mmoja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mmoja huko Marekani ahukumiwa kifo; sindano ya sumu yashindwa kufanya kazi, akimbizwa hospitali kwa dharula.

    Jina la Christa Pike limeingia kwenye vichwa vya habari na kuwa gumzo kubwa nchini Marekani kufuatia kutokea kwa kisa cha nadra cha kufeli kwa utekelezaji wa adhabu ya kifo dhidi yake katika jimbo la Tennessee. Mamlaka za magereza nchini humo zilitangaza kusitisha zoezi hilo baada ya sindano...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Ukiendesha gari wakati umefungiwa leseni miezi 6, utafungiwa miezi sita mingine na faini ya Sh500,000 au jela mwaka mmoja

    Kwa mujibu wa The Road Traffic (Drivers Licence Point System) Regulations, 2014, G.N. No. 109 of 2014, as amended by G.N. No. 420 of 2025, kosa la barabarani linaweza kukupunguzia pointi 1 au 3, kulingana na aina ya kosa. Points zikiisha, utafungiwa leseni kwa miezi sita. Ikiwa utaendesha chombo...
  3. Red black

    JamiiForums Tanzania Usisafiri na familia yako yote kwenye usafiri mmoja, ni hatari sana

    kama unasafari ya kifamilia ni muhimu kutumia aina tofauti za usafiri baba panda ndege nyingine,watoto na wife wapandishe ndege tofauti mkutane kwenye destination msitumie ndege Moja ni hatari incase of accident itakula bloodline yako yote.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nini kinafanya Wazazi walio wengi kumpenda mtoto mmoja zaidi kuliko wengine?

    Sijui kama na wewe umeona, nimekuwa nikichunguza familia nyingi unakuta wazazi hasa wamama kumpenda mtoto mmoja zaidi kuliko wengine. Nachakushangaza zaidi sio kwamba ni kwa sababu ana mafanikio kiuchumi au tabia njema hapana ila unakuta huyo ndio anapendwa zaidi kuliko hata wale wenye tabia...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi:Pori la Kigosi limejaa ng'ombe za raia wa Rwanda wanaofanya uharibifu mkubwa wa mazingira. Kigogo mmoja anawakingia kifua.

    Kigogo huyo nae anasadikiwa wazazazi wake wana asili ya Rwanda. Alishakuwa na cheo kikubwa hapa bongo baadae akatoswa. Anawakingia raia wa Rwanda kurundika mifugo yao na kuharibu mazingira.
  6. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ukweli mtupu: Nchi inaweza kuwa bila Daktari kwa zaidi ya mwezi mmoja lakini haiwezi kuwa bila askari hata kwa siku 5 tu.

    Nyie ambao mlimtweza yule askari wa usalama barabarani na aliyeangushwa na yule Daktari mwenye kisukari cha kupanda na kushuka lazima mkubali huu ukweli. Jamii yoyote, mtu yeyote ana nature ya uasifa tabibu. Mtu akipata ugonjwa kama hana pesa au bima ya kwenda hospital atapata njia mbadala...
  7. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Serikali yatoa Msamaha wa Kodi kwa Biashara Mpya kwa Mwaka Mmoja

    Kuanzia Julai 1, 2026, Serikali imeanza kutoa msamaha wa kodi ya mapato kwa mwaka mmoja kwa biashara mpya, ukihesabiwa kuanzia tarehe ya kupata TIN. Hatua hiyo inalenga kupunguza mzigo wa kodi kwa wafanyabiashara wanaoanza, kuchochea uanzishaji wa biashara mpya na kuhamasisha urasimishaji wa...
  8. Mchalinze

    JamiiForums Tanzania Taa zilizopo kwenye vivuko vya watembea kwa miguu Posta zinaangalia upande mmoja

    Mimi ni mmoja wa watumiaji wa barabara za katikati ya mji (Posta Mpya/Sanamu la Askari). Kuna changamoto kubwa ya kimfumo (design fault) kwenye taa za kuongozea watembea kwa miguu katika eneo la Sanamu la Askari. Shida iko wapi? Taa za kuongozea watembea kwa miguu kwenye kile kivuko...
  9. wa stendi

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje kila dini na Mungu wake lakini shetani akawa mmoja

    Yaani kuna dini 2 tofauti ukristo na uislamu hizi dini kulingana na mafundisho /imani au itikadi yake zinaamini Mungu yupo ila kila dini ina Mungu wake.na hapo hapo zinamini kuna shetani je !shetani wa dini fulani ndio huyu huyu wa dini ingine au nayo dini fulani ina shetani wake!au shetani ni...
  10. ngozimbili

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi, Mutiny, Coup d’état na Human shield: Je, kuhamasisha raia na jeshi kwa wakati mmoja kunaweza kuingia kwenye uhalifu wa kivita?

    Na Mwandishi Maalum Kuna tofauti kubwa kati ya maandamano ya kiraia na hali ambayo harakati za kiraia zinaanza kuunganishwa na uasi wa kijeshi, jaribio la kuangusha Serikali kwa nguvu na mapambano yanayosababisha vifo vya mamia ya watu. Hilo ndilo jambo linalonifanya niulize swali hili kuhusu...
  11. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Adui wa Taifa kwa sasa ni mmoja tu Uchawa.

