peter kibatala

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Suley2019

    Kesi ya wabunge 19 wa viti maalum waliofukuzwa CHADEMA, Wakili Kibatala aanza kuwahoji mahakamani

    Dar es Salaam. Kesi ya wabunge wa viti maalumu waliofukuzwa uanachama katika Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Halima Mdee na wenzake 18 dhidi ya chama chao hicho cha zamani imeanza kuunguruma mahakamani, baada ya kukwama mara tatu. Mdee ambaye alikuwa mwenyekiti wa Baraza la...
  2. Tanzania Nchi Yetu Sote

    From Adv. Peter Kibatala

    From Adv. Peter Kibatala, Greeetings Brethren. I have the honour to announce that My Client, Jonas Afumwisye Mwangunga, who had been detained at the Central Police Station since his arrest on Friday 26th August 2022 at his Residence in Goba, Ubungo District, Dar es Salaam has been released on...
  3. M

    OMBI: Rais Samia mteue Wakili msomi Peter Kibatala kuwa Jaji

    Nchi yetu ina wasomi wengi ila wasomi wanaotendea haki taaluma zao ni wachache sana. Peter Kibatala ni mmoja wao Hii nchi ni yetu sote kama asali kila mtu anataka kulamba. Kuna viongozi lukuki sana wapo serikalini na walikuwa upinzani na majority wanafanya vizuri sana Sifa ya kuwa Jaji ni...
  4. wa stendi

    Picha: Peter Kibatala akiwa kaelemewa mafaili baada ya kumaliza shughuli yake

    Huyu ni Peter Kibatala baada ya kesi aliyokuwa akisimamia kushinda/kumalizika Hapa akiwa na ma file yote tangu kesi inaanza hadi kufikia mwisho. Hongera sana wakili msomi kwa kazi nzuri. Mungu azidi kukubariki kwa kazi nzuri.
  5. BAK

    Wakili Msomi Peter Kibatala alivyomkaanga mtoto wa IGP Mahita kwenye kesi ya Mbowe

    Wakili msomi Peter Kibatala V/S Mtoto wa IGP Mahita. KIBATALA: Inspekta Mahita nimekufuatilia wewe ndiye ulikuwa arresting Officer? MAHITA: Sahihi. KIBATALA: Kazi ya Kingai ilikuwa nini? MAHITA: Alikua Mkuu wa Msafara. KIBATALA: Mkuu wa msafara ni role gani kwenye arresting? MAHITA: Kimya...
  6. BAK

    Ahsante sana Wakili Msomi Peter Kibatala

    "Ahsante sana Askofu! Wamewaruhusu [watu] hatimaye [kuingia Mahakamani] baada ya jitihada kubwa. Tunaanza sasa kuendelea na Kesi, Tuombeeni - Peter Kibatala" Ujumbe huo ni wa Wakili Msomi Peter Kibatala (pichani) ukionyesha kuwa zuio la Polisi na Mahakama kutaka watu wasiingie Mahakamani na...
  7. OKW BOBAN SUNZU

    Kesi ya Mbowe na Wenzake: Polisi Wazuia watu kuingia kufuatilia, Mawakili wa Utetezi watoka nje. Kesi yarejea na kuahirishwa mpaka 17 Sept

    Freeman Mbowe na wenzake wameletwa tayari. Lakini ulinzi mkali umeimarishwa. Askari wengi. Pia kuna zuio la watu kuingia ndani ya mahakama. Wanasema ni mawakili 20 tu, wanahabari 10 (leo wameruhusiwa), ndugu 5, Viongozi 5, lakini simu marufuku. Askari magereza wanalalamika kwamba jana tumefanya...
  8. mshale21

    Baada ya ACP Kingai kuonja joto la kutoa ushahidi, tutegemee nini toka kwa ushahidi wa IGP Sirro?

