kubeti

  1. K

    Nataka nianze kubeti

    Wakuu Habari za Uzima, Baada ya kutafuta kazi na kukosa, na Zingine nikipata wananikataa Wakishajua nina Usikivu Hafifu "Hearing Loss " Basi Nimeamua Kuingia kwenye BETTING, Kuna Hela nimepata hapa Elfu10 ndo nataka nianze Nayo, Niwe Natafuta Odds 3 za Uhakika Hata mara 3 kwa wiki sio...
  2. Waufukweni

    Shigongo: Kwa Afrika, Tanzania tunashika nafasi ya 5 kwa kubeti Afrika, nafasi ya 3 kwa unywaji pombe

    Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, amesema Tanzania inashika nafasi ya tano barani Afrika kwa shughuli za kubeti na nafasi ya tatu kwa unywaji wa pombe, akieleza kuwa hali hiyo si sifa nzuri kwa taifa lenye idadi kubwa ya vijana. Ameitaka Serikali kuweka mazingira yatakayowasaidia vijana...
  3. Nyendo

    Sijaacha kubeti ila nabeti kile nachoweza kupoteza bila maumivu, nilijifunza kujidhibiti

    Nilikuwa na tabia ya kubeti mara nyingi kwa siku kitu hiki kilikula pesa zangu bwana. Siku moja nilikaa chini na kujiuliza: “Hivi kweli hii ndiyo njia ninayotaka kuishi?” nikawaza sana na kuona hapana, nikaamua kubadilika, nikaweza nia ya kuapunguza Ndipo nikachukua uamuzi wa kubadilika...
  4. Ponjoro wa Kinondoni

    Nimempa Spain Mazima, nimeweka 1,724,000

    Aaaah kubeti ni ussenger kmmk. Nimempa Spain Mazima, nimeweka 1,724,000/= baada ya kuongea na boss Mad Max akaniahidi kupata kigari cha bei nafuu nikaamua nikuze mtaji kwa kuweka mechi za uhakika tu. Nikazama Salamba, nikanunua tips, nikaona nisiweke mkeka wote, nikauchambua nikaona mechi hii...
  5. Waufukweni

    Hivi wenzangu, mnafanyaje mnapobeti hamgusi fedha mlizoweka kama akiba?

    Eti Wakuu mnafanyaje? Nimefanya kila mbinu kuepuka mtego huu wa ku-bet bila kutumia pesa yangu ambayo nimeweka kama akiba ila nimeshindwa, umekuwa ugonjwa wangu karibu kila ninapo suka mikeka yangu. Hali hii inaniumiza sana na sijui najinasuaje?
  6. Lycaon pictus

    Ni kweli kampuni za kubeti zinadhulumu wawekezaji?

    Nimesoma sehemu kuwa kampuni za kubeti zinadhulumu watu walioshinda pesa nyingi. Kuwa zinabadilisha betting. Kama uliweka timu fulani ishinde wao wanabadili kuwa uliweka ifungwe kwa hiyo wanachana mkeka ulioshinda. Ukiweka over na kushinda wanabadili kuwa under. Na wengine wanakufutia kabisa...
  7. Candela

    Wote tunabeti hakuna aliye salama kama kubeti ni dhambi

    Ebana wakuu kuna hii issue baadhi ya watu wamekuwa wakiwaona wanaobeti kama watu waliopotea. Wengine mpaka wanaenda mbali na kisema dini zinakataza. Okey lets break it down niggaz. Kubeti ni nini? Ni kufanya ubashiri juu ya matukio yajayo kisha unaweka pesa. Utabiri wako ukiwa sawa unapata...
  8. JimCarrey

    Nifanyaje niache kubeti?

    Guys naombeni ushauri unaofaa nimekua mraibu wa kubeti mpaka Sina Tena marafiki, Nina madeni mpaka kausha damu, mkewangu anataka aondoke aniache, Nina watoto wanne na wanasoma, mwaka jana tu kidogo watimuliwe shule kwa kukosa ada. Nikakomaa miezi mitatu bila kubeti ila imeshindikana nimeanza...
  9. A

    KERO betPawa wanafanya michezo michafu ya kutotoa fedha kwa Wateja wao

    Kuna tatizo katika kampuni hizi za kubet wateja wanalalamika wanatoa hela ila hela kwenye account zinatoka betPawa ila kwenye mitandao ya simu hazifiki, tukiwauliza wanasema tuwasiliane na mtandao husika. Ukiwasiliana na Mtandao husika wanasema muamala umefeli umerudi kwenye account yako ya...
  10. mr pipa

    Toka ulivyoanza kubeti Umepoteza kiasi Gani Cha fedha na umepata kiasi Gani mpaka sasa

    Leo baada ya kupunwa na khanji ka laki kangu na kale katimu nikaamua niingie tu site nijue nimeliwa shingapi na kula shingapi ili nifanye maamuzi Nimeanzia kubeti 2019 mpaka kufikia siku ya Leo nimepiga tasmini ya faida na hasara ya huu mchezo Hesabu niliyoipata lost tsh 1,353090/= milion...
  11. O

