ubaguzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Kutoka “Shithole” hadi “Takataka”: ubaguzi wa rangi dhidi ya wahamiaji wa Afrika nchini Marekani wazidi

    Rais wa Marekani Donald Trump hivi karibuni kwenye Kwenye mkutano wa baraza la mawaziri uliotangazwa moja kwa moja kwenye televisheni, aliwataja wahamiaji wa Somalia kama “takataka”, na kuelezea hamu yake ya kuwarudisha “walikotoka”. Baadaye alizidisha kauli hii, akiwaambia waandishi wa habari...
  2. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Bila VPN JF inashindwa kufunguka. Je, imefungiwa tena?

    Wakuu, Mchana nilikuwa naingia bila kutumia VPN lakini muda huu nashindwa kuingia. Shetani gani tena huyu? Binti wa zamani
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mungu mwenye Nguvu awe nanyi mwezi huu mpya

    Hamjambo! 1. Mwezi huu uwe mwezi wenye Baraka na Neema ya Mungu naam yule MUNGU Mwenye Nguvu nyingi aliyetuumba wote. 2. Mwezi huu Mungu atuepushe na Mabaya na kushindwa na adui zetu. 3. Wokovu wa Mungu uwe upande wetu. Naye atatupa Wokovu mkuu na ushindi kwa namna isiyoelezeka. 4. Adui zetu...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Je tumefikishwa hapa na dhambi ya Ubaguzi ya JK Nyerere?

    Nijenge msingi kwanza! Rais Obama aliwahi kusema Africa inahitaji Strong institution tu kujikomboa. Kwa maneno mengine Taasis imara hususan za Dola. Nije kwenye mada. Ukiwasikiliza Wahenga na simulizi zao na hata ndugu Polepole miezi ya karibuni utagundua kuwa katika uchaguzi wa kwanza wa vyama...
  5. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwa nini kiongozi Mzanzibari asipokubalika Tanganyika kwa sababu ya Uzanzibari wake inakuwa ni ubaguzi?

    Kwa nini mtu bara au kwa lugha sahihi na iliyonyooka Mtanganyika hawezi kupata kabisa nafasi muhimu za uongozi huko Zanzibar na haionekani ni ubaguzi ila Mzanzibar anaweza kupata nafasi yoyote ya uongozi hapa bara/Tanganyika ila watu wa Watanganyika wakipinga au wasipopendezwa na hili jambo...
  6. Yoda

    JamiiForums Tanzania Nyerere na CCM walisahau kupambana na ubaguzi wa kisiasa na sasa ubaguzi huo unaitafuna nchi

    Tangu tunapata uhuru mpaka sasa utawala wa CCM ulijikita sana kupambana na ubaguzi wa ukabila, rangi, dini na ukanda. Walichojisahau au kwa makusudi hawakuwahi kuwekeza jitihada zozote kupambana na ubaguzi wa kisiasa, kuwaona wapinzani wa CCM ni raia sawa na wenye haki kamili sawa na wana CCM...
  7. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ni polisi na unapinga mauwaji yanayoendelea acha kazi chuki na ubaguzi mnaoujenga kwa watu mtakuja kujuta

    Kama wewe ni polisi na unapinga mauwaji yanayoendelea acha kazi chuki na ubaguzi mnaoujenga kwa watu mtakuja kujuta.
  8. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Onyo: Zanzibar inapaswa kuacha ubaguzi dhidi ya ndugu zao watanganyika, itawagharimu pakubwa

    Kwanza kabisa sababu kuu za harakati za kudai mabadiliko hazihusiani na muungano hata kidogo, ni za kisiasa tu. Hata hivyo kumekuwa na shutuma za ubaguzi zinazofanywa na wazanzabar kwa watanganyika hali hii inaweza kuwagharimu sana kwa ubaguzi wanao uanzisha na kupanua harakati za mabadiliko...
  9. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Watu wa Arusha acheni wivu na ubaguzi.. kila mtanzania ana haki ya kuishi popote ndani ya Tanzania.

    Ninashangaa jeshi la polisi kutowachukulia hatua hawa wananchi wa Arusha wenye roho mbaya na wivu kwa mpambanaji Chinaa. Kumtaka ahame mtaa ni kumnyima haki yake ya kikatiba ya kuishi popote ndani ya nchi hii. Hii mbegu ya ubaguzi inayozidi kuchipua huko Arusha inabidi ikomeshwe. Halafu...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Bima ya NHIF iitwe bima ya watumishi kwani ina ubaguzi

    Habarini, Ni wazi bima ya NHIF inaubaguzi na wananchi wa kawaida hawawezi kumudu gharama zake hivyo ni vyema ikaitwa bima ya watumishi wa serikali ikaeleweka moja. Sielewi ni kwanini serikali ishindwe kuanzisha bima ya afya kwa watu wote wakati inaweza kufanya uchaguzi kwa gharama kubwa sana...
  11. Benson Mramba

    JamiiForums Tanzania Je CCM wanatafunwa na dhambi ya ubaguzi kwa wapinzani?

