mheshimiwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Salem Yousef Alhamdan, Balozi Mteule wa Kuwait hapa nchini

    Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Mheshimiwa Salem Yousef Alhamdan, Balozi Mteule wa Kuwait hapa nchini, kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 13 Oktoba, 2026.
  2. B

    JamiiForums Tanzania MGOMO WA MABASI: MHESHIMIWA RAIS, WACHUNGUZENI WAMILIKI WA MABASI WANAOHUJUMU NCHI NA KUWATUMIA MADEREVA

    Mheshimiwa Rais,mgomo wa Madereva Wenda ukarudi Tena sura mpya Hali inayoendelea kwenye sekta ya usafirishaji nchini, hususan sekta ya mabasi ya abiria, inatuma picha mbaya na kuleta kero kubwa kwa wananchi wa kawaida. Ni dhahiri kuwa kuna baadhi ya wamiliki wa mabasi (matajiri) wanaojiona wako...
  3. cleokippo

    JamiiForums Tanzania Viongozi wetu hata sijui ni nani aliyewaloga

    Viongozi wetu hata sijui ni nani aliyewaloga Naandika kwa masikitiko makubwa sana , nimemskia mh wazir na mbunge wa Arusha mjini akidai kwamba anataka awajengee wana Arusha msikiti wenye thamani na dola milioni 100 ambazo ni sawa na tsh zaid ya bilion 21 Sasa swali langu kwa mh wazir nchi...
  4. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Diwani Haji Fundi Haji awakaribisha wawekezaji Kata ya Bondeni asema Bondeni ni salama

    Diwani wa Kata ya Bondeni Manispaa ya Moshi Mheshimiwa Haji Fundi Haji ametoa rai kwa wafanyabiashara na wawekezaji kuwekeza kwenye Kata ya Bondeni na kwamba Kata hiyo ni salama . Ametoa rai hiyo hivi karibuni kwenye kilele cha siku ya usafi wakati akizungumza na wananchi wa Kata ya Bondeni ...
  5. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Je, Mheshimiwa Waziri hajakiuka Kifungu cha 19 cha Katiba ya FIFA?

    1\. Kwa uelewa wangu mdogo, na niko tayari kurekebishwa, Waziri wa Michezo haruhusiwi kisheria kuingilia masuala ya kibiashara au kiutawala ya Shirikisho la Soka la Taifa (FA), ikiwemo zabuni za kibiashara za jezi za timu ya taifa. 2\. Chini ya Kifungu cha 19 cha Katiba ya FIFA, mashirikisho...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini: John Mnyika aendelea kutoa Ushahidi kumtetea Tundu Lissu Mahakamani leo Agosti 31, 2026. Kesi imeahirishwa hadi Kesho

    KESI ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu inaendelea tena leo, Jumatatu Agosti 31.2026, kama ilivyo kawaida mbele ya jopo la Majaji watatu (3) wakiongozwa na Jaji Dastan Ndunguru KESI hiyo inayosikilizwa mfululizo kwenye Mahakama Kuu ya...
  7. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Murtaza Mangungu ni Kiongozi bora kuzidi Engineer Hersi Said

    Mara baada ya kupata wasaha wakumsikiliza mara kadhaa, nimejiridhisha kuwa ndugu zetu wa Simba wana kila sababu ya kuhakikisha anabaki madarakani ili kuimarisha timu yao. Sioni kiongozi wakumzidi pale Simba, huyu anaweza kuongoza hata taasisi kubwa na ya heshima kama Yanga au Ikulu. Hongereni...
  8. Gospel KTV

    JamiiForums Tanzania Barua ya Wazi kwa Dkt. Nasra Nassor, Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    BARUA YA WAZI KWA MHESHIMIWA DKT. NASRA NASSOR Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Yah: Ombi la Kupata Ufafanuzi Kuhusu Maendeleo ya Utekelezaji wa Sheria ya Baraza la Wataalamu wa Kemia (Chemist Professionals Council) Mheshimiwa Dkt. Nasra Nassor, Kwa heshima, naomba nianze kwa...
  9. Terrible Teen

    JamiiForums Tanzania Samahani Rais, Unajisikiaje unapokula nyama, ama unapokaa na Watoto na Wajukuu zako?

