A rum baba or baba au rhum is a small yeast cake saturated in syrup made with hard liquor, usually rum, and sometimes filled with whipped cream or pastry cream. It is most typically made in individual servings (about a 5 cm tall, slightly tapered cylinder) but sometimes can be made in larger forms similar to those used for Bundt cakes.
The batter for baba includes eggs, milk and butter.
Leo, Oktoba 15, 2026, Kenya inaadhimisha mwaka mmoja tangu kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu, Raila Amolo Odinga, mwanasiasa aliyekuwa na ushawishi mkubwa katika historia ya siasa za Kenya na mapambano ya demokrasia nchini.
Raila alifariki Oktoba 15, 2025, akiwa na umri wa miaka 80 katika jimbo la...
babababa wa taifa
day
julius kambarage nyerere
kambarage
kumbukizi
mkuu
mwalimu
nyerere
nyerere day
ofisi
ofisi ya waziri
ofisi ya waziri mkuu
oktoba
siku
taifa
waziri
waziri mkuu
Moja ya mijadala iliyokuwa na maoni mbalimbali ni hii video clip ya Mchungaji mmoja nchini Tanzania akisema kuwa Baba au Mwanaume ndio anapaswa kutoa Baraka na si Mama.
Watu wengi wameunga mkono na wengine kupingana nae.
Wengine walienda mbali na kurejea visa mbalimbali kwenye biblia
Mwanzo...
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Oktoba 14, 2026 ameshiriki Ibada ya Misa Takatifu ya Kumbulizi ya Hayati Julius Kambarage Nyerere iliyofanyika katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Epifania (Mamajusi Watatu) Jimbo Katoliki Sumbawanga, Rukwa
Katika Ibada hiyo, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya...
Kijiwe (fundo) cha pafu la Baba Mtakatifu Papa Leo XIV kilichoondolewa wakati wa upasuaji kilipatikana kuwa na saratani, imeeleza Vatican.
'Upasuaji huo umekamilika kwa mafanikio, kulingana na ratiba na kama ilivyopangwa, na Baba Mtakatifu amerejea chumbani kwake,' ilieleza taarifa kutoka ofisi...
Mungu anasema haki huinua taifa yaani taifa lolote ili liende linahitaji kutenda haki. Na mtenda haki wa kwanza anaitwa rais wa nchi huyo ndio right marker wa haki. Lazima asimame kwa haki aamue kwa haki awe mwanamke awe mwanaume.
Akisema haki kwanza taifa linakuwa na amani."Sasa ili watu...
Karibu mwaka mmoja baada ya kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga, Maurice Ogeta, mlinzi na msaidizi wake wa miaka 29, amefunguka kuhusu matukio mazito aliyodai kuyashuhudia akiwa pembeni ya mwanasiasa huyo, kuanzia tukio aliloamini lingemgharimu maisha Raila hadi kutekwa kwake mwenyewe...
Baba wa marehemu Shukran Amos Said, mwanamke anayedaiwa kuuawa na mwanaume aliyefahamika kwa jina la Khatibu Mfaume katika eneo la Maili Mbili, jijini Dodoma, amekataa kuruhusu mwili wa binti yake kuzikwa na familia ya mume wake wa zamani kutokana na mgogoro wa mahari.
Inadaiwa kuwa baada ya...
Maneno ya Askofu
"Haki huinua taifa... Taifa lolote ili liendelee linahitaji kutenda haki. Na mtenda haki wa kwanza anaitwa Rais wa nchi, huyo ndiye 'right maker' wa haki."
"Taifa limetenda dhambi mbaya. Yaani tuko kwenye dhambi mbaya. Mungu anasema, 'Haki huinua taifa'... Lazima asimame kwa...
Ingekuwa ni baba yangu ni ngemuomba tu kuachana na kutumia serikali unayoitetea kwa kubeba uwongo sana.
Huyu mzee kwa uwongo inaonesha hata chuo kikuu hapo kazilisha waongo.
Wakuu kwema, Hii stori inamuhusu mtu wa karibu na mimi naileta kwa niaba yake, kanitumia anahitaji ushauri, nimeandika kwa kutumia uhusika wangu.
Nimekua na mahusiano na mchumba wangu kwa muda wa maika 6, na sasa nikaona imefika wakati wa kumuoa, nikaamua kwenda kumtambulisha nyumbani kwetu...
kaingili mhimili mwingine wa serikali unaokusanya kodi ili izipeleke jimboni kwake zikajenge barabara zake. Nguvu ya yeye kuzuia TRA wasikusanye kodi kaitoa wapi?
Ametumia vibaya nafasi ya ubungo. Yeye baada ya kujiridhisha kuwa yule alikuwa afisa wa TRA kazi yake ilipaswa kuishia hapo...
Kuna video baba levo amepost akisema amepewa elimu ya kodi baada ya sintofahamu kutokea kati ya ommy dimpoz na afisa TRA yaani amekuwa mbunge ilihali hajui sheria za kodi usishangae hata alipokuwa kwenye kampeni alisema waziwazi hajui mswada ni nini
Ukipelekwa mswada wa kodi kwa mtu ambaye ni...
Ofisa wa TRA Anastahili Kupandishwa Cheo kwa Ujasiri na Uaminifu Wake
Katika tukio la hivi karibuni lililorekodiwa na kuenezwa sana mitandaoni, maafisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) walifika kukamata gari la msanii Ommy Dimpoz kwa tuhuma za ukwepaji kodi. Wakati wa zoezi hilo, Mbunge wa...
Nimepata mstuko mkubwa Sana leo baada ya kuangalia wasapu sitatasi ya mke wangu nileyapata nae watoto 2 na kukuta amechapisha picha ya Baba mtoto wake na jumbe za malovee, Huku wakininanga na kuniita Kigagula.
Natamani iwe ni ndoto au eyiyai . Naangusha machozi ya uchungu, Mwehu naliaa Kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.