Kile kinachoendelea cha usafi na kuzuia biashara katika maeneo Yasiyo ramsi kinachonekana ikifanyika katika wilaya zingine huku wilaya ya Ubungo Mambo yakiendelea opposite. Katika wilaya ya Ubungo machinga na Vibanda holela vimekuwa kama ni sehemu ya utamaduni na uongezekaji wake Kwa Kasi...
Kuna baadhi ya ndugu zetu hawawezi kuhimili safari nzima bila kuchafua hali ya hewa kutapika safari (to vomit).
Kama unashida kama hii nakupa mambo haya utachagua utumie njia gani kujizuia kutapika kwenye basi au usafiri
1-kabla hujaingia kwenye basi au usafiri lamba tairi la gari hutoweza...
AI yafika Polisi, wafyatua maudhui kuzuia upotoshaji kuhusu kifo cha Msemaji Misime
Hapo awali walitoa tangazo la kukanusha posta ya kugushi iliyokuwa ikisema Msemaji wao Kafariki.
Za ndani kabisa.
Mitiani imewahishwa yote, kisha serikali ikatenga billion 700 kwa kile inachokiita elinino.
Ila ukweli ni kuwa Ama Lissu atafia jela kabla ya hukumu yatehe 6 November au Akina kabudi watalazimika kuandika hukumu ya kumnyonga.
Majamaa ya Zimbabwe hayataki kabisa kumuona lissu...
Zaidi ya wakazi 130 wa Chandavai, Kaunti ya Lamu nchini Kenya, wamefungua kesi mahakamani wakitaka kusimamishwa mradi wa kiwanda cha kusafisha mafuta cha Aliko Dangote, kwa kile wanachoeleza kuwa ni kuharibiwa kwa ardhi ambayo familia zao zimeishi kwa vizazi kadhaa.
Wakazi hao wanadai kuwa...
Kenya imechaguliwa kuwa miongoni mwa nchi tatu za Afrika zitakazohusika katika utengenezaji wa alimatravir, kidonge kipya kinacholenga kuzuia maambukizi ya HIV na kinachotarajiwa kutumiwa mara moja kwa mwezi.
Kidonge hicho kitatengenezwa nchini na kampuni ya Universal Corporation, chini ya...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Christian Makonda, amepuuza taarifa na uvumi unaosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kuwepo kwa maandamano ya kuzuia michezo kuelekea Mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON), akisisitiza kuwa hakuna maandamano yoyote na kwamba...
Mwendeshaji Kipindi: Eh sasa hivi kwenye siku za hivi karibuni taarifa kubwa imekuwa ni El Niño, El Niño, El Niño. Lakini pia Mheshimiwa Rais alisisitiza mara kadhaa na hata juzi akiwa anawaapisha Wakuu wa Mikoa hapa aligusia pia hilo kwamba wananchi waendelee kupewa elimu.
Mamlaka tofauti...
Ninatoa pendekezo la Serikali kuandaa Muswada wa Sheria ya kusimamia michango ya shughuli za Vyam vya Siasa nchini ili kuzuia watu au makundi ya watu wasio na maadili kuhusika kwenye michango ya shughuli za vyama kwani kwa sasa kumejitokeza tabia ya watu wanaojiita wanaharakati kuchangia au...
fomu
fomu za maadili
haja
ili
kujaza fomu
kuzuia
maadili
mabaya
madaraka
michango
ofisi
sheria
shughuli
siasa
viongozi
vyama
vyama vya siasa
wakuu
wote
Nchini Singapore kwa mujibu wa sheria kupiga kura ni lazima. Kila mwananchi ana jukumu la kupiga kura na mwananchi ambaye hatashiriki kupiga kura bila sababu ya msingi kama vile ugonjwa au kuwa nje ya nchi jina lake linaondolewa kwenye daftari la kudumu la wapiga kura.
Ili kulirudisha jina...
Muhula wa Mwisho!Tujiulize kwanini Mama anapigana sana kuzuia katiba.
Ni kwasababu wakina Kikwete wanataka waweke watoto zao, yeye aweke mtombah wake ambaye ni waziri kwenye uongozi wa nchi akiondoka.
Yaani sasa wamejisahau na kuona nchi kama ni yao na ubaya zaidi vyombo vya usalama vyote...
Bidhaa nitakazo zalisha kiwandani ni
1. Condom (bei ya jumla 500/= condom 3)
2. Mafuta ambayo unayapaka kwenye mkuyenge kabla hujamla mtoto ukishapaka unakula kavu kavu na hupati maambukizi ya HIV wala STDs zote. (bei ya jumla ni 8000/=
3. Tiba ya kuzuia harufu kwa wadada maana sikuhizi kati ya...
Huku Kenya ikielekea katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2027, wasiwasi kuhusu ongezeko la matamshi ya chuki na uchochezi wa kisiasa unaendelea kuongezeka, huku viongozi kadhaa wakikabiliwa na uchunguzi na hatua za kisheria.
Tukio la hivi karibuni linamhusu MCA wa Kuteuliwa wa Makueni, Urbanus...
Kashaona anataka wafuwasi.Alicho fanya umri wake na mafundisho na mambo yake anahisi kufanya hivi kutampa kufika 2030.
Kuna mambo yatageuka kesho mje kusema tuliona wakati mlikuwepo.
Hivi kwa nini afrika nchi nyingi mnasubiri mpaka moto ushamaliza kila kitu ndio mnaona kunaitaji kuzima moto.
Mnaweza kufanya jitihada za kuzuia upinzani kwa kila njia ili tu wasipate wawakilishi ingiwa wanakubaliwa lakini mjiulize je mpo tayari chama chenu kikategemea kupata maagizo kutoka kwa IGP. Maana itafika sehemu mtakuwa mnategemea Polisi kwa kila kitu na IGP atagundua ana nguvu kuliko hata...
Jana nilipata fursa kwenda shule ya sekondari Tosamaganga iliyopo hapa Iringa.
Nilipokuwa pale nikajiuliza ile hoja ya watu kuwa Tanzania inaongozwa kwa kufuata mfumokristo inatokana na nini hasa.
Maana kama Serikali chini ya Mwalimu Julius Nyerere (mkatoliki) ilitaifisha taasisi za Afya...
Ndugu zangu Watanzania,
Nimeona tangazo la Mwenyekiti Wa BAVICHA Taifa Deogratias Mahinyila Akisema watakuwa na mkusanyiko wa vijana utakaofanyika pale Dodoma wakitaka ama wakiwa na ajenda za kutaka Katiba mpya na kuzungumza mambo mengine ya kisiasa .
Sasa kwa jicho la kijasusi na jicho la...
Watu 45 wamefikishwa mahakamani baada ya kukamatwa kwa madai ya kuzuia mtiririko wa magari katika eneo la daraja la waenda kwa miguu la Nyayo Stadium, kando ya Barabara ya Mombasa, Nairobi.
Mamlaka ya Kitaifa ya Usalama wa Usafiri na Barabara (NTSA) imesema hatua hiyo ni sehemu ya operesheni ya...
Wachezaji wa Argentina wamefichua siri iliyokuwa kwenye chupa ya maji ya kipa wa England, Jordan Pickford, baada ya timu hizo kukutana jana usiku katika nusu fainali ya Kombe la Dunia 2026 .
Baada ya Argentina kuibuka na ushindi wa mabao 2-1, baadhi ya wachezaji wake, akiwemo nahodha Lionel...
Kwa akili ya kawaida mnapokuwa na mgogoro mnatafuta sababu za mgogoro harafu ndo mnakubaliana kuutatua huo mgogoro , Hapo ili kupata suruhu huwa tunatafuta mtu watatu ambaye atakaa katikati kuhakikisha pande zote mbili zinaridhia yale yaliyojadiliwa na kuafikiwa yanatekelezwa.
Kama sababu za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.