    MIAKA 2 iliyopita nilijenga nyumba ya MILIONI 50 Kwa kubeti

    Nilianza mwezi WA kwanza 2023 na nilimaliza mwakan2024 mwezi wa9. Nilikuwa nimeplan sitajenga Kwa PESA ya biashara nitajenge Kwa kubeti. Safari ilikuwa ngumu ila nilimaanisha, nilichikua 500k nikaanza kuzungusha na na kuweka material kidogo kidogo , nikiliwa navuta mwezi natupia tena 500k...
  12. Fbn

    Hivi siku hizi Vodacom kwenye M-PESA inatuma matangazo ya michezo ya kubeti

    Kuna siku za nyuma niliona M-pesa ujumbe umetumwa ukisema cheza kile kindege Aviator link hii hapa. Siku nyengine natumia tena Sms sijui kuna michezo mipya. Mfumo jina M-PESA sms unawezekanaje uwe wa michezo wakati M-PESA sms ni kwa ajili ya jumbe za miamala.
  13. Ponjoro wa Kinondoni

    Hakuna kampuni ya kubeti matokeo ya uchaguzi?

    Kama ipo nijulisheni kuna chimbo lina odds za uhakika mwezi october. Nataka kusuka mkeka niweke milioni 200. Mkeka nitakaosuka utakuwa hivi Rais - Mama Abdul wa Dp World Mbunge Moro - Abood Mbunge Gairo - Shabiby Mbunge Arusha - Makonda Mbunge Iramba - Mwigulu Mbunge Mtwara mjini - Double...
  14. Waufukweni

    Nchi 6 za Afrika zinazoongoza kwa Kubeti (Maafisa Ubashiri), Tanzania nusu ya watu wake wanacheza Kamari

    Sekta ya michezo ya Kamari barani Afrika inaendelea kukua kwa kasi, ikivutia wawekezaji, wasimamizi wa sheria na watafiti. Ukuaji huu unachangiwa na idadi kubwa ya vijana, upatikanaji wa intaneti na matumizi ya simu janja. Ripoti ya GeoPoll ya Aprili 2025 inaonesha kuwa idadi kubwa ya watu...
  15. Waufukweni

    Mwita Waitara ageuka Mwalimu wa Kubeti Bungeni, adai masuala ya Kubeti yanasomwa Shuleni, atumia mfano wa Simba na Yanga

    Mbunge wa Tarime vijijini ameibuka na Vijana wanao Beti na kusema somo hilo watu wanasoma kutoka shuleni. Amesema hata yeye amesoma darasani kuhusu mambo ya kubeti huku akitolea mfano na karatasi kubwa bungeni.
  16. M

    Tafiti yakinifu: Asilimia 85 ya watumishi wa umma wanabeti ili kulipa madeni na kujikwamua na maisha magumu

    Ingia maofisini kila jumatatu au kutana nao kwenye vikao vyao na maongezi yao..Utasikia Kachana mmoja tu... Maisha ya watumishi wa umma ni magumu sana na wana mikopo kila kona. Kuanzia kwenye mabenki hadi kausha damu za Uvccm. Sisi Walimu ndio wahanga wakubwa.
  17. Uwesutanzania

    Serikali iongeze umri wa kuanza kubeti (na sisi wenye miaka 14 tupewe nafasi

    Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️ Nimeona serikali ikisema kubeti kuanzia ni miaka 18+. Sasa miaka 18+ niwazee hao na sisi vijana wa miaka 17- tunaitaka hii fursa ya mama samia ya kucheza kamari ambayo katuletea. Maana leo vituo vya habari vya taifa vyote vinahamasisha sasa hii inatunyima...
  18. Hyrax

    Magonjwa Nane (8) yanayoweza kukupata kwa asilimia 98% kama unajihusisha na shughuli za kubeti

    Kama unajihusisha na kubeti mara kwa mara, kuna magonjwa na matatizo ya kiafya ambayo yanaweza kukupata, hasa kutokana na msongo wa mawazo na athari za tabia hii. Baadhi ya magonjwa hayo ni: 1. Msongo wa Mawazo (Stress) na Wasiwasi (Anxiety) Kubeti kunaweza kusababisha wasiwasi mkubwa kuhusu...
  19. issac77

    Wakuu ukamalia sio kazi, Kila siku nawaambia, acheni kubeti!

    Huu uraibu nilidumbukia rasmi mwaka 2016 nikapigwa wee akili ikaja kunikaa sawa mwaka 2021 Niko nyang'anyang'a. Nikasema basi sirudi Tena huko. Hamna tim ambayo siijui, ligi zote zipo kichwani, option zote zipo kichwani lakini vichapo kwenda mbele... Nawashangaa sana vijana wanashupaza shingo...
  20. Mstahiki Mea

    Aua Rafiki zake 14 ili apate hela ya kubeti

    Sararat Rangsiwuthaporn. MWANANMKE mmoja nchini Thailand amehukumiwa kifo katika kesi ya kwanza kati ya msururu wa kesi anazotuhumiwa kuwaua marafiki zake 14 kwa kutumia sumu. Mahakama mjini Bangkok ilimpata na hatia Sararat Rangsiwuthaporn (36) ya kuweka sumu kwenye chakula na kinywaji cha...
Back
Top Bottom