Siku mbili zimekatika tangu nchi itikisike kwa sababu ya mgomo wa madereva wa mabasi katika mikoa mbalimbali nchini wakipinga kukatwa alama kwenye leseni zao wanapofanya makosa ya barabarani, sasa siri ya uwepo wa mgomo huo imebainika.
Kwa mujibu wa dereva mmoja wa kampuni moja ya mabasi...
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, Lynn Chawala amesema ufaulu na mfumo wa upangaji wa matokeo ni miongoni mwa vigezo vinavyozingatiwa katika mchakato wa ajira, huku uteuzi ukitegemea pia mahitaji ya taasisi husika.
Amesema mfumo hupanga waombaji...
Habari za muda huu wana-JF,
Kila siku humu jukwaani tunajibishana kwa Kiingereza na wengine tunajiita ma-expert wa lugha ya Malkia. Leo nimeamua kuleta kipimo cha kweli.
Kama unajiamini yai halikupigi chenga, jaribu kupambana na hayo maswali ya kiingereza bila kutumia Google wala AI. Kwa...
NB: Lalamiko hili linawasilishwa kwa heshima na kwa nia ya kulinda haki za wanafunzi pamoja na uadilifu wa kitaaluma wa Chuo.
Kumekuwa na ucheleweshaji wa kutolewa kwa matokeo, hususan kwa wanafunzi waliofanya mitihani ya marudio (Supplementary/SUP), ambapo hadi sasa baadhi ya matokeo...
Anonymous
Thread
alama
katika
kutoa
matokeo
mchakato
uadilifu
wanafunzi
AI inaanza kuacha alama kwenye kazi zako-Claude imetangaza kwamba maandishi yaliyopitia kwenye mfumo wake yataweza kuainishwa kuwa AI iliandika kila kitu au ilisaidia tu kuboresha maandishi.-Je, hii ni hatua nzuri ya kudhibiti matumizi ya AI au itawafanya watu waogope kuitumia?
IDF yakiri kuwawekea alama wafungwa wa Kipalestina kwa nambari, yasema: ‘Masomo Yamejifunza’
IDF yajibu picha zilizochapishwa jana zikimuonyesha mwanamume Mpalestina akiwa na nambari kwenye paji la uso wake.
“Jana, wakati wa operesheni ya ngazi ya brigedi katika kijiji cha Qabatiya katika eneo...
Kuna baadhi ya watangazaji ambao hawakuwa wanatangaza tu habari au mpira; walikuwa wanaifanya redio iwe picha inayotembea kichwani mwa msikilizaji. Miongoni mwao ni Sekione Kitojo, jina ambalo kwa wasikilizaji wa zamani wa Radio Tanzania Dar es Salaam (RTD) na baadaye Deutsche Welle (DW)...
Kama Yesu angeuawa kwa kupigwa mawe for alleged blasphemy they brought to the high priest, akavuja damu, je tungekuwa tunaweka mawe juu ya makanisa kama alama ya kanisa?? Yesu hakuwa wa kwanza kuuwawa kwenye gogo. It was the most severe mode of execution for the enemies of the Roman empire...
Hii ni historia nyingine muhimu sana kwa Rais Samia kwa kuweza kufanyia kazi wazo la kimaendeleo katika huduma za jamii.
Ukiondoa alama nyingine muhimu sana ya ujenzi wa majengo ya huduma za dharura yaani Emergency Medicine Departments katika vituo zaidi ya 100 vya huduma za afya leo hii...
Kuna barua rasmi kutoka Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) – kupitia Ofisi ya Mashirika ya Kipapa ya Kimisionari Taifa (PMS) inayoonesha kuahirishwa kwa Kongamano la Sita la Kitaifa la Utoto Mtakatifu.
Kongamano hili kubwa lilitarajiwa kufanyika kuanzia tarehe 18 hadi 22 Juni, 2026 huko...
Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) wameeleza kuwa wanakuchukua hatua madhubuti za kuimarisha usalama wa miundombinu ya barabara kwa kupaka rangi mpya kwenye alama mbalimbali za barabarani zilizofifia hususan alama za watembea kwa miguu (zebra crossing) katika Mkoa wa Dar es salaam ili...
Ningependa kuwasilisha hoja yangu kwa Mamlaka ya Utumishi inayohusika na usimamizi wa mitihani ya mtandaoni kwenye usaili wa kuandika.
Kumekuwa na mkanganyiko wa matokeo ambapo mtihani wenye jumla ya maswali 50 unatoa alama kama 93 au 75. Kimantiki, ikiwa mtihani una maswali 50, tunatarajia...
Anonymous
Thread
alama
hii
katika
mfumo
mitihani
mtandaoni
online
ufafanuzi
utumishi
Haki za wanawake: Dunia inafanya majaribio (pilot study) kuhusu wanawake (women empowerment) kushika nafasi kubwa duniani. Dunia nzima inawaona chadema (wanaume) kama vile wanachukua advantage kwa Rais kuwa mwanamke wakidhani kuwa wanawake ni dhaifu kuliko wanaume. Walitumia watu dhaifu sana...
Sikuandika kitu mara baada ya uchaguzi japo nilishuhudia kilichotokea. Kuna makosa kadhaa ambayo CCM wanayafanya ili ku-justify yaliyotokea niwaambie vijana wa CCM Mkae kimya maana mnajiharibia katika siasa za kimataifa. Na ninaamini wengi mnapenda kuja baadae kufanya siasa za kimataifa ili...
Kuna mwenge wa uhuru na bendera ya taifa, viwili hivi naona kama vina thamani sana kuliko alama nyingine za Taifa. Mwenge ukipitishwa askari wenye sare wote watapiga salute, kadhalika wakati wa kushusha na kupandisha bendera ya Taifa
Mimi kajamba nani nikipita na mifuko yangu ya noti hata iwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.