzigo huu hapa nimeambatanisha kipepetushi toka Wizara ya Vijana. Oya Kijana karibu sana. Mshtue na mwenzio chap kwa haraka.
  20. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo akutana na Wanafunzi wa Kitanzania Mauritius; atoa wito wa nidhamu na Uzalendo

    Aprili 13, 2026, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Kombo, alikutana na kuzungumza na wanafunzi wa Kitanzania wanaosoma nchini Mauritius katika Chuo Kikuu cha Middlesex na kuwashauri wanafunzi hao kuhusu maisha yao ya masomo pamoja na wajibu wao wa kuiwakilisha...
Back
Top Bottom