Wanabaraza naomba mnitoe tongo tongo TGS D (Tanzania Gov. Scale D) ni shilingi ngapi kwa sasa? Nataka kuachia tawi Private Sector niende huko lakini sijui kukoje...
==============
July 2014...
Wewe ni mfanyakazi wa Serikali, Kada ya Kilimo (Afisa Mifugo, Afisa Kilimo, Bwana Nyuki n.k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?
Kutokana na wengi kuweka maombi ya watu wa...
Salaam!
Ni muda sasa humu Jukwaani kumekuwa na mabandiko ya watu mbalimbali wakiomba kazi, zile za ujuzi mahususi na zile za jumla.
Baadhi ya wanaoandika wamekuwa wakitaja sifa zao, wengine...
Habari zenu wana-JF?
Naomba msaada wa jinsi ya kuandaa CV yangu..
Mie ni mwanafunzi wa mwaka wa mwisho Computer science, nataka kuandaa CV yangu vizuri.
Shukrani!
Namna ya kuandika CV...
Hello members
Naomba kushare nafasi mbalimbali za kazi ninazokutana nazo huko mitandaoni, sihusiki directly ila naona wahitaji ni wengi na mnaoniulizia ni wengi pia.
I hope hii itawasaidia...
Katika usaili wako unaweza kukutana na maswali ya aina yoyote hata kwa kitu ambacho hujasomea. Hata hivyo, mara nyingi utakutana na mambo yanayohusu taaluma yako, mfano:
What are the four...
Walimu ajira Mpya halmashauri ya Wilaya Ya MKALAMA-SINGIDA hatujalipwa Pesa zetu za Kujikimu Tangu Tumeripoti mwezi January 2026.
Kila tukifuatilia Tumekuwa Tukipewa Majibu yasioridhisha kwetu...
Kama umeitwa katika usaili wa mchujo, Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja la II au kwa kimombo, Record Management Assistant II utakuwa unajiuliza maswali yanatokaje hasa kama ni mara yako ya kwanza...
Mimi kwa taaluma yangu ni mwalimu. Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikihangaika kutafuta ajira serikalini kupitia Ajira Portal. Nimekuwa nikifanya usaili mara kwa mara, napita hatua ya maandishi hadi...
Ninawasalimu wote, hongereni kwa majukumu ya ujenzi wa Taifa letu zuri sana la Tanzania.
Ninatangaza mtafutaji wa kazi ambaye ni mimi mwenyewe, ninaishi Gongo la mboto mkoani Dar es salaam Elimu...
Sisi ni watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa, tukiwa miongoni mwa waajiriwa wapya wa mwaka 2026 (kuanzia mwezi Januari) katika kada mbalimbali zikiwemo ualimu, afya, ustawi wa jamii, kilimo...
Job opportunity for Local Tanzanian
FINANCE MANAGER
Location: Dar es Salaam, Tanzania
Reports To: CEO
Department: Finance
Application Deadline: 20th June 2026
QUALIFICATIONS & EXPERIENCE...
Watumishi wa ajira mpya 2025 na 2026 wilaya ya masasi DC mtwara walimu hatujalipwa fedha za kujikimu.
Soma Pia: Walimu wa Ajira mpya Wilaya ya Kilosa, Morogoro hatujalipwa fedha za kujikimu
Wafanyakazi wa afya katika Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi tunaomba mamlaka husika, hususan TAMISEMI na Wizara ya Afya, kusikiliza kilio chetu kuhusu stahiki zetu za kikazi.
Licha ya kufanya kazi...
Watumishi wa Halmashauri ya Ushetu, Wilaya ya Kahama, tumekuwa tukikumbana na changamoto ya kubadilishiwa vituo vya kazi bila kufuata taratibu stahiki. Aidha, watumishi wanaohamishwa hawapewi...
Walimu wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam tumelipwa nusu tu ya hela ya kujikimu yaani laki 550,000, tumeajiriwa tangu Februari mosi 2025.
Hiyo nusu yenyewe tumepewa baada ya mwaka mzima na...
Mradi wa EACOP ulianza mwaka 2021 na sasa mwaka 2026 unakaribia kufikia mwisho. Hata hivyo, kuna wasiwasi mkubwa kuhusu utekelezaji wa mpango wa uhamishaji wa ujuzi na urithishaji wa nafasi...
Majibu ya MAOMBI YA KUJIUNGA JWTZ yametoka au bado?
Niliomba kujiunga na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania. Sasa mwezi umepita, lakini sijapata majibu wala simu.
Je, kuna yeyote amepata...
Mimi ni moja ya watumishi wapya (Kada ya Elimu) Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu. Tangu January 2026 hatujapewa pesa ya kujikimu mpaka muda huu.
Hata ajira za mwaka jana (2025), February...
MAJIBU YA MALALAMIKO YA WATUMISHI WA TEMESA KUTOKA JAMIIFORUMS LALAMIKO
Hoja ya Mdau iliyowasilishwa awali ~ Watumishi wa TEMESA Kanda ya Ziwa chini ya Wizara ya Ujenzi hatujalipwa stahiki zetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.