kauli

No Wikipedia entry exists for this tag
 1. L

  Zinapokutana vurugu za bunduki na ubaguzi wa rangi, "Black Lives Matter" inakuwa kauli mbiu ya bure nchini Marekani

  Kwa mujibu wa takwimu kutoka tovuti ya "Gun Violence Archives" ya Marekani, tukio la ufyatuaji risasi lililotokea mjini Buffalo, New York, tarehe 14, limekuwa tukio la 198 la mauaji ya watu kwa kutumia risasi nchini Marekani mwaka huu, na pia ndilo baya zaidi kwa mwaka huu. Kijana mzungu mwenye...
 2. Synthesizer

  Nani kamziba mdomo Waziri wa Mambo ya Nje Mulamula, kulingana na kauli ya ahadi aliyotoa mwenyewe kuhusu uraia pacha?

  Nimesema siku zote huwa siwaamini wanasiasa. NI mara chache sana mwanasiasa ataongea kitu nimwamini, na siku zote wanasiasa wenyewe wananipa sababu za kusimama katika msimamo wangu wa kutowaamini. Generaly speaking, wanasiasa ni watu waongo. Sasa leo sintasema mengi, bali nitwakumbusha tu...
 3. S

  Dkt. Tulia tafadhali usitulie na barua ya CHADEMA. Toa kauli tumsome Rais kupitia wewe

  Uamuzi wa Dr. Tulia kuhusu covid-19 baada ya barua ya pili kufikishwa ofisini kwake itatoa taswira kamili ya mama SSH kuhusu demokrasia. Mama kupitia kinywa chake amejipambanua kuwa ni mpenda haki , maridhiano na amani. Sasa uamuzi wa spika utaithibitishia dunia kama anayaishi maneno yake ama...
 4. The Sunk Cost Fallacy

  Utafiti wa Polisi-Ukatili wa Kiuchumi dhidi ya Wanaume Umeongezeka,hawana Kauli kwa mali/kipato Chao

  Nawasalimu kwa salamu ya Taifa...Kazi inaendelea.. Kwa mujibu wa utafiti wa Polisi,ukatili wa kiuchumi dhidi ya wanaume umezidi kuongezeka na kuwafanya kuwa watumwa kwenye ndoa.. Sisi wanaume tunashukuru Sana Polisi kwa kulibaini hili,ifike mahala sasa kule kwenye madawati yenu ya kijinsia...
 5. Pascal Mayalla

  Kauli ya Rais kwa waandishi 'Wapara' kuwa wakimpara "Atawaparua", Je Rais Samia ni katili?, Soma Jinsi ya kuwabaini makatili!. Ni kutumia macho tu!.

  Wanabodi, Moja ya matumizi mazuri ya mitandao ya kijamii ni kuhabarishana, kuelimishana, kuburudishana, nakusaidiana. Ikitokea kuna jambo unalijua, mwenzako halijui, msaidie kumuelimisha kwa kutumia experience yako kuelimisha wengine nao wajue. Ila kauli ya Rais Samia aliyoitoa siku ya Uhuru...
 6. T

  Je, ni kweli kuwa hadi Rais Magufuli anafariki mfuko wa UREA Kg 50 ulikuwa Tsh. 50,000/- leo umefika Tsh. 147,000/-

  Mkulima huyu anadai ilikuwa ikiongezwa Tsh 1,000 anamwambia Waziri rudisha Tsh 50,000 Waziri wa sasa alikuwepo akiwa Naibu. Siku amekufa kesho yake kabla hajazikwa ikaongezwa Tsh 20,000 ikawa Tsh 70,000. Leo ni Tsh 147,000 na Naibu kawa Waziri. Wadai mnaofatilia bei ya pembejeo tupeni...
 7. Elli

  Kauli mbili tata za Rais Samia

  Shalom, Kuna umuhimu sana wa Rais Samia kuchuja baadhi ya kauli zake, nimesikia kauli mbili zenye madhara Yale Yale huku kauli Moja ikikosa nguvu. Anasema kwamba, ukitaja hadharani kuwa umewaongezea salary Wafanyakazi basi wafanyabiashara watapandisha Bei ya vitu holela na kufanya Hali kuwa...
 8. Kirchhoff

  "Nakwenda yaani basi tu" kauli hii imeninyima raha sana

  Wakuu, Salam. Juzi nilitaka huyu mwanamke aende mahali kutekeleza wajibu fulani akasema haendi hajisikii kutoka. Nikaumia kidogo lkn nikamezea. Baadaye akaniuliza "mahali kwenyewe ulitaka niende kufanyaje" nikamuambia asiende Tena Kule ambako ni mbali Bali aende kwingine karibu kunisaidia...
 9. Hero

  Unapotoa kauli hizi huku ukijiita kiongozi basi ujitathimini

  Unaposena Kila kitu kitapanda bei... Muuzaji unamjengea mtazamo wa kupandisha bidhaa bei kiholela....hii inamuumiza mnunuzi au mfuata huduma! Unaposema hata Marekani umeme hukatikakatika.... Unamuandaa mtoa huduma ya umeme (Tanesco) asione haja ya kufanya Kila liwezekanalo kuepuka umeme...
 10. Hero

  Hivi kauli ya "mama anaupiga mwingi" ni njia ya kumtaka mafuta kwa mgongo wa chupa? Maana sijawahi kuielewa kabisa🤔!

