tanganyika

 1. Mohamed Said

  Timu ya Tanganyika, Gossage Cup 1961

  TIMU YA TANGANYIKA GOSSAGE CUP 1961 Majina ya wachezaji wote na maelezo ya ziada kayatoa John Limo baada ya kumfikishia hii picha. Tumshukuru kwa kutufanyia hisani hii: Kutoka kushoto: Henrick Martin, Hemed Seif, John Lyimo, Washokera, Yusuf Mwamba, Yahaya Mbike, mbele ni Aziz Abdullah...
 2. mirindimo

  Tanganyika tunalipa Kodi mara 2 Zanzibar wanalipa Kodi mara 1

  Ukinunua gari Zanzibar utalipa Kodi na ukifika Tanganyika utalipa tena kubwa tu, na sio gari tu fridge, TV, Simu n.k Ni hivi ni rahisi kuingiza vitu Zanzibar kutoka nje hasa falme za Kiarabu lakini si rahisi kuvitoa Zanzibar kuviingiza bara. Tuendeleee na mazungumzo au tuachane nayo?
 3. S

  Buriani Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

  Toa sababu za wewe kutaka Muungano huu uendelee . Kwa upande wangu nasema Muungano huu sio ule uliokubalika na umepoteza vigezo vingi na zaidi unatumiwa na kufaidisha chama kimoja tu na uwepo wake si kwa manufaa ya wananchi wa pande mbili za Muungano bali ni kwa sehemu ya kundi moja tu ndani ya...
 4. N

  Video ya Uwanja wa lake Tanganyika matayarisho ya fainali ya shirikisho

  si utani ama kwa hakika hii ni ligi ya 8 kwa ubora africa naomba sana simba na yanga zikutane hiyo fainali halafu siku hiyo makocha wa kigeni wakashuhudie kapeti la lake tanganyika watajua hawajui
 5. Erythrocyte

  Code number ya simu ya Zanzibar ni +259 , hii +255 tunayotumia ni ya Tanganyika

  Taarifa hii imetolewa leo na Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Mh Othman Masoud akiwa ziarani kujitambulisha kwa wanachama wa chama chake cha ACT Wazalendo. Ambapo amedai mpaka leo hakuna nchi nyingine itakayopewa code hiyo kwa vile ni mali ya Zanzibar Nitajaribu kuweka video kama itakubali...
 6. Mohamed Said

  Laiti Rais samia angeijua historia ya soko la Kariakoo katika kupigania uhuru wa Tanganyika

  Mama Samia leo asubuhi aliamkia Soko la Karikaoo kuangalia biashara inavyokwenda na kuzumgumza na viongozi wa soko. Allah ana rehma zake na hutukumbusha mengi kwa njia ambazo mtu huwezi kutegemea. Hapo aliposimama kwenye gari Rais Mama yetu Samia Soko la Kariakoo alikoelekeza sura yake ni Mtaa...
 7. jaji mfawidhi

  Historia ya uundwaji wa Mikoa Tanzania

  Tanganyika ilikuwa na majimbo 8 wakati inapata uhuru 1961. 1. Jimbo la Kati 2. Mashariki 3. Ziwa 4.Kaskazini 5. Nyanda za juu kusini. 6. Jimbo la Tanga. 7. Nyanda. MWAKA 1966 NYERERE aliunda mikoa 15 nayo ni:- 1. Kilimanjaro 2. Arusha 3. Pwani . 4. Dodoma 5.Tanga 6. Kigoma 7. Mara 8. Mbeya 9...
 8. Mohamed Said

  Tusome historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika

  TUSOME HISTORIA YA TANU NA UHURU WA TANGANYIKA Hawa vijana wamevutiwa sana na historia ya Abdulwahid Sykes wameagiza vitabu hivyo kutoka Dar es Salaam. Hawa vijana wako Shinyanga. Wana nakala pia ya kitabu cha Rajabu Ibrahim Kirama.
 9. A

  Sasa ni wakati wetu Zanzibar kuitawala Tanganyika

  Tangu Tanganyika ilipoungana na Zanzibar mwaka 1964 tumekuwa tunatawaliwa na Watanganyika na kupangiwa nani awe Rais wa Zanzibar kwa kupitia vikao vya CCM Dodoma, hata huyo Mzee Mwinyi hakuwa mzanzibar mwenzetu ila ni mlowezi toka kisawawe pwani huko Tanganyika. Kwa kudra za Mwenyezi Mungu...
 10. Synthesizer

  Rais Samia, kuna dalili zote za kuwa na mafuta ziwa Tanganyika na Nyasa

  Moderators wa JF mnazingua sana. Mmebadilisha kichwa cha thread na kutoka nje kabisa ya topic. Lengo haikuwa kusema kuna dalili za mafuta, bali kuweka mkazo kwamba lazima tuharakishe ku-utilize hii resource kwa kuwa kuna kasi ya kuacha kutumia mafuta duniani. Kwa nini mnafix vitu ambavyo havina...
 11. J

  ACT wazalendo ni imara Zanzibar huku Tanganyika afadhali ya Chadema!