    Mwl Nyerere aliwahi kusema dhambi ya ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu huwezi kuiacha. Pia Mwalimu alisema kinachowafanya Watanganyika kusema sisi Watanganyika ni uwepo wa Wazanzabar, na kinachowafanya Wazanzibar kusema sisi Wazanzibar ni uwepo wa Watanganyika. Aidha Mwalimu alisisitiza...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kwa umoja wetu tukatae hii migao ya Bara na Zanzibar kwenye siasa ni ubaguzi

    Nchi ni moja hakuna ubaguzi wa kanda sasa migao ni ya nini Sijui vyama vya siasa kugawa mali pande zote!! kwani unguja na Mwanza tofauti yake ni nini?? mbona mikoa mengine haina mali za vyama kama mengine!!!. Hii kulazimisha kisheria kugawa mali za wati zaidi ya milioni 60 kwa watu milioni 2...
  13. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Israel ni nchi ya ki-Demokrasi hakuna ubaguzi wowote kwa mtu yeyote

    Kuna watu wengi sana wakishakula Maharage ya jana wanakula mstari wa mbele kueneza uongo wa kila aina kuhusu Israel. Wengi wanaoeneza uongo huo hata hawajui Historia ya Israel na hawajawahi kufika katika nchi hiyo wengi wamemezeshwa uongo na viongozi wao wa kidini na wengine wamevutwa tu na...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Dhambi ya ubaguzi haijawahi kumwacha mtu salama,Chadema watatafunana hadi mtu wa mwisho

    Nikirejea kauli ya mwalimu kuhusu dhambi ya ubaguzi. Ni suala la muda tu viongozi wa sasa watajikuta wako peke yao na pia sio kitu kimoja. Wale waaliokuwa wanawaita wasaliti,wameamua kuondoka na sasa watajikuta wamekosa watu wa kuwatupia lawama. Kwa vile dhambi ya ubaguzi ni kama dhambi ya...
  15. sindano butu

    JamiiForums Tanzania Sintofahamu ya utoaji zawadi mtumishi bora ikileta picha ya ubaguzi

    Hii haijakaa sawa watumishi walioajiriwa taasisi/idara mbalimbali mwingine kupewa zawadi kubwa sana tofauti na mwenzake ilihali wote watanzania na pia wanahudumia Taifa. Na mzizi wa haya yote ni utofauti wa mishahara. Anayefanya kazi halmashauri au mikoani kulipwa kidogo tofauti na...
  16. Ricky Blair

    JamiiForums Tanzania Makundi yanayoongoza kwa ubaguzi na chuki dhidi ya watu weusi

    Makundi ya Kikabila Yanayojulikana kwa Ubaguzi Mkubwa Dhidi ya Weusi Duniani Ubaguzi dhidi ya watu weusi upo duniani kote kutokana na historia, siasa, na mitazamo ya kijamii. Ingawa si rahisi kupima kiwango cha ubaguzi kwa kila kundi la kikabila, baadhi ya jamii zinajulikana kwa kuwa na...
  17. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Video: Huu kama sio ukoloni ni nini? Wachina waanzisha hoteli ambazo Mtanzania huruhusiwi kuingia

    Wakuu, Tunaposema kuwa Wachina ni existential threat kwa jamii yetu ya kitanzania huwa tunamaanisha Hapa ni GUangdong Hotel, Dar Es Salaam, huyu jamaa kasimamishwa getini anakatazwa kuingia kwenye hii hoteli na mlinzi. Akihoji kwanini anaambiwa hiyo hoteli ni "special" kwa Wachina. Ngozi...
  18. N

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ubaguzi katika baadhi ya vyuo vikuu Tanzania

    Kabla sijaleta mada yangu kuhusu ubaguzi niliouona katika baadhi ya vyuo vikuu vya Tanzani ninaomba niwaulize swali moja la msingi. Je! kuna tofauti kati ya bacholor Degree ya inayoitwa university na inayoitwa Institution? Je! TCU inazitambua hizi bachor Degree kwa weight tofauti? Mada Kuna...
  19. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Ubaguzi wa rangi unarudi: CCM, Makalla na mzee Wassira fuatilieni hili tangazo

    Sikutegemea kuona tangazo linalo akisia kurudi kwa ubaguzi wa rangi, miaka 64 baada ya uhuru. Tangazo linalotembea mitandaoni linasoma ubaguzi. ASIANS AND ARABS ONLY NEED APPLY. Haya ni matusi kwa CCM.
  20. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Haji Manara abubujikwa machozi akimuelezea aliyemtweza sababu ya rangi ya ngozi yake,asema anamuachia Mungu

    Alianza press yake kwa mbwembwe sana,akimnanga rais wa TFF na TFF yake,ghafla akaulizwa swali na mwandishi kuhusu X wake aliyemkashifu,alijibu kwa kinyonge na kumaliza press. Wakati wa kutoka nje alionekana akibubujikwa machozi na kusema anamuachia Mungu Hii ni mara ya pili Haji Manara...
Back
Top Bottom