  Jamani mnautumia kauli hiyo hebu nisaidieni maana kwangu sijawahi ona uongozi kwa huyu mama mwenye kuupiga mwingi! Natamani na Mimi niwe miongoni mwa wanaomsifia kwa 'kuupiga mwingi', ila deep down sioni la kumsifia mpaka Sasa, tafadhalini sana, nisaidieni!
 11. S

  "Sikukuu/sherehe imefana sana". Nini kigezo chako kikubwa ktk kutoa hii kauli??

  Nini huwa ni kigezo chako kikubwa kinachopelekea wewe kusema "sikukuu/sherehe fulani imfana?" Je, ni a)- kupiga msosi mzuri? b)- kuvaa nguo mpya au kuvaa vizuri? c)- kutoka out na marafiki? d)- kupata mpenzi mpya au kufanya ngono sana? Au kitu gani?
 12. Sandali Ali

  "Lile jambo letu" ni moja ya kauli ninayoichukia sana

  Habari! Hivi zama hizi ni sahihi kuishi kwa mafumbo na kuuweka ukweli na uwazi pembeni? Tatizo nini hasa? Je, serikali haikujipanga ndani ya mwaka mzima kupiga hesabu ya mapato na matumizi yake ili kuja na jibu kamili kuhusisha MISHAHARA ya watumishi? Je, ni woga wa kuongezeka mfumuko wa...
 13. chinembe

  Baada ya kauli ya Dk Slaa: Serikali ianzishe uchunguzi dhidi ya Chadema kabla hawajamalizana wao kwa wao

  Serikali ianze kufuatilia hawa Chadema kabla hawajamalizana wait kwa wao, kama wanatekana na kuuwana, serikali ichunguze, vyama vya hivi havustahili hata kuwa na usajili
 14. Ami

  Kwanini UN haikemei kauli na vitendo vya kichokozi vya US na UK kwa Urusi

  Umoja wa mataifa UN mara nyingi umeomba vita baina ya Urusi na Ukraine visitishwe haraka.Papo hapo kila leo Marekani na Uiengereza wanatoa ahadi za wazi wazi za kupeleka silaha kwa Ukraine ili iendeleze vita vyake na Urusi kwa niaba yao. Jee UN hawasikii au wanasubiri nini kukemea vitendo hivyo...
 15. M

  " Soda Sh 1000 nifungue au nisifungue?" Hii kauli sio nzuri.

  Hata kama Soda zimepanda bei hii kauli sio nzuri kabisa kwa wateja. Yaani unajibiwa kibabe kwamba kama hutaki kunywa kula kona . Dah...
 16. Nsennah

  Iko wapi kauli ya vizuri huwa havidumu?

  Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano, Nipo hapa kuwakumbusha kauli inayotawala miongoni mwa watu, VIZURI HUWA HAVIDUMI. Nimelileta kwenu kutokana na mijadala inayoendelea ya kumuattack hayati JPM. Wapo wanaoshangilia mpaka leo kuwa yule kuondoka ni kusudio la Mungu kuwaepusha na balaa...
 17. J

  Kwa kauli hii Raila Odinga ataiharibu Kenya kama Magufuli alivyoharibu Tz

  Eti kuna mtu kakamatwa anaiba chakula, na kushtakiwa kwa mujibu wa sheria zao Jamaa anaamrisha mtu huyo aachiwe haraka kisa eti kuna wanasisa wezi wapo free mtaani Njia sahihi nafikiri ingekuwa kumlipia faini asifungwe na kama kuna haja ya kurekebisha sheria aahidi kufanya hivyo akiingia...
 18. Kichwamoto

  Msijisahau huu ndio wakati sahihi wa kauli mbiu "Mama Anaupiga Mwingi"

  Lopolopo kuhusu viwango vya nauli msijisahau tunawakumbusha Mama anaupiga mwingi sasa yuko pande za Marekani, anafanya mwendelezo wa bidii za kuifungua nchi. Mama anaupiga mwingi, tuache lopolopo nauli kiwango cha chini ni 700 -1000,mpende msipende
 19. B

  TCD endapo mtaelewa kauli aliyoitoa George (Mkenya) mtatambua hakuna Tume bila Katiba na hakuna Katiba bila Tume Huru

  George amewaeleza wananchi mambo muhimu sana ambayo kwa historia ya Kenya kwenye mchakato wa Katiba hakuna tofauti na Tanzania. Kenya walikusanya maoni ya wananchi then chama tawala na Serikali wakayakataa hayo maoni yaliyokuwa na jina la BOMAS. Chama tawala wakaanzisha mchakato wao na...
 20. T

  Kauli ya vitu kupanda bei kisa vita ya Ukraine inapindishwa na walioielewa wanafunga mikanda kimyakimya

  Imenibidi kwa mara nyingine nijiridhishe kwa kurejelea kusikilizwa hotuba ya Mhe.Rais iliyokuwa inazungumzia kupanda bei kwa vitu kunakosababishwa na vita vya Ukraine na Russia na mapokeo ya kauli hiyo. Sio kwamba nimetumia muda kusikilizwa tena sikusikia vizuri ila nilifanya hivyo kuongeza...
Top Bottom