    Nini maana ya uchawa? - UCHAWA ni UPUMBAVU kwasababu tafsiri ya UPUMBAVU ni kuujua ukweli lakini ukaupindisha. -UCHAWA unatokana na Mtu kuwa MCHAFU hivyo anatafuta Watu kwa gharama zozote zile wawe wanamsafisha.
  12. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania "Ka David Kafulila kanajitutumua lakini naona watu wamekadharau" Mwanasiasa mmoja mkongwe

    Anasema haka kajamaa kanajitutumua sana. Lakini ni kama kamedharaulika tu watu hawakaoni. Kila siku kanatoa matamko na takwimu za kipuuzi za kichawa mpaka mwenyewe anasema haka katoto kanafanya propaganda za kituko. Huyu mwongeaji ni MwanCCM kada mwandamizi ambage ana na amekuwa na nafasi...
  13. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Mmoja atupwa jela, wawili waachiliwa kwa Plea Bargain kwa kutengeneza pombe feki Arusha

    Arusha. Mtu mmoja amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela na Mahakama ya Wilaya ya Arusha, huku wengine wawili wakiachiliwa huru kwa Plea Bargain baada ya kukutwa na hatia ya kutengeneza na kukutwa na pombe feki pamoja na stempu feki za Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). Adhabu hizo zimetolewa...
  14. fact only

    JamiiForums Tanzania Nyerere aliwaita wanasiasa wenye tabia za kubadilika-badilika na kununulika kuwa ni "wenye tabia za kimalaya-malaya"

    Mwalimu Julius Nyerere aliwaita wanasiasa wenye tabia za kubadilika-badilika na kununulika kuwa ni "wenye tabia za kimalaya-malaya" kwa sababu ya kukosa msimamo na kuuza heshima yao kwa maslahi binafsi.
  15. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Mnaowekeza Arusha karibu na uwanja wa AFCON wekeni mikakati ya muda mrefu kuendeleza biashara na sio faida ya mwezi mmoja ya AFCON.

    Enzi za JK watu walikimbilia kuweka mahoteli ya kifahari Mtwara bila kuwa na mikakati ya muda mrefu wakaishia kutoa milio baada ishu ya gesi kutokwenda sawa. Kwa sasa naona watu huko Arusha wanawekeza mahoteli wakiitaja sana AFCON kama lengo lao. Ikumbukwe AFCON ni mashindano ya mwezi mmoja tu...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Haki ya Ibada kwa kila mmoja wetu

    Mungu ni wetu sote na tuna haki ya kumwabudu kadri ya Imani zetu as long as huingiliii haki za wengine. Pole Lisu. Mungu yuko nawe Jpili njema
  17. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Mshana Jr umeokoka au bado upo kwenye hii fani, kuna jambo nataka tumfanyie mtu mmoja humu ndani

    MSHANA JR UMEOKA AU BADO UPO KWENYE HII FANI,KUNA JAMBO NATAKA TUMFANYIE MTU MMOJA UMU NDANI Mtu wa vizinga secretarybird Tumfute alafu tumchole Tena Kisha tumueke na tutitiii sa 6 palipo bak tuachie masela kumsumbua full approach aloo 😂😂😂😂😂🏃🏾‍♂️🏃🏾‍♂️🏃🏾‍♂️ Niachen jaman msinikalipie NALUD...
  18. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwezi Mmoja Bila Kugundulika: Kifo cha Mercy Lavington Chaibua Swali

    Mwili wa Mercy Maina Wachinga, 32, ulipatikana katika nyumba yake eneo la Lavington, Nairobi, ukiwa umeharibika baada ya kukaa ndani kwa takribani mwezi mmoja bila kugundulika. Kwa mujibu wa taarifa za awali, Mercy anadaiwa kujitoa uhai, huku polisi wakipata ujumbe ulioandikwa kwa mkono ambao...
  19. min -me

    JamiiForums Tanzania Nimeona reply ya rafiki mmoja kuhusu JF

    de Gunner nimeona reply yako , unasema mimi ni daktari nisiye na kitu , nikitoka kazini napitia bar kulewa tu , ndio nasumbua jf🤣 Mimi kweli asili yangu ni nurse, mimi ni muuguzi na mkunga , MD ndio nimeanza kusoma juzi tu , kwa sababu nilipata gs f tu , same boys kipindi hicho😅 Kitu...
  20. Heci

    JamiiForums Tanzania Mwekezaji anayefichwa anayetaka kuinunua Sinza yote, ni mama mmoja wa Kizanzibari na kijana wake wa kiume, Master mind wa ufisadi wote.

    Mgogoro kati ya wamiliki wa nyumba Sinza dhidi ya wizara ya ardhi, nyumba na makazi unazidi kutanuka kila uchao, huku wizara na madalali wake wakikataa kabisa kumtaja huyo anayetambuloshwa kwa jina la Muwekezaji. Taarifa tulizovujishiwa sisi wamiliki wa hizi nyumba, ni kwamba anayetaka kutwaa...
Back
Top Bottom