    Mheshimiwa Rais, naomba kuandika kwa ufupi sana. Kutekwa kwa Polepole , Mdude na hata kuuwawa kwa Mzee Kibao kuliacha damu nyingi sana ikimwagika, naomba kukuliza Mheshimiwa mwenye jukumu la kwanza la kulinda uhai wa watu wako, huwa unajisikiaje kula nyama kama chakula huku ukikumbuka wetu wako...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Shabiby Aifagilia Bajeti Kuu, ampa tano Waziri wa Fedha, Akiwatetea Bodaboda

    Wakati akiritirisha maoni, ushauri kwenye kuchangia Bajeti Kuu ya Serikali ya Mwaka 2025-2030, Mbunge wa Gairo kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Ahmed Shabiby amesema kuwa, kwa mara ya kwanza mwaka huu (2026) ameona bajeti iliyo bora sana katika bajeti nyingi alizowahi kushuhudia. Mbunge huyo...
  11. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Ninaunga mkono kutumbuliwa kwa kiongozi mwandamizi tuliyedokezwa na mbunge Sumai

    Mimi naona lilikuwa jambo la kichama zaidi na kutakiwa kuwasilishwa kwenye vikao vya chama. Ila Simai ana hoja ingawa alitumia platform isiyo sahihi. Kwa aliyoongea ni wazi italeta maneno mengi ndani ya chama na kuchafua hali ya hewa. Kama mtu ninayetaka mama aongezewe muda wa kuongoza hadi...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Tizama Kikwete Akimtambulisha Ridhiwani Kikwete kwa Obama,William Ruto akimtambulisha Mwanae kwa Joe Biden ,Rais wa South akiwa na mwanae ziarani

    Ndugu zangu Watanzania, Tusipokaa sawa na kuwa makini na waangalifu tutajikuta tunajenga Taifa ambalo vijana wake muda wote na mwingi wanajadili Majungu ,Umbeya ,Uzushi ,uongo ,upashikuna na ushakunoko. Tutajikuta tunajenga Taifa ambalo watu wake na vijana wake wanashinda na kutumia muda wate...
  13. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Kassim Amari Mbaraka Mbunge wa Ngamiani Tanga Atembelea Maktaba

    MHESHIMIWA KASSIM AMARI MBARAKA MBUNGE WA TANGA MJINI ATEMBELEA MAKTABA Mheshimiwa Kassim Makbel Mbunge wa Ngamiani Tanga leo ametembelea Maktaba na kuizawadia kitabu kizuri sana tena cha nyakati hizi tulizonazo. Mheshimiwa Kassim Amari Mbaraka kaizawadia Maktaba kitabu cha Ayatullahi Udhma...
  14. JaxenDL

    JamiiForums Tanzania 🚨 CC: Mwenyekiti, Mheshimiwa Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Mohamed Chande Othman.

    -3th April ni ijumaa kuu unafamu ilo ? -Whats the plan tupate ripoti yetu ? -Inawezekana ripoti iwasilishwe alhamisi, if yes, tupate report yetu mapema patience is killing me. Isije kua dana dana tena kwa kisingizio cha sikukuu ..
  15. N

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Rais kuwa mgeni rasmi kwenye mechi ya Yanga na Simba huko Zanzibar

    Raisi wa Tangabar anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye dabi ya kariakoo itakayopigwa tarehe 01/03/2026 katika uwanja wa Amaan huko Zanzibar.
  16. Sanyambila

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Rais Samia kuhusu kurejesha amani nchini

    Habari ya majukumu ya kulijenga taifa wazalendo Mimi kama mwananchi wa Tanzania, niliyezoea taifa lenye umoja, mshikamano na utulivu nimepigwa na butwaa kilichotokea nchini kwetu. Kumekuwa na kauli nyingi na nyingine zenye mkanganyiko wa makusudi tu kutetea ama kujisitiri pasipo kujua nchi hii...
  17. TODAYS

    JamiiForums Tanzania PICHA: Waziri Kombo aibu hii umeonesha mbele ya Katibu Mkuu wa UN, António Guterres

    Ukaaji wako pichani unadhihirisha una aibu, umejipeleka kuomba msamaha, umewasilisha barua kimagumashi. Kuna wataalam wa kusoma wa picha na kuna ukaaji wa kiprotocal wa kiongozi kama wewe. Sijafuatilia kabisa ile barua uliyotumwa kupeleka ila kuna maneno fulani huea yanasema "MIMI TU...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Je, una mshauri nini Dkt. Emmanuel Nchimbi Makamu wa Rais wa Tanzania?

    Wadau nyote karibuni tumshauri Mheshimiwa jambo ambalo unaweza mshauri. Kwangu mimi namshauri adumishe hekima kubwa aliyonayo.
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mussa Azzan Zungu awa Spika wa Bunge la 13. Achaguliwa kwa kura 378 kati ya kura 380 halali

    Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo limefanya uchaguzi wa kumchagua Spika wa Bunge la 13. Kikao hicho kinaendeshwa na Spika wa muda William Lukuvi, akisaidiwa na Katibu wa Bunge Baraka Leonard. Jumla ya Wabunge 383 wanapiga kura. Katika uchaguzi huu tutakumbuka kuwa Spika wa Bunge...
  20. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Bona Kaluwa akumbukwe uteuzi kufidia hasara aliyopata

    Wana Segerea mpewe nini? Yaani pesa mmekula ila Kura hapana? Why? Inafaa basi angalau Mheshimiwa akumbukwe kwenye uteuzi ili angalau Ile 1.8bn irudi. Inauma haswa
Back
Top Bottom