    Jana 15/9/2021, Tulishuhudia ACP Ramadhan Kingai akitoa ushahidi mahakani juu ya kesi ya kigaidi inayomkabili Mbowe na wenzake, Tuliona namna alivyowashiwa Moto wa mahojiano na mawakili wa utetezi kiasi kwamba akaanza kujichanganya na kupelekea watu hapa jukwaani kuhoji CV yake! Ikumbukwe kuwa...
  9. Shujaa Mwendazake

    Mahakama itamleta IGP Sirro na Sabaya Mahakamani kama ilivyoombwa na Wakili Kibatala

    Wakili Peter Kibatala kwa niaba ya jopo ameiomba Mahakama imlete IGP Sirro na Ole Sabaya kuja Mahakamani kutoa ushahidi katika kesi ya Freeman na wenzake Aidha. Pia Washtakiwa watatu wamekataa maelezo yaliyosomwa Mahakamani hapo na kusema sio maelezo waliyotoa. Je, Mahakama itaridhia na...
  10. P

    SADAKA YA UZALENDO KWA PETER KIBATALA.

    Sadaka ni moyo! Kibatala amekuwa mstari wa mbele kusimamia HAKI kwa wale wanaosimama badala ya wengine pamoja na vikwazo vingi anavyopitia katika majukumu yake. Katika kupigania haki zikitendeka amenifanya/ametufanya tuwe na furaha kusimamia haki bila kuchoka.Leo tarehe 5/8/2021 amenigusa sana...
  11. Erythrocyte

    Wakili Msomi Peter Kibatala amhakikishia kumpigania Mwanachadema aliyekamatwa Kisutu, aahidi kumtoa selo

    Kumbe kwa Mujibu wa Sheria za Tanzania, kuonyesha bango si kosa na wala halijawahi kuwa kosa, Polisi wengi wanaowakamata walioshika mabango yenye ujumbe usio na matusi ama udhalilishaji wanafanya hivyo ili kuwafurahisha waliowatuma ili wapandishwe vyeo ama waongezwe Marupurupu tu. Msikilize...
  12. Memento

    Peter Kibatala Wakili wa CHADEMA, Mungu akubariki sana

    Tumezoea kuona watu wakitoa sifa nyingi mtu anapokufa, lakini ninaomba sifa nizitoe mtu akiwa hai. Mara nyingi nimeona wakili Kibatala akipanda mahakamani kwenye kesi za viongozi wa chadema, analipwa au halipwi hio sijui na hainihusu. Lakini kitendo tu cha kukubali kusimamia kesi za upinzani...
  13. M

    Wakili Peter Kibatala amuumbua IGP Simon Sirro katika Sakata la kesi ya Freeman Mbowe

    Dear Mr. IGP, Esq; Simon Sirro 1. When a matter is in Court, U are no longer the spokesperson in terms of the charges, or the evidence to be adduced in that regard. U, and those subordinate to U, of whom we will cherish the opportunity to cross-examine thoroughly, are just witnesses. The DPP's...
  14. B

    Kibatala: Wanaopinga Katiba Mpya wana Maslahi Binafsi

    Wakili msomi bwana Peter Kibatala leo katika 360 ya clouds TV amefunguka kisomi kuhusiana na katiba mpya. "Katiba mpya ni hitajio la watanzania wengi. Wanaopinga, ni kwa sababu tu ya maslahi binafsi yatokanayo na katiba iliyopo." -- amesisitiza wakili huyo. Zaidi sana anasema Kibatala...
  15. Sauti ya Mamlaka

    Pongezi kwa Wakili Peter Kibatala, anafanya kazi nzuri

    Lengo la thread hii ni kutambua mchango wa wakili msomi Peter Kibatala kiukwel anafanya kazi nzuri sana katika mapambano ya haki na utawala wa sheria hapa kwetu Tanzania Hivo ningependa muungane na mm katika kumpongeza wakili huyu nguli na mjuzi wa sheria.
  16. Mjina Mrefu

    Wakili msomi Peter Kibatala: Wasifu (CV) wake na historia yake katika kuendesha kesi

    Wakuu, Ni kuhusu huyu wanayemwita wakili msomi.. Yaani Peter Kibatala. Kila siku nasikia Kibatala, Kibatala. Tujuzane wakuu. CV yake Kashinda kesi ngapi? Kashindwa kesi ngapi? Tujuzane tumjue huyu wakili anayeitwa msomi ======
Back
Top Bottom