  Zitto Kabwe amesema wanaoibeza ACT wazalendo kushiriki uchaguzi mdogo Kigoma ni Washamba. Mimi nadhani Zitto Kabwe ndio mshamba kwa sababu anadhani ACT wazalendo ya Zanzibar ndio hii ya Tanganyika. Chadema ni bora zaidi mara 10 kuliko ACT wazalendo kwa siasa za Tanganyika. Zitto Kabwe ana...
 12. Marco Polo

  Mama Samia waangalie hawa MCT( Medical Council of Tanganyika)

  Sisi wengine tunaishi na kusomea huku Zanzibar, ili kwenye hizi ajira za afya wameweka kigezo cha leseni ya Tanganyika hivyo ukiwa na leseni ya Zanzibar system inakukataa, cha ajabu mfumo wao wa kuomba leseni ya Tanganyika Online wameufunga hivyo kuwanyima wale wasiokuwa na leseni wasiweze...
 13. J

  Mzee Mwinyi: Nilijilaumu kwa kuliachia Bunge hadi likapitisha hoja ya Serikali ya Tanganyika, Mtikila aliisumbua Serikali yangu

  Rais Mwinyi anasema alijutia namna alivyoliachia bunge hadi likafikia hatua ya kupiga kura na kuwaunga mkono kundi la wabunge waliojulikana kama G55 waliodai Serikali ya Tanganyika. Lakini hatimaye jambo hili lilienda kukwamishwa na vikao vikuu vya CCM na kutupiliwa mbali. Kadhalika Mwinyi...
 14. S

  Sababu ya kung'ang'ania Muungano kwa ndugu zetu wa Tanganyika (Tanzania bara)

  Yaani kama haki itachukua Mkondo wake, basi Matanganyika watakuwa hawana hata ufukwe, mnatakiwa muwaheshimu sana watu wa Zanzibar. Na ndio sababu wanasema wataulinda Muungano, Sasa Rais Samia akiridhia kuirudishia Zanzibar ukanda wake, mtamfanya nini,yeye ndio Mkuu wa majeshi, yeye ndio Rais...
 15. Mohamed Said

  TAA hakikuwa chama cha kushughulika na maslahi ya wafanyakazi waafrika wa Tanganyika

  TAA HAKIKUWA CHAMA CHA KUSHUGHULIKA NA MASLAHI YA WAFANYAKAZI WAAFRIKA WA TANGANYIKA Abdul Sykes alikuwa na fikra ya kuunda chama cha siasa toka yuko Burma wakati wa Vita Vya Pili Vya Dunia (1939 – 1945) na alipoingia katika uongozi wa TAA mwaka wa 1950 na kuwa mjumbe katika TAA Political...
 16. Mohamed Said

  MAY DAY 2021 ITUKUMBUSHE WAFANYAKAZI WA TANGANYIKA CHINI YA MKOLONI

  MAY DAY TUWAKUMBUKE WAFANYAKAZI WA TANGANYIKA YA MKOLONI Toka jana nilikuwa nawaza niandike nini kuhusu May Day na Wafanyakazi. Ikawa nimekwama. Siku hizi kuna Kiswahili vijana wanasema, ''mara paa,'' nikaona video ya Paul Makonda anasema kama katika maandamano ya May Day angeona bango la...
 17. kavulata

  Kama serikali ya Zanzibar lazima iwepo, basi kuirudisha Tanganyika hakuepukiki

  Baada ya Ikulu zote nchini Kisiwandui, Magogoni na Chamwino kukaliwa na Watanzania visiwani ndiyo nikaona umuhimu wa kuwa na serikali tatu au moja tu. Serikali tatu itasaidia kutunza siri na nyaraka za serikali ya Zanzibar na siri na nyaraka za serikali ya Tanganyika. Serikali moja inasaidia...
 18. Mohamed Said

  Wakati Kenneth David Kaunda anatimiza miaka 97, tuangalie uhusiano wake na Ally Sykes 1953

  KENNETH DAVID KAUNDA NA ALLY KLEIST 1953 Leo Kenneth Kaunda katimiza miaka 97. Nimeangalia picha ya Kenneth David Kaunda na picha hii ikanikumbusha uhusiano wa Kaunda na Ally Kleist Sykes wakati Afrika ilipokuwa katika harakati ya kupigania uhuru wake. Usiku umekuwa mwingi In Shaa Allah kesho...
 19. Red Giant

  Binafsi naona hii ndiyo faida kubwa ambayo Tanganyika inapata kupitia Muungano

  Faida ya kupata sehemu ya bahari, yaani exclusive economic zone(EEZ). Kisheria mile 200 kutoka pwani ya nchi ni eneo la kiuchumi la nchi husika. Hapo inamaana kilomita kama 320 kutoka pwani ya Tanzania bara kuingia bahari ya Hindi ni eneo letu la kiuchumi. Mafuta na uvuvi wa eneo hilo ni wetu...
 20. JERUSALEM 2006

  Je, Rais Samia anayo haki na misingi ya kuongoza Tanzania Bara (Tanganyika) kwa mambo yasiyo ya Muungano?

  A. UTANGULIZI Napenda kuweka wazi kwamba nimeanzisha mjadala huu, ili kuondoa mkanganyiko na mkwamo ninao uona wazi wazi katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania. Kwa mara nyingine katiba yetu imejaribiwa (imekuwa tested), hivyo ni busara kuwepo kwa mjadala wa kuondoa shaka na hoja...
